Feisal Salum amefunga goli pekee dakika ya 13 na kuipa ushindi wa bao 1-0 Azam FC dhidi ya Ihefu SC, kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Hii ni #NBCPremierLeague
Пікірлер: 14
@tungoyahya604427 күн бұрын
Bravissimo Fei tunaona juhud zako
@user-ue2nz3vc4j27 күн бұрын
Wachezaji wa azam wekeni nia moja kwa umoja wenu wote lzm feisal atwae golden boot..
@jumamkoka226726 күн бұрын
Alisikika shabiki wa simba akizungumza kwa uchungu😂😂😂😂
@user-ue2nz3vc4j27 күн бұрын
Wachezaji wa azam kwa pamoja wenu wote msaidieni faila sufii anatwaa golden boot..
@mussammanga779125 күн бұрын
Maaaaaaweeee!
@user-qo6qv6mc5p26 күн бұрын
Fei tuko pamoja na ww ila unakitu mwilin
@HAJIATHUMANI-bs9se27 күн бұрын
😂😂😂 Dah masikini simbaaa nafasi ya tatu iyoooooo😂😂😂