MCH. HANANJA ATOA SOMO KUHUSU SABATO YA JUMAMOSI AUNGANA NA USTADHI DANIEL KUMPA SOMO MCH. NDACHA

  Рет қаралды 45,472

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

24 күн бұрын

MAMBO YA SABATO NA JUDAISM HAPA MCHUNGAJI RICHARD HANANJA AMETUELEZA KWA KIREFU UMUHIMU WA SABATO NA JINSI ILIVYO NGUMU AFRICA KUWA MSABATO

Пікірлер: 486
@SimionMtaki
@SimionMtaki Сағат бұрын
Mzee wangu hapa umezingua Penye ukwel hujitenga 😂 ukwel nao sema unapindisha IKUMBUKE SIKU YA SABATO UITAKASE 🙏
@loycealex3475
@loycealex3475 2 күн бұрын
Hata yeye anachokiamini na mapokeo 2 . lakin hujaagizwa na Yesu umeagizwa kostantino
@ShijaPeter-fj6gk
@ShijaPeter-fj6gk 5 күн бұрын
Huyu mzee ukimsikiliza kwa making sanaaaa anaujua ukwel kabisa na sabato anaijua lakin anayajibu maswal kijanja sana kama mnaelewa ameulizwa kuhus Constantine ame lukaluka maana ndie ibadil sheria ya mungu na amri ya nne hajibu inavyo takiwa
@davidndyamukama3148
@davidndyamukama3148 11 күн бұрын
Yesu alienda hekaluni na kwenye masinagogi kwa ajili ya kufuata watu ili awafundishe. Hakuna sehemu Yesu alifundisha kushika sabato.
@zakayomwalongo9330
@zakayomwalongo9330 10 күн бұрын
soma vizur biblia yako ndugu yangu Yesu alizitunza sabato
@WAVELENGTH-tp1tm
@WAVELENGTH-tp1tm 3 күн бұрын
Vivyo hivyo hakutufunza tufanye usagaji, je kwa nini tuukemee ikiwa Yesu hakunena lolote kuhusu ushoga?
@serongawangwejr4916
@serongawangwejr4916 4 күн бұрын
Mchungaji Hananja anajibu kijanja janja. Harejei maandiko!!!
@isacklyanga5835
@isacklyanga5835 11 күн бұрын
Nzee huyu hajui Biblia,dhambi ni uasi wa sheria ya Mungu
@danielmarwa5122
@danielmarwa5122 8 күн бұрын
Ni ngumu sana kutetea uongo, Mungu anataka utii kwa hiyo tunfuata Mungu au maagizo ya binadamu
@AMINAJOAKIMU-k4m
@AMINAJOAKIMU-k4m 4 күн бұрын
Ni andiko gani lasema tusherehekee jumapili badala ya jmosi kwa ajili ya ushindi
@rachelvictor1044
@rachelvictor1044 4 күн бұрын
Hio siku ya ushindi ingekuwa muhimu kuitukuza na kuishangilia basi na mitume wote wangetiana moyo kama unavyosema na kusali siku hio. Mungu akusaidie uione nuru ya kweli maana hata kwa akili ya kibinadamu tu sidhani kama mwanadamu anaruhusiwa kubadili siku ya ibada. Maana hakuna alie kama Mungu.
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 6 сағат бұрын
Kuhusu Utatu Mtakatifu bado hujadadafua ipasavyo. Yesu ni Mwana milele yote. Uana wake haukuanzia kwenye umwilisho wake.
@BoazJacob-y1t
@BoazJacob-y1t 9 күн бұрын
Kwenye maana kuhusu sabato, maelezo hayo umechemka pastor Mungu akusaidie uelewe tuu
@memorataedson7895
@memorataedson7895 20 күн бұрын
pastor asante kwa hekima ya kuelezea mambo magumu kwa namna inayoeleweka zaidi
@AbdallahMpwatile
@AbdallahMpwatile 17 күн бұрын
Nakuelewa sana mzee rich billionaire
@ackimackim1880
@ackimackim1880 17 күн бұрын
UBARIKIWE HANANJA,KWA ELIMU YA JUU,VICHWA MBOVU HAWEZI KUELEWA. Marko2:28.
@PASKALILUANDA
@PASKALILUANDA Күн бұрын
Habarii usipokee tuu , hii ifanyee Ni changamoto kwakoo, Nenda kafatilie kwa Kina Kila unachokisikia hizi Ni Nyakati za hatarii usuchukulie normal haya Mambo ukalidhika , sabato haikubadilika ipo pale pale , maana Kama imebadilika Basi Mungu Ni Mwongo, maana yeyee Ndiye aliyesema 1/ Mimi so kigeugeu (Malaki3;6) 2/ Sikuja kutangua (math 5:17) 3/ Kristo Ni Yeye yule Jana ,leo, na hata Milele. 4/Yeye si mtu aseme Uongo (Hes23;19). 5/ Imani yetu kwake haivunji Sheria yake(Rumi3;31). 6/ Sabato Ni ishara Kati ya Mungu na Mwanadamu.(Yer 20;12 ,20, pia (isay58;13) 7/ Sabato limetokana na Neno Saba , sabato Ni siku ya Saba , inamaanisha Pumziko la siku ya Saba , Ni siku iliyobarikiwa na bwana, Kisha Akaamuru Watu wote wanaojiita Israeli ya Kirohoo kuitunza na Wengine wote wanaoitwa Wanadamu wanaojua wameumbwa na Mungu, pia aliitakasa yaani aliiweka wakfu kwaajiri ya Ibada na sio vinginevyo, ushadidi wa hili si Maneno Matupu Bali Mungu mwenyewe anasema haya yotee( Mwz2;2-3, pia kut20;8, isay 58:13). Sabato ikiwa Ni siku Yoyote Ni Uongo Maana kwa mfano sio rahisi kujitengea siku yako Yoyote na kuiita Jumapili watu watakushangaa, Na hiviNdivyo ilivyo hatuwezi kuhiita siku ya Saba Ni siku Yoyote ile Mbingu zinatushangaa Sana jinsi tunavyochanganywa na Mwovu kwenye haya Mambo. Mimi ukinambia nikushaurii, ntamwambia hili tu " wew Ni Mwanadamu na Mimi pia Kama wewe, Sina nnachoweza peke angu Wala wew peke Ako , Ila tu Tuombee , na kujinyenyekeza Mungu Atufundishe kutambua hila za huyu Shetani , BILA kurudi Magotini kwake kwa Unyenyekevu hatuwezi kufanikiwa Mimi Wala wewe Rafiki yangu,, Haya Ni Madogo Aliyopanga kuyafanya Shetani, Makubwa yanakuja ,yesu alishatuonya kwa ajili ya sikuzetu hizi, UKIPATA MDA ndugu soma math24 Yote, kwa tafakari na MAOMBI Mengi , Utagundua Uongo Mkubwa anaoutaka Shetani Ni kutudanganya Imani zetu ziende kando, Mungu ATUSAIDIE mpendwa, very pain nikifikilia anachokifanya Shetani, NI MUNGU TU, BILA YEYE MTIHANI NI MGUMU SANA .
@nordiccomputers7565
@nordiccomputers7565 4 күн бұрын
Siku jumapili itakapolazimishwa kisheria ndo mtajua si ya Mungu
@ivanbusumbiro6429
@ivanbusumbiro6429 16 күн бұрын
Mchungaji unasema tunatakiwa tujue jambo moja tu,la kutubu dhambi . kwani dhambi ni nini? Najua dhambi ni uasi wa sheria 10 za Mungu kwenye sheria hizo IPO na sabato .kwanini useme kuiba ni dhambi.
@AlfaMwahasanga-j1q
@AlfaMwahasanga-j1q 18 күн бұрын
Lakini wengi wa watumishi leo wanashughuka na kuwatia moyo watu hata kama wanaendelea na dhambi
@josykogei7647
@josykogei7647 21 күн бұрын
Ukweli anasema bwana wetu YESU NDIYE BWANA wa sabato
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 18 күн бұрын
Andiko?
@WAVELENGTH-tp1tm
@WAVELENGTH-tp1tm 3 күн бұрын
kwa hivyo?
@johncharlesmasaibenjaminsa3511
@johncharlesmasaibenjaminsa3511 6 сағат бұрын
Marko 2:27,28 Soma hapo rafiki.
@LilianMbangwa
@LilianMbangwa 3 күн бұрын
Ubarikiwe Baba Mchungaji umejibu yote vema uishi sanaa
@panduafricangiant4902
@panduafricangiant4902 17 күн бұрын
Watu wanazingatia siku lakini ndani yao hawana wokovu ni kubishana tu
@timothykiptoo8166
@timothykiptoo8166 6 күн бұрын
Boiling pot of wisdom.listening from Kenya.
@ahz6907
@ahz6907 17 күн бұрын
Mtangazaji nakurekebisha: katika uislam hakuna siku maalum yakuabudu.tunaabudu sku zote. Ijumaa ni siku ya waislam kukusanyika pamoja na kukumbushwa au kufahamishwa mambo mbalimbali ya dini na jamii.
@sabatomafwele1495
@sabatomafwele1495 19 күн бұрын
Yes mwenyewe alipumzika siku ya Sabato, mitume hata baada ya ufufuo waliendelea kutunza Sabato wewe Nani alikuruhusu kubadili. Mathayo 5:17 Yesu alisema alitabadilishwa
@sospeterlaurent4428
@sospeterlaurent4428 17 күн бұрын
Hujaelewa wapi mbona kasema ushahidi wa maandiko
@charlesmpambwe5055
@charlesmpambwe5055 10 күн бұрын
Yesu aliuawa na washika Sabato... Sabato aliikuta na alienda kuwafuata huko ili kuwafundisha kweli na hakupumzika siku hiyo alufanyakazi kama kawaida ndio maana akaoneka siyo mtu wa Mungu kwa sababu hakuishika sabato...wakamuua...
@charlesmpambwe5055
@charlesmpambwe5055 10 күн бұрын
Soma Mathayo 12:1-2,5,10-12,21. Marko 1:21; 2:23,24; 3:2.... Injili zote ukizisoma kwa mtizamo wa kutaka kujifunza kwa msaada wa Roho Mtakatifu utaelewa... Pumzika siku yoyote utakatifu tu Katika Kristo Yesu ndo utakaokuokoa usiende katika ziwa la moto...
@johncharlesmasaibenjaminsa3511
@johncharlesmasaibenjaminsa3511 6 сағат бұрын
Mathayo 12 Wakiwa katika mashamba ya nafaka, wanafunzi walianza kukwanyua masuke: sheria ya Mungu iliruhusu, Kumbukumbu la Torati 23:25. Huu ulikuwa uandalizi mwembamba kwa Kristo na wanafunzi wake; lakini waliridhika nayo. Mafarisayo hawakugombana nao kwa sababu ya kuchukua nafaka ya mtu mwingine, bali kwa kufanya hivyo siku ya sabato. Kristo alikuja kuwaweka huru wafuasi wake, si tu kutokana na upotovu wa Mafarisayo, bali kutoka kwa kanuni zao zisizo za kimaandiko, na kuhalalisha walichofanya. aliye mkubwa zaidi hatatimizwa matamanio yao, lakini walio duni watafikiriwa mahitaji yao. Kazi hizo ni halali katika siku ya sabato ambayo ni ya lazima, na mapumziko ya sabato ni kupotoka, si kuzuia ibada ya sabato. mahitaji ya afya na chakula yanapaswa kufanywa; lakini watumishi wanapowekwa nyumbani, na familia kuwa eneo la haraka na kuchanganyikiwa katika siku ya Bwana, kuandaa karamu kwa ajili ya wageni, au kwa ajili ya anasa, kesi ni tofauti sana. mambo kama haya, na mengine mengi ya kawaida miongoni mwa maprofesa, yanapaswa kulaumiwa. Kupumzika siku ya sabato kuliwekwa kwa ajili ya wema wa mwanadamu, Kumbukumbu la Torati 5:14. Hakuna sheria lazima ieleweke ili kupingana na mwisho wake yenyewe. na kama vile Kristo ni Bwana wa sabato, inafaa siku hiyo na kazi yake inapaswa kuwekwa wakfu kwake.
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese 22 күн бұрын
Mungu awabariki
@KOLASCLASSICDESIGNS
@KOLASCLASSICDESIGNS 20 күн бұрын
JAMANI AMRI ZIPO 10 WATU WAMEKAMATA SABATO TU KUJIFARIJI ILA WANAZINI WAO, WANATAMANI WAKE ZA WATU WAO ILA SABATO AAAAAAH
@user-wg6pg9bg8v
@user-wg6pg9bg8v 19 күн бұрын
Asa Kama Kuna mtu kazini japo anatunza sabato ndo wengine tuache amri ya Mungu kisa wanaoshika wanazini?
@zakayomwalongo9330
@zakayomwalongo9330 10 күн бұрын
angalia neno la Mungu linasemaje. pia usiangalie waumini wa kisabato angalia kanisa kama mfumo linasisitiza kuazishika amri zote
@danielmarwa5122
@danielmarwa5122 8 күн бұрын
Kwa hiyo wanaosali jumamosi wanafundisha kuvunja zingine
@MnadaMayonga
@MnadaMayonga 3 күн бұрын
Jamani kwa yeyote aende kwenye biblia kusoma ili kujua kinachosemwa kwenye biblia imekaa vipi. Ushahidi wa kujua ukweli ni biblia tu!
@johncharlesmasaibenjaminsa3511
@johncharlesmasaibenjaminsa3511 5 сағат бұрын
Mimi kwa kweli nimeenda kwenye Biblia kujua na nimekutana na hiki japo kwa udogo hivi ila kamenisaidia kumtii na kumwabudu Mungu Muumbaji. Haka hapa hebu nawe kasome katakusaidia Yohana 14:15-18; Yakobo 4:11,12,17 1Yohana 4:1
@ELIASFELIX-bq2nc
@ELIASFELIX-bq2nc 9 күн бұрын
Yes! Akili za mwanadamu haziwezi kuchunguza Mungu!
@user-ux7kg2bw9l
@user-ux7kg2bw9l 13 күн бұрын
MAELEZO YAKO YAMENIFANYA NIJUE SIKU YA SABATO NI JUMAMOSI AHSANTE
@obedkalinga9704
@obedkalinga9704 6 күн бұрын
Tumia Akili zako Juma mosi maana yake ni siku ya kwanza ya juma itakuwaje ni siku ya sabato?
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 3 күн бұрын
Wewe ndo hujui chochote hata hiyo jumapili huijui maana usingesherehekea jumapili kama isingekuwa siku ya kwanza​@@obedkalinga9704
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 3 күн бұрын
Jibu kwa kunukuu maandiko we mzee
@WAVELENGTH-tp1tm
@WAVELENGTH-tp1tm 3 күн бұрын
@@obedkalinga9704 🤣
@WAVELENGTH-tp1tm
@WAVELENGTH-tp1tm 3 күн бұрын
@@obedkalinga9704 hicho kichwa kina akili ama uji?
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w 22 күн бұрын
Amina
@jastinmkoba
@jastinmkoba 3 күн бұрын
Ver correct🤝 ananja
@AneckAdronico-p2k
@AneckAdronico-p2k 20 күн бұрын
Somo zuri mch.
@JosphatMuriungi-ol3fp
@JosphatMuriungi-ol3fp 7 күн бұрын
Jumapili ni siku ya kuabudu ama ni siku y KAZI kuligana na maadiko matakatifu ww poster n muongo sana soma mafungu juu uko mbari
@albertvalentino130
@albertvalentino130 22 күн бұрын
Mch NDACHA ,tatizo la hao wahubiri feki ni shule -- Halafu wapo kwa ajili ya kutafuta kubishana --- " Hatuna muda wa kubishana " unaelewa anachosema Mch Hananja,kipokee kitakusaidia,hukielewi,kiache,endelea na msimamo wako --- Mungu ndiyo mhukumu wa haki.
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 21 күн бұрын
Ndugu, sabato ni jumamosi. Hilo halina ubishi, achana na akina hananja na watumishi wote walio tayari kuusujudia utawala wa kirumi. Na ndio utakuta sikuhizi hakuna nabii wala mchungaji anaewekwa gerezani na kuuwawa kama akina Paul na Sila. Ni kwasababu wamekubali kuongea uongo ili kuufurahisha utawala wa kirumi uliokuja kubadli siku ya sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili. Siku ni muhimu mno, na ndio sababu Mungu ameagiza watu waikumbuke hio siku na waitakase. Kwanini? Kwa sababu Mungu alijua utatokea utawala utakaowaondoa watu kwenye sabato ya kweli.
@georgesamweli9852
@georgesamweli9852 21 күн бұрын
Mungu atakuhukumu kwa neno lake lililoandikwa yaani Biblia na wala siyo mawazo ya watu.
@solomonmugao4733
@solomonmugao4733 19 күн бұрын
Nmchungaji unapenda kutumia maandiko. Lakini umekataa Leo maandiko kabisa. Wasomee mathayi 24 sura nne kuteremka. Tena timotheo Wa pili 4 mstari Wa Kwanza hadi Tano. Lakini Leo umekataa Mada kabisa
@ahz6907
@ahz6907 17 күн бұрын
​@@chillogeorge1383hawa wa zama hizi sio manabii....nabii wa mwisho alikuwa muhammad kwa waislam...na yesu kwa wakristo.
@user-tr2mf3hp5s
@user-tr2mf3hp5s 16 күн бұрын
Nakubali Sana mzee wng
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 3 күн бұрын
Mch unasema wasabato wasali sabato wakristo wasali siku ya ushindi,kwani wasabato siyo wakristo?
@ELIASFELIX-bq2nc
@ELIASFELIX-bq2nc 9 күн бұрын
Acheni Mungu aitwe Mungu. Waasisi wa Waadventista Wasabato Elen G. White na wenzake walitabiri Yesu kurudi miaka Mingi lakini utabiri wao ulikuwa batili. Kwahiyo tumtafute Mungu maadamu anapatikana. Kama uko kinyume na Mungu nafsi iliyoko ndani Yako itakuhukumu mara moja.
@danielmarwa5122
@danielmarwa5122 8 күн бұрын
Kwani dhambi maana yake nini, Biblia inasema dhambi ni uasi wa sheria. Hakuna fungu kwenye biblia linalosema kuhusu kurusha jiwe.
@walterbhoke7935
@walterbhoke7935 5 күн бұрын
Unatetea chapati siku ya hukumu inakungoja biblia inasema sabato ni siku takatifu ya bwana na amesema tuitunze na kuitukuza isaya 58:13-14
@user-ov6nq2wp6w
@user-ov6nq2wp6w 15 күн бұрын
Kabra ya kujua neno LA mungu jifunze kujua tabia za mungu la sivo tutanishana bule alisema usifanye sanamu lakin ktk sanduku la agano Kuna Sanam na nyoka wa Shaba aliagiza tule Kila mnyama mwanzo sula ya Tisa lakin badae akakaza. Kilajambo na wakat tujue kwanza tabia ya mungu.
@PaulRuben-eu5nh
@PaulRuben-eu5nh 22 күн бұрын
Amina sana
@PaulChambala
@PaulChambala 21 күн бұрын
We nae acha uxhabiki
@MeshackMisungwi-w8q
@MeshackMisungwi-w8q 18 күн бұрын
Pole sana mzee somo gumu kwako
@ScardySangah
@ScardySangah 13 күн бұрын
@@MeshackMisungwi-w8q ni vigum kumuelewa mchungaji Hananja, ila ukimuelewa utauona ukweli wa hiki anachokizungumzia.
@mabulageorge7942
@mabulageorge7942 4 күн бұрын
Huyu mzee anaujua ukweli ila hataki kujulikana.
@labanmjunajr3977
@labanmjunajr3977 6 күн бұрын
Swali la uungu wa YESU mbona jepesi Mchungaji sema hamsomi Biblia tu mnashikilia vifungu vichache, siku nyingine kasome Waebrania sura ya 1 MUNGU Baba anamuita YESU Mungu hapo utata unaisha. Uwe unasoma Biblia kwa kina usije ukabananishwa ukashindwa kutetea hoja,
@laickwilinerd5375
@laickwilinerd5375 18 күн бұрын
Akili yako ndoimeishia hapo omba uongezewe maalifa na mungu
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa 22 күн бұрын
Naamini majibu yako ndio akili yako ya mwisho kufikiria Ukiulizwa swali jibu kwa kujenga hoja yenye ushahidi wa maandiko
@jamesndanzi
@jamesndanzi 8 күн бұрын
KWANZA NIKUPONGEZE SANA MCHUNGAJI HANANJA KWA UFAFANUZI MZURI KUHUSU NAMNA YA KUABUDU. EFESO 4:5 "BWANA MMOJA, UBATIZO MMOJA, IMANI MOJA" BIBLIA ILIANDIKWA LENGO LAKE LILIKUWA KUTUFANYA TUREJEE KWENYE MSTARI. KAMA WOTE TUNAFUATA BIBLIA KWANINI TUANZE KUTOFAUTIANA? MUNGU ANAO UTARATIBU WAKE, JE TUNAIPINGA BIBLIA KWA KIGEZO CHA KWAMBA KUSALI NI MUDA WOTE? SHETANI ANAKASIRIKA SANA PALE NGOME YAKE INAPOSHAMBULIWA NA KUWEKWA WAZI, SABATO NDIO DHEHEBU PEKEE LINALOCHUKIWA SANA NA WATU NA NDILO DHEHEBU PEKEE LINALOFUNDISHA KWELI ZA BIBLIA,.................MCHUNGAJI......ONGOZA WATU KATIKA KWELI UZINZI,WIZI,UASHERATI NA AINA ZOTE ZA DHAMBI ZIPO ULIMWENGUNI POTE, HAKUNA MWANADAMU ALIYE MKAMILIFU AMBAYE ATAISHI KWA UKAMILIFU KWENYE ULIMWENGU HUU WENYE DHAMBI ISPOKUWA KILA MTU ANATEGEMEA NEEMA YA MUNGU IOKOAYO. TUNAPOJIKWAA TUJITAHIDI KURUDI MIGUUNI PA MUNGU KWAAJILI YA TOBA
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 3 күн бұрын
Wasabato wameng'ang'ani jumamosi mbona nawewe umeng'ang'ania jumapili
@mkoyitz2448
@mkoyitz2448 22 күн бұрын
Umekwama pole acha kujitetea usijifanye kumsahihisha Mungu
@prochesernest5439
@prochesernest5439 21 күн бұрын
Siku zote ni sawa Warumi 14:5 jibu Hilo hapo usitoke povu Kwa dhehebu lako kwenye ukristo hakuna sabato siku zote ni ibada
@aquinomsigwa6998
@aquinomsigwa6998 21 күн бұрын
Acha dhambi
@aquinomsigwa6998
@aquinomsigwa6998 21 күн бұрын
Iabudu siku
@prochesernest5439
@prochesernest5439 20 күн бұрын
@@aquinomsigwa6998 hachana na kuabudu siku mfate Yesu uspotee ndiomaana mlimtuumu Bwana Yesu heti amevunja sabato kwaiyo tukisema katika ukristo hakuna wasabato tupo sawa tokeni huko Kwa wapinga kristo
@judithminja770
@judithminja770 20 күн бұрын
@@prochesernest5439 kuabudu siku tuu kuacha dhambi Aaaah
@EwalaSanga
@EwalaSanga Күн бұрын
Wafundishe watu ukweli usibebe dhambi xawatu
@PaulChambala
@PaulChambala 21 күн бұрын
Mchungaji kumbuka kua ile ni amri af tumia mandiko na si kwamtazamo wako mchungaji af mchungaji kumbuka silaha ya mkristo ni mandiko na Mungu tunamjua kupitia mandiko
@AudaxNgarama
@AudaxNgarama 8 күн бұрын
Hapo ni kusali Kila siku
@machindafadhili3186
@machindafadhili3186 22 күн бұрын
KWAIYO UMEAMUA KUVUNJA AMRI YA MUNGU? KWA NINI MSIVUNJE AMRI YA 5 YA WAESHIMU BABA NA MAMA ILI SIKU ZAKO ZIPATE KUONGEZEKA. HACHENI UPOTOSHAJI MZEE
@sospeterlaurent4428
@sospeterlaurent4428 17 күн бұрын
Hakuna amli iliyovunjwa ilabiblia imegawanyika ko jitaidi kumuelewa mzee
@goodluckuroki4670
@goodluckuroki4670 12 сағат бұрын
Mchungaji muongo Hebu toa majibu sahihi hayo unayo yasema unanukuuu wapi
@msemakweli243
@msemakweli243 22 күн бұрын
Sasa hapo inabidi ujiulize wakati yesu yupo hai amri na sheria alizitii nyinyi shangwe baada ya kufufuka aingii akilini
@user-px7qw3hs2h
@user-px7qw3hs2h 17 күн бұрын
Ni kweli kuhusu UTATU umejibu sawa kabisa Mungu ni mmoja ila kazi zake ndizo zinazomtambulisha katka huo utatu maana mara nyingi Mungu anjitambulisha katika wingi si Bible pekee bali hata Quran
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 22 күн бұрын
Wewe potosha wenye hawajui maandiko
@denismugisha2
@denismugisha2 19 күн бұрын
Haya twambie wewe unayesoma na kujua neno, mitume walisali sabato ipi na wapi baada ya BWANA kufufuka na kupaa mbinguni
@DavidMujimba
@DavidMujimba 21 күн бұрын
uko sawa mchungaji
@fredlyimo1263
@fredlyimo1263 15 күн бұрын
Tunawahitaji sana wazee km hawa Mungu atujaalie neema hyo ishi sana na hekima nyingi mzee ananja.
@DerickMotondi-cr7fq
@DerickMotondi-cr7fq 7 күн бұрын
Exactly
@lwezaurawilliam4498
@lwezaurawilliam4498 21 күн бұрын
Swala la sabato kwenye Agano jipya ni tofauti na Agano la kale,baada ya Yesu kufufuka,mwanadamu hawezi kumpendaza Mungu kwa kufuata siku,Kila wakati ni ibada WAKOLOSAI 2:18 YOHANA 2:21-22 YEREMIA 31:31-34. WAEBRANIA 10.
@pascopaul909
@pascopaul909 17 күн бұрын
nimekuelewa vizuri na umenisaidia sana natamani na wengine Yesu awafumbue akiri za wapate kuyaelewa na maandiko
@zakayomwalongo9330
@zakayomwalongo9330 10 күн бұрын
kiini cha ibada kwa Mungu ni siku ya sabato
@PASKALILUANDA
@PASKALILUANDA Күн бұрын
Mwanadamu yeyote Ni hekalu la Mungu, Yani Ni nyumba aliyojenga Mungu Mwenyewe, yaani alikuumba, hivyo ndio sababu Yeye hukaa ndani yetu, isipokuwa nyumba inaweza kukaliwa na asiye na Nyumba pia(mvamizi), Ambaye Ni Shetani, Sasa suala la Maamuzi juu ya Mwenye nyumba yapo juu yake mwenyewe, isipokuwa Mungu Amesema yeyote aharibuye nay humwaribu, Hivyo Basi 1/ wew Ni hekalu, Kama Yesu tu alivyokua anajiongelea. 2/ Hilo hekalu la Mungu linamsikiliza Mungu sio vinginevyo, yaani wewe unapaswa usikilize Mungu anataka Nini. PIA, Yer31;31 , inaongelea Agano sio AMRI za Mungu Ambazo zipo tangu kuumbwa Mwanadamu alipewa Kufuata sio Agano tu, sio hivyo tu , yeremia anaongelea Agano la upatanisho wa Dhambi zetu, mfano Tulipaswa kuchinja now hatufanyi hivyo isipokuwa kwa Damu ya Yesu imekua Agano jipya la kutupatanisha na Mungu tunapovunja Amri za Mungu( yaani tunapotenda ndambi, maana "Mshahata wa dhambi Ni Mauti". Hakumaanisha "kitabu Cha Agano jipya yaani New testament Ila Anaongelea Agano yaani convenant" hivi Ni vitu viwili tofauti,, KUMBUKA TU; kitabu Cha Agano jipya na la kale Vyote kwa pamoja vinalengo Moja Vyote Ni Neno la Mungu tu la Milele, Maana Mungu Ni Mmoja na sio Kigeugeu ajigeuke Mwenyewe. Tusiache kuomba lakini tutaelewa tu mpendwaa usikate tamaa ndio safari yetu ilivyo Wala so Tambarare.
@PaulRuben-eu5nh
@PaulRuben-eu5nh 22 күн бұрын
Ubarkiwe mchungaji sana Mungu anasikia kila siku ya mungu
@johncharlesmasaibenjaminsa3511
@johncharlesmasaibenjaminsa3511 6 сағат бұрын
Mwanzo 2:1-3
@joseaugust2805
@joseaugust2805 22 күн бұрын
Hesabu 15:32-36 Mathayo 12:1-21 Wagalatia 2:1-21 Kwasababu ukimpa ndacha maandiko ya Yesu mwenyewe alieponya siku ya sabato atakujibu kwa andiko kuwa Yesu ndo bwana wa sabato ndo maana anamamlaka hayo , na atakuuliza wewe ni Yesu ?, Sasa hayo maandiko hapo juu ukisoma inagisia wanafunzi wa yesu ,. Na yesu alipokuwa ana paa akasema mkawafanye wote kuwa wanafunzi wangu ,. Kwahiyo wafuasi wa Yesu ni wanafunzi wa yesu , Wanaotaka maandiko , sijawahi sikia mchungaji ndacha akagusa yaha maandiko , anajua tuu akiyagusa kwa namna moja au nyingine , anajua mtu akijenga hoja kwa kwa haya maandiko mchungaji mdacha hana cha kujibia haya maandiko labda hayakatae kuwa hayapo kwenye biblia
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on 18 күн бұрын
Nakuelewa sana
@samsonpopat1474
@samsonpopat1474 9 күн бұрын
Amri kumi ndo kiooo sabato ni amri ya mwenyezi Mungu siku ya jpli ni siku ya kwanza ya juma hiyo ni Biblia
@georgesamweli9852
@georgesamweli9852 21 күн бұрын
Tofauti kati ya watu wa Mungu na wasio watu wa Mungu inabainishwa na kutii neno la Mungu au kutotii neno la Mungu. Na kutotii neno la Mungu ndio dhambi yenyewe.
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 10 күн бұрын
Kwa hiyo huamini Biblia ?Hananja usipotoshe watu kitabu Cha mwanzo kinazungumza umbaji alifanya kazi sita ya Saba akapumzika akaacha kazi zote
@lucasmaganya9628
@lucasmaganya9628 17 сағат бұрын
Tuambie andiko linalosema tusali siku ya ushindi
@SimionMtaki
@SimionMtaki Сағат бұрын
Ukwel anao ila anapindisha maandiko 😢
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m 22 күн бұрын
Ubalikiwe mtumishi
@nyagwisnyagwis9306
@nyagwisnyagwis9306 3 күн бұрын
Mbn unapinga maandiko na unatumia biblia c ujitengenezee yako bc " et mungu akapunzika na kustarehe ni uongo kweli" bora ht ungepindisha maana tusingekushtuka haraka kuliko hii ya kukataa andiko lilitiwa pumzi ya mungu waziwaz
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 22 күн бұрын
Mzee Bibilia haitaki kila mtu afute akilizake bali tufuate maandiko fanya mjadala nda ndacha sasa kama ni mapokei inakuwaje wote tunafuta Bibilia na iwe na maapokeo tofauti apo ujua lazima kuna wengine wanatumia maandiko vibaya
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 22 күн бұрын
kbs kbs umenena
@venancenkoronko9250
@venancenkoronko9250 22 күн бұрын
Na utajuej kama unafuata kilicho sahihi?
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 22 күн бұрын
@@venancenkoronko9250 mm najuwa maana mm na amini biblia pekee yake
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 22 күн бұрын
Shida huna andiko
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 22 күн бұрын
Type wewe andiko
@JohariLozano
@JohariLozano 22 күн бұрын
Amekubari kuwa amri ya 4 ni halali kusari jumamosi ubarikiwe hananja Mambo ya kurusha jiwe yameandikwa kitabu gani acha porojo pastor Amri ziko 10 sio 9 hananja .
@Wamisangi
@Wamisangi 22 күн бұрын
Porojo ni kufuata dini ilioasisiwa juu ya msingi wa uongo wa siku ya mwisho ya,dunia. Shetani ni Baba wauongo wote. 1Wakorintho 15:14 Kutoka 12:16:Unabii wa Siku ya kwanza ya juma. Mathayo 18:18. Jinsi unabii wa siku ya kwanza ya juma ulivyofunguliwa katika Agano Jipya. Wasaidie na wenzako kuwaeleza haya msiangamizwe na Helen White kwa kukosa maarifa Hosea 4:6a.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 20 күн бұрын
SIKU ZOTE NI SAWA MBELE ZA MUNGU KILA MMOJA AJULIKANE KWA MUNGU ANAYEMWABUDU.
@abdallahhamisiiddi4513
@abdallahhamisiiddi4513 9 күн бұрын
Ukiona Mungu kapumzika ujuwe niwamchongo
@mabulageorge7942
@mabulageorge7942 4 күн бұрын
sema hujaelewa alimpumzika vipi?.
@mabulageorge7942
@mabulageorge7942 4 күн бұрын
Yeye ndo alisema alipumzika labda kama huamini Biblia ndugu
@johncharlesmasaibenjaminsa3511
@johncharlesmasaibenjaminsa3511 5 сағат бұрын
Tusome hapa naona kama kuna jambo Mungu anatwambia hapa, natumai ukipasoma nawe rafiki kuna jambo utasikizishwa na Mungu. Mwanzo 2:1,2 kuna chembo/nyongeza katika Kutoka 31:17
@BenardPaul-t4x
@BenardPaul-t4x 21 күн бұрын
Mungu akubali mch hananja
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 10 күн бұрын
Waislam WANASWALI au WANAABUDU kila Siku na sio Ijumaa tu.... Ijumaa ni Siku kubwa tu ya Ibada..
@Abudulungazah-zf8ii
@Abudulungazah-zf8ii 16 күн бұрын
Watu wangu watapotea kw kukosa maarifa
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 22 күн бұрын
Mchungaji hananja kwa mengine uko sahihi na ndio imani yetu sisi waisilamu na hio iko sawa kabisa
@VascoKasambala
@VascoKasambala 18 күн бұрын
WASABATO WANAONGOZA KUA NA ROHO MBAYA TANZANIA FANYENI UTAFTI WAO WAMESHIKA SKU TU SIO MENNGINE WANAIJUA AMRI MOJA TU
@zakayomwalongo9330
@zakayomwalongo9330 10 күн бұрын
@@VascoKasambala ndugu ukiambiwa ukwrl ambao uko kwenyr biblia kubali kubadilika usimwambie mtu anaekwambia ukwel et ana roho mbaya. acha kufwatilia wachungaji au viongoz wa dini . ni wakati wa kurudi kwenye biblia
@danielmarwa5122
@danielmarwa5122 8 күн бұрын
Hayo ni maneno ya chuki ukweli upo pale pale ama tii au usitii Mungu atanyosha mstari
@TheSabbathcalChurchKibaha
@TheSabbathcalChurchKibaha 6 күн бұрын
MY WORD, I, YOUR HOLY GOD, LET IT REACH HUMANS EVERYWHERE IN THE WORLD All human beings, the time has reached. There was silence, but now the time has reached, a time to be open. The HOLY GOD who is up in HEAVEN is speaking in the world through his servant for many years. Don’t stay with your questions of every kind. People you are asking, what is happening? We don’t have a place to ask. There is His servant who speaks with him and has all the answers from the King of HEAVEN, the HOLY GOD. Don’t keep silent while disasters are happening in the world. There is His Seer who speaks with Him and will tell us why all these things are happening. Well, there are still many things that will happen, brought by the HOLY GOD. Don’t stay knowing that there is no prophet to ask. There is His Seer who speaks with the living HOLY GOD up in HEAVEN. Let us go and ask what is happening so that the living HOLY GOD up in HEAVEN can answer us. He speaks with the Seer, who has already been prophesied to communicate with the living HOLY GOD in HEAVEN. He has received the Good News of the Kingdom of HEAVEN, he is African who started in 1988. The Good News has arrived in Tanzania; there is a Seer who receives hymns from HEAVEN, sung by the ANGELS in HEAVEN and sung here on earth. He prays for people with various problems and casts out demons. It is necessary for everyone to come and know what the HOLY GOD is saying. location: The Sabbatical Church-Tanzania-Coast Region (Pwani)-Kibaha District -Misugusugu Ward-Vitendo Street. No. Elider’s Name Contacts 1 Adamson Mwandalima +255752092911 2 Aloyce Msilikale +255714404922 3 Peter Missana +255755536419 4 Paul Chibuga +255672562255 5 Benjamini Lawi +255784679613 6 Simeoni Joeli +255628801127 7 Daniel Kashushu +255768803430
@AlexMungathia
@AlexMungathia 18 күн бұрын
Tuewe na imani moja na ubatinzo mmoja ili tuwe na mwili wa yesu
@JohnMashamba
@JohnMashamba 17 күн бұрын
Huyo anachenga za mwili,na anaelimu ya Dunia na huyo Mungu wake tumbo.
@williamgabrielmassawe3654
@williamgabrielmassawe3654 23 күн бұрын
Mchungaji Hananja ni Mgodi unaoishi
@paulmutuajustus5277
@paulmutuajustus5277 22 күн бұрын
Umepoteza wengi baz.
@mako331
@mako331 22 күн бұрын
Mzee huwa nakuamini😂sana ulivyo muwazi ila hili la Sabato naona unamumunya maneno. Kama kuitunza sabato isingekuwa muhimu kutunzwa na watu wote duniani isingewekwa kwenye amri kumi za Mungu. Sasa unawezaje kusema tusitunze amri ya nne ya Sabato halafu useme tushike zingine. Halafu pia unakubali Sabato ya kweli ni jumamosi, jumapili iliwekwa na wanadamu fuata historia na hili ndilo litakuwa jaribu kubwa siku za usoni ukatoliki utashikana na marekani na kulazimisha watu kusali jumapili hapo ndio utaelewa
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 22 күн бұрын
​@@mako331 Kuhusisha Ukatoliki na Marekani ni ujinga uliyopitiliza. Marekani ni wapinzani wa Ukatoliki na kuna wakatoliki wachache sana Kanisa la wasabato ndilo lililoanzishwa Marekani na Hellen Guild White 1874, pili Marekani ni chimbuko la makanisa ya kipentekiste baada ya mkutano mkuu wa makanisa mbalimbali uliyojulikana kama assemblies of God mwaka 1960. Kwa hiyo madai yako ya kuhusisha Ukatoliki na Marekani ni uzushi, chuki uzandiki na unafiki!
@user-uh3eg5cj2r
@user-uh3eg5cj2r 22 күн бұрын
@@mako331 lkn tukumbuke kuwa mch hananja sio kwamba a najua kila jambo Kuna mambo kibao Hana ufahamu nayo ni vzr akajenga hoja kwa maandiko asitoe falsafa tu ambazo haina maandiko!!!
@fredducaunt
@fredducaunt 22 күн бұрын
Marekani sio dini dogo Marekani kuna waislamu Wayahudi na wakristu na wapagani Ongea hoja sio kubwabwaja
@ShukranIsaya
@ShukranIsaya 4 күн бұрын
Huyu Mzee anatoa porojo hana maandiko, jambo ni Moja kutii au kufata huyu Mzee na wanapropanganda wenzie, biblia inaseama alipumnzika yeye anabisha nini anabeza mpaka biblia nia ajabu
@davidndyamukama3148
@davidndyamukama3148 11 күн бұрын
Kasema: Utawala wa kidunia una nafasi katika mambo ya Mungu. Kataja baadhi ya mambo ya ki Mungu.
@user13375
@user13375 22 күн бұрын
😮
@marinemodest1798
@marinemodest1798 15 күн бұрын
Washika sabato tu wizi wewe uasherati na kila aina ya uchafu wewe halafu unategemea kwenda Mbinguni na kuona wenye dini nyingine sio kitu
@emmanuelpeter6742
@emmanuelpeter6742 21 күн бұрын
Yesu ni mwana wa Mungu, Yesu anachanzo na ndio Mzaliwa wa kwanza
@emmanuelpeter6742
@emmanuelpeter6742 21 күн бұрын
Imeandikwa usimukumu mtu Kwa Siku chakula, mwandamo wa mwezi Wala Sabato
@obedilizer3412
@obedilizer3412 16 күн бұрын
Wewe jitokeza ufanye mdahalo na ndacha uelewe maandiko maana umeanza kupotoka Soma kutoka 20:8-11 Kama Mungu hakustarehe au unatumia biblia yako
@charlesmaina-t4m
@charlesmaina-t4m 8 күн бұрын
Hananja uwasomee akolosai 2:16 wajue hamna sabato YESU ndiye sabato.
@godwinisengo5657
@godwinisengo5657 7 күн бұрын
Jua mkutadha wa fungu wakolosai 2:16 inahusu kutokuhukumu na nini maana ya kuhukumu,ni toa adhabu tusichanganye kuhukumu na kufundisha ikiwa wachungaji wanakemea watu kuacha dhambi tutasema wanahukumu ? Kwa mujibu wa wakolosai? Hapana tunaposoma maandiko tujue lengo lilikuwa nini.
@RichardMachuki
@RichardMachuki 18 күн бұрын
Je, mnayoyasunguza mwayatoa katika maandiko gani? Sabato imeanzia juma la kwanza ya uumbaji. Ni amri aliyoitoa Maulana. Je, tutafuata maelezo yenu au ya Mungu. Mungu alitoa kielelezo tufuate.
@Mchitaman-vs1lc
@Mchitaman-vs1lc 13 күн бұрын
Hajawambia muach sabato ila je mnafat maandiko ya sabato ekewe kitu ndo ujibu
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 6 сағат бұрын
Nioneshe andiko Ibrahim akienda kusali jumamosi
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 22 күн бұрын
Waislamu wanaabudu majini na Allah ni Giza sisi ni Nuru ijumaa ni yao sisi haitihusu
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 22 күн бұрын
Ni giza kwa lugha gani?
@ashrafnuru6402
@ashrafnuru6402 22 күн бұрын
Kafiri ni kafiri tu ndo maaana anaenda chooni na makaratasi,
@josephlorri431
@josephlorri431 21 күн бұрын
Hata ukitawaza kwa dawa na kupiga perfume kinyeo chako..bado kitazikwa ardhini.. dini ni imani,usafi wa roho yako ndo muhimu ​@@ashrafnuru6402
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 21 күн бұрын
Hapana umekosea mwanadam hatakiwi kufuata yakwake bali mwanadam afuate alichosema mungu kama mwanadam anafuata cha kwake smpotea na ibade yake ni bure mathayo 15:8_9
@isayalemberua9195
@isayalemberua9195 20 күн бұрын
kwa kweli unajibu sawasawa
@magrethyoseph3034
@magrethyoseph3034 6 күн бұрын
Siyo
@JeremiahMtaki-u5t
@JeremiahMtaki-u5t 9 күн бұрын
Mungu siyo kigeugeu, malaki 3:6, yesu hakuja kutangua torati mathayo 5:17
@joseaugust2805
@joseaugust2805 22 күн бұрын
Alafu ukisoma mathayo 5 yote , utagundua Yesu kuna baadhi ya amri alikuwa anaziondoa kistyle yake , Sasa kama torati imesema jino kwa jino , yeye Yesu anakuja kutuambia mtu akikupiga shavu ili mgeusie na shavu lingine akupige maana yake nini kama sio kuondoa hiyo amri ya jino kwa jino ki style , Ndo maana. Ukisoma agano la kale lote na jipya lote , utagundua MUNGU kuna namna aliwachukulia watu wa kale wa agano la kale na kuna namna pia aliwachukulia watu wa agano jipya ,. Ila ukibaki na kukariri maandiko bila kielewa ndo unashikilia nira ngumu ya kale ,. Ndo maana Yesu alisema nira yake ni laini
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 22 күн бұрын
Mzee Hananja umegusa pabaya. Tafuta masomo mengine. Achana na somo la Sabato
@fredlyimo1263
@fredlyimo1263 15 күн бұрын
Acha mtazamo wa kidini
@fredlyimo1263
@fredlyimo1263 15 күн бұрын
Mzee yuko sahihi mnaondena kwa udini ndy mnaletaga sana matatizo
@ELIASFELIX-bq2nc
@ELIASFELIX-bq2nc 9 күн бұрын
Mmmmmmh sasa naelewa mitume na manabii hawa wanajitafutia utukufu wao.
@MbendaHalfan
@MbendaHalfan 21 күн бұрын
Wakristo wanaabudu masanamu,waislam wanamwabu mwenyezi Mungu mmoja tu na wanamwabudu kila siku siyo siku moja tu,lazima uelewe we katili uliosema waislam wanaabudu majini pumbavuuuu
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 187 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 8 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 90 МЛН
MCH HANANJA ATOBOA SIRI ZA MITUME NA MANABII, LEO NAONGEA UKWELI
31:52
NDACHA ASHIDWA KUDHIBITISHA IBADA YA WAKRISTO
1:32:13
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 42 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 187 МЛН