Askofu Niwemugizi afichua magumu aliyopitia

  Рет қаралды 18,421

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

3 жыл бұрын

Kwa wale wasio mfahamu Askofu Severine Niwemugizi ni Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara na ndiye aliyeongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dk John Magufuli nyumbani kwake chato Machi 26, 2021.
Taarifa za Askofu Severine Niwemugizi kuhojiwa uraia wake zimekuwepo tangu mwaka 2017, kutokana na shauku na hamu ya umma ya kujua undani wa suala hilo Mwananchi Digital imefanya mahojiano maalum na Askofu Niwemugizi ofisini kwake mjini Ngara ambapo amefunguka mengi kuanzia alivyopata taarifa za kutakiwa kuhojiwa, kuanza kuhojiwa, kutwaliwa na kurejeshwa hati yake ya kusafiria.

Пікірлер: 24
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awape moyo wa kuyasahau maumivu hayo la muhinu yasifanyike teana kwa wengine iwe mwisho. Nchi yetu sote hakuna raia bora kuliko mwingine ( mwenye hati miliki) . Nembo yetu ina Bwana na Bibi maana yake wote sawa katika kulipenda, kulijenga , kulihifadhi na kulilinda taifa letu zuri duniani hakuna mfano wake. "Mama Tanzania"
@williamkirway4620
@williamkirway4620 3 жыл бұрын
Mungu ametupa vipaji,uvumilivu,busara,utu wema,na maoni pia ni muhimu sana ktk jamii kiimani na kisiasa,usihofu Askofu mungu awe nawe daima mchungaji kondoo wasipotee kiimani ikibidi kama kuna siasa chafu,katiba haifwatwi na Wana mtaja mungu wanapoapa toa ushauri tusahau yalopita.
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Жыл бұрын
Baba Askofu endelea kumshukuru Mungu ailiyekuepushia maana yule jamaa ageweza kukutumia wale wasiojulikana lakini kwa mapenzi yake Mola yeye na timu yake ya wasiojulikana imeangukia pia.
@saidimtima184
@saidimtima184 3 жыл бұрын
Duuh pole san kiongoz wetu wa dini allah akupe fikra sahihi kwnye kutatua changamoto ulizopitia
@pcazzo22
@pcazzo22 3 жыл бұрын
Yule ngedere hatokaa auone ufalme wa Mungu... he was so evil!! Kama watu kama hao wanatendewa hivyo...just imagine watu wa kawaida kama sisi. 🤔🤔🤔
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Hakuna jeraha baya kama jeraha la moyoni. Hilo hutibiwa na Mwenyezi Mungu peke yake . Bila huruma ya huwezi kusahau. Ukiona mwenyenalo analikumbuka na kusimulia ujue bada " hayajaisha".
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 3 жыл бұрын
kiongozi alikuwa mungu alikuwa hataki kukosolewa
@uledyngogange8570
@uledyngogange8570 3 жыл бұрын
Tabia ya kuwasumbua wanaosumbukia maisha yetu tuache kabisa madhara yake ni makubwa
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Tatizo kubwa Viongozi wa dini wanadharauliwa, wanapewa kipaumbele ktk kuomba dua kuliombea Taifa kusuaurika na majanga na mabalaa na kuwaombea dua Viongozi wa Serikali watawale/waongoze kwa amani laki baada ya hapo na zaidi ya hawathaminiwi. Nchi/dunia haiwezi kuwa ya amani na baraka bila ya kupewa heshma na daraja last kiongozi/viongozi wa dini lakini zama hizi kiongozi as dini hanathamini kuliko kiongozi wa Serukali/kiongozi wa Chama cha Siasa! Hii (kutoheshimiwa/kutothaminiwa) kwa Viongozi wa dini husababishwa kwa kukosa msimamo na kutojiheshimu (wamesahahu wajibu wao) baadhi ya viongozi wa dini! Kazi kuu ya Viongozi wa dini wanapaswa kuamrisha mema yampendezayo Mungu Mola Muumba na kukemea maovu yamchukizayo Mungu Mola Muumba (bila woga/mashaka) kwakuzingatia mipaka (maandiko) ya Mungu. Leo maasi yamekithiri (zinaa, ulevi/pombe, kamali, riba, kutembea uchi, ushoga na usagaji nk) yanubarikiwa na Serikali ilhali hao wanao bariki na kuruhusu maovu hayo (watunga Sera na sheria) wanaamini kuwa yupo Mungu Mola Muumba na wanamuabudu huyo Mungu ktk nyumba za ibada zinazoongizwa na Viongozi wa dini ! Ifike wakti viongozi wa dini muwe na umoja na msimamo wa kweli ktk hofu ya ya kumhofun Mungu Mungu Mola Muumba. Viongozi wa Serikali/Taifa wanatakiwa wahofiee kwa maana ya kuhofu vyeo na wadhfa wao lakini haitaki kuwahofu kwa kupitiliza zaidi na kumweka chini Mola Muumba hiyo ni kufuru/shirki kubwa. Haiwezekani vifanyike viapo vya kumtaja Mungu na kumuomba Mungu asaidie alafu yafanyike kinyume na atakavo Muumba huku ni kumdhihaki Mola Muumba! Kama ndivyo (Serikali hana dini), sasa kwanini visiwekwe viapo vya Serikali waape bila kumtaja Mungu Mola Muumba. Kumdhihaki Mungu (kuapa) ilhali Serikali inaruhsu na kubariki maovu ni kujitafutia laana (kukusa barka) za Muumba na ndo chanzo/sababu ya kukithiri kwa majanga na mabalaa duniani. Japo tunajifatiji kwa kuificha/kuihifadhi laana kwa kipa jina "MABADILOKO YA TABIA NCHI" ! Laana itabaki kuwa laa hata ipambwe na na kurembwa nii sawa na Kilevi/Pombe, Zinaa haibadiliki (haram ibaki kuwa haram) hata uitteje. Wenzetu (Vingozi wa aerikali)Wananamamlaka na Sheria (Wameshika dola) lakini wote tupo ktk Jadhi (dunia ) moja . Hivyo tusikubali kuwaruhusu watobowe Jahazi tutazama wote. Tumesahau yalowapata Umma zilizotangulia (Kaumu Ruti/Sodoma na Gomola, Nuhu, Firaoun/Farao nk)! Au ndo tunaamini kuwa damu ya Yesu ilomwagika Msalabani itatukomboa (tumeshaokolewa/tumesha okoka)?! Uwokogu upo siku ya hukumu (siku ya Kiama) kwa atakaefaulu (mema yake yakiruhusu kuingizwa Peponi) huyo ndo mwenyekufaulu/kuokoka. Yesu ametuasa "dhambi zenu mtakufa nazo wenyewe" na malipo ya dhambi ni kutiwa ktk moto wa jehanam, Kifo ni njia/kituo cha kusubiri Kiama/hukmu ya kulipwa tuliuyoyatenda hapa duniani. Tusijidanganye kwa kusema na kuamini "Umauti/Kifo " ni hukmu ya dhambi ! Kila nafsi (kila kiumbe) itaonja kifo, mitume na manabii (viumbe)wamekufa nasisi tutakufa na hata Yesu(Issa) atakufa baada ya kurejea duniani lazima afe ndipo ifike saa ya Ufufuo/Kiama. Ishara/dalili za mwisho wa dunia zinazidi kudhiri siku baada ya siku. Hivyo tubadilike tuwache mazowea, uifuate haki tuiwache batili ili inshaallah tuupate mwisho mwema. 10:26 Mathayo.
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 2 жыл бұрын
alijifanya MUNGU ila leo hii yuko kaburini na ASKOFU aliye mchukia ndio alie kuja kumzika hhaa dunia duara kwa kweli
@danielgadiel6213
@danielgadiel6213 3 жыл бұрын
Sawa askofu tumeelewa
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 2 жыл бұрын
Ilikuwa ni tabia za kishetani kabisa
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Wasiasa mkumbuke daima maumivu ya kisiasa ndio yameifikisha dunia tulipo. Dunia ya masilaha ya maangamizi na sumu .Dunia ya nguvu nyingi za dola kwa raia wao. Wasiasa Mtayagangaje majeraha ya moyoni mwa raia ni mtihani mkubwa. Msisababishie raia madonda ya rohoni " siasa matope balaa" achaneni nazo.
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 жыл бұрын
Watanzania 80% wana DNA ya unafiki na uzandiki.
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 11 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 85 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 13 МЛН
ASKOFU NIWEMUGIZI ASEMA YUKO TAYARI KUITWA MCHOCHEZI
14:17
Mwananchi Digital
Рет қаралды 37 М.
"SIMU YA UTEUZI ILINIKUTA ITALIA NAKULA" ASKOFU MTEULE MWASEKAGA ASIMULIA ILIVYOKUA..
4:06
MIAKA 25 YA UASKOFU:ASILI NA MAHALI ALIPOZALIWA,KUSOMA,WAZAZI WA ASKOFU NIWEMUGIZI
6:26
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 11 МЛН