No video

BIZMAN - Full Interview na Bongo Project

  Рет қаралды 424

Bongo Project

Bongo Project

Күн бұрын

BIZMAN kutoka Inafrika Band - Wana Indege amekuja na mengi sana leo katika meza ya Bongo Project. Hii ni interview maridhawa tuliyofanya naye na ameelezea kwa kina safari yaku ya muziki na maisha kiujumla. Ametuimbia vibao vyake vingi pendwa pia ikiwemo Ametoroshwa. Usikose hii!
#bizman #bongoproject #bongofleva #tanzania #inafrika
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org

Пікірлер: 6
@ZaitunaZaithu
@ZaitunaZaithu 2 ай бұрын
King still king buzman
@user-tb3hi9he5f
@user-tb3hi9he5f 2 ай бұрын
Vipaji vya kweli
@user-kk7re2jl8y
@user-kk7re2jl8y Ай бұрын
Kama ngoma zote zile kafanya bizz man najiuliza ukali wa p funk majani kwenye midundo ni upi
@bongo_project
@bongo_project Ай бұрын
Swali zuri! Bizmann ni mkali wa vinanda. Na Majani ni huko kwingine
@veekenzo
@veekenzo 2 ай бұрын
Mtangazaji sauti yako tunaisikia kwa tabu sana. Next time fanyia kazi
@bongo_project
@bongo_project 2 ай бұрын
Hii interview tulipata tatizo kidogo la audio
MADEE - Full Interview na Bongo Project
1:35:07
Bongo Project
Рет қаралды 1,6 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
BANANA ZORRO - Full Interview na Bongo Project
1:28:37
Bongo Project
Рет қаралды 280
Kalyanam OFF Standup Comedy ON | Ft Deepak & Mahadevan | S03EP32
2:25:45
Intelerks Podcast
Рет қаралды 224 М.
NANGA OG AELEZEA MKASA ULIOMKUTA KWENYE MAISHA YAKE
30:10
Msiri Na Wana
Рет қаралды 286
Heshima ya Bongo Fleva - Bizman | Planet Bongo
47:29
EastAfricaRadio
Рет қаралды 8 М.
EXCLUSIVE NA BONI LUV AFUNGUKA UKWELI KUHUSU KUTOELEWANA NA BOSS WA CLOUDS KUSAGA
18:06