ATHARI 3 ZA KUNG'ANG'ANIA MAHUSIANO.

  Рет қаралды 13,543

Mbeki TV

Mbeki TV

8 ай бұрын

Pengine tayari upo katika hatua ya hizi Athari lakini pengine bado ujagundua, hivyo kupitia video hii utaweza kujua ni Athari zipi hizo ili uwe macho. Nakuomba usisahau ku Subscribe, Asante.

Пікірлер: 191
@pilikipengele963
@pilikipengele963 5 күн бұрын
Big up 💯 nimekukubali sanaa!!!
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 10 күн бұрын
Umetisha mwanangu GOMBEA UBUNGE KURA YANGU UNAYO
@mbekitv693
@mbekitv693 9 күн бұрын
@@RenaldaZeramula 🤣🤣🙌.. asante sn
@EsterMsiba
@EsterMsiba 11 күн бұрын
Asante kaka umenifungua akili jaman
@mbekitv693
@mbekitv693 9 күн бұрын
@@EsterMsiba good😀👏
@MelinaJohn-j9y
@MelinaJohn-j9y 16 сағат бұрын
Kaka Asante
@user-so8vq1gc5g
@user-so8vq1gc5g 6 күн бұрын
Duh! kaka unajuaje kama ndo hali yangu niliyonayo sasa.asante sirudii tena kunyenyekea mwanaume
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 3 ай бұрын
Hii video umeitengeneza kwa ajili yangu kabsaa kkangu ahsante sana 😢😢
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@linnahcasmir5275
@linnahcasmir5275 7 ай бұрын
Nimekupend buree broo
@mbekitv693
@mbekitv693 23 күн бұрын
@@linnahcasmir5275 Nimekupenda pia😊🤝
@SarahWangoi-nj9vp
@SarahWangoi-nj9vp Ай бұрын
Kweli kabisa sisi tunatamani sana asante
@mbekitv693
@mbekitv693 23 күн бұрын
@@SarahWangoi-nj9vp karibu sn
@rehemasilasi2985
@rehemasilasi2985 7 күн бұрын
Huyu Kaka anajua mpaka anajua tena
@happynescostat7420
@happynescostat7420 5 ай бұрын
MUNGU akubariki sana, umeongea vitu vizito sana kuliko mtu yeyote aliewai kuongea,HATARI,
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Asante sn mpendwa🙏
@user-hy5hw9bd7t
@user-hy5hw9bd7t 7 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Amen ☺️🙏
@sein.208
@sein.208 4 ай бұрын
Jazaakallah kheiry
@TiffFatma-lw5mf
@TiffFatma-lw5mf 3 ай бұрын
nimejifunza jambo ambalo nahisi kama nilikuwa sijitambui.... ubarikiwe kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Amina mpendwa
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Ай бұрын
I really learn something important in my life,thanks bruh 😎
@mbekitv693
@mbekitv693 23 күн бұрын
@@alimatambwe3402 Karibu sn😊
@JeniphaFredrick-hz5ll
@JeniphaFredrick-hz5ll 6 ай бұрын
Thank you brother nimekuelewa Sana zaidi ya sana kweli wanajizimaga data
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu sn sn
@rutinginyaneysam.5087
@rutinginyaneysam.5087 2 ай бұрын
🤣🤣🤣 I like it so much
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Good😀
@dazboy-sl7cm
@dazboy-sl7cm 6 ай бұрын
Ndyooo unatisha sana umeukonga moyo wangu❤
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Asante sn
@user-dp3fv2kh4l
@user-dp3fv2kh4l 6 ай бұрын
Umenisaidia kaka nilikua njia panda saa hii niko katika njia moja nyororo ubarikiwe sana❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Amina🙏 and nafurahi sn kusikia hivyo👏
@faiza1066
@faiza1066 2 ай бұрын
Wueeh asante kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Karibu sn
@user-vk5vi3es5g
@user-vk5vi3es5g 8 ай бұрын
Sijutiii kukufahamu kaka mungu akubariki sana katika kazi zako uzidi kutufumbua macho
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Amen mpendwa nawe ubarikiwe sn🙏
@shamsijuma5050
@shamsijuma5050 2 ай бұрын
Hongera sana
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
asante mpendwa
@gloriadunstan7190
@gloriadunstan7190 2 ай бұрын
You are correct brother God bless you
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
amina mpendwa
@user-hm6lp1dm5s
@user-hm6lp1dm5s 6 ай бұрын
Asant ndug umenitoa kwenye kiza Kunene sana asant san
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu sn
@merykyungai2551
@merykyungai2551 5 ай бұрын
Asante nimejua my value
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Goooood I like it..
@user-dy3hv3ek7n
@user-dy3hv3ek7n 5 ай бұрын
Nashkr sana ndugu Kwa elimu ya mahusiano,hata mm umenisaidia.
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu saana 🤝
@user-ym9bb2jf7x
@user-ym9bb2jf7x 6 ай бұрын
yamenikuta jana khaaaa wanaume shkamoo,nakupenda sana kaka angu una mafunzo mazur sana ubarikiwe sana
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Ilikuaje tena
@dvjkelly8449
@dvjkelly8449 6 ай бұрын
Marahaba
@user-pw7gk1rt4l
@user-pw7gk1rt4l 5 ай бұрын
Hapa nimesha juw ukweli wote asante kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu sn mpendwa😀
@LuciaPhinias-wy3do
@LuciaPhinias-wy3do 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana kakaa❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Amen 🙏 Nami nakukaribisha katika darasa letu la WhatsApp tuzidi kujifunza pamoja.
@Mnyalu94
@Mnyalu94 2 ай бұрын
Kujichekesha bila kutekenywa Aaah nmecheka sana 😂
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
😀
@BiyuwaSimba
@BiyuwaSimba 25 күн бұрын
Mimi muoga sana kuachwa kwahiyo huwa nakuaga hatua mbili mbele ili nisije kulia km mbwa
@mbekitv693
@mbekitv693 23 күн бұрын
@@BiyuwaSimba kivipi
@user-jp9np5ho3y
@user-jp9np5ho3y 2 ай бұрын
Uko sahh kakaaa
@user-cr7od5kc3v
@user-cr7od5kc3v 7 ай бұрын
Mafunzo mazuri broo
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Shukrani🙏
@IrankundaDevotte-yu4nm
@IrankundaDevotte-yu4nm 5 ай бұрын
Asante san kakangu kwa maneno yako❤
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu sn mpendwa🙏🏼
@JaqlineKihongo-ox3vj
@JaqlineKihongo-ox3vj 6 ай бұрын
Asante kaka umenitoa kwenye kiza asante
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu sna
@CatherineKalua-bk8vg
@CatherineKalua-bk8vg 16 күн бұрын
Hii video imeniongezea ujasiri na kujiamini zaidi
@mbekitv693
@mbekitv693 9 күн бұрын
@@CatherineKalua-bk8vg good👏👏😀
@DelilaKazamaso-bq4hy
@DelilaKazamaso-bq4hy 8 ай бұрын
Sanatu unani Jenga Sana Kaka ntakutumia tu na hela ya bando🙏🙏🙏
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Asante sn mpendwa wangu
@user-or9sc5kw7q
@user-or9sc5kw7q 5 ай бұрын
Thanks broo
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu sn
@IreneSantu-fd7kb
@IreneSantu-fd7kb 4 ай бұрын
Asante saaana kaka nimepona🥰
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu saana, na usiache ku subscribe🥰
@jacklinemrema2242
@jacklinemrema2242 2 ай бұрын
Huyu ni mimi kabisa
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
eh
@happynessmassawe4721
@happynessmassawe4721 5 ай бұрын
Asante sana kaka nilikuwa ivyo but now all its over.
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Pole sn mpendwa Mungu akuongoze sasa
@SarahMusa-j3w
@SarahMusa-j3w 8 күн бұрын
MUNGU azidi kukuongezea maarifa ya kushauri watu kaka,,,ila hujatoa namba zako zasimu
@mbekitv693
@mbekitv693 8 күн бұрын
@@SarahMusa-j3w asante sn mpendwa 😊🙏. 0659152333
@user-sj1oi5yk3u
@user-sj1oi5yk3u 8 ай бұрын
Kaka Mungu akulinde daima
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Amina mpendwa
@merykyungai2551
@merykyungai2551 5 ай бұрын
Now I know my value
@user-uq4he9zy7v
@user-uq4he9zy7v 8 ай бұрын
Asante sana kaka mana umefumbua akili za wengi
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Karibu mpendwa wangu
@delinevamwakapasa6948
@delinevamwakapasa6948 8 ай бұрын
Hatariiii
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Na nusu
@user-mh2km2zx2h
@user-mh2km2zx2h 6 ай бұрын
Dah asante bro.umeniamsha akili
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu sn mpendwa
@Amyomy-od5ry
@Amyomy-od5ry 8 ай бұрын
Shukran broo ....mafunzo mazr walai 🎉🎉🎉
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Asante mpendwa karibu 🙏
@GladlyZacharia
@GladlyZacharia Ай бұрын
Thanks broo he is my first boy lakin daah
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@Khadijah-eq2oe
@Khadijah-eq2oe 7 ай бұрын
Asnte broo umenifungua mahli wallAh
@user-zz1ys4ef6x
@user-zz1ys4ef6x 8 ай бұрын
Kaka ubarikiwe
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Amina
@sikindemunyama6218
@sikindemunyama6218 7 ай бұрын
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Blessed 🙏
@user-gw4jc9so5p
@user-gw4jc9so5p 3 ай бұрын
🙏❤
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Karibu kutazama video yangu mpya
@alimsela376
@alimsela376 6 ай бұрын
Kweli kabisa kaka nimimi kabisa yamenikuta
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Pole sn
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu 17 күн бұрын
Me niombe namba brother nina masuali yangu unijibu na ushauri kidgo mana nina jambo huu nimwaka watano sjapata jibu 😢.
@mbekitv693
@mbekitv693 9 күн бұрын
@@RaimamomedSaidi-wz1yu 0659152333
@annamshana4893
@annamshana4893 8 ай бұрын
Mungu akutuze uzid kutuelimisha
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Asante mpendwa nawe ubarikiwe🥰🙏
@user-wy7wn7cf6s
@user-wy7wn7cf6s 2 ай бұрын
😢😢😢😢 waaa mimi hata sielewi kabisa nataka ushauri
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@MelinaJohn-j9y
@MelinaJohn-j9y 16 сағат бұрын
Kaka mm ipo ivyo uchuamba angu kaondoka mwaka sasa hana habari na mm sasa mm namwambia aje atoe vitu vyake ajibu bora ukiongelea mada nyingine ana jibu sasa mm nimfanyeje mivitu yake mle ndani
@user-bs5fp2sj4o
@user-bs5fp2sj4o 5 ай бұрын
Asante kaka😢😢😢😢😢😢
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu sn mpendwa
@gloriachao9735
@gloriachao9735 3 ай бұрын
Aiseee umenifungua akili sanaaa kaka mbeki
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Woow vizuri sn👏. Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
@HekimaFesto
@HekimaFesto 5 ай бұрын
Kaka ahsant sana nakusikiliza piaaa naumia coz nmekumbatia hayo matatizo
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Basi achilia.. usiendelee kukumbatia mchongoma na ukabaki kuulamu unakuumiza kumbe umeamua kujiumiza mwenyewe.
@SophiaMeizon-kq3bp
@SophiaMeizon-kq3bp 3 ай бұрын
Baada ya kusikia ushaur wako mzur sasa naona akili yang inakaa sawa
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
@user-jz4ng5vt6t
@user-jz4ng5vt6t Ай бұрын
Kweli kabisa acha nijipende mwenyewe 😅
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@neemajumbe5802
@neemajumbe5802 Ай бұрын
Asante
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@user-wy7wn7cf6s
@user-wy7wn7cf6s 2 ай бұрын
Huyo nimimi kabisa 😢 nifanyeje mimi
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Karibu whatsapp
@shuuvuoni7427
@shuuvuoni7427 6 ай бұрын
Cjui kwnn nimechelewa kukufaham
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Ujachelewa mpendwa😀
@user-pk7rx7gp4t
@user-pk7rx7gp4t 8 ай бұрын
Thanks
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Karibu mpendwa
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Karibu mpendwa
@laylayl5166
@laylayl5166 8 ай бұрын
Wallahi hayoyote yapoo tabibu tunayaona
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Kabisa
@fatmaameir8652
@fatmaameir8652 2 ай бұрын
Wanaumme hawauzwi jamani wanazaliwa na mama baadae wanapita wakizurura tu tuombe mungu tuwapate waliowema tu
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Amen🙏
@SophiaMeizon-kq3bp
@SophiaMeizon-kq3bp 3 ай бұрын
Broo nakukubali sana umeongea kitu cha mihimu sana, ambacho kitawasaidia weng, mojawapo Mimi hapa kwa namna fulan nimejifunza mengi kwenye mahusihano
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
@issambarak8931
@issambarak8931 Ай бұрын
Pokea maua yako ubarikiwe
@mbekitv693
@mbekitv693 23 күн бұрын
@@issambarak8931 amina amina mpendwa😊🙏
@MurayoHassan-bs6nh
@MurayoHassan-bs6nh 5 ай бұрын
Kuna bint kavishwa pete ya uchumba January kansani lakin anahuzuni mda wote kwamba moyo wake haukupenda kijana bali shinikizo AFANYAJE
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Ilishawahi kuzungumza nq huyo kijana muoaji kuhusu hisia zake?
@user-gv8mr5jc6u
@user-gv8mr5jc6u 7 ай бұрын
Nimekupenda Bure ulisema ni mm bro wangu tupe madini
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu sn😀
@user-gv8mr5jc6u
@user-gv8mr5jc6u 6 ай бұрын
@@mbekitv693 Asante nimefunguka sana akili nimeijua Thamani yangu sasa
@benithaosward5699
@benithaosward5699 5 ай бұрын
Yani kaka paka umenifanya nilie,ongera sana
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Asante sana mpendwa 🙏
@mamusaid1238
@mamusaid1238 2 ай бұрын
Umeongea kitu kizuri na kimenifungua akili yangu sana ongera sana
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Asante sn
@user-jd9is3hy7i
@user-jd9is3hy7i 5 ай бұрын
Kaka unaniongelea mimi kabisa 😢😢
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Oh pole sana
@JeniphaFredrick-hz5ll
@JeniphaFredrick-hz5ll 6 ай бұрын
Yaani we Kaka ni kiboko ndo zangu izo uwa siofu kumpoteza mtu asiyenithamini
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
😀
@Devilinintungwawc2vk
@Devilinintungwawc2vk Ай бұрын
Ivi kaka ulijifuzia wapi haya mafunzo balikiwa sana My friend
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@RayaMpemba
@RayaMpemba Ай бұрын
jamani huyu ni mm kabisa
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@jeannengoy9912
@jeannengoy9912 4 ай бұрын
Njo yenye napitia kaka yangu ,kwenye ujumba nimefukuzwa adi kwenye chumba,nifanyeje kaka yangu nisaidie
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Pole sn
@magnibrondi3152
@magnibrondi3152 3 ай бұрын
Kama unasema mmi kwa kweli nilikuwa muda mulefu kinganganizi ila kwa sasa nimekuelewa
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
@adamyusuphmsigala
@adamyusuphmsigala 6 ай бұрын
Ww jamaa umefunguka hatari
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Asante sn ndugu yangu
@user-uq3xw5rk5i
@user-uq3xw5rk5i 8 ай бұрын
Natamani niongee na ww kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Nicheki WhatsApp 0659152333
@meryasey47
@meryasey47 3 ай бұрын
Kak mimi nibint wa miaka29 nimekaa na huyu mwanaume miaka10 ninawatoti wannee jamani ananiaga anaenda kazini usiku anaenda kulala na mwanamke mwingine kak nimeumia sana yani mpaka nashindwa chakufanya kaka angu
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
@umirishasmgeni6360
@umirishasmgeni6360 8 ай бұрын
Kaka angu mpendwa 😭
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Ndio mpendwa vipi
@victoremanuel29
@victoremanuel29 8 ай бұрын
Kaka namba Yako naipataje
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
O659152333
@jacklinemrema2242
@jacklinemrema2242 2 ай бұрын
Docta unatucheka dah nilikua nimeumia ila basi acha aende tu wanaume wapo wengi
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
NAOMBA UNIAMBIE JE HII VIDEO IMEKUSAIDIA KITU?
@user-ts8fn2jq9e
@user-ts8fn2jq9e 8 ай бұрын
Yani umenigusa mimi natamani nitoke kwenye hichi kifungu sjui naanzia wapi😢
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
@@user-ts8fn2jq9e oh pole sn mpendwa, nicheki whatsapp
@lovedavie9621
@lovedavie9621 7 ай бұрын
100%
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
@@lovedavie9621 yah
@nyangayazakayo-lz4ws
@nyangayazakayo-lz4ws 5 ай бұрын
imeni Saidia Dana Jamani maana nilokuwa kwenye kiza kinene Jamani
@user-su8il2rh1m
@user-su8il2rh1m 2 ай бұрын
Kaka unafundisha naumeniosho kwasababu
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
Thanks
@FanaynaAlinia
@FanaynaAlinia 2 ай бұрын
Kaka Mm nina mpenzi ila yupo bize sana ila yy ananambia ananipenda ila ni ubize tu jeee apo vp
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Kuna somo nimezungumza mambo 5 yakuzingatia kabla haujaingia katika mahusiano liko hapa kwenye video zangu litafute litakusaidia sana.
@user-qk5jt7sk5f
@user-qk5jt7sk5f 5 ай бұрын
xnte kaka kwa sasa npo ktk huo mtihani nashkuru kwa ushauri wko mzuri mngu akubariki xna mana ninaumwa mpaka ofice nmefunga nna mwezi wa nne sasa
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu sana
@Judith892
@Judith892 5 ай бұрын
Brooo una akili Sana mungu akutunze unachoongea ni fact kabisa
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Amina mpendwa🙏
@rebiamwakaje752
@rebiamwakaje752 8 ай бұрын
Nataka kuongea nawe je nakupataje?
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Nicheki Whatsapp 0659152333
@merykyungai2551
@merykyungai2551 5 ай бұрын
Asante nimejua my value
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
I like it..
@user-mc6um1it1r
@user-mc6um1it1r 8 ай бұрын
Kaka mungu akubariki xna
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Amina 🙏
@user-vk5vi3es5g
@user-vk5vi3es5g 8 ай бұрын
Sijutiii kukufahamu kaka mungu akubariki sana katika kazi zako uzidi kutufumbua macho
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Amen mpendwa nawe ubarikiwe saana
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 128 М.
SIRI 3 ZA MAHUSIANO
22:06
Mbeki TV
Рет қаралды 7 М.
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 42 МЛН
SABABU 3 ZA MWANAMKE KUKUACHA
12:56
Mbeki TV
Рет қаралды 33 М.
FAHAMU VIASHIRIA VYA KUWEPO KWA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
16:41
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 3,2 М.
NJIA 3 ZA KUMUACHA MTU UNAYEMPENDA.
8:50
Mbeki TV
Рет қаралды 15 М.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 198 М.