BELLA KOMBO AWEKA WAZI "NIKO SINGLE"/VITU VITATU TUSIVYOFAHAMU KUHUSU YEYE/CHAKULA ANACHOPENDA SANA.

  Рет қаралды 97,690

Pazia TV

Pazia TV

Жыл бұрын

Leo Tarehe 29 June 2023 ,Muimbaji Wa Muziki wa Injili Tanzania Bella Komba amefunguka Mengi kuhusu Maisha na Huduma.

Пікірлер: 191
@YonahEmanuel
@YonahEmanuel 5 күн бұрын
Hongera sana bella kombo mungu akuangazie nuru, lakni mimi pia napenda kuimba so naomba connection yako,
@JaneyChigga
@JaneyChigga 8 күн бұрын
Bella ukiendelea na utulivu ulionao ktk kumsikiliza Mungu utafika mbali sana. Utaliishi kusudi la Mungu. Nimekusikiliza una kitu kikubwa cha Mungu. Pambana, ng'ang'ana utamaliza na Kristo. Mungu akutunze.
@ebbyescor7614
@ebbyescor7614 11 ай бұрын
Vita wanazopitia waimbaji inabidi tuwaombee sana
@lizzynkifu4179
@lizzynkifu4179 10 ай бұрын
Sana
@juddiewandera
@juddiewandera 5 ай бұрын
Asante sana Kwa mtazamo wako. Waimbaji kama watumishi wengine, wanapitia vita sana haswa wakiwa Kwa ndoa, wanapigwa vita sana Kwa sababu ya Ile mwito walio nao
@rev.mariamarthachazkailemb609
@rev.mariamarthachazkailemb609 2 ай бұрын
Uko sahihi kabisa watu wanahukum bila kufikiri..waimbaji wanapigwa sana na majeshi ya kuzim
@darcasgodfrey8082
@darcasgodfrey8082 2 ай бұрын
Well said
@johnsonmushi4537
@johnsonmushi4537 23 күн бұрын
True brother, ikumbukwe hiyo nafasi ilikua ya Lucifer mwenyewe,
@williamnassari9594
@williamnassari9594 11 күн бұрын
Mungu akutunze sana Madame Bella. Focus!
@user-gg1hg3zy4f
@user-gg1hg3zy4f Ай бұрын
Unaimba vzr hongera ila muombe sana mungu uwe mnyenyekevu
@esthershonde1453
@esthershonde1453 Ай бұрын
Bell nimekupenda buree, Mungu azidi kukuinua zaidi mtumishi wake
@nuhumathewsalasala1708
@nuhumathewsalasala1708 Ай бұрын
Bella nikikuangalia naona neema ya Mungu inavyotenda kazi kwa watu mbalimbali. Uendelee kukua katika Bwana na kumuelewa zaidi na zaidi. Na kamwe usiache kumuinua Bwana ata kama vikwazo viweje songa mbele.
@highnessnkini
@highnessnkini 10 ай бұрын
Bella nimekuelewa pia nakupenda Sana nyimbo ya nifinyange imenivusha pakubwa Sana ubarikiwe Sana
@johnsonmushi4537
@johnsonmushi4537 23 күн бұрын
Bella hongera sana unaimba kwa hisia kutoka moyoni, mwamini sana MUNGU, anakuheshimisha, usiumizwe na comment mbaya, that was past life. Ukizaliwa upya MUNGU anasamehe na kufuta yote.
@MartinMawenya
@MartinMawenya 3 сағат бұрын
Kuhusu ndoa bado afundishwe,,idara yao inaongoza kwa talaka.
@lifecoachwithlina1879
@lifecoachwithlina1879 10 ай бұрын
Dada Bella i love you for real has kwa eneo la ndoa .Maisha ya ndoa siyo ya mteremko, yanakuwa na ups and down kama tu yalivyo maisha ya wokovu yasivyo mepesi. chamno ni kuomba sana.kumbuka shetani anapinga sana ndoa na ndo maana ndoa ndoa nyingi zina changamoto.Mwanandoa dumu katika kuomba sana. usisikilize maneno msikilize Mungu.
@FainesyKyando
@FainesyKyando 2 ай бұрын
Mungu anawapenda watu wote hata wenye tatuu ni wake.usiangalie madhaifu tu.inawezekana wewe Mungu anakuonyesha madhaifu ili uombe sio uhukumu.hakuna aliyekamilika tunakamilishwa na Roho Mtakatifu kila siku
@mosesmaingi-ep6gb
@mosesmaingi-ep6gb 2 ай бұрын
Bela kombo The blood of Jesus cover you in Jesus name ❤❤
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 2 ай бұрын
Jinsi ulivo jibu kweli wew umeokoka dada uko vizuri
@syriansanguli4765
@syriansanguli4765 Жыл бұрын
My favourite🎉@bella kombo
@maurismbonimpa4568
@maurismbonimpa4568 9 ай бұрын
I love you bella
@agnesnnko8872
@agnesnnko8872 11 ай бұрын
Waaa ooooh kumbe Pazia una TV.👏👏👏👏
@kayombo4730
@kayombo4730 Жыл бұрын
Una maswali mazuri, #MrJohn #Inspired
@happynessyusufu8258
@happynessyusufu8258 Жыл бұрын
Good sana dada umenifundisha jambo
@annatemu4488
@annatemu4488 9 ай бұрын
Nimemuelewa vizuri sanaa Bella,Mungu akutunze
@jaquelineokioma840
@jaquelineokioma840 2 ай бұрын
Amen.purpose and vision
@martinejustinee3633
@martinejustinee3633 11 ай бұрын
Amina
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Жыл бұрын
Nakupendaga sana we mdada jmn.Umeongea point sana
@robertadolf562
@robertadolf562 2 ай бұрын
Bella my bby. pole dear
@Teresiabundala
@Teresiabundala 2 ай бұрын
I Love you Bella.
@Rachou94
@Rachou94 10 ай бұрын
Yesu akutiy nguvu dada unanibariki saaaana nakupenda saaaana
@theroofofafricaadventures6578
@theroofofafricaadventures6578 11 ай бұрын
I want to meet you next time I come to TRanzania!
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba 2 ай бұрын
Naomba jina Hilo la NJUU, Litume, ni jina zuri sana My dada tafadhali sana,
@oumabyronproduction
@oumabyronproduction 2 ай бұрын
Wonderfull
@upendojoseph7912
@upendojoseph7912 Жыл бұрын
Good dada
@jameskataliko6392
@jameskataliko6392 2 ай бұрын
Belle Komboa, acha neno yangu ibaki moyoni. Oza kitoko
@CanBoy-iu4mz
@CanBoy-iu4mz 2 ай бұрын
Mungu akubariki daima
@florencemalonza3441
@florencemalonza3441 2 ай бұрын
Wow,this lady is very wise and blessed
@DastanKulwa
@DastanKulwa 2 ай бұрын
Bella I thought your from Nigeria,be blessed bella
@tabithakitundu8736
@tabithakitundu8736 2 ай бұрын
Ukisema mwombaji naamini your songs zinathibitisha hilo
@anitajohn3834
@anitajohn3834 11 ай бұрын
😮bella kumbe ni mtz
@JOJoButchery
@JOJoButchery 2 ай бұрын
Mungu akuongoze dadaangu
@patriciaeliya6907
@patriciaeliya6907 Ай бұрын
Love you sister 💖😘 may God continue to use you in his kingdom ❤
@JackieMichael-je6tw
@JackieMichael-je6tw 2 ай бұрын
Asante dada
@witnescholela1156
@witnescholela1156 10 ай бұрын
Jaman Bella nakupenda mama yangu unanifundisha saaana❤❤
@CanBoy-iu4mz
@CanBoy-iu4mz 2 ай бұрын
Nakupenda bela ila zivutiwi ulivyochora mwili nimachukizo mbele ya uso wa Mungu
@angelemmanuel7143
@angelemmanuel7143 2 ай бұрын
Hiyo ni zamani kabla ya wokovu nadhani wajua tatu haifutiki
@CanBoy-iu4mz
@CanBoy-iu4mz 2 ай бұрын
I like you
@hellenrichard187
@hellenrichard187 2 ай бұрын
Alijichora kabla hajaokoka jmn alikuwa bongo fleva huko na kama unavyojua tatoo hazifutiki so inabidi uishi nazo hivyo hivyo lkn ndani yako umekuwa mtu mpya
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Ай бұрын
kwahiyo afanye nini? alikua kwenye bongo fleva akajichora, sasa ameokoka
@julieeliah5511
@julieeliah5511 Ай бұрын
Hivii wewe ulizaliwa ukiwa umeokoka? Je Roho Mtakatifu akiyafunua uyafanyayo sirini watu wasiyoyaona/kuyajua. Muhukumu ni Mungu pekee maana anatujua sote jinsi tulivyo.
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 2 ай бұрын
Bela ubarikiwe barikiwa
@johtimoth4250
@johtimoth4250 10 ай бұрын
Maneno yako ni mazuri MUNGU akubariki sana.
@edsonmwijage546
@edsonmwijage546 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana dada yangu!! Huduma yako ni njema
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 ай бұрын
Mungu Akubariki sn Bella na Azidi kukutumia🙏
@user-nb6hl5lc9g
@user-nb6hl5lc9g 2 ай бұрын
Bella kombo MUNGU akutangulie zaidi ❤❤
@puritycherotich8591
@puritycherotich8591 6 ай бұрын
Awesome God
@PhilipoSaimon
@PhilipoSaimon Ай бұрын
Mungu akubariki na barikiwa na huduma zako
@DeboraKyembela
@DeboraKyembela 10 ай бұрын
Yanii kama ni kitu watu especially wanawake maarufu wanapaswa kujifunza basi ni hii kitu ya ndoa.. Yanii nimekuelewa sana ma Mtumishi.. keep it up !!! Natamani ningekupongeza nikupe mkono kabisaa sema uko mbali. Huo uelewa ni making sanaa.. Safiii
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 Жыл бұрын
💪💪💪💪🔥🔥🔥
@samwelmwiru6782
@samwelmwiru6782 2 ай бұрын
Very authentic responses
@aloycendalu6867
@aloycendalu6867 10 күн бұрын
Aiseehuyumdada kweliameokoka kwanza anaujasili wakipekee
@RachelMkumbo
@RachelMkumbo Ай бұрын
❤❤ my sister
@lynnettemas8513
@lynnettemas8513 2 ай бұрын
Wokovu haujigambi,hauringi n that's what I have seen in you Bella
@user-it5gj7ls8t
@user-it5gj7ls8t 10 ай бұрын
Mwambie na mpenda ❤❤❤
@esterngirwa1022
@esterngirwa1022 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@lynnettemas8513
@lynnettemas8513 2 ай бұрын
Now I believe, the thing is the HOLY SPIRIT,he must intervene n do it, not me not you. You are real n I love it. Am strongly touched by the song MUNGU MMOJA. Be blessed Bella
@jasperswai9320
@jasperswai9320 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@barakamwange-tq2qv
@barakamwange-tq2qv Ай бұрын
Mungu akuinue
@MartinMawenya
@MartinMawenya 3 сағат бұрын
Kama alikua amechora kabla ya kuokoka ,unajaji vp kuhusu tatoo?,,why,,huoni ukuu wa neema aloipata ,,Iteni wote waje na tatoo zào. Mungu anawapenda.
@user-tf8mx2if5q
@user-tf8mx2if5q 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@mosesmaingi-ep6gb
@mosesmaingi-ep6gb 2 ай бұрын
The blood of Jesus cover you in Jesus name
@graysonsika
@graysonsika 9 ай бұрын
@levizwannah
@levizwannah 9 ай бұрын
Well, I think you guys need to work on your audio. But great job.
@kennedybrown348
@kennedybrown348 2 ай бұрын
Women of God
@lyimoej7198
@lyimoej7198 Ай бұрын
Watu wengi wanashindwa kuelewa maana ya hofu ya Mungu. Ukichambua kwenye biblia kitabu cha mithali hofu ya Mungu ni kuchukia maovu.
@stellashao7885
@stellashao7885 Ай бұрын
Amen
@lyimoej7198
@lyimoej7198 Ай бұрын
@@stellashao7885 amen
@emmaculategideon
@emmaculategideon Жыл бұрын
Nimekuelewa Bella, kua na Nia ya Kristo...huo ndo msingi!! Mungu akubariki mtumishi wa Bwana, Leo nimekujua Kwa upya...be blessed
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 11 ай бұрын
imani pasipo matendo imekufa,anavaa suruali haoki kwamba anawaingiza wanaume kwenye tamaa ya uzinzi kupitia mwili wake
@Charlotte-zi3cz
@Charlotte-zi3cz 11 ай бұрын
@@pastorbarakangata606 Kwanini mtu alie okoka anamjua Mungu aingizwe kwenye uzinzi na suruali
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 10 ай бұрын
anaemtamanisha mwenzake na atakaetamani wote watahukumiwa,suruali inachora maumbile ya mwanamke kaaa na wanaume wakuambie jiulize
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 2 ай бұрын
@@pastorbarakangata606 wewe ndo hujaokoka hata ukiona waliovaa dela unatamani tu,hampendi kuokoka mnasingizia kuvaa masuluali
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 2 ай бұрын
@@odilomwemeziernest646 wewe unajua sababu ya ibilisi kuleta suruali za kike duniani au unavaa tu kwa kuiga watu jiulize,duniani kila jambo linakusudi lake kusudi jema au baya,kama akipata mtoto wa kiume atamfundisha nn kupitia suruali zinazochora makalio na uke atamuingiza mtoto kwenye tamaa.kwanza jiulize pale unapotaka vaa suruali lengo lako ni nini,wanaume wanaume wayasifue na wayatamani matako na hips,wasanii wa bongofleva nyimbo zao zinasifia nini matako,hips,miguu ya bia na kuvaa suruali kumeanzia kwenye bongofleva na sasa hawavai suruali wanaonesha utupu ili maumbile yao yaonekane vizuri zaidi na kwasababu gospel singer huiga wataiga kuwa uchi,wanaume kusuka rasta,dredi,kukata mauno na mengineyo.wewe kama ni wakala shetani kwako ni sawa na mshindwe kwa jina la yesu lengo lenu tushalijua wanajifanya wameokoka na kuanza kuimba gospel song au kuhubiri huku tabia zao hazijabadilika,lengo lenu ni kuaribu maadili ya ukristo hamtaweza kwa jina la yesu na amini ivyo
@AmosObanda23Thursday16Nov8am
@AmosObanda23Thursday16Nov8am 2 ай бұрын
Thank you Bella for pointing out about your oneness as worship ministers, we're called in different capacities, further more depending on God as the source which we ought to be anchored to.
@AmosObanda23Thursday16Nov8am
@AmosObanda23Thursday16Nov8am 2 ай бұрын
the illustration of different cultures in Parenthood entails maturity is very clear and maybe at some point I've also been judgmental as a person. May God give us grace and revelation to understand this. following from KE
@themgizi
@themgizi 2 ай бұрын
You have nailed it, Hofu ya Mungu is KEY.
@MariaNgusa-gn4gk
@MariaNgusa-gn4gk Ай бұрын
Mtu aki okoka akiwa amechola mwili wake alipo kuwa bado hajaokoka akiokoka atawezaje kuzitowa tatuuu mwilini?
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 2 ай бұрын
Kwa tunayemjua huyu Dada kabla na baada ya kuoka daaa lazima umtukuze Yesu
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 2 ай бұрын
Ni Mtanzania?
@lilianhumphrey2401
@lilianhumphrey2401 2 ай бұрын
Nimesoma nae uhuru mchanganyiko secondary school alikuwa ni .....ila yote kwa yote kaokoka anampenda yesu nimefurah kuona anambra sana mungu na kajikabidhi kwa mungu nakupenda mungu akubariki sana
@gloriashao3986
@gloriashao3986 Ай бұрын
MUNGU akubariki sana ktk uimbaji wako nakupenda mpendwa
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 2 ай бұрын
Tuwaombee jaman
@kassimualli1755
@kassimualli1755 2 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@SalamaNauthary-ip4iy
@SalamaNauthary-ip4iy Жыл бұрын
Ama kweli Duniani hakuna mwembamba jamani,!!!!
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Ай бұрын
alikua mwembamba sana, wakati anafanya bongo fleva
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 10 ай бұрын
Mmmmh hio TATOO ya nin kifuani
@WITNESSHAULE-km8ou
@WITNESSHAULE-km8ou 3 ай бұрын
Alichora kabla hajaokoka
@moseskatindasa6364
@moseskatindasa6364 7 ай бұрын
Wewe utakaa mwenyewe ujue
@gidedyumyeko2570
@gidedyumyeko2570 Ай бұрын
Shida ni hizo ramani ulizojichora ambazo kibiblia ni dhambi mbele za Mungu.
@phinaswai4718
@phinaswai4718 14 күн бұрын
Ukifatilia stor yake utaelewa, alikua mbongo fleva, now kabadilika, na hizo tatoo hazifutiki
@MaryShukran
@MaryShukran 28 күн бұрын
Ameokoka akiwa tayari na tatoo hivyo usijaribiwe kuhukumu maana Yesu alikuja kuwatafuta hao. Hivyo tusiwavunje moyo
@thebmcblackmiccatcher3949
@thebmcblackmiccatcher3949 18 күн бұрын
Tumia neno ALIKUJA KWA AJIRI YETU, SIYO HAO. UNAHISI HAKUJA KABISA KWA AJILI YA WATU KAMA WEWE, UNA MKATA WA MOJA KWA MOJA UTAFIKA KWAKE SIYO?
@SiaCollins
@SiaCollins Ай бұрын
Bella nakuelewaga sana,,Sasa hiyo tattoo ya nini ?si vema kuchora tatoo
@simontv8124
@simontv8124 Жыл бұрын
Mbon una katattoo tena, Dada bela
@sailicekomba8075
@sailicekomba8075 Жыл бұрын
Katatuu ka zamani wakati wa bongo star search
@HellenLemilya
@HellenLemilya 2 ай бұрын
Enewe umeongea mengi ,kwangu Mimi mrudie ule aliyekuacha kama hajaoa au uolewe maana kuishi mwenyewe utashindwa mwishowe utakuja fanya zinaa
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 2 ай бұрын
asa huu mkelele wakt mnahoji ndio nin jamn
@saimonbikulaofficial
@saimonbikulaofficial 8 ай бұрын
Nimekuelewa bella but utamtambuaje mwanamke au mwanaume mwenye hofu ya mungu coz kwenye uchumba unaweza muona kama Malaika ila mkishaingia kwenye ndoa ndo unaanza kuona baadhinya vitu vinaanza kuonekana .
@user-gn8vu3tb4h
@user-gn8vu3tb4h 2 ай бұрын
Upo single je una watoto wangapi uliolewa au na kama unao ni kabla kuokoka na kwanni ulimpinga baba au ulilelewa na single mama? Au kama Cristina
@BabygirlDadiyo
@BabygirlDadiyo Ай бұрын
For the very 😅😅😅
@amosken3281
@amosken3281 4 ай бұрын
Nisaidie number yake please
@gracemacha9357
@gracemacha9357 2 ай бұрын
Walawi 19:28.
@evawambugha4939
@evawambugha4939 2 ай бұрын
Eeeeh umemuamulia sio let God be the judge. His ways are not our ways neither are his thoughts ata yesu alisema asie kua na dhambi awe wa kwanza kurudha jiwe.
@user-zu3xm8xx5d
@user-zu3xm8xx5d Ай бұрын
Mambo ya Walawi 19 28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana. ( hiyo scripture na hiyo tatooo yk kibiblia ukirefer hiyo scripture inaruhusiwa au umuamua Kwenda nje na sheria ya MUNGU?)
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 2 ай бұрын
Kila mtu anataka mwenzi mwenye sifa hizo, si kijana wala msichana, Tatizo liko hapa, unamjuaje mwenye hizo sifa? Kumbuka mtu anapataka chake kwako, pretender ni wengi mno, wasichana kwa wavulana, otherwise ukubali kuishi naye zaidi ya miezi 6 bila ndoa mkichunguzana, sasa je inakubalika? Vinginevyo mwombe Mungu tu ucheze karata, ama sivyo utazeeka bila mume,
@daudinzunda8739
@daudinzunda8739 2 ай бұрын
Daaaaaah watu mmeacha kutoa comment mmeshaangalia tattoo
@mako331
@mako331 2 ай бұрын
Huyu dada sikujua ni mbongo aisee, safi sana
@DeboraKyembela
@DeboraKyembela 10 ай бұрын
Binafsi kiukweli nimekuelewa sana Bella... Yanii nimekuelewa.. Na mi nakukaribisha sana Mwanza ( Ukerewe na Magu). MUNGU akujalie Neema yake usonge mbele
@RoseMsele
@RoseMsele Ай бұрын
Hiyo tatoo jmn
@anoldcharles
@anoldcharles 8 ай бұрын
kachora tatuuu☹️🤔
@DianaTesha-iz4pb
@DianaTesha-iz4pb 3 ай бұрын
Alichora kabla hajamjua Kristo
@davyadamsontz
@davyadamsontz 10 ай бұрын
Bella, some years ago you came at our church with your husband, where is he? Kitu gani kiliwatenganisha? Au mlikuwa mnaishi bila ndoa?
@agnesnnko8872
@agnesnnko8872 11 ай бұрын
Ila jamani kuchora ngozi Bible inakataza...
@lydianedward4122
@lydianedward4122 11 ай бұрын
Kablq hajaokoka alikuwanayo
@deandralove1100
@deandralove1100 5 ай бұрын
Maybe it was from before,we all did something unclean before gettting saved
@gladyschepchumba9311
@gladyschepchumba9311 2 ай бұрын
Msikize, tattoo aliiweka kabla hajaokoka
@Gloria_and_Si
@Gloria_and_Si 25 күн бұрын
Alichora kabla ❤ wokovu
@vincentonsomu8372
@vincentonsomu8372 2 ай бұрын
utamwambia nini ukimwona.
@augustinemainde
@augustinemainde 3 ай бұрын
Ila amwepuke Diamond atakuja Kama malaika kumbe ni shetani
@emmanuelamani983
@emmanuelamani983 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@StivinWambuto-zy5ft
@StivinWambuto-zy5ft 2 ай бұрын
Huyu kachora tatuu halafu anasema anafanya kazi ya MUNGU! , anasoma KWELI neno la MUNGU? , Walawi 19:28. MUNGU akusaidie dada utoke kifungoni na pia , ninyi waimbaji mmeamua kuyapiga mateke maneno ya MUNGU na kuamua mjiongize wenyewe na si kuongozwa na MUNGU, mmeona kuachana ni kawaida tu . Msijidanganye ipo hukumu mbele yenu , angalieni mapema , mtoke ktk uchafu wa ibilisi.
@amisasadock6857
@amisasadock6857 2 ай бұрын
Alikua mwimbaji wa bongo fever ndio alicho akiwa huko badae akaja kuokoka
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 Жыл бұрын
Sasa huyu mtumishi wa Mungu anatetea suruali wakati Mungu anakataz,huwezi upo kwenye ibada umevaa suruali Tena za kubana alafu unasema kanisa Lina judge watu Kumb 22:5 ! Hayo mavazi unayovaa Ni ya kikahaba siyo ya kujistiri 1 Petro 3:3 ,hata hayo mapambo mnatakiwa kukubali mnaenda tofauti na Neno ,wengi mkiuliza mnachukua andiko la kwamba huwezi kwenda Mbinguni kwa matendo ya Sheria ...Ile roho ya Yezebeli inatenda kazi kwa wanawake wengi na hawataki kukosolewa hasa watumishi wa Mungu ..Bado mnaipenda dunia na kumchangany Mungu na Mambo ya duniani .1 Yohane 2:15
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 Жыл бұрын
She didn't mention Kama ni suruali ya kubana ama la,,hata hivyo ukweli ni kwamba Roho Mtakatifu ni Mwalimu personal wa Kila mcha Mungu,u don't need to be judgemental,it doesn't build..
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 Жыл бұрын
@@itikamlagalila1911 Neno la Mungu linasema Kila Neno lafaa Kwa Mafundisho na hata kukemea ,Paulo aliwaandikia hivyo Wakorinto...hivyo Leo watumishi wengi Wanaenda tofauti ...Mimi naangalia Neno simjudge maana mm pia ninamtumikia Mungu huyo anaemtumikia Yeye ila Roho Mtakatifu aliye ndani anatushuhudia hayo sio maelekezo ya Neno la Kristo ..hivyo twapasa kukemea ..sio kwamba tunajudge...hata hivyo Yeye mavazi yake mengi si ya Adabu Huw ni ya kubana ...hayo yote hapo katika maandiko matakatifu ,kama wewe ni hekalu la Roho Mtakatifu,Roho hawezi kukushuhudia hayo mavazi ni sahihi 1 Wakorinto 6:19...pia andiko lipo linasema ..Tito 1:16 Wanakiri ya kwamba wanamjua Mungu, bali kwa matendo yao wanamkana; ni wenye machukizo, waasi, wala kwa kila tendo jema hawafai.,Hilo Neno linawaongelea watu wote wanaosema wanamjua lakini hawafati Neno linavyosema na Neno ni Kristo mwenyewe..Hakuna mkamilifu lakini ukiijua kweli itakuwek huru ila wengi wanapinga Neno Kwa tamaa zao za mwilini na wanakiri katik media na kuwapoteza wengi Kwa kuwaamini wao...Mungu akubariki.
@kenedymdemu6943
@kenedymdemu6943 Жыл бұрын
Ki ukweli wanawake wengi mnaomjua mungu shetani kawaweza na kawafunga golf la mkono bila ninyi kujua katika suala la mavazi na kujichorachora miili na matokeo yake mnakuja kuwa approached na watu wa duniani na mwishowe kunakuja kutokea lugha gongana kwenye ndoa zenu, na hayo mmeyataka ninyi wenyewe kwa kuwa mmesha kariri kwamba ukiolewa na mwanaume wa kawaida mnaonekana mmeolewa na watu washamba any way endeleeni shetani atawanyoosha mungu hadhihakiwi wzla sio wa sanaa
@davyadamsontz
@davyadamsontz 10 ай бұрын
Kwa nini mnapenda kudanganya Watu, Biblia imekataza lini Suruali? Hayo mavazi ya Kikahaba unayajuaje? ushawahi kuwa Kahaba?
@davyadamsontz
@davyadamsontz 10 ай бұрын
Bad enough unahukumu makati video uliyopost ni ya mwanaume mwenye hereni...
BELLA KOMBO: Kuhusu Huduma yake | Kuhusu Ndoa yake | "Namfahamu Zoravo"
54:56
Bethel Radio Tanzania
Рет қаралды 58 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 7 МЛН
Best Feeling Ever 😭 I Almost Cried | ITS A BOY 😍
22:10
Wapendwa Muziki
Рет қаралды 60 М.
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Eliud Samwel
Рет қаралды 61 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 3 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН