Рет қаралды 2,192
Azam TV
Askofu Severin Niwemugizi, wa kanisa Katoliki jimbo la Lulenge wilayani Ngara mkoani Kagera, amesema yupo tayari kuitwa mchochezi, indapo asasi za haki za binadamu zitaitwa jina hilo kwa kupigania katiba mpya.