MCH :HANANJA AMTOLEA UVIVU NABII KIBOKO YA WACHAWI SIRI ZA KUTOA MAPEPO

  Рет қаралды 153,208

Bongo Touch

Bongo Touch

18 күн бұрын

Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

Пікірлер: 467
@EmmanuelYohanaMbembela
@EmmanuelYohanaMbembela 2 күн бұрын
Hakika huu ni nyakati za mwisho lazima tuwe makini sana na injili za siku hizi Mungu wa Mbinguni akutunze sana Mchungaji Hananja lazima kweli ya Mungu isemwe👏
@FabiolaAntony-up7ih
@FabiolaAntony-up7ih 9 күн бұрын
Asante Mungu kwa zawadi hii, mwalimu mkweli.neema ya Mungu ikulinde Hananja
@user-bn9iw1lw8f
@user-bn9iw1lw8f 5 күн бұрын
Amina mtumishi
@saiditwalibu5244
@saiditwalibu5244 12 күн бұрын
Huyu Mzee ukiwa na akili huru utamuelewa vzr sana,
@musajonas9397
@musajonas9397 5 күн бұрын
that's point
@mayungahima1987
@mayungahima1987 4 күн бұрын
Mungu anaye watetezi waneno lake lisilogoshiwa, injiri ya Yesu halisi. Mungu akutunze vyema mch HANANJA.
@user-cg1hc7yt3v
@user-cg1hc7yt3v 5 күн бұрын
Nakupenda sana mzee wangu unakili za kuzaliwa awakuwezi wachungaji wote tanzania apa
@Machozihussen-er8cp
@Machozihussen-er8cp 8 күн бұрын
Huyu mch ana mawe mazito sana 'majabali' powerful speech kuna kipindi utafurahi utacheka kuna kipindi anaisisimua akili INSHORT namuelewa sana
@user-zi9ug9tn6m
@user-zi9ug9tn6m 5 күн бұрын
Mchungaji Hananja Mungu akutunze kwakweli,unaugusa moyo wangu ❤😢
@IsraelJackson-c6v
@IsraelJackson-c6v 8 сағат бұрын
Pastor HANANJA Mungu akubariki Sana... Uendelee kutumika vyema na kusimamia kweli ya Kristo Yesu kulingana na maandiko matakatifu.... ❤❤❤
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 12 күн бұрын
Wallah baba nakukubali wewe ni msema kweli mwenye kuchukia na achukie mtumishi wa mungu itakuwaje ajichubue ao ndio welewale
@charlesyotham7977
@charlesyotham7977 13 күн бұрын
Huyu Baba anaongea kweli tupu mkijuwa kweli nayo kweli itakuweka huru
@Yassinseleman
@Yassinseleman 15 күн бұрын
Nilikua na role model wa kisiasa wawili tz lowassa na maalim seiph sasa na baba hananja ni role model wangu kwenye kusema kweli nakupenda baba
@RaymondMumba-k1l
@RaymondMumba-k1l 4 күн бұрын
Mungu akupe mwisho mwema Baba upo sahihi sana
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 14 күн бұрын
Ninachojua nikukupenda tu mchungaji wangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@fanuelkatoto8913
@fanuelkatoto8913 14 күн бұрын
Mungu akuzidishie hekima mtumishi ili tupate mafundisho yako yanayotujenga kiimani. 🙏🏽
@shiracque8524
@shiracque8524 14 күн бұрын
Ubarikiwe mwalimu BABA mchungaji
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 15 күн бұрын
Barikiwa, nakuelewa Mchungaji. Nadhani Elimu pia azingatiwe, isiwe wito tu! nadhani tatizo lingine ni hili. Serekali izingatie haya
@user-hb8iv7jz9c
@user-hb8iv7jz9c 14 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu hananja.
@vieloontz
@vieloontz 9 күн бұрын
Viva mzee....huyu ni mchungaji sasa, Mungu akubariki sana
@eliaskabila1106
@eliaskabila1106 13 күн бұрын
Mchungaji Hananja unasema kweli kabisa Mungu akubariki sana uishi maisha marefu uendelee kutufunza
@lerakalaita6909
@lerakalaita6909 12 күн бұрын
Kweli Mch.Hananja naomba nikupe maua zako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas 4 күн бұрын
Mungu akubaliki sema ukweli walausijali mungu yuponawe hawakuwezi
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 13 күн бұрын
Maashaallah Maashaallah Maashaallah ❤❤❤ Allah akufanyie wepesi mzee wangu I'm musilim
@maalimhamad1297
@maalimhamad1297 12 күн бұрын
Nawewe kafiri kama yeye
@israeluronu9958
@israeluronu9958 12 күн бұрын
​@@maalimhamad1297ww mwenyewe kafiri!! Tafuta hela punguza makasiriko! Kwanii asimsifie kama kaongea point. Acha udini Mungu ni mmoja
@user-ec4br4pd3o
@user-ec4br4pd3o 12 күн бұрын
Acha wivu​@@maalimhamad1297
@brightonvictorkimsehyeon7892
@brightonvictorkimsehyeon7892 12 күн бұрын
​@@maalimhamad1297acha makasiriko mbwa ww rubbish
@stanleymwaselela1849
@stanleymwaselela1849 11 күн бұрын
​@@maalimhamad1297haulazishwi kuja huku au kufuatilia page hii wewe ndio kafiri muda wote unafuatilia mambo ya mwanga tu wewe uchawi unakusumbua
@winfridmsuha1303
@winfridmsuha1303 5 күн бұрын
Uyu mchungaji anajua sana ata akipewa mkoa au wilaya anaweza kuongoza vizuri
@user-wy4yn2xi3n
@user-wy4yn2xi3n 11 күн бұрын
Mchungaji Hongera Sana upo Vizuri. Nimependa sana mahubiri yako ya MUNGU ni mazuri. Ameeeen MUNGU AKULINDE MIAKA MINGI.
@eunicekiilu7485
@eunicekiilu7485 3 күн бұрын
Aminaaaaaaaaàh 🙌 barikiwa cna mutumishi wa mungu
@Sifa-ol4lb
@Sifa-ol4lb 9 күн бұрын
Nakuombea kwa mungu uwe na maisha maref sanaa nakupenda san BABA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@kevindakbm7006
@kevindakbm7006 5 күн бұрын
Deni lilipwe nnae mda humu vp umeskia
@user-zp5qj3ym5x
@user-zp5qj3ym5x 12 күн бұрын
Mm ni muislamu ila uyu mzee namuelewa sana na pia napenda kumfuatilia kwenye vipindi vyake Mungu akueke mchunguji Ananja
@kilimaentertainment1687
@kilimaentertainment1687 11 күн бұрын
Mimi pia ni Islamic ila huyu ni mwislamu Mungu anentumia upande huo wasipotee yaani Yuko real real real hababaji safi sana
@fumotv7914
@fumotv7914 5 күн бұрын
​@@kilimaentertainment1687ukiona mtu anawasema wengne ndo muislam? Kabla ulikua unamjua?
@shabbymakapane
@shabbymakapane 15 күн бұрын
🤣🤣🤣😭 👏👏👏 Haleluya Mchungaji HANANJA Sema Ukweli,
@user-kq7kn7gh6l
@user-kq7kn7gh6l 16 күн бұрын
Mimi ni mmoja wa watu ninao fuatilia mafundisho yako kiukweli unacho kiongea nikweli kabisa kwani baadhi ya makanisa yamegeuka hayafuati bibblia Bali wamejipangia taratibu tofauti na maagizo ya mwenyezi mungu , lakini Sasa Kila kitu kitawekwa wazima mwenye akiri na afahamu,maana hata wenzetu wa dini nyingine wanapata kutu SEMA kuwa huu ukristo sio dini ,lakini mungu atawatawanya manabii feki kwa njia saba
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 16 күн бұрын
Nakuelewa sana Mch Hananja. Asiekuelewa hasikilizi vizuri. Hongera kwa kuwa muwazi.
@devotaminga9352
@devotaminga9352 2 күн бұрын
Mungu anao watu Mungu anajivunia wewe akiangalia kanisa lilivyo kengeuka ila akikuangalia wewe anajivunia sanaa 🙌🙏
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 11 күн бұрын
PASTOR HANANJA ASANTE. KODI NI MUHIMU. CAKE, MAJI, MAFUTA, LESO CHUMVI, NKVIKO MADHABAHUNI GHARAMA VIMEOMBEWA KUAKISI UPONYAJI AU MALI UTAJIRI. TUNASHUKURU KWA MAELEZO YAKO PENGINE YANA UKWELI NDANI YAKE. KWAMBA HAMNA WIZI HAPO SIYO. AMEEN. 😊
@godfreymhina6236
@godfreymhina6236 13 күн бұрын
Mchg kwakweli BWANA akubaliki sana amekuweka kwa kusudi huo ndio ukweli, Mwenye kuelewa ataelewa lakini huo unaoeleza ndio ukweli kwenye kizazi cha ukaidi.
@wanguwangu34
@wanguwangu34 3 күн бұрын
Hananja ni mtumishi halisi wa MUNGU, barikiwa sana
@devotaminga9352
@devotaminga9352 2 күн бұрын
Mungu akutunze mwl mwema msema kweli wa nyakati za mwisho🙏🙌
@VenerandaKiwia
@VenerandaKiwia 2 күн бұрын
Asante kwa neno Baba Hananja Mungu azidi kukupa hekima
@IlhamMohamed-dh8ng
@IlhamMohamed-dh8ng 5 сағат бұрын
Msema kwel ni mpenz wa MUNGU,Hakika MUNGU akutunze sn❤
@Christinajosephkitundu
@Christinajosephkitundu Күн бұрын
Nakuelewa sana mtumish wa mungu hiyo kwel kabisa tufumbue macho jaman
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 13 күн бұрын
Ni katika wachungaji wachache sana!! Wakweli
@sifamushi1747
@sifamushi1747 22 сағат бұрын
UMEPENDEZA SANA ❤ Mchungaji.
@alicemgalawe3924
@alicemgalawe3924 11 күн бұрын
18:06 Wewe ndo mtumishi wa Mungu bwana Hananja18:28 aja maua kwako, nimekukubali, wape vidonge vyao, wakimeza au wakitema ni shauri yao
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 11 күн бұрын
Hongera Sana mtumishi...unasema ukweli kabisaaa.
@paulmnyanyi7039
@paulmnyanyi7039 3 күн бұрын
Huyu mzee yuko vzr sana. na wengi wetu wanapotoshwa kwasababu Hawasomi Neno la Mungu na kutotaka kujua.
@EVANSOUMA-k5h
@EVANSOUMA-k5h 12 күн бұрын
Mungu akuzidishie roho mtakatifu Baba mchungaji
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 15 күн бұрын
Kama umesoma biblia toka mwanzo mpaka Ufunuo, hongera na Kama bado na huna mda komaa kiroho kwa kumsikiliza Hananja sugu wa imani isiyo goshiwa
@SadickMwakisyala-gj5qi
@SadickMwakisyala-gj5qi 8 сағат бұрын
Mungu akubariki sana umeongea point
@user-sw2nu4qd2x
@user-sw2nu4qd2x 5 күн бұрын
Nakuombea sana mzeee udumu maanaa hawa masharu wanaaribia wenginee wenye witi
@DENISNDOGHWE
@DENISNDOGHWE Күн бұрын
mungu akutunze sana sana kwa elimu nzuri
@MeryTuli
@MeryTuli Күн бұрын
Mzee Hana masiara na ukweli❤❤❤❤❤❤
@hamisikamanda9933
@hamisikamanda9933 6 күн бұрын
Vizuri havidumu tunajua,,, ila mungu tuachie huyu basi jamaniii Dah!!
@mmakajunior3063
@mmakajunior3063 3 күн бұрын
Mungu nimwem mchugaji hananja nimuekawazi hiiimeenda❤🎉
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 10 күн бұрын
Navutiwa sana na Huyu mchungaji anajitahidi sana kusema ukweli.Mungu ambariki sana
@VERONICASEGESELA
@VERONICASEGESELA 4 күн бұрын
Injili ya kweli siku hizi haina wafuasi wengi na watu wengi wamepotea kwa kutokuzingatia maarifa ya neno la Mungu .asante Mchungaji kwa kukazia ukweli ulivyo
@Nicaonlinetv7324
@Nicaonlinetv7324 5 күн бұрын
Ni mara chache sana kukuta post ina maoni ya aina moja. Comment zote zinaongea lugha moja kumkubali Mchungaji Hananja. Hakika lipo jambo la kujifunza hapa.
@devotaminga9352
@devotaminga9352 2 күн бұрын
Harafu utashangaa jumbe kama hiziii zilizotawaliwa na ukweli hazipostiwi na media ila wale wapotoshaji wanapewa kipaumbele sanaa Mungu lisaidie kanisa lako mkumbuke huyu Baba umpe ulinzi🙏
@vailethudson2771
@vailethudson2771 8 күн бұрын
hahahah Mungu sio shemeji yako,,,hakika nakuelewaga sana Mtumishi
@Malaikakisseto
@Malaikakisseto 16 сағат бұрын
Kwakweli sio wewe tu hata mm nashangaa Sana watu wengine sijui wanatoa Imani wapi Wanawatii na kusikiliza wahubiri wa hovyo
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 12 күн бұрын
Na Kuna watu waliomba awafanyie muujiza akagoma kabisa
@felisterjoshuamollel3930
@felisterjoshuamollel3930 2 күн бұрын
😢😢madhabahu imegeuzwa duka watozwe kodi🎉
@luismchayano4796
@luismchayano4796 Күн бұрын
Mch. Umeongea vizuri sana. Lkn karibia makanisa yote yanafanya biasha inawezekana ikawa direct or indirect. Mfano minada kanisani ni biashara,kuchangisha michango mingi kanisani ni biashara, kulazimisha watu watoe sadaka kuanzia kiasi fulani ni biashara, au kuchonga masanduku yanayoruhusu kuingia kiasi fulani tu cha fedha ni biasha ili kipato kiwe kikubwa zaidi. Kwahiyo binafsi suala la biashara madhabahuni naona limekuwa la kawaida tu.
@farijala1
@farijala1 16 күн бұрын
Huyu Mzee Huwa anaongea Uhalisiawanamna Mafundisho halisi ya Dini. Haya anayosea Ndani ya Uislamu ni Hivyo na ninaamini hata kwenye Ukristo ni Hivyo,Sema hawakosekanagi wanaotafuta Upenyo wa Kuelekea namna vichwa vyao vinavyotaka.
@IlhamMohamed-dh8ng
@IlhamMohamed-dh8ng 5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ila ww Mzee unaongea facts sana aiseee
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 16 күн бұрын
Heavy point WALIPE KODI
@user-gv4jx2fp4u
@user-gv4jx2fp4u Күн бұрын
Nakuelewa sana ni kweli MUUJIZA NI KWA WASIOAMINI,NA NA JITIHADA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII MAFANIKIO NI LAZIMA
@worth_monkey
@worth_monkey 13 күн бұрын
mungu akuweke mchungaji umeongea fact sana asee wabongoo wanaburuzwaaa
@SalumSevingi
@SalumSevingi 13 күн бұрын
Mwenyz Mungu akulinde.
@fredybanda2861
@fredybanda2861 15 күн бұрын
Exactly servant of God
@MzuandaMlali-x3r
@MzuandaMlali-x3r 5 күн бұрын
Baba ni kweli kabisa
@KahimanoMutwa
@KahimanoMutwa 13 күн бұрын
This is my father now ❤
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 16 күн бұрын
Hakika mchungaji yesu mwenyewe alilipa kodi
@WigesaNyerere
@WigesaNyerere 11 күн бұрын
Mchungaji Mungu akusimamie daima,unasalisha kanisa gani na wapi me nahtaji kurudi kanisani,maana nishaa Acha nasalia ndani tu,ila unafundsha neno mpka nafrahi
@musajonas9397
@musajonas9397 5 күн бұрын
uko sawa ubarikiwe sana pastor watu wamependa kudanganywa ila nakuelewa sana Barikiwa
@user-sp5vr7uo4w
@user-sp5vr7uo4w 13 күн бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@wilfredjohn4829
@wilfredjohn4829 13 күн бұрын
Amen nimekuelewa Baba yangu Mungu akubariki 😂😂😂😂 dawa ya deni ni kulipa jaman kwakweli umeongea ukweli kabisa watumishi wa Mungu huubiri Neno la Mungu yohana 8:32 Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru.....
@LinosJohn-dp9xi
@LinosJohn-dp9xi 14 күн бұрын
Hananjaa umesahau ndio maaana yesu alipindua meza za watu kwenye masinagogi yao
@nkundechindwa9654
@nkundechindwa9654 2 күн бұрын
Nakuoenda bure mchungaji Hananja yaani ni kweli tupu usemayo
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 11 күн бұрын
Umeongea vizuri sana mchungaji Mungu akutunze
@user-vy9en5ly1z
@user-vy9en5ly1z 8 күн бұрын
MCHUNGAJI asemaye Kweli ni Hananja tu.
@panduafricangiant4902
@panduafricangiant4902 16 күн бұрын
Hakuna miujiza katika mafanikio lakini kuna bahati katika juhudi pale mtaji unapokutana na fursa iyo ndo miujiza katika dunia halisi ila hii ya kisubiri kukemea mapepo utasubiri mafanikio mpaka unazeeka
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa 14 күн бұрын
Kijana una akili sana...,busara na hekima ya hali ya juu..Taifa lingekua na Vijana wengi wenye ukomavu wa uelewa huu..tungefika mbali sana Kiuchumi..ki hisia na kiimani
@funniestAxel
@funniestAxel 10 күн бұрын
hili jibu linaonesha uhalisia wa kilicho ndani ya kichwa, keep it up billionaire
@HappyCrescentMoon-oy1yp
@HappyCrescentMoon-oy1yp 6 күн бұрын
Nakubari sana huyu mzee
@ZamdaNdale
@ZamdaNdale 12 сағат бұрын
Mungu akupe miaka yakuishi
@user-ho7ci2fq1c
@user-ho7ci2fq1c 12 күн бұрын
Exactly Man of GooD
@mu_tv56
@mu_tv56 16 күн бұрын
Ningekua mkristo, kanisa la huyu mzee ndio ningelitumia kuabudu kwakwel, uyu ni mtu wa Mungu
@fideschacky
@fideschacky 15 күн бұрын
Hana kanisa huyu,anasali kkkt,ila yuko vizuri kwakweli
@upendogreutert199
@upendogreutert199 15 күн бұрын
@@fideschackyalikuwa Mchungaji wa KKKT Ila kwa sasa amestaafu anatoaga tu Ushauri sehemu mbalimbali
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 15 күн бұрын
😂
@user-pl3pc4wk9i
@user-pl3pc4wk9i 14 күн бұрын
Kanisa siyo kigezo kikubwa ni nawewe ujue biblia karibu ujifunza biblia
@maalimhamad1297
@maalimhamad1297 12 күн бұрын
Wewe pia kafiri kama yeye wewe dini gani unatamani uwe na kafiri kama huyo na anauzuri gani mtu anamkfuru Allah wewe unasema mtu mzuri jieleweni mjue dini zenu
@camillasiwa6506
@camillasiwa6506 13 күн бұрын
big up mchungaji...tuko pamoja sanaaaaa....waambie hao wajinga wanaoliwa sadaka zao
@phanuelemmanuel4743
@phanuelemmanuel4743 8 күн бұрын
Mungu ni mwema siku zote ubarikiwe Sana Tena Sana mtumishi WA mungu barikiwa Sana 🙏🙏🙏🙏🙏 hata muimbaji MUNISHI aliyaimba yote haya wimbo unatwa MAKANISA
@agnesandrew2742
@agnesandrew2742 12 күн бұрын
Barikiwa baba mchungaji ❤❤
@LaurenciaZacharia
@LaurenciaZacharia 2 күн бұрын
Nakuelewa Sana mchungaji
@rehemakaijage1364
@rehemakaijage1364 13 күн бұрын
Mchungaji, unapatikana wapi? Natamani Semina / Ibada zako, ILI nifurahi, nicheke, niongeze hekima zitokanazo na NENO LA MUNGU UNALOFUNDISHA.
@philipedward6090
@philipedward6090 6 күн бұрын
Anastahili kuwa Askofu mkuu wa makanisa yote Tanzania 🇹🇿, Yaani RC, K.K.K.T, ANGLICAN, TAG, EAGT, PAG, FPCT Yote weka ndani ya HANANJA 💪🏾
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 13 күн бұрын
Dah afazali umesema bb mkorogo wa mwafula ni nyoko😂
@winfridalazaro296
@winfridalazaro296 7 күн бұрын
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi akulinde,aitunze afya Yako na azidi kukupa maarifa zaidi Ili watu wa Mungu wapone
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 16 күн бұрын
Kweli kabisa Hananja 🎉🎉
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 15 күн бұрын
Wafanyabiashara wa Tanzania uku wanakimbia kulipa kodi
@user-ec4br4pd3o
@user-ec4br4pd3o 12 күн бұрын
❤❤❤mungu akubariki mchungaji
@evelynesuleyman7757
@evelynesuleyman7757 2 күн бұрын
Nampendaga sana huyu baba😂
@wanguwangu34
@wanguwangu34 3 күн бұрын
Labda nimwambie kuwa huyu Kiboko wa wachawi siyo mtumishi wa Mungu Bali mtumishi wa shetani
@imanimwandosya370
@imanimwandosya370 8 күн бұрын
Mchungaji wewe ni mwalimu mzuri sana unatufungua akili wengi,
@OswardalexandarbapafukeB-ty9oe
@OswardalexandarbapafukeB-ty9oe 8 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@honorathampemba5392
@honorathampemba5392 10 күн бұрын
Pastor Umewatoa watu upofu wa Imani.
@sep10pili202
@sep10pili202 13 күн бұрын
Mungu akuinui bro
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 42 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 79 М.
KAULI ZA NAPE NA KASHKASH ZILIZOWAHI KUMKUTA
6:48
JAMBO TV
Рет қаралды 18 М.
DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA
14:43
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47