No video

BABA MWITA: SIKUIBA WATOTO | LEO TENA YA WAKUTANISHA MKE NA MUME

  Рет қаралды 22,173

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

#LEO TENA#CLOUDS DIGITAL#CLOUDSTV
BABA MWITA SIKUIBA WA WATOTO | LEO TENA YA WAKUTANISHA MKE NA MUME

Пікірлер: 70
@gililwise
@gililwise 2 жыл бұрын
Baba mwita una busara sana Mungu azidi kukuinua
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Kiukweli Baba Mwita Ana busara sana, Wanaume wote njooni musikilize speach ya Baba Mwita.
@niwemugenimediatrice5640
@niwemugenimediatrice5640 2 жыл бұрын
Ninampenda Bure mpaka natamani nimuone kwenye movie
@judithmasima5800
@judithmasima5800 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli kabisa. Angekuwa mwingine angeongea kama kabemendwa
@esterkiyongo2316
@esterkiyongo2316 5 ай бұрын
Baba mwitaa tumbo lililo kuzaa libarikiwe pia Mungu akubariki sana unahekima japo mama mwitaa naonekana anakinyongoo
@husnaseph9476
@husnaseph9476 2 жыл бұрын
Love u baba mwita ,umetutunzia vyema vidume vyetu kwamacho vinapendeza
@tinajohn5586
@tinajohn5586 2 жыл бұрын
Asanteeeeee wajina wangu
@mwanahawaomarimashaka197
@mwanahawaomarimashaka197 2 жыл бұрын
Ni wakike na wakiume
@beatricekitara5808
@beatricekitara5808 2 жыл бұрын
Asante baba mwita ww ni baba mwema
@josephinenyakato8372
@josephinenyakato8372 2 жыл бұрын
Baba mwita wewe ni baba bola Nimekupenda Sana Mwenyezi Mungu akulinde Ongela sana
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Hongera baba Mwita aki mung akubark nadhan ni ugumu wa maisha tu ndio magumu kupat naul mtt apaat likizo mwez mmoj umlete dar kutok musoma bado maandaliz ya kurud school mung mwema jmn nimependa san maan mwita anaonekan kapendez pia cjui na mwenzake yupoje
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Kajitahidi sn baba maana kawalea vizur tu
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Hongera sana Baba Mwita ww ni baba bora
@hawakambi5310
@hawakambi5310 2 жыл бұрын
Baba mwita endelea kupambana kuwafikisha walipo uwezi jua maisha ya uyo mama
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 2 жыл бұрын
Baba mwita maashaallaah mungu azidi kukubarki sana
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 жыл бұрын
Baba Mwita 💪💪💪💪💪 upo juuuuu
@rehemaathhmani357
@rehemaathhmani357 2 жыл бұрын
Hongera tena baba mwita kwa kukubali matokeo
@batulimohamed6088
@batulimohamed6088 2 жыл бұрын
Mzee umeongea kipengere eti hapo palipo ishia anisaidie. Upo vzr
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 жыл бұрын
Baba mwita mitano tena
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 5 ай бұрын
Aisee ungelikuwa mume wangu ningeringa sanaa hongera sana baba mwita mtani wangu❤
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 жыл бұрын
Baba Mwita kwa wanawake tunaojua maisha tumekuelewa.
@fatumakingi9753
@fatumakingi9753 Жыл бұрын
Hongera baab umetumia hekma na busara mungu akupe umri mashallah
@glorycheyo1081
@glorycheyo1081 2 жыл бұрын
Hongera sana baba mwita mura haacagi damu yake
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 2 жыл бұрын
Bb Mwita Yuko happy kiukweli
@jasintamutua3302
@jasintamutua3302 2 жыл бұрын
Uliwahumiza sana sijui wewe hauna utu nyama mwingi kwa roho yako
@treyvissy9854
@treyvissy9854 2 жыл бұрын
Wewe nawe kiazi kwel
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n Ай бұрын
Tena kiaz pori
@lidiakamugisha4930
@lidiakamugisha4930 2 жыл бұрын
Baba mwita pamoja San Yani umeachia tabasamu2
@sausanisuleimsni6836
@sausanisuleimsni6836 2 жыл бұрын
Hongera Baba mwita
@aminahahlubayt7399
@aminahahlubayt7399 2 жыл бұрын
maashaallah ❤
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 2 жыл бұрын
Wababa wengine Wana roho mbaya sana,Mimi Sina Imani na maneno ya baba mwita kwa sababu Mimi mwenyewe ilitaka initokee Kama hii,nimezaa na kijana mmoja mtoto wa kike nimepitia magumu mengi katika kumlea mtoto alipofika miaka minne nilipata mume na tukafunga ndoa ndipo Yule bwana alipomchukua mtoto wake na kunizushia mambo magumu kwamba nimemtelekeza mtoto kwa shangazi yake
@shuhudiamtasiwa6646
@shuhudiamtasiwa6646 Жыл бұрын
Hapo sioni sababu yakukosa Imani na huyu Baba mbona amejielezea vizuri Sana huyu ni baba Bora Sana labda haujawasikiliza vizuri
@sophiamasawe6852
@sophiamasawe6852 5 ай бұрын
Afu baba mwita inaonekana alikua bonge la handsome
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 8 ай бұрын
Baba ongela sana
@neshygamaly5007
@neshygamaly5007 2 ай бұрын
Jaman napataje no na ss tumepoteza ndugu zetu...tunawatafuta
@neemaamon4960
@neemaamon4960 2 жыл бұрын
Mzee mwita hana shida jamani yuko poa kabisa
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 жыл бұрын
Mwanaume mwanaumee tu ..............wanamanenoo haoo utasema ndo huyu,,,but Nina mashakaa
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 жыл бұрын
Baba mwita🥰🥰🥰💪💪💪
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Ongera sana Mwita
@hawahawa4288
@hawahawa4288 10 ай бұрын
Zanzimbar roma keki
@catherineamos7087
@catherineamos7087 2 жыл бұрын
Piga kelele kwa Baba Mwita ww
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 2 жыл бұрын
Oyoo tena anaonekana yupo happy MDA wote
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 2 жыл бұрын
Angekua mwanaume mwengine asingekubali kuwaleta watoto
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Ila uyu baba mm nimempenda yn yuko simpol sn
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Saafii sana baba mwita
@hellenjohn9592
@hellenjohn9592 2 жыл бұрын
From Kenya you are agentro man my god please you
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 жыл бұрын
Baba Mwita miaka yote hiyo bila kupereka watoto Daresalaam
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 жыл бұрын
Siri ya jeshii hyo
@nadinenwirasasita1655
@nadinenwirasasita1655 2 жыл бұрын
Good Daddy
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Жыл бұрын
uyu baba ana ongea pointi
@juneydeatakujadaimondomar5549
@juneydeatakujadaimondomar5549 2 жыл бұрын
Anayo shida jiulize kwanini alimkimbia mwezie na hadi leo hajaowa
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Shida gn alo nayo ww unaijuwa useme kwani kuowa na kuto kuowa si maamuzi we vp
@annarobert436
@annarobert436 2 жыл бұрын
Haikuhusu
@bonifacejengela1883
@bonifacejengela1883 2 жыл бұрын
Saf
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 2 жыл бұрын
Sasa kwanini usije waleta kwa mama yao
@jasintamutua3302
@jasintamutua3302 2 жыл бұрын
Huyu banana mjanja kabisa hana puma akili za watu tu ulinyima watoto upendo wa mama makosa mengi mno wewe ulikuwa unakaa miaka dio ukutanishwe na mamako?
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 2 жыл бұрын
baba mwita kachangamka , hana baya 😄😄😄
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 жыл бұрын
Anajikoshaa tu
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 жыл бұрын
Anajikoshaa tu
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 жыл бұрын
Mtu haelewi kwamba hata ndani ya miaka 10 unaweza kukosa nauli ya musoma Dar...kwa tunaoelewa hali hizo tunaungana na baba Mwita
@shinshi9696
@shinshi9696 2 жыл бұрын
Huyu baba ni mpumbavu. Anajikosha
@masanjamasunga4019
@masanjamasunga4019 2 жыл бұрын
And you
@ashangalawa9492
@ashangalawa9492 2 жыл бұрын
Dah binadamu hatuna shukurani angekimbia awaache watoto tungesema kakimbia majukumu leo kaondoka na watoto tunamwita mpumbavu
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 2 жыл бұрын
Hujui lolote umekurupuka kukoment
@shinshi9696
@shinshi9696 2 жыл бұрын
@@jamesjoseph6825 wewe unadhani Ni Sawa baba kufanya hivyo?
@jasintamutua3302
@jasintamutua3302 2 жыл бұрын
@@shinshi9696 mtoto anavaa malezi ya wazazi wawili sio mmoja na mwenzake hako hai!ametesa hao Vijana kimawaso sana na mama pia wenye wanampogeza kwanza waseme saikologia kwanza (sociology) .Otherwise you can't understand the damage
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Neno kuiba ninkwambq ujamueleza mama yao km unawachukuwa wtt
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 2,8 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 47 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 35 МЛН
Mwanaume Akiomba Andazi Anapewa By Mariam Migomba | Kitchen Party Online
5:14
Kitchen Party Online
Рет қаралды 4,1 М.
Mboto awatoa machozi waalikwa
8:06
Azam TV
Рет қаралды 182 М.
Leo Tena: Mama Akutana na Mwanae Baada ya Kupotezana kwa Miaka 35
19:26