Dr. Chris Mauki - Kanuni Nne ( 4 ) zitakazo kusaidia Kuboresha Mawasiliano

  Рет қаралды 1,557

Chris Mauki

Chris Mauki

Ай бұрын

Kati ya mambo ambayo yamekuwa yakisababisha mahusiano mengi kushindwa ni ukosefu kama sio upungufu wa mawasiliano.Leo nimesogezea kanuni nne (4) zitakazi kusaidia kuboresha mawasiliano:-
1.Zungumza,Wala msibishane.
2.Jifunze kuwa msikilizaji.
3.Jifunze kuwa mzungumzaji jasiri.
4. Hakikisha unatoa mrejesho ( Give feedback)
#DrChrisMauki#Mahusiano#Kanuni.

Пікірлер: 12
@NickisonEvarista
@NickisonEvarista Ай бұрын
Kwenye kanuni ya pili dah unaweza usiwe mzungumzaji alf mwenza wako akakuona mjinga anakupanda kichwan😅😅😅
@MATILDADOUGLAS-rv5ot
@MATILDADOUGLAS-rv5ot Ай бұрын
Thanks Dr, tunazidi kupona.
@hedayakagoma9133
@hedayakagoma9133 Ай бұрын
Asanteee sana Dr mauki najifunza mnoo
@SuzanaMgoja-ul6ci
@SuzanaMgoja-ul6ci Ай бұрын
Docta me ninaswali ,Ni kwamba Mimi Nina mpenzi lakini kwenye mawasiliano hanitafuti unaweza ipite wiki na ndani ya hyo wiki Mimi namtafuta asubuhi ,mchana jioni namtakia asubuhi njema ,mchana mwema na usiku mwema Ila hanijibu ,Hadi siku akiwa amenimiss anataka tuonane ndh anajibu sms , Mimi sijuhi nifanyaje nampenda Sana
@Mnyalu94
@Mnyalu94 Ай бұрын
Achana nae huyo hakupendi. Kuna mtu anayempenda anamtafuta muda wote ambao ww anakukalia kimya. Bila mawasiliano hakuna mahusiano dada usijidanganye 😢
@SuzanaMgoja-ul6ci
@SuzanaMgoja-ul6ci Ай бұрын
@@Mnyalu94 yaani nilikuwa nakuuliza hata kama ubusy wa kazi hajibu sms from morning to night siku inapita Hadi week yaani 😭😭😭
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 Ай бұрын
Yaani kimbia hadi uvunje miguu kutoka kwa hiyu bwana,, hakupendi,, anakutumia tu kutoa stress zako
@highnessyjohn1343
@highnessyjohn1343 Ай бұрын
Kuna vedio ya Dr Chris mauki inasema ukiyaona haya muache aende hata kama unampenda isikilize ukiona anavyo muache aende wanaume wazur wapo Mungu atakupa kipenzi
@Benjaminsimiyu-ii9mq
@Benjaminsimiyu-ii9mq Ай бұрын
Pila communication hakuna love,, kumbuka mapenzi hujengwa Kwa maneno si pesa
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 198 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 21 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
VITU 4 VINAVYOJENGA MAHUSIANO - JOEL NANAUKA
4:57
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
Dr. Chris Mauki: Tabia 9 zitakazokuongezea ujasiri maishani
12:13
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 21 МЛН