JE YESU ALIKUWA DINI GANI? SWALI LA MAZINGE LAJIBIWA KWA UFASAHA NA MWL YOHANA OMARI

  Рет қаралды 440,610

Advent Sound TV

Advent Sound TV

Жыл бұрын

Mdahalo uliofanyika Tanga Tarehe 2 Hadi 3 Feb. 2023. Mada, Je Yesu alikuwa Mwislamu?

Пікірлер: 833
@JuliusRichard-yi3zm
@JuliusRichard-yi3zm 4 ай бұрын
Tunashukuru kwa majib mazuri mtumishi wa mung ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JohnJackob
@JohnJackob Ай бұрын
Nimeipenda hii imeenda❤
@MawazoMwamba-fz5hr
@MawazoMwamba-fz5hr 8 ай бұрын
Bwana Yesu Asifiwe❤️❤️🙏🙏
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 29 күн бұрын
Umepotea ndugu na kama upo hai badilika upo kwenye njia sio sahihi utakuja kujilaumu badae
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Usipo mkubali YESU utajutia maisha yy ndie atakae kuja twamgoja wewe endelea kumpinga utalia badae nakuhakikishia
@ramadhanikassim1890
@ramadhanikassim1890 Жыл бұрын
Kwani yeah ndo MUNGU?
@ramadhanikassim1890
@ramadhanikassim1890 Жыл бұрын
Njoo kwenye ukweli ndugu
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Bora useme ndugu, waru sijui moaka wapigwe viboko mi wananikera
@MajutoPogba-yw9cb
@MajutoPogba-yw9cb 3 ай бұрын
Yesu ni muislam
@mtokaboys2175
@mtokaboys2175 Күн бұрын
We endelea kumsubiri hivyo hivyo
@hajathhajiselemani3019
@hajathhajiselemani3019 Ай бұрын
Mashallah ustadhi mazinge Allah akupe maisha marefu inshallah
@user-xu7de2hb2c
@user-xu7de2hb2c 4 ай бұрын
Mashehe wetu mungu awazidishie muwape elimu
@lovenessmwagala7638
@lovenessmwagala7638 Жыл бұрын
Safi sana Mungu wazidishie nguvu sana Watumish waMunguu
@judithjackson-ks9ug
@judithjackson-ks9ug 8 ай бұрын
amen mungu huwainua watu wake kwa wakat aupendaoo hiv omar kuinuliw na mung ni mapnz ya mung wala s tamaa ya fedhaa achen visingziooo kwamba wakritoo t ndo wanapesaa waislam hawana .usiogp vitishoo huduma ya mungu isong mbeleeee
@user-ei3iy5fu1i
@user-ei3iy5fu1i 3 ай бұрын
Wahisiram wenyewe wanamuabubu mutumewao mupangani
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt Ай бұрын
Allah awajaalie kheri na masikilizano mema inshallah
@user-hx2ns7eq8x
@user-hx2ns7eq8x 4 ай бұрын
Amina mwenyezi mmungu awaited nguvu.
@user-qz9zu8yb1s
@user-qz9zu8yb1s 9 ай бұрын
Vraiment intéressant
@kulemudogo6413
@kulemudogo6413 2 ай бұрын
Yesu ni bwana ukatae usipoaamini ni bwana...
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 4 ай бұрын
Ha, ha, haaaa😂Wakristo kuweni wapole mpate elimu, kumuita Yesu ati ni Mungu au Mtoto wa Mungu, huo ni mzaha na kuukaribisha moto🔥🔥 wa Jahannamu. Jamani‼️Someni Biblia yenu kwa makini. Mbona hata yeye Yesu aliisha kili kwamba yeye ni Mtu na ni Mtume wa Mwenyezi Mungu ⁉️
@BernardChesoli-rj3nw
@BernardChesoli-rj3nw 3 ай бұрын
Mungu awabariki watumishi
@mussasimbanilo1674
@mussasimbanilo1674 Жыл бұрын
Mungu awatie nguvu
@ANDREWKIRUI-vo7wl
@ANDREWKIRUI-vo7wl 2 ай бұрын
Nashukuru sana jukwaa hili kwa kutufahamisha kila mmoja afahamu kwake
@user-pt4df1mn1o
@user-pt4df1mn1o 8 ай бұрын
mubarikiwe namungu
@mirajilimited8563
@mirajilimited8563 Жыл бұрын
..Kabla haujajinyonga nenda kwanza kwenye ibada mshilikishe Mungu kwa Maombi then kumbuka kujinyonga au kitendo cha kuua ni dhambi kubwa sana 🔥 unamjua aliekuumba kwanini ujiue au umpoteze binadamu mwenzako wakati unaamini ukimwomba anakupatia..... TOKOMEZA SHETANI USIJIPOTEZE EWE NI SHUJAA WA MUNGU!....BALOZI MIRAJI TZ
@MaryMuigai-zj8fz
@MaryMuigai-zj8fz 4 ай бұрын
Yesu alileta msamaha wa dhabi zetu hakua na ndini ndni zililetwa na shetani.bila msamaha hakuna kumuona Mungu Yesu ndie njia ya uzima
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas Жыл бұрын
Watumishi wa Mungu hamkupaswa kuyatenda haya
@fredkhaemba449
@fredkhaemba449 Ай бұрын
Kwani mnapingania nini,hii nikama watoto wa mtu moja Wana mkimbili kila moja anadai kua yeye ndiye mzuri,,mambo mzuri,,wenzangu endelea kwa uzuri ,,amina
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Nivigum Sana kuamisha watu kwamba Yesu ndie mwana wa Mungu, inahitaji roho mtakatifu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Sawa kama ndio hivyo lkn huyo roho mtakatifu ndie yupi?
@simongwandu7392
@simongwandu7392 3 ай бұрын
Ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa Waislamu wanakiri kuwa Yesu kristo ndiye atakayehukumu ulimwengu
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 ай бұрын
Nan kakwambia
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Manabii wote n waislaamu ndiomaana mskiti wa Alaqsa uko Israel,mchungaji unajua kiaarabu,unajipamba na warabu wapo wakristo,ila wayahudi,c wKristo sinagogi n mskiti, mchungaji,chezea Mungu hata Mtume alipigwa na mjomba wake na YESSU aliteswa na pilato,unajifurahisha na lugha,ya kiaarabu,rejea, mtume MUHAMMAD alipigwa na mjomba Wake,kwahio hata warabu wapo makafiri
@user-th2ks9et2m
@user-th2ks9et2m 8 күн бұрын
Utaenda kuona uko siku ya hukumu
@Imageconnectioncare
@Imageconnectioncare 7 күн бұрын
❤❤❤
@Imageconnectioncare
@Imageconnectioncare 7 күн бұрын
Hawa waislamu hawataki kabisa kukubali ukweli
@kimbambakaili4761
@kimbambakaili4761 Жыл бұрын
Great teaching
@TimeMohd-dv3mu
@TimeMohd-dv3mu Жыл бұрын
We yesu sio mungu mnakosea sana wakristo mungu awaongoze muijuwe dini yake kul huwa llahu ahad
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 ай бұрын
Yesu ni Mungu kwa mujibu wa biblia Isaiah 9:6...
@saumbliz8983
@saumbliz8983 9 ай бұрын
​@@davidochiengbuoga7165Yani usirudie hi kauli ya yesu ni mungu wewe looooh yesu nabii kama wengine
@user-cx7uz3ri6v
@user-cx7uz3ri6v 3 ай бұрын
​@@saumbliz8983Mimi nairudia kwa nguvu YESU ni MUNGU.
@ConfusedGrassyMountain-tf8mj
@ConfusedGrassyMountain-tf8mj 2 ай бұрын
Akuna mahali dini inatupeleka.mdau,,,waislamu wanaamini dini
@Imageconnectioncare
@Imageconnectioncare 7 күн бұрын
Hawa waislamu hawataki kabisa kukubali ukweli kwamba Yesu ni Mungu
@amantlulu2460
@amantlulu2460 Жыл бұрын
Bwana YESU KRISTO asifiwe zihidi tena.
@mastaplan
@mastaplan Жыл бұрын
Ukristo ulianzia wapi?
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 Жыл бұрын
Kwa lipi?
@annemoureen6676
@annemoureen6676 Жыл бұрын
Amen
@oscarluanda-jw9iq
@oscarluanda-jw9iq Жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa kutuekimisha huu muadhala ni mzr sana
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
​@@mastaplan ukisto ni dini ya Paul ilianza baada ya yesu kuondoka yesu alipewa injili na biblia ni mkusanyiko wa vitabu hakuna andika wala hakuna nabii aliye pewa biblia
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t 21 күн бұрын
Mashekh wtu kwa kzi nzuri mnayofanya
@wilkinskazungu7710
@wilkinskazungu7710 Ай бұрын
Kujua maandiko na kumcha Mungu ni vitu mbili tofauti, enyi wenzangu msiwe walimu wengi maana Kwa njia hiyo mnajiongezea maovu
@user-mm4qf6xk5p
@user-mm4qf6xk5p 2 ай бұрын
Yesu au mungu Hana Dini Bali yesu au mungu Dini yao ni Dini ya watakatifu akimaanisha kua ni mjumuiko WA wa2 wengi wenye kumcha mungu Kwa kuhurumia watu kutenda matendo mama ambayo yanampendeza mungu hio ndio Dini ya mungu
@isaacnzai8202
@isaacnzai8202 Жыл бұрын
Acheni kushindana Jueni ya kwamba dini haziwezi kupeleka mtu mbinguni Utakatifu pekeake ndio utakaotupeleka mbinguni Bila utakatifu huezi kumuona baba acheni kubishana Mungu anaangalia uhusiano wako na yeye uko vipi
@claris6405
@claris6405 Жыл бұрын
Nyinyi hamuamin kama yesu nimwana wamungu munasema mungu Hana mwana nawahurumia sana
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 Жыл бұрын
Bila kuwa na DINI inangozaje huwezi kwenda kwa Mungu lazima uwe na DINI na tena hiyo dini hiwe ya kweli na ni ya MUNGU
@isaacnzai8202
@isaacnzai8202 Жыл бұрын
@@aliabdallah8456 wokovu kaka hauletwi na dini Ungekua wokovu unaletwa na dini basi kina abraham wasingeweza kuenda mbinguni kwasababu zamani hakukua na dini bro na watu waliokoka wakaenda mbinguni
@isaacnzai8202
@isaacnzai8202 Жыл бұрын
@@aliabdallah8456 ukielewa maana ya dini utanielewa Sisemi dini ni mbaya ila haiezi kukupeleka mbinguni kama hujaokoka MUNGU anaangalia moyo wako haangalii dini elewa
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Utakatifu upi bila ya dini?
@hashimmamboleo351
@hashimmamboleo351 Жыл бұрын
allah wahifathi na awape mwesho mwema
@a_melly
@a_melly Ай бұрын
Allah sio Mungu.
@suleim505
@suleim505 Жыл бұрын
NYIE WAKRISTO ACHENI KUCHOMEKEA MANENO YENU KWENYE KUTOA UFAFANUZI KUHUSU MAANDIKO,, asa kwa kwa bahatimbaya mlonanayo sisi kila mnachokijadili tunafunua maandiko wenyewe msidanganye watu.
@rajabualy-uw1yv
@rajabualy-uw1yv Жыл бұрын
Somo zuri
@MajutoPogba-yw9cb
@MajutoPogba-yw9cb 3 ай бұрын
Yesu ni muislam
@jumamgae9594
@jumamgae9594 Жыл бұрын
Ivi itawezekanaje dunia nzima kuwe na dini moja au zehebu moja mungu jamani ni mmoja kila MTU naamuabudu anavyo muabudu,mambo ya midahalo ya kidini hayana maana yoyote jamani hayo mambo yamepitwa na wakati kila MTU akae na dini yake kwa imani Yake.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Haya mambo yana maana sana kwa sababu dini ni muongozo mzima wa maisha yako bila dini hakuna maisha watu watakuwa km wanyama dini inatufundisha kila kitu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Labda utueleze ikiwa Mungu ni mmoja vp dini ziwe nyingi?na suala la midahalo halipingiki maana Mitume yote yalifokisha ujumbe wa Mungu ili watu waokoke na Moto siku ya hesabu(yaani akhera)
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Na hii ni amri yake Mungu na hata Yesu amesema"Lililo fichwa mvunguni litangazeni juu ya paa"
@a_melly
@a_melly Ай бұрын
Yesu ni Bwana wetu.
@basilidighumpi8496
@basilidighumpi8496 24 күн бұрын
Yesu ni Bwana
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Жыл бұрын
Hebu vunjeni mhazara nendeni hapo hospital ya karibu, muwape chakula na pesa wagonjwa ndio Mungu anataka !
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Ukweli unauma tulia tuwaambie Ukweli
@GuedoriseMikaAmani
@GuedoriseMikaAmani 2 ай бұрын
Yesu Kristo asifiwe sana
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt 9 ай бұрын
Bado mtakubali tu kua yesu ni mwislam
@SalumuhamisiChingo
@SalumuhamisiChingo 3 ай бұрын
Allah akbar
@rotichben5016
@rotichben5016 Жыл бұрын
This is great,,facts and reading fighting,, knowledgeable persons of God.
@thomasmangale
@thomasmangale Жыл бұрын
Mtagombana mpaka lini neno ni moja tu! Mungu anajuwa tu
@maulidimagohe1603
@maulidimagohe1603 Жыл бұрын
Gali
@jumaamisse50
@jumaamisse50 8 ай бұрын
​@@maulidimagohe1603---'-
@WahidaAbdalla-eu9cb
@WahidaAbdalla-eu9cb 4 күн бұрын
Allah ahad
@alaalutka1312
@alaalutka1312 2 ай бұрын
Ikiwa, kwa mujibu wa Dini ya Kiislamu, dhambi zinaweza kusamehewa kwa jiwe la Hajar, basi kwa nini Mungu? Jesu alisena : mimi i njia,ukweli na uhai ❤ Ninapendekeza kusoma makini Biblia.
@johnyurra-eb8yo
@johnyurra-eb8yo Жыл бұрын
Mnaobishana wote cjui mnataka kujua na kulazimisha nn yote kwa yote mungu ni moja
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Hapa watu hawabishani wanafahamishana kuwa dini ni moja na Mungu ni mmoja Tu!
@daniologymsyomi4750
@daniologymsyomi4750 Жыл бұрын
Yesu hakuwa na dini Kama angekuwa na dini mngemtii kwakuwa angekuwa dini yenu,Cha ajabu hamtaki hata kumsikia tatizo ninini?Haya muislamu Basi tuamini msalaba.
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Yesu tunamtiii kma mtume w mungu kwetu ni nabii isa na sio yesu ila nyinyi mnakwama mnasema yesu ni mungu na sio ivyo mnapotea wenzetu 😢😢😢
@daniologymsyomi4750
@daniologymsyomi4750 Жыл бұрын
Dini ya kweli Ni Mungu tu dini nyingine zote zipo kwaajili ya kumchelewesha mtu kumjua Mungu.Viumbe vyote ni kazi ya mikono ya Mungu kwa Mungu hakuna huyu ndugu yangu wala yule siyo ndugu yangu.KwavMungu haku a kafiri hayo yote unayapata kwenye dini na Sheri's zake.Sifa ya dini Ni ubaguzi na kujikweza
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
@@neemamzande8547 Nyie ndiyo mnaopoteza wenzetu,kwa sababu ukifuatilia huyo mnayemuita nabii Isa ni tofauti na huyu Yesu,kwani hata namna Isa alivyopatikana ni tofauti na Yesu alivyopatikana.Hivyo Isa ni Yesu bandia
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Ай бұрын
Dini wanazo wanadamu Yesu ni mfalume wa wa falume,. Dini ni yameshee na masikofu, na wakuu wa mafarisao na masadukayo
@isaacnzai8202
@isaacnzai8202 Жыл бұрын
Tafuteni ufalme wa mungu Acheni kubishana Yesu hakuwa na dini bali alikuja kutufundisha habari njema ya ufalme wa mbinguni Hakufata waislamu wala wakrito alikuja kwa watu wote
@owensamuelkalimo
@owensamuelkalimo Жыл бұрын
That is true
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Sasa kama Yesu haikuwa na dini kwann nyinyi munajinasibisha na dini?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Ww nadhani tayari umeukana Ukristo lkn hutaki kusema ukweli naamini utafahamu si muda mrefu jitahidi kufuatilia vitabu
@user-yx5sh9rx2f
@user-yx5sh9rx2f 7 ай бұрын
Yesu ndo kristo mwenyewe jmn Mungu atusaidie sana
@geofreykobelo661
@geofreykobelo661 Жыл бұрын
1. Sinagogi ni nyumba ya ibada ya Wayahudi 2. Wayahudi si Waislamna hawajawahi kuwa Waislam 3. Yesu si Issa 4. Biblia ni kitabu tofauti na Quran 5. Yesu ndiye Njia, Kweli na Uzima. 6. Amwaminiye Yesu Kristo anaokolewa na kupewa Uzima wa milele. Asiyemwamini Yesu amekwishapotea - (Yohana 3:16-19). 7. Yesu ni Mwana wa Mungu, mwokozi wa ulimwenguni
@amashamangula1884
@amashamangula1884 29 күн бұрын
Biblia imeandikwa na watu zaidi ya 35, unapoisoma Biblia usijichanganye na elimu uliyonayo, walioiandika hawakujitambulisha elimu zao, Biblia inasomwa na watu zaidi ya bilioni tatu wenye Imani yao binafsi kuhusu Yesu na Mungu, wacha tubishane tu, Mungu anajua utunzaji wa maneno yake. ( Ufunuo 3:8).
@experiencetours5037
@experiencetours5037 Жыл бұрын
Jibuni swali wakrsto
@user-xt3es5bv7i
@user-xt3es5bv7i 3 ай бұрын
Yesu hakuja kwa ajili ya dini Jambo la maana sana yeyote atakaye tubu Dhambi abate kuokolewa
@ommy3617
@ommy3617 Жыл бұрын
Wakristo wameanza kuyageuka maandiko,Mungu awaonekanie mpate kuuona mwangaza.
@julesngama2508
@julesngama2508 2 ай бұрын
Mazinge aja soma , jibu nzuri kwa uyo mutumishi wa Mungu. Vipofu awa jama . Jibu Kali. Sinagogi siyo musikiti haaaaa.
@KELVINTHOBIAS-qx8hk
@KELVINTHOBIAS-qx8hk Жыл бұрын
Mnakosea sana Mungu yaan mnachunguza dini ya kikristo ukiwa yenu haichunguzwi Mungu awasamehe sana
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Huna uhakika na dini yako ndo maan huna amani unajua pana makubwa yatafichuliwa humo vitabu na ukwel utaonekana
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 4 ай бұрын
Ukristo sio dini ww😂sema dini yako
@AlnordGozonga-gw2sb
@AlnordGozonga-gw2sb 2 ай бұрын
Sema waislamu wana umimu niwachache wenye imani moyoni wasio na umimi wanasamini wenzio
@ayubuadon-ho9vh
@ayubuadon-ho9vh Жыл бұрын
Mbalikiwe mafundisho mazuri
@omigrodrasnet7638
@omigrodrasnet7638 19 күн бұрын
Kinachofanya tanzania tusiendeleee ni udini heb achen hayo mambo ya kukosoana kati yenu mnaobishana na kumuona mwenzie ni mbaya kama kuna siku mtu kati yenu atakuja kuendesha gari inayofika m100 aniligie simu
@kungwabaruani4559
@kungwabaruani4559 Ай бұрын
Mnamufwata yesu kupiganiaa yesu awe kamisa au dini gani.yesuu sio muisilamu yesu ni wa diniya kiyaudi na nimfalme wa wayaudi.( sinagogi sio.msikiti)
@anthonymndeme2565
@anthonymndeme2565 Жыл бұрын
Nduguzangu waislam naomba niwaeleweshe kitu,kimoja"kwanza kabisa mjue yesu alikua anafundisha Kwa,mifano,Sasa,kunamfano mmoja ambao mmeuzingatia lakini sivyo mfano wakuvua viatu kuvua viatu mlimuelewa vibaya manayaviatu vinakanyaga ucha,hivyo havifaii kuingia mahalo patakatifu,ambapo kwamfano ule niroho zetu inatakiwa tuzisafishe kama,unachuki namtu msameheane usafishe roho iwesafi sio,kuvua viatu jamani nakuosha Kila kiungo!
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Uzaifu wasisi tuna amini vya macho, vya kiroho vinatuacha
@justuswambua7278
@justuswambua7278 3 ай бұрын
Yesu ni mungu sio wa dini yoyote.akuna watu wa dini wataenda mbinguni
@wnadwa5554
@wnadwa5554 Жыл бұрын
Wa sda mnapenda kujidai na dini sana mungu hapagui dini tunafaa kuombeana sisi kwa ss na kupendana
@maxwellopiyo3516
@maxwellopiyo3516 Жыл бұрын
Shida wenzetu wanasema Only Islamic is the true Religion the other Religions are Useless
@wnadwa5554
@wnadwa5554 Жыл бұрын
Sisi zote ni viumbe kutoka kwa mwenyezi mungu, tunastahili kuwa na upedo ule wa kwanza
@EasterGlory
@EasterGlory 2 ай бұрын
Kabla ya kuhukumu jiulize kwanza Mungu anahitaj nn kwako ifuate Iman yako
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 Жыл бұрын
Ukweli dini aitakupeleka mbinguni na wakati uwo ukisema kanisa au msikiti siyo vyote ivyo vinamaana iyo ni mikusanyiko tu matendo na mwenendo moyo wako kuwa mkiristo au mwisilamu unajipa ufarisayo na usambalataki uwo tuendelee kujidanganya na chuki za ajabu
@gideonSnezy-pc6nq
@gideonSnezy-pc6nq Ай бұрын
As,Salam alaikum-bwana yesu asifiwe yesu alikua ni mkristo haswaa
@ANDREWKIRUI-vo7wl
@ANDREWKIRUI-vo7wl 2 ай бұрын
Yesu ni njia kweli na uzima amusminie hapotei ils upata uzima wa milele
@joseprinceofficialKE
@joseprinceofficialKE Жыл бұрын
Kuweni na amani na watu na zaidi utafuteni utakatifu maana bila huo hakuna atakayemwona Mungu.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Uadilifu ni kumuamini Mungu mmoja asiye na mshirika ambaye hakuzaa wala hakuzaluwa na hakufanana na mtu au kitu chochote na wala hafikwi au kushindwa na jaribio lolote
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Amani haiwezi kupatikana bila kumjuwa Mungu WA kweli na hili hata Yesu alilisemea hvii!(NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU,WAKUJUWE WEWE MUNGU WA KWELI WA PEKEE NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA)sasa hapa kama kuna mtu atasema Yesu ni Mungu huyo itabidi tukampime akili na Uadilifu yatakuwa nao
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 Жыл бұрын
@@AliSalim-yu4mo Mungu alizaa wapi nanyie ata Bible ijaandika Mungu kazaa wewe sema unachuki zako ndani uko utaenda popote
@joseprinceofficialKE
@joseprinceofficialKE Жыл бұрын
@@AliSalim-yu4mo huku kuzaa kwa Mungu umesoma katika Biblia gani utufahamishe pia???
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
@@joseprinceofficialKE mm nimesikia Kwa Wakristo wanasema Mungu Baba,Mungu mwana na Mungu roho Mtakatifu,sasa labda unifafanulie hapa nielewe vizuri
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 4 ай бұрын
Wazungu na waarabu wananunua majengo na mashamba na sehemu muhimu sisi waafrica tunabishana na maneno magumu ya bibilia na koraani ujinga wa kiafrica unabishana na kitu kisichoongeza ajira kwa waafrica badala ya kujifunza technology lakini kwa sababu ya ujinga wetu waafrica bora tugombane kwa maneno magumu yasio na faida kwa wafrica
@simeontwiyogohe2727
@simeontwiyogohe2727 3 ай бұрын
Yesu alizaliwa Uyahudi, Yeye ni Kristo (Masihi).
@user-uf1ou9cl7j
@user-uf1ou9cl7j 3 ай бұрын
Yaani shida ya hawa jamaa zetu always , uwa wanajizima data ni ukwel usiopingika never huwezi ingia mbinguni bila ya yesu !!
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 Жыл бұрын
Mazinge kunasiku utarudi kwenye sabato tu ila sasa endelea kuyambayamba tu nakelele zako.
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 Жыл бұрын
Utangoja kma yesu alidai atakuja
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 Жыл бұрын
@@khuzeimaabdul4275 kumbe unajua kua Yesu anarudi vizur.
@umishaajuma8675
@umishaajuma8675 Жыл бұрын
Mazinge hawezi kurudi kwa yesu kwa sababu kajua ipi njia sahihi ya kumpeleka peponi
@NasraHamis-ey2ff
@NasraHamis-ey2ff 2 ай бұрын
Siku zote shetani ananguvu huyo kakubwa na pepo uyo mazinge kulud c lhs pepo ilo hakuna zambi kubwa kama kumkana yesu
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 Жыл бұрын
Viongozi wa dini ya kikrsto nawaombeni Sana msipoteze muda kubishana juu ya Yesu ,kwani Yesu anajitetea mwenyewe kwakuwa matendo yake yakiungu Ni dhahiri, kwahiyo mtu akatae akubari Yesu anabaki kuwa Mungu.
@annemoureen6676
@annemoureen6676 Жыл бұрын
Ndio anajtetea mwenyewe,matendo yake mbona twayaona anae amn aamn asiyetaka asepe
@abuuhassani497
@abuuhassani497 Жыл бұрын
Alikaa tumboni
@umishaajuma8675
@umishaajuma8675 Жыл бұрын
Duh?kumbe yesu ni mungu inallilah wainallilah rajiun hakika pole yenu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Tumuamini yesu aw wewe uloshiba maharage yesu mwenyewe kasema yeye mtu wewe unamwita mungu ni mungu gani huyo anaye tahiriwa mungu gani aliye kamatwa akasulubiwa mbona makafiri mnashindwa kusoma biblia yenu yenyewe mkaielewa
@angelvii113
@angelvii113 Жыл бұрын
@@abuuhassani497 through the holy spirit not intimate of sex*
@ShabanIddy-wh3mp
@ShabanIddy-wh3mp Ай бұрын
Aslam alykum yesu ni Islamic
@shaurikamkande
@shaurikamkande Ай бұрын
Yesu aji kuukumu ulimwengu anakuja kuoa nakufa kwakua ajakufa
@TeddyIsaya-jk7gv
@TeddyIsaya-jk7gv 4 күн бұрын
adharauye dini ya mwenzie atahukumiwa na kuchomwa moto
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
YESU KRISTO ni NENO alifanyika mwili ili atoe damu kuwakomboa wanadamu, sinagogi ni nyumba ya kuabdia iwe hekalu au msikiti ili mladi ni nyumba ya kuabdia.
@NasraHamis-ey2ff
@NasraHamis-ey2ff 2 ай бұрын
Kama unaimani huwez fanya huu upumbavuu iman hawan wote ndo maan wanazozan dini
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 7 ай бұрын
Swali aliloulizwa Mazinde nalijibu mimi.YESU HAKUWA NA DINI YEYOTE WALA MUNGU HANA DINI. KWANZA ELEWA MAANA DINI NI NINI, DINI NI AINA YA IBADA YA KUMTAFUTA MUNGU.AU DINI NI UTARATIBU MWANADAMU ALIYE JIWEKEA NAMNA YA KUMTAFUTA MUNGUAU NAMNA KUMFIKIA MUNGU..
@buyukubwa9713
@buyukubwa9713 Жыл бұрын
Hivi Unaweza kuuliza mte
@robertthuo8843
@robertthuo8843 3 ай бұрын
Ni wengi wanataja jina langu lakini siwajui. Watakaa nje ya mji pamoja na mbwa.
@deogratiusarkadmrosso3924
@deogratiusarkadmrosso3924 Ай бұрын
Yesu ndie hiyo dini Sasa unataka Barbara iwe na barabara
@TimeMohd-dv3mu
@TimeMohd-dv3mu Жыл бұрын
Nyinyi wakristo kwann mumuabudu binaadam mwezenu mutajibu nn mbele ya allah hata musemeje yesu sio mungu waislaam takbiiir
@janetmwende7280
@janetmwende7280 Жыл бұрын
Yesu alikua tangu mwazo wa dunia kuwapo,kuzaliwa na mariam alifanyika mwili ili kutuokoa kutoka kwa dhambi ,
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Allah awazidishie umri masheikh wetu
@norahk6587
@norahk6587 Ай бұрын
Mungu wenu hana nguvu twambie muujiza mmoja wa allah
@ZakaZaka-zi9nr
@ZakaZaka-zi9nr 23 күн бұрын
Ww huna akili mzuri
@AlexNyato
@AlexNyato Жыл бұрын
Mmh jamani
@apollorutamucero6971
@apollorutamucero6971 3 ай бұрын
Burundi Bujumbura Tunawapata tano kwa tano bwa na Yesu asifiwe uyo Mazingi iki nashida Nayeye ajibu kw andiko
@user-ps4dx9ze1c
@user-ps4dx9ze1c 5 ай бұрын
Jamani mbona mnalumbana mnataka nn ukweli mbona upo wazi Kila Moja amuheshimu mwenzake na mpendane sote tumtumaini mungu
@adventsoundtv
@adventsoundtv 5 ай бұрын
Haturumbani tunasaidiana Kiroho na kuelekezana njia ya Uzima!!! Pole kama umetuelewa vibaya
@peterngeri9442
@peterngeri9442 Жыл бұрын
Mubarikiwe nyote mulio wezesha mafundisho haya yatufikie,walimu wakristo ni wasomi,omary umemaliza mada walitaka kumpinga shehe mwenzao 😂
@yohanamoikan7709
@yohanamoikan7709 Жыл бұрын
Tusiwe wabishi manake saa yaja ya Yesu kujitegemea
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Ni kweli musiwe wabishi Kwa kumtegemea mtu aliyeshindwa kujiokoa msalabani na kumnungunikia Mungu wake asimuache
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Na suala la kuja Kwa Yesu hakuna Muislamu hata mmoja anapinga na kumkataa lkn hatuamini kama munavyoamini nyie kuwa yy ni Mungu au mtoto wa Mungu (yy ni Mtume wa Mungu na ni Mtume Kwa Wana wa Ezraeil)na haya ni maneno yake mwenyewe)Kwa Nagari mbaya Sana Wakristo wanamsemea asilolisema mwenyewe na pia hawafuati mafundisho yake pia
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Kwani yy amesema"JITIENI NIRA YANGU,mujifunze kutoka KWANGU,kwani Mimi ni MPOLE na mnyenyekevu wa moyo.Sasa nakuulizeni nyie Wakristo nini maana ya "UNYENYEKEVU?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
YOHANA 17:7-9 Imeandikwa; Sasa wamejuwa ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako,Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao,nao wakayapokea,wakajuwa ndiwe uliyenituma" sasa haya ndiyo maneno ya Yesu mwenyewe vp Leo museme Yesu ni Mungu?akili au matope?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Tena angalieni MATHAYO 23:9-10 Imeandikwa: "Wala msimwite mtu Baba duniani,maana Baba yenu ni mmoja wa mbinguni.Wala musiitwe Viongozi,maana kiongozi wenu ni mmoja,Naye ndiye Kristo".kwanini hamuelewi Yesu jmniii?
@IssaSaid-vf3lg
@IssaSaid-vf3lg Жыл бұрын
Ukristo... Rahaa sanaa
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t 21 күн бұрын
Unaraha gani huo ukiristo ni hasara tupu
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Tunakiri YESSU n muislam hilo halina shaka, mbona aliaqsa iko Jerusalem,ulije ngwa nanan maana mtume hajakaa Israel, mtume alikuta Alaqsa,
@abdulkarimukasimabdallah148
@abdulkarimukasimabdallah148 Жыл бұрын
As'salamualeikum yesu ni muislam .
@innocentmtashobya1257
@innocentmtashobya1257 Жыл бұрын
Kama ni Muislam mbona hamfuati mafundisho yake?..na hakuna mahali ambapo Yesu aliutaja Uislam kwenye injiri yake.. hacheni kuforce mambo
@lovenessmwagala7638
@lovenessmwagala7638 Жыл бұрын
Muslim bas kama alikuwa mhisrama utoporo
@stevetz2683
@stevetz2683 Жыл бұрын
Uongo
@janetmwende7280
@janetmwende7280 Жыл бұрын
Mbona nyinyi sio wafuasi wake basi?
@fredkhaemba449
@fredkhaemba449 Ай бұрын
Bora ondoleo la dhambi,,jua hivyo,,tupuni mpate ondoleo la dhambi kupitia huyu Isaa ama yesu,huyu ndiye njia,anataka Kila mmja aokoke..
@apostleogunaministries3846
@apostleogunaministries3846 Ай бұрын
Maswali Gani muokoke achaneni na MAJINI muingie Kwa MUNGU alie hai
@hassaniyusufu6443
@hassaniyusufu6443 2 ай бұрын
Kwanz kabisa hio biblia unao lakini hujajuwa kuyisoma .nasiku utayisom yote ndio siku utatowa shahad
@IbrahimHassan-oz8qs
@IbrahimHassan-oz8qs Ай бұрын
Akuzdishie allah
@shadrackjacob800
@shadrackjacob800 Жыл бұрын
Nakubaliana na hii midahalo , ili jamii ya za waislamu zielimishwe , ujinga ni mwingi sana lazima utolewe.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Wakristo ndio wanaotakiwa waelimishwe maana ndiko kulikolala ujinga na hawaeleweki mara Mungu ni watatu,Yesu ni Mungu,Yesu ni mtoto wa Mungu mara ni binaadamu Kwa kweli ni ujinga mtupu
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Mtoto wa mtu ni mtu,wa nyoka ni nyoka
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Wakristo ndio wajinga na Kwa dalili ya Hilo angalia hii midahalo na Ione ni wapi wanaoingia ktk dini ya kiislamu na wangapi wanaoingia ktk Ukristo?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
@@edwardntamaboko3414 kwaiyo Yesu nae ni Mungu?
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
@@AliSalim-yu4mo Ukisikia Mungu ndiye Yesu
@AkinRodrigue
@AkinRodrigue 17 күн бұрын
Je suis fier de l'islam
@fredkhaemba449
@fredkhaemba449 Ай бұрын
Kumbukeni "" kristo alisaliwa kwa nyumba ya Israeli,lakini walimkataa,,hivyo hivyo mungu akawapa wanaye mkubali""hata Leo ,kusamehewa dhambi na kuitwa wanawe,,kwa hivyo hakuna Isaac ama Ishimaeli,ni yesu..
@issaidi
@issaidi Жыл бұрын
Nyinyi wasabato ni wajanja sana kwanini sasa mnakata si msingeliicha yote tukaiona
@AlfayoEliahu
@AlfayoEliahu 7 ай бұрын
mchungaji panga nguvu ilioko ndani ya damu ya yesu katika ulimwengu wa Roho vitu saba 7 katika damu a).Damu ni uhai mwanzo 9:4 b).Damu hua inazungumza mwanzo 4:10 c).Damu inafanya upatanisho kolosai 1:20 d).Damu inauwezo wa kufungua milango 1wafalme 18:24 ruka nenda 33 danieli 7:10 e).Damu inauwezo wakununua vitu vyote inategemea unanunua nini ufunuo 5:1-10 f).Damu inabadilisha majira na nyakati kutoka 12:1-3 g).Damu inabeba tabia mwanzo 19:36-38 mungu alimtoa yesu kafara ili atupate sisi ndomaana damu ya yesu aifanani na damu yoyote 1petro 1:18-19 matendo ya mitume 5:1-10
JE YESU NI MUNGU?
29:27
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 24 М.
터키아이스크림🇹🇷🍦Turkish ice cream #funny #shorts
00:26
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 28 МЛН
The joker's house has been invaded by a pseudo-human#joker #shorts
00:39
Untitled Joker
Рет қаралды 14 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 3,2 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 26 МЛН
JE TUFUATE SUDIA AU MWANDAMO WA MWEZI SHEKHE SAID ALI HASSAN
7:06
USTADH JEYLAN HASSAN
Рет қаралды 3,3 М.
USTADHI SHAFII USO KWA USO NA MCH. NDACHA KISA SABATO NA MAJINI
35:59
MFAHAMU YOHANA OMARI 13
58:17
TEMEKE SDA CHURCH
Рет қаралды 13 М.
DEBATE. Prof. Mazinge azima mbwembwe za Mch. Ndacha kutoka Kenya.
28:25
MAZINGE NA MCHUNGAJI
18:15
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 50 М.
터키아이스크림🇹🇷🍦Turkish ice cream #funny #shorts
00:26
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 28 МЛН