YESU NI MUNGU WA KWELI HAPINGIKI

  Рет қаралды 19,235

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

6 жыл бұрын

MDAHALO NAKURU SDA

Пікірлер: 62
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 6 жыл бұрын
Mungu hawabariki na kuwafanyia wepesi ktk kufundisha neno lake takatifu mbarikuwe sana.
@danieldanijatv1830
@danieldanijatv1830 5 жыл бұрын
nimeelewa hapo YESU NDIYE MUNGU WA KWELI
@DavisWangodi
@DavisWangodi 5 жыл бұрын
Ata aje masheik 100....huyu pastor mmoja tosha tu
@thxzbst49cnh80
@thxzbst49cnh80 5 жыл бұрын
Amen,Mungu awabariki sana watumishi
@patrickwafula3432
@patrickwafula3432 4 жыл бұрын
Mwalimu wa huyo jamaa alipata shida sana pongezi umekutana na mwalimu ndacha akufunze AMEN
@jacksonnzai1593
@jacksonnzai1593 3 жыл бұрын
Kila akiriye ya kwamba Yesu n mwana was Mungu amekwisha kuokolewa. Yesu alikuja kwa ajli ya wanadamu c mapepo. Ndomana aliwakataza sana mapepo kumuita yeye mwana wa Mungu. Kwa mana hakuja kuokoa mapepo
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Poleni sana watumishi mnafanya kazi kubwa sana ona uyu myahudi anavyo wasumbua alafu yy kakaa ndasha amesimama daah poleni sana kwa kumpigania Yesu natumai tutakutana mbinguni na wale wazee 24 tukisujudu na kuimba p1❤❤❤❤❤
@abcdg1995
@abcdg1995 3 жыл бұрын
I personally believe in you Teacher Francis Ndasha MAY GOD whom you are preaching stand on your side
@nanimkenya1015
@nanimkenya1015 5 жыл бұрын
Amen Mungu ni Yesu Christo,
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 6 жыл бұрын
Niko Tanzania hila nawafatila sana na kwa kweli hata Mimi mnanifunulia nisio yajua Mungu hawape neema, haya yote ni maneno yangu mi Mimi maana nimeskia hapo muyaudi hajajua vizuri matumizi ya koma na nukta ni vizuri mkawa pia na Mwalimu wa kiswaili hili muwe mnatambea naye haswa kwa somo kama hili maana nyinyi mnafanya kazi ya Bw. hili watu wasikie na kuokoka ni vyema mnapo tusaidia sisi kutuongzea material mwasaidie na hao mayaudi hili wapate kujua kweli.
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Ukipinga huwezi kufunguliwa kutoka kwenye giza ulilomo, umefungwa na ibilisi....eti koma 😂😂😂😂 kuna watu wanaenda motoni kwa kukataa ukweli
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa yan uyu mkristo lkn anakataa kuusu Yesu 😁😁😁😁😁😁😁sasa si bora asome ile kitabu cha nguvu za giza aende kuswali na majini
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
Washirikina wa kikristo wanatatizo moja kuu la kutojua ukuu wa Mungu alie umba mbingu na nchi na ndio maana na ili kuwa somesha waelewe basi lazima wasomeshwe wajue sifa za Mungu ili waone tofauti ya Mungu na Yessu
@hamisikulola8481
@hamisikulola8481 5 жыл бұрын
yesu mungu tukueleweje? sio makanisa yote yanaamini yesu mungu. Kama huyu ndiye Mchungaji basi mjiandae na moto. yesu hawezi kuwa mungu John 14:28
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Wewe ndio ujiandae na moto sababu mohammade sio mtume wala nabii...labda kama alitumwa na majini
@user-rf5tz5ft2y
@user-rf5tz5ft2y 5 жыл бұрын
Yesu ni Mungu
@user-rf5tz5ft2y
@user-rf5tz5ft2y 5 жыл бұрын
Wafilipi 2:5 - 11 soma Utajua Mungu ni Yesu
@mavunegreyson.isay9617
@mavunegreyson.isay9617 5 жыл бұрын
Isaya 9;6
@DavisWangodi
@DavisWangodi 5 жыл бұрын
Huyu jamaa hajui matumizi ya coma.... Hio inamaanisha hio statement inaendelea... Some people sijui kama walienda shule aki
@judithmoturi3402
@judithmoturi3402 2 жыл бұрын
Some people waiting time nawasindwe kabisa
@user-rf5tz5ft2y
@user-rf5tz5ft2y 5 жыл бұрын
This man is waiting time
@tuliitulizana3459
@tuliitulizana3459 5 жыл бұрын
Mchungaji neno haliwezi kumtagulia mnenaji
@amadeuskimey5521
@amadeuskimey5521 5 жыл бұрын
nipo tz. nawafatilia sana pigeni khazi watu wa mungu ufunuo ::2.-9-12 msikiti ninyumba ya majini kwa mujibu wa andiko
@modestamuyonga5616
@modestamuyonga5616 5 жыл бұрын
Haha pastor wape injili ya yesu hawajielewi,nafurahia pastor kw kuhubiri kwako God blesd u saidia vipofu
@zakayoleonard7040
@zakayoleonard7040 Жыл бұрын
Hapa ni ndacha kabla hajachanganyikiwa Duh !!.
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
Nikweli yesu ndie mungu alla subuhana wataala sio mungu mana anawambia wafuasi wake katika Surat lmulku aya 16 je? Mnazani muko salama kwa mwenyezimungu ambae uko mbinguni ufalme wake mkubwa yakuwa yeye hata kudidimizeni ardhini tahamaki hiyo inataharaki nanyinyi inakudidimizen ardhini kama walivyodidimizwa hao wazamani kwahiyo huyo wanae mwita alla subuhana wataala anajuwa kuwa juu yup mwenyezimungu sasa waisamu mtafuteni huy subuhana wataala yeye ninani
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
Mimi nachukia sana waisilamu wanapomwita mkiristo kafir maana yakafiri nimpingaji kati wawaisilamu nawakrsto ninani wapingaji wao ndio wapingaji mawanpinga mpaka mungu wao majini keshayalani wao ndio mabosi wao kiarabu niluha tu kama zilivo luha nyengine
@naimaabdallah9491
@naimaabdallah9491 4 жыл бұрын
Usjal my barik tu
@tulitulizana7740
@tulitulizana7740 5 жыл бұрын
Neno haliwezi kumtangulia mnenaji
@rosenyambura16
@rosenyambura16 5 жыл бұрын
Hahaha huyu hamjui(,)inamanisha nini hakuenda shule.
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
Napia katika Surat jini majini wameisika kuruani wakaona yaajabu nawakaimani wakasema inaongoza kwenye njia iliyonyooka waisilamu tumieni akili jini waimani kuruani waisilamu waamini kuruani hivi jini anaweza kumtakia mwanadamu uongovu nakumuelekeza njia nzuri haitowezekana waisilama hameni kwa muhamad waachieni majini njia yao
@saidisalimu3560
@saidisalimu3560 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mkristo lakini anamtoa jasho mchungaji Akiwa na maana mama siyo jina bali ni sifa Baba nala ni sifa Je,?baba jina lake nani,,,,,,,mmmm Lazima jasho litoke
@carloswise473
@carloswise473 2 жыл бұрын
Remember this Jesus is not God but Jesus is the Son of God and Messiah as it is written in the holy Scriptures.Even Jesus never called himself God,during peter declaration.For God is not the author of contradiction that is why it written their is only one true God and one Mediator between God and man.this is the man Jesus Christ.Judge for yourself can a kingdom be ruled by two kings or can a son be greater than his father.
@paulmaganda5922
@paulmaganda5922 6 жыл бұрын
je, in kweli au, nipe uhalisia hiyo ni story ya
@sergeolivierbaba6243
@sergeolivierbaba6243 6 жыл бұрын
Paul Maganda leo kuokolewa sio suala la kufunga, kuomba, kuimba, kutoa sadaka, kuwa waabudu. lakini ni kutambua Mtume pekee wa kweli ambaye Yesu Kristo alimtuma Kacou Philippe. wwwphilippekacou. org
@wanjerijoseph6223
@wanjerijoseph6223 5 жыл бұрын
huyo ni mpinga kristo muaje akae
@hashimumoshi7179
@hashimumoshi7179 4 жыл бұрын
Hapo hakuna muinjilisti, huwezi kutoa Isaya 9:6 alafu ukasema et yesu nimungu, niwazi maandiko haielewi kabisaa
@hashimumoshi7179
@hashimumoshi7179 4 жыл бұрын
Hapo kuna koma muinjilisti kabanwa unatumi uongo
@sergeolivierbaba6243
@sergeolivierbaba6243 6 жыл бұрын
leo kuokolewa sio suala la kufunga, kuomba, kuimba, kutoa sadaka, kuwa waabudu. lakini ni kutambua Mtume pekee wa kweli ambaye Yesu Kristo alimtuma Kacou Philippe. wwwphilippekacou. org
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
IMEANDIKWA WAPI??? UMEPOTEA
@papawaparazi341
@papawaparazi341 5 жыл бұрын
Hiyo Ni Kristo tuliye Kanye's na Yesu
@DavisWangodi
@DavisWangodi 5 жыл бұрын
This person is only here to argue... He will never accept even when something is plain on his sight... Jst a waste of time
@sarunaSaruna-bp5wh
@sarunaSaruna-bp5wh 5 жыл бұрын
Davis Wangodi fzzzs
@fadhilimbwambo6425
@fadhilimbwambo6425 5 жыл бұрын
Mm nipo Tanzania Dodoma kwahakika pastor huyu anaongozwa na mungu wa kristo yesu sasa napendekeza kama inawezekana kufanyike mdahalo akiwepo mzinge ili apate kujua ukuweli na waisilamu wapate kumuona yesu
@tulitulizana7740
@tulitulizana7740 5 жыл бұрын
Mchunga asema yeus ni mungu ww unasema mungu wa yesu kiristo
@papawaparazi341
@papawaparazi341 5 жыл бұрын
Hapo ndipo lakini mazinge anatafuta maneno ya kuchkesha tu
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 6 жыл бұрын
Tatixo lamakafir wanaamini aloyafanya yesu aliyafanya kwauwezo wake wkt mungu ndie alompa huo uwezo
@DavisWangodi
@DavisWangodi 5 жыл бұрын
Said poleni kwa msba Kinidi yesu ni mungu.... Fuatilia mjadala vzri boss.. Usirukie maneno tu
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kumbe mmekubali kama yesu kapewa na mungu sasa Mohammed Alifanya nn tangia aje duniani na nani alimchagua Mohammed kua mtume
@rubbenndege4379
@rubbenndege4379 5 жыл бұрын
Muhammed alifanya nin pamoja na kuwa mtume wa shetani lakin hakufanya muujiza wowote
@papawaparazi341
@papawaparazi341 5 жыл бұрын
Myahudi mkenya mbona unapata shida
@hamisikulola8481
@hamisikulola8481 5 жыл бұрын
cheki wazimu huo John 1:1 inasema hapo mwanzo kulikuwa na neno na Hilo neno lilikuwa kwa mungu na Hilo neno ni mungu. huu ni msiba Genesis 1:1 hapo mwanzo kulikuwa na mungu na Huyo mungu AKAUMBA mbingu na ardhi . wakristo muogopeni mungu John anawachanganya hakuna vile mungu anaweza kuzaliwa na binadamu kwa kuwa si binadamu kitabu cha hesabu 23:19
@yonamagile5528
@yonamagile5528 5 жыл бұрын
hamisi kulola Msiba kwann nawe huelewi kama yeye et
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Nyie wapinga Kristo subirini moto tu Mtume wenu alisema hajui litakalomkuta quraan 46:9
@user-rf5tz5ft2y
@user-rf5tz5ft2y 5 жыл бұрын
@@myself4128 tell them again
@hamisikulola8481
@hamisikulola8481 5 жыл бұрын
katika mapastor wote nimefanya nao debate huyu ni mbumbumbu wa mwisho anatafsiri aya anavyotaka yeye. yakobo 1:17 mungu habadiliki wacha kupotosha wakristo
@user-rf5tz5ft2y
@user-rf5tz5ft2y 5 жыл бұрын
He is preaching the truth anatufunza wakisristo God bless him.
@raphaelkimaro1753
@raphaelkimaro1753 5 жыл бұрын
Shekh anaelimu ya msilitini ameivaa hadi anaongeza biblia eti "neno alifanyika mwili kwaajili ya mwana". Sasa hilo abdiko ametoa wapi au amedanganywa na walimu wake
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Wanadanganywa sana msikitini ...wamefunikwa akili zao na ni vigumu sana kuwaelimisha hawa wapinga Kristo sababu hawana neema ya Mungu kabisa sababu wanampinga Kristo....angalia anapinga kwa kuleta maneno ambayo hayapo....shetani anamtumia huyu jamaa asiye na nywele kupinga ukweli.....akipewa hili andiko analeta lile ilimradi asielewe ukweli..... Huyu mtu arudi msikitini akaulize maswali kuhusu mtume wake aliyeoa mtoto wa miaka sita je alitumwa nanani??? Muislamu mpaka kiama kitashuka hatoielewa biblia sababu hili sio likitabu la kukariri kama quraan ni maneno ya Mungu haya unahitaji roho mtakatifu
@raphaelkimaro1753
@raphaelkimaro1753 5 жыл бұрын
@@myself4128 ona tuu mtu mzima amevaa gauni, sando, midevu na kisufuri kichwani anadhani huo ndio utakatifu. Mfano sura 4:79 hata kama unaakili za punda hiyo haya inaonesha watu wanaoitwa nasi ndio wamemtuma muhammad na mungu akiwa shahidi. Mungu hahusiki ila ameshuhudia "nasi" wakimtuma muhammad. Na ndio ukiangalia quran nzima imeandikwa na akina nasi wakimrejea Mungu. Soma utakuta wanaandika mtindo wakurejea Mungu mwingine. Lakini pia waulize nani alimtokea muhammad pangoni. Mtu mzima anaongopa kuwa ni gabriel wakati muhammad mwenyewe amekiri ni mashetani na yalimuharibu akili. Sasa uongo huo ni msikitini wanasema na wanajipa moyo kwa takbiri. Pia jiulize kila andiko lihusulo mwanamke ni muhammad kajiletea aya ili zilinde na kubariki tabia ya kupenda wanawake. Na huwa nikisoma sur ahzab nakufa kicheko. Na hii inamanisha waandishi wamelewa. Na niliomba ushahidi kuanzia sura ya kwanza mpaka ya mwisho nioneshwe wapi allah anaishi au yupo. Hakuna aliyeleta ushahidi wanalalama tuu
NAKURU WAISLAMU WASHINDWA KUTETEA MTUME MUHAMMAD
55:22
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 17 М.
JE YESU  NI MWOKOZI WA ULIMWENGU
1:13:53
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 23 М.
бесит старшая сестра!? #роблокс #анимация #мем
00:58
КРУТОЙ ПАПА на
Рет қаралды 3,4 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 12 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 2,6 МЛН
VTS 01 2
42:37
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 101 М.
MAZINGE AMLIPUA MCHUNGJI _  NIWAPI YESU KAMRUDISHA PUNDA?
6:38
JUMA KIBWANA
Рет қаралды 4,8 М.
UPI MUNGU WA KWELI KATI YA ALLAH NA BWANA YESU . NEXT PART WITH QUESTIONS
1:02:45
(2017)SDA vs Full Gospel Denominations
41:40
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 25 М.
SABATO NI JUMAMOSI HAKUNA KUPINGA
22:51
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 57 М.
JE MUHAMMAD ALITABILIWA KUA MTUME KATIKA VITABU
1:02:52
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 20 М.
Waalimu wa kiislamu wajiaibisha
30:56
END TIME LOUDCRY TV
Рет қаралды 14 М.
VTS 01 3
45:34
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 33 М.
бесит старшая сестра!? #роблокс #анимация #мем
00:58
КРУТОЙ ПАПА на
Рет қаралды 3,4 МЛН