ASKOFU NIWEMUGIZI ASEMA YUKO TAYARI KUITWA MCHOCHEZI

  Рет қаралды 37,793

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

6 жыл бұрын

Askofu wa Kanisa Katoliki Ngara Severine Niwemugizi amemshauri Rais John Magufuli kuhakikisha katiba mpya inapatikana ili kulinda mazuri anayofanya.
Askofu Niwemugizi ameyasema hayo Septemba 27 wakati akifungua mkutano wa asasi wa kujadili kwanini tunahitaji katiba uliozokutanisha asasi za kiraia zaidi ya 80.

Пікірлер: 41
@saviomlelwa
@saviomlelwa 4 жыл бұрын
Safi sana. Askofu ubarikiwe sana kwa kusimamia kweli. Na kweli itakuweka huru. Hongera sana.
@kaimuulongo953
@kaimuulongo953 3 жыл бұрын
Nakuelewa San NBC 2mishi mwambieni uyo mungu m2 ili ajilekebishe afate shelia
@revocatussanka185
@revocatussanka185 6 жыл бұрын
KATIBA ni sheria Kuu hivyo ni nguzo ya nçhi . Nguzo ni lazima iwe imara vinginevyo ,itakuwa ni ubabaishaji usio na tija, wala DIRA. Katiba inayotumika sasa Ilistahili kubadilishwa kipindi cha mchakato wa mapendekezo ya katiba mpya. Katiba ni hitaji Kuu kwa sasa,kwani wengi tungependa kuona tunapata Katiba inayoweka misingi imara ya kuongoza nchi. Wanaokataa kuwa na Katiba imara ,wanatuweka kwenye mashaka makubwa kama kuna nia njema kweli. Haiwezekani mtu anatambua umuhimu wa Katiba ya nchi halafu hataki Katiba itengenezwe. Mawazo ya wananchi yalishakusanywa ni suala la kutusomea wananchi tuyapitishe yanayotufaa na kisha kutengeneza Katiba. Wito unatolewa kwa Wazalendo wote wapige kelele kudai Katiba imara siyo bora Katiba.
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 жыл бұрын
Hichi ndicho kinachozihirisha jinsi watanzania walivyowajinga wa fikra. Kazungumza miaka mitatu iloisha, kuliko kwambia watanzania mambo mapya yenye tija kwa maisha yao. Kama ni katiba mpya subiri marais Kikwete+Samia wanaoingoza Tanzania watawapa!!!
@davidmkalimoto6274
@davidmkalimoto6274 6 жыл бұрын
sawa kabisa Askofu nakuunga mkono.
@renatusrweyongeza9333
@renatusrweyongeza9333 3 жыл бұрын
Good
@joachimerass389
@joachimerass389 6 жыл бұрын
Asante baba askofu sasa nimeona watu wanao jua kuomboleza
@denisfidelismapunda4316
@denisfidelismapunda4316 6 жыл бұрын
kazi ipooo
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 жыл бұрын
Kesho utaongoza misa pale Chato ya mpendwa JPM
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 6 жыл бұрын
Ukweli utakuweka huru, hii nchi watu wengi hawapendi ukweli,tubawanafiki wengi,kazi kusifiana tuuu majukwaani, viongozi wa dini nao wapo kimyaa,bora wewe umetoa ya moyoni
@aggreymrema3145
@aggreymrema3145 6 жыл бұрын
tukipata viongozi wa dini 10 tu kama wewe tutakaa vizur
@vitussimon9696
@vitussimon9696 6 жыл бұрын
classical mind.
@africanboy6921
@africanboy6921 3 жыл бұрын
Hakuna mwana ccm yeyote ambaye anaweza kukubali katiba mpya,maana mwisho wa hiki chama ni kupata katiba mpya,hiki chama kinalindwa na hii katiba kandamizi ya kikoloni
@fidelialucassamkhumbi2476
@fidelialucassamkhumbi2476 3 жыл бұрын
Saint Pietro basilica, 1 century.
@davidwilbardshio4868
@davidwilbardshio4868 6 жыл бұрын
Ni wakati wa ukoloni pekee tutakumbuka watu kama Askofu na makusanyiko ya namna hii yalikua yakikataliwa na watu kufungwa magerezani au hata kuuawa kwa kudai uhuru na haki na utawala bora. Nadhani ukoloni umerudi Tanzania ila wakoloni wetu safari hii sio Wazungu bali ni sisi wenyewe tunakoloniana
@bigpoppa5409
@bigpoppa5409 6 жыл бұрын
Nasikia kakamatwa na kuhojiwa uraia wake
@saidmanjanjagara55
@saidmanjanjagara55 3 жыл бұрын
Askofu ni mtabiri?
@eliaskhamis1546
@eliaskhamis1546 6 жыл бұрын
Amenena vyema.
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 4 жыл бұрын
Wa tz tukubali bado tunaitaji wakutuvusha huyu wass ni mbabe hafai
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 3 жыл бұрын
Kwel kabsa. Wapambe wengi kuunga mkono tu ila hawamwambii ukwel anatutumbukiza kizani
@stewartmillanzi7198
@stewartmillanzi7198 6 жыл бұрын
Askofu anaongea vitu vinavyoeleweka na wala hajaegemea upande wowote. Huyo asiyemwelewa ana hitilafu kichwani au pengine yeye si mtanzania halisi. Katiba mpya ni muhimu kwa watanzania wote ukiondolea mbali vyama na dini zao. Kama mtu haelewi, basi ni dalili ya wazi kwamba kichwa chake kina pombe. Ni ulevi wa mapenzi ya kiitikadi ambao unamfanya mtu awe tayari hata kumwaga damu akitetea upuuzi anaouamini yeye akidhani ni sahihi.
@elishatimoth3333
@elishatimoth3333 6 жыл бұрын
namuomba magu aendelee nakaziyake asiwasikilize watu km hao walanigfu
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 4 жыл бұрын
Elisha Timoth soma ulicho andika
@pamaco_wa_viwanda
@pamaco_wa_viwanda 6 жыл бұрын
Ndo maana wanamsumbua jomoni mzee wa watu
@mzeewaodds.3745
@mzeewaodds.3745 6 жыл бұрын
MANGEKIMAMBI TV mh...
@juliusmsalali2083
@juliusmsalali2083 6 жыл бұрын
Juliana Masunga wewe ambaye si wa hovyo useme point zako tukuelewe unadhani angesemaje ndipo ufurahi toa maoni siyo kusema hovyo halafu hueleweke
@fateemalooyoo2069
@fateemalooyoo2069 6 жыл бұрын
yani mnatia haiku
@donaldmgomba2104
@donaldmgomba2104 6 жыл бұрын
Kweli michango imepungua makanisani wakati wa JK hatukuona Walaka leo katubana kweli
@donaldmgomba2104
@donaldmgomba2104 6 жыл бұрын
Askofu anayumba anasahau majukumu yake aisee karibu cdm
@elishatimoth3333
@elishatimoth3333 6 жыл бұрын
wewe ustuchshe tengeneza yako
@elisantewawa3047
@elisantewawa3047 6 жыл бұрын
ukichaa umekuaza wewe paroko kaoe kwanza
@edwarddaniel5683
@edwarddaniel5683 6 жыл бұрын
Amekosea nini mpaka umtukane?
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 6 жыл бұрын
Mbona unamtukana kakukosea ni nin? Nitafurahi sana kupata jibu
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 6 жыл бұрын
Elisante Wawa ,,ni mpuuzi mno,,nawewe ndio kichaa na una lelewa na ccm kwahi sio kosa lako.
@julianamasunga4147
@julianamasunga4147 6 жыл бұрын
mmmh huyu naye hovyooo.....
@emanuelmosha3045
@emanuelmosha3045 6 жыл бұрын
na wewe je
@selemanikalembo4711
@selemanikalembo4711 6 жыл бұрын
Juliana Masunga hujui utendalo
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 6 жыл бұрын
Wewe ndio hovyo na huenda ni changudoa tu wa mitaani
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 4 жыл бұрын
Juliana Masunga naww
@richardchaula1860
@richardchaula1860 4 жыл бұрын
Wewe ndo wa hovyo.
Azam TV - Ujumbe mzito wa askofu Severin Niwemugizi kwa JPM
1:09
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 104 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 10 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 47 МЛН
Mtanda ataka haki sakata la kutajwa kumkingia kifua Dk Nawanda
3:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 6 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
Taharuki makaburi 19 yakibomolewa na wasiofahamika Tabora
8:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 747
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 104 МЛН