Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Пікірлер: 688
@bensonbenezeth2 жыл бұрын
Hoja ya gwajima ni sahihi!! Wa bunge mlizingatie Hilo, Asante gwajima.
@morrisairo82672 жыл бұрын
Jembe la nguvu hili✓
@asuntakibiki13712 жыл бұрын
Mungu akujalie maisha marefu mchungaji gwajima.
@itiamekimbui7222 жыл бұрын
Great point with high breed wisdom.naomba baba askofu achaguliwe kuwakilisha TZ kwa bunge LA African union.. We need these great ideas in all African countries tujitoe Kutegemea msaanda kutoka kwa wakoloni🇰🇪
@mbarakamwande40712 жыл бұрын
Hapana sema hivi mtazamo wake ufanyiwe kazi kwa manufaa ya nchi, hii ndio sifa ya kuomba nafasi ya ubunge
@ponsianamataka46072 жыл бұрын
Gwajima, Mungu akulinde, wabunge tunaomba msipige tu makofi tekelezeni tena kwa wakati yanayosemwa kwa kuwa watanzania wanawatambua wabunge wazuri kama Gwajima. Mungu awaongoze.
@ludigobishota4612 жыл бұрын
UMETUWAKILISHA vyema. Hongera kwa kazi nzuri!
@fahdihasnuu90342 жыл бұрын
Siku nyingi nimewahi kusema kuwa gwajima ni very unique and genius guy na sasa ivi naendelea kujiridhisha zaidi
@nabasonsanga44412 жыл бұрын
Huyu jamaa maneno yanaumba one day anachukua Nchi maombi yangu kwa Mungu
@ponsianamataka46072 жыл бұрын
" Nileteeni Gwajima"
@orestonjalika6322 жыл бұрын
Ubalozi unakuhusu wewe gwajina. Good ideology toward development of Tanzania. Congats mh.Gwajima.
@eliasantemhonjwa62562 жыл бұрын
Asante mjomba
@mptv6612 жыл бұрын
ubalozi tutapoteza jembe letu aendelee awe raisi wetu
@abelg24882 жыл бұрын
Anakuwaje balozi wakati ni mbunge wa kuchaguliwa? Au inaruhusiwa mbunge wa jimbo kuteuliwa kuwa balozi? Mbona sioni kama hiyo inawezekana...? Mtu anieleweshe. Lakini kwani hakuna button ambayo anaweza kubonyeza na kukataa uteuzi huo ikiwa kuna hiyo nguvu ya kumteua mbunge wa jimbo? I still think Gwaji can't accept the appointment.
@babawawiltegamaso43672 жыл бұрын
Askofu nimekuelewa sana mungu akupe uzima mwingi
@CHITUS2 жыл бұрын
The kind of leader I've been looking for
@leahenockmrina53812 жыл бұрын
May Almighty God bless you PM Bishop Gwajima
@erickluge78382 жыл бұрын
Kaiongea hii point mara ya pili, ni ishara kwamba hakuona dalili ya kufanyiwa kazi hoja yake, for me GWAJIMA kasubutu, kaonyesha mkazo wa kile anachokiamini na kina mashiko ndani yake, rudia hata mara 100 na kuendelea mpaka ifanyiwe kazi. Dira ya Taifa ni maamuzi ya taifa ambayo upende usipende kama kiongozi na unaoongoza wanatakiwa wajue ili msimamo wa taifa uwe mmoja katika kupiga hatua ya kimaendeleo kwenye nyanja zote za kiuchumi, kisiasa na kijamii. Hasara zinazosabaishwa na ZIMA MOTO ya kila kiongozi anayeingia madarakani kwa kutumia halmashauri ya kichwa chake kuliongoza taifa ni kubwa mno. No way you can asses and evaluate the perfomance of Authority in progress bila ku-link ufanisi wake kwenye dira na mpango wa muda mrefu wa Taifa. Thanks Mh.Gwajima
@Chrisblaze-beats2 жыл бұрын
Hoja ya chadema wapo nayo muda sana shida viongozi wanakaza vichwa
@missangela67202 жыл бұрын
Tamu sana hii
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Mbatia alilizungumzia sana hili jambo... Gwaj sio wa kwanza wala wa pili... Lakini yy amewazidi wengine kufanya "show"!
@sinanindola932 жыл бұрын
Hii kauli si ngeni sema watanzania ni wavivu tu na uchama mwingi lema aliiongea hii kipindi wapo bungeni kipindi cha magufuli na hawakusapot hawa sema saivi hawamkubali mama ndo mana wanaongea ivi unafiki 😅
@majaliwawilson93722 жыл бұрын
Ukosahihi kabisa shida hilo wakilikubal teal mamboyao hataenda ndio ukwel ndiomana nnchi za Aflika zote zinafanana kwai wazugu hawatak tuwekamawao
@christinakayombo2662 жыл бұрын
Point salute to him the truth shall set you free!!! 🔥
@welcometoeat1652 жыл бұрын
Hata mimi huwa nashangaaga Sana kwakwel! Yan Tz muendelezo hakuna kila rais anafanya yake upuuz mtupu
@ahmedalkiyum75922 жыл бұрын
Sio upuzi voo hapo kila moja ataka kuonekana chake alicho kifanya kwasabb akiendeleza bado ataonekana hajafanya kitu
@missangela67202 жыл бұрын
@@ahmedalkiyum7592 No. Ni kwamba kuna leaders wazalendo na wenye meno ya maono, na wahuni, wenye maneno matupu
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Kwani hakuna muendelezo? Reli (TGV) imesimama? Nyerere hydropower imesimama? Ujenzi wa barabara na miundombinu mingine na viwanda umesimama? Uboreshaji wa huduma za jamii (maji, umeme, elimu, afya,...) umesimama??? Ni kweli, tunahitaji DIRA YA TAIFA. Lakini sio kwa sababu hakuna muendelezo!
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Big up saba mh. Gwajima umeongea kitu kikubwa mno Mungu akubariki sna yatimie hayo na yasimamiwe
@chigaboy13322 жыл бұрын
Gwaji boy through this ,I trust you
@kestalusambo93612 жыл бұрын
Sage speak Gwajima..!!! bravo
@personalitiesan98062 жыл бұрын
Gwajima for presidency
@bulabilliontz2 жыл бұрын
OVER
@alfredkalaba16142 жыл бұрын
That's Gwajima I know. Wengine wanafiki speak the truth always kwa maslahi ya vizazi vijavyo kama ni kufa wote tutakufa tuuu....
@bulabilliontz2 жыл бұрын
Kubwa sana hii mzee
@maxmilianpetro9682 жыл бұрын
Tatzo ukiongea mambo ya msingi hayachukuliwi na kuwekwa kwenye system ya nchi! Sasa tunahitaji mtu kama magufuli kabisaaa la sivyo hakuna kitu
@gervassn14682 жыл бұрын
You're a men
@missangela67202 жыл бұрын
Magu alikuwa akiangalia miaka 200 ijayo
@musaraha17422 жыл бұрын
Zimo?
@TamuzaKale2 жыл бұрын
@@missangela6720 Actually alikuta kila kitu kimechorwa! Unadhani mradi gani hakuukuuta? Utaje!
@donjb31782 жыл бұрын
@@TamuzaKale Shida sio kukuta kila kitu kimechorwa ila shida inakuja ni mpango upi umekuja nao kuyatenda hayo yaliyochorwa hapo ndipo kuna tatizo ya viongozi wengi wanaopita hawana vision juu ya nchi bali maslahi yao wenyewe
@mugapro2 жыл бұрын
Hii PhD ni ya uhakika, sina mashaka nayo kwa Sasa,
@missangela67202 жыл бұрын
😅
@f2abooksuppliers1222 жыл бұрын
Ngoja niandike maneno yako yote maana naamini yanatumika kwenye maisha ya mtu binafsi ili kupata mafanikio yake na kizaz kijacho.
@shammhagama25272 жыл бұрын
exactly
@damianichayo8952 жыл бұрын
Kipindi cha kwaresma ma mfungo wa ramadhani. Tuwe wakweli mbele ya Mungu. Hakuna siku Gwajima hajaongea point. Kama ni katiba mbona alichokisema kanukuu na kifungu cha katiba isiyo mpya? Swala sio katiba bali ni uthubutu wa kizarendo kusema na kutenda. Kama Gwaj
@juliansowani11762 жыл бұрын
you are very right bro, Shida watanzania kila kitu ni siasa na unafiki mtupu. Jamaa anachosema ni uhalisia mtupu ambao hata wasomi wetu wameshindwa kufanya, mfano CHUO KIKUU CHA Dar es Salaam hatuoni kikuwakomboa wananchi wa Tanzania kule Maswa au Nachingwea au Loliondo kwa kuziboresha project mbali mbali mbali za wanachuo na kuzipeleka kwenye uhalisia wa Maisha ya watanzania. well said Gwajima Boy
@abelg24882 жыл бұрын
Kaka kama nimekuelewa hiviiii
@alanusrespicius17962 жыл бұрын
Swala siyo katoba. Nchi inaongozwa na waroho wa madaraka na wakujilimbikizia mali
@mwinjumakhalifa95052 жыл бұрын
Kwel mtumishi wa mungu unajuwa
@foundationforcommunityhope73272 жыл бұрын
Bishop Afrika ni Afrika tu... Hongera kusema hayo...your so bright bishop....kwenda mbele kidogo kurudi nyuma sanaas
@abhambomihambo67542 жыл бұрын
You are so smart and visionary thank you and tell them!
@diomedenshemezimana49202 жыл бұрын
Anaongea ukweli, nchi haiwezi kusonga mbele ikiwa hakuna maoni ya kitaifa.
@modestshikilana46102 жыл бұрын
Mh. Hongera sana kwa maoni na mapendekezo mazuri sana. Kweli tungekuwa na maono ya hivo tungekuwa tumepiga hatua zaidi ya kimaendeleo. Waheshimiwa shaurini serikali yetu ili tuachane na utegemezi wa muda mrefu.
@jamshirdally41572 жыл бұрын
Shida matumboo nakujuana mzeee
@charleslubugalameck92702 жыл бұрын
Wapigaji hawajamwelewa kabisa nilitegemea makofi mengi
@Donrugi2 жыл бұрын
I real respect this men,
@hamismabula99342 жыл бұрын
Nchi kutegemea kichwa kimoja kwa kweli kuangukia pua kunakuja!
@roqerz2 жыл бұрын
Gwajima inabidi achukue form tumpe nchi, This man is ideology talented leader we need him to lead our country
@medatonny6322 жыл бұрын
True kabsaa
@evcloudjuma97902 жыл бұрын
ipo siku gwajima utajichanganya uchukue form walah tutakupa nchi,
@marympango92472 жыл бұрын
Ha haaaaaaaa,🤣🤣🤣🤣🤣
@allymusira21532 жыл бұрын
Kama unapiga kura peke yako
@morganizemeshack66432 жыл бұрын
Kabisaa aisee na tutampaa, kwa uwezo aliokuwa nao anastahili kabisa kuwa kiongozi wa nchi sio mbunge tu
@estermathias83542 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂umenifanya nicheke tu et akijichanganya😂😂😂😂aki hata mm nitampa
@mestonianatori72542 жыл бұрын
Huyu akijichanganya tu!! Hana bahati !! Kwa Nia aliyo nayo nchi atapewa peupeee!!!....
@ntegrity2772 жыл бұрын
This guy is intelligent!
@lutusigaza21482 жыл бұрын
Marekani wanapiga hatua kwa sera ya taifa lao sisi tunataka kupata maendeleo kwa sera za vyama, inatakiwa kwamba viongozi wachanguliwe kwenye vyama vyao ili waje waitumikie sera ya taifa sio irani za chama mnazihamishia kwenye mipango ya taifa
@bulabilliontz2 жыл бұрын
SAHIHI SANA KAKA UNA AKILI
@pongwebeachhotel28062 жыл бұрын
Ilani sio Irani=ni nchi
@jorampetro102 жыл бұрын
Even if Tanzania is not going to work on this advice I personally am willing to accept and use this idea in my personal life vision mh Gwajima umeelezea mpaka bas salute sir
@yudamfinanga22462 жыл бұрын
Kwa ukimya huo wa wabunge wenzio, inamana km hawalioni hlo ni la msingi, yani viongozi wetu wapo kimaslahi tupu na cyo kwaajir ya kuwatetea watanzania Big up sn gwaji boe
@abelg24882 жыл бұрын
Au wanaliona lakini hawaoni kuwa linawapa vibe lile wanalotaka au waliwazalo. Au basi bana
@evelinemsaki20572 жыл бұрын
Wanamwaogopa kinana atawaita kwenye kamati
@adamzuberi9402 жыл бұрын
@@abelg2488 ùo8oòòyoy
@josephatkiliko25462 жыл бұрын
Mniletee Geajimaaa
@lovenessdiva33702 жыл бұрын
Mungu bariki this point in Jesus name 🙏
@Brasolebasoto2 жыл бұрын
Amen
@bonifacekisina2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni kiongozi wa maana sana Tanzania.
@helenarhobi12502 жыл бұрын
Asante sana mtu wa Mungu Gwajima mambo yako safiiiiiiiiiiiii Jasus la Mbinguni!
@abbymkombozi43822 жыл бұрын
Asante mungu walinde wazalendo kamahawa ijapokuwa wanabezwa kwa wachache wanaosifiana sifiana tu huku wengi tunateketea,
@holykim27132 жыл бұрын
Anachoongea Gwajima ni sahihi kabisa, hata mi ni mkereketwa, i have been to so many countries na nimeona jinsi wanaendesha mipango yao, hata tusiende mbali just our neighbour Rwanda, the country is doing well, sisi tunashindwa hata kuwa na mipango ya kupanda miti, jua linapiga mpaka unachanganyikiwa lkn kungekewa na mipango miji, jiji lingependeza plus maendeleo mengine ya msingi.
@abhambomihambo67542 жыл бұрын
This is a common sense but I wounder how many people can see in this way a part of "Kuchumia Matumbo yao"You are truly Patriotic,we need such kind of MP not Blaablaaah and everything thing is Yes for them....kazi kupiga meza tuu bushit.
@sadockchengula55422 жыл бұрын
Good. At least wangefika 25% Bright MPs tusingekuwa tulivyo.
@yahayakingochi95542 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 da kizhungu plus kiswaz kimenoga sn congr
@bulabilliontz2 жыл бұрын
*KAMA UNATAMANI GWAJIMA SIKU MOJA AWE RAIS weka like*
@jaymadeleka46702 жыл бұрын
Big up brother 👍🏿 well said.
@Jamie-zp7bb2 жыл бұрын
Huyu jamaa anauwezo mkubwa sana wakufikiri lakini ajabu viongozi wenzake wengi wanashindwa kumuelewa sababu tu hawajafikia kiwango chake.
@geofray01322 жыл бұрын
Daaah umeongea point knouma bro
@enockabumba75132 жыл бұрын
Kabisa
@fulloflife72 жыл бұрын
Hiki alichokisema Gwajima kina nia ya mabadiliko ya kweli na maendeleo ya nchi yetu.
@omarikinyory57852 жыл бұрын
Nice point ✍️ mh gwajima God blessed you for everything 😘 😘 😘 🥰
@mbondelotv83802 жыл бұрын
Nashukuru kwa mara ya kwanza nimesikia hoja ya msingi ikijadiwa bungeni
@neponova89882 жыл бұрын
Ashaongeaga hili...hii mara ya pili..ila wanaelewa sasa
@yaelijoseph87422 жыл бұрын
Lakini sio wote wanaikubali maana wanalinda ugali wao
@jaffuramadhani82542 жыл бұрын
Mm nitashukru sana mweshimiwa gwajima kama watakuunga mkono maono yako katika bunge hili Ahsante sana
@leonardlukongola90132 жыл бұрын
Hongera sana Mh Gwajima umetoa point utekelezaji sasa ndo ishu
@thomaskwibonelwa92402 жыл бұрын
Ujumbe umetumwa kisomi. Safi Sana Gwaji Boy. Maono ya nchi Ni utashi wa genge la mafisadi tu.
@elizabethpetro12582 жыл бұрын
Yeye leo katuma massage nzuri kwa taifa. Juzi Makongolo alituma bonge la massage tunawashukulu Sana.
@juliansowani11762 жыл бұрын
Shida watanzania kila kitu ni siasa na unafiki mtupu. Jamaa anachosema ni uhalisia mtupu ambao hata wasomi wetu wameshindwa kufanya, mfano CHUO KIKUU CHA Dar es Salaam hatuoni kikuwakomboa wananchi wa Tanzania kule Maswa au Nachingwea au Loliondo kwa kuziboresha project mbali mbali mbali za wanachuo na kuzipeleka kwenye uhalisia wa Maisha ya watanzania. well said Gwajima Boy
@edwinkaombwe8312 жыл бұрын
Gwaji Boy is very smart
@kulthumbashiru8642 жыл бұрын
Salute kwako gwajima unauthubutu Mungu akubariki usiwe miongoni mwa wanafiq
@sammasinga90302 жыл бұрын
Well sayed Mh. Gwajima Mungu akulinde
@godfreykihowogos29542 жыл бұрын
Ishi miaka mingi baba unajua kazi Yako ongoa na viziwi wanaosikia hongea na vipofu wanao ona ongea na walaji washika vipofu mkono 💯
@innocent89742 жыл бұрын
Gwajima ana point sana mungu akuongoze kiongozi wetu
@milkamusa58372 жыл бұрын
Sasa tungeweza kuweka siasa pembeni tuendeleze yanayofaa sio lazima tuwe tofauti. Kama maono yanafaa, ni kwa maslahi yetu sote na hakuna anayeweza kumdharau kiongozi anayeendeleza mambo mema ya kizalendo na yenye kujali utu na ustawi wa watu wake. Tatizo tunatanguliza siasa zenye ushindani hasi na matokeo yake ubinafsi na chuki zinapata mwanya. Mungu tunakusihi uwape viongozi wetu unyenyekevu wawatumikie wananchi. Uongozi ni utumishi sio kiti cha starehe... Mungu aendelee kuisimamia nchi.
@pascarmwatosya68152 жыл бұрын
Daa!Pointi Sanaa Sana,Shida Ni kuukubari huwo ushauriii.
@aliahmada91782 жыл бұрын
muhimu awe anakiamini anachokisema
@juliansowani11762 жыл бұрын
Shida watanzania kila kitu ni siasa na unafiki mtupu. Jamaa anachosema ni uhalisia mtupu ambao hata wasomi wetu wameshindwa kufanya, mfano CHUO KIKUU CHA Dar es Salaam hatuoni kikuwakomboa wananchi wa Tanzania kule Maswa au Nachingwea au Loliondo kwa kuziboresha project mbali mbali mbali za wanachuo na kuzipeleka kwenye uhalisia wa Maisha ya watanzania. well said Gwajima Boy
@masihikalokora172 жыл бұрын
Gwajima ni mtu tunayemuhitaji hapa Tanzania
@sagaryajonas7392 жыл бұрын
Kweliiiii mkuu aminia sanaaaaaaaa100%
@patrobamalema86312 жыл бұрын
YESU AKUTUNZE SANA BISHOP GWAJIMA.
@sheryphamwenevalley61242 жыл бұрын
👏👏 Gwaji Boy
@kikalarashid90032 жыл бұрын
leo Gwaji boy umenifurahisha! umetisha!
@essenceonlinetv2172 жыл бұрын
Well said jembe .....
@editrudesmbonde90512 жыл бұрын
Ilibidi kwanza kumshukuru Mungu,halafu ndio ushukuru wengine.😎
@boscojohn68342 жыл бұрын
CCM na ilaaniwe. Yaan wao ni rais kwanza af ndo Mungu,
@htvtanzania34832 жыл бұрын
Point sana
@mzalendohuru...49672 жыл бұрын
Brilliant.....smart leader 💯
@390_siez2 жыл бұрын
The truth .. point salute gwaji boy ... We leave for a government to be considered about that.
@jakee20412 жыл бұрын
God bless you Gwajima, i like your statements always. wish you many years.
@barakacharlessamson19512 жыл бұрын
Fact
@agnesmbemba80732 жыл бұрын
Exactly MR Gwajima,unafaa kuwa mshauri wa rais,,,Hongera kwa kuwa mbeba maono wa Taifa.Mungu ibariki Tanzania na viongozi wake Amen.
@ombeniruvugo71712 жыл бұрын
Mungu akuzindishie upon vzr kimawazo barikiwa sana
@watotochaneltv24812 жыл бұрын
Gwajima mtu wa Mungu unajisumbua bure kuongea hili swala sio mara ya kwanza kusema bungeni nakumbuka hii ni mara ya pili hii nnchi ya ................na wananchi wao ni ............leo wanakupigia makofi wakati walikufungia hii nnchi ni ya ............
@missangela67202 жыл бұрын
😂😂😂
@tittoskeysproject19672 жыл бұрын
Kisenge
@allymasuke15432 жыл бұрын
Hakunaa kitu apoo....ujuwe yy hajuwi kama chama chake kinaongozwa na ILANI ya chama na sio ilani ya TAIFA aliongea kwa JPM mbona alitupa kwa dasbini
@nemcashureiabdallbalaigwaa59372 жыл бұрын
Big point 💪🔥ni kweli kbsa
@vallenymugande57122 жыл бұрын
Barikiwa sana Gwajima sikujuw. Kuwa ww ni jembe kumbe wewe ni jembe tunakuandaa,ngoja tukupike baadae utatufaa kuwa Rais wetu
@yohanepeter68002 жыл бұрын
Lets keep this guy .....gwajima anaupeo
@puyaka18492 жыл бұрын
At least Gwaji boy anaonyesha sio CHAWA hi nchi tunatakiwa kuwa serious aisee ndio maana Kenya sasa hivi wamekaa kimya hawana wasiwasi wa ku lose nafasi yao kuwa Taifa lenye maendeleo east Africa sasa tumesharudi kwenye ujinga wetu na upigaji
@kimsi6822 жыл бұрын
Na bado tutazidi kuendelea!! Usijali. Lakini tunawapenda!
@joniajohn47162 жыл бұрын
Well said👏👏👏👏
@joachimmapunda41252 жыл бұрын
Never spoken facts before this lad
@mussahaji9052 жыл бұрын
Tatizo CCM wajeuri hawamsikilizi huu ndo ukweli ulivyo
@alimakame92152 жыл бұрын
Hata makofi hawampi
@jumamayunga74722 жыл бұрын
Great thinker
@sifalinesamson34842 жыл бұрын
Leo Gwajima ndio umeongea point Safi sana, ongea baba usikike
@mchungajihekimafungo80722 жыл бұрын
Mbona siku zote anaongea,hata hili analo ongea ni mara ya pili
@mcdondosha41512 жыл бұрын
The next president is you no matter how will take time but I see magufuri and Nyerere in you Mh gwajimaaaaaa
@lukassamwel51682 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa
@prospermsemwa14332 жыл бұрын
Huyu ndie kiongozi is smart in massaging
@kasontagabriel35092 жыл бұрын
Uko sahihi Bishop Gwajima
@evagrikatoto99532 жыл бұрын
1 on trending 🙌🙌🙌
@aidanbugufi62002 жыл бұрын
Unaakili sana gwaji boy
@user-dz5tq7zq9t10 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@prince001tv52 жыл бұрын
I like the Tanzania parliament spirit
@barakastephano89962 жыл бұрын
Huwa nakukubali Sana Gwajima. Mungu aendelee kukupa maarifa ndugu.
@sittandaki21352 жыл бұрын
Daaaahhhhh hongera sanaaaa mh.
@josephmgalla62532 жыл бұрын
Amina barikiwa sana
@chamgiwadu2 жыл бұрын
A politician thinks of the next election; a statesman, of the next generation. Mh Gwajima kwa maono hayo, you are a statesman
@juliansowani11762 жыл бұрын
Shida watanzania kila kitu ni siasa na unafiki mtupu. Jamaa anachosema ni uhalisia mtupu ambao hata wasomi wetu wameshindwa kufanya, mfano CHUO KIKUU CHA Dar es Salaam hatuoni kikuwakomboa wananchi wa Tanzania kule Maswa au Nachingwea au Loliondo kwa kuziboresha project mbali mbali mbali za wanachuo na kuzipeleka kwenye uhalisia wa Maisha ya watanzania. well said Gwajima Boy
@lazaroonyango28742 жыл бұрын
Mtumishi nakuombea Mungu akujalie uje uwe Raisi wetu kwa siku za usoni Mungu akubariki
@Princewaweru2 жыл бұрын
Hongera kwa points mzee
@piliibrahim40572 жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu
@dorothyannan81842 жыл бұрын
Salute Gwaji
@johnmalembo64642 жыл бұрын
hii hoja umeiongea kwa mara ya pili ...ina mashiko sana kwa taifa ..lakini wenye mamlaka na wanaotarajia kutafuta na kupata mamlaka hawaiihitaji kwani ndiyo itakuwa kipimo chao cha uongozi. .wanataka wafanye watakavyo bila kupimwa na dira ya taifa ... ni sawa na kusoma shule pasiwepo mtihani...hutabaini nani ameweza nani hakuweza...eee.Mwenyezi Mungu tusaidie
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Kwa sasa kuna ILANI ya CCM. Wanapimwa kutokana na Ilani ya Chama, sio wanafanya watakavyo bila kupimwa! Lakini sio mbaya kuwa na Dira ya Taifa ya muda mrefu zaidi! Na hili sio jambo geni Afrika, hasa kwa majiirani zetu Rwanda, kulikuwa na dira ya Taifa 2000 - 2020. Kagame ameitekeleza na wamepiga hatua kubwa kimaendeleo. Na leo, wamejiwekea Sera 2020-2040.
@charlesrwegalulila10692 жыл бұрын
Hii ni sahihi sana
@ynyynyyny2 жыл бұрын
Big up mh. Askofu
@allyrasi35152 жыл бұрын
Maono na dira ya serikali ya ccm nikuona vyama vyaupinzani vinakufa baada ya miaka sitini ijayo.
@mestonianatori72542 жыл бұрын
😄😄😄😄
@philbertnestory32072 жыл бұрын
Umeupiga mwingi
@faisalkamara61222 жыл бұрын
True. Ila kajiondoa kwenye ubunge😅😅 Make ilo dongo