USIOGOPE HII VIDEO JINI LILIVYOITWA LIVE NA SHEKHE MWENYE UWEZO KULIKO DR SULLE

  Рет қаралды 117,830

Bongo Touch

Bongo Touch

3 ай бұрын

Пікірлер: 576
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 2 ай бұрын
Mnautia madoa uislamu, wakati uislamu ni safi. Subhanallah. Mnaacha mafundisho ya Mwenyezi Mungu na Mtume mnafuata matundisho ambayo hayamo ndani ndani ya Qur'an. Hayo ni matunda ya sheitwani. Mnaitukanisha Dini ya Mwenyezi Mungu.
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 2 ай бұрын
Hakuna dosari bali ni kweli kabisa uislam na majini ni kama samaki na maji
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 2 ай бұрын
@@ebenezerchurchsupremetv9490 Hao si hawaelewi yaani ukizaliwa muislam kiuharisia wewe teyari una majini upo connected nayo (ndio maana wanakuwa na roho ya mpinga Kristo kafiri) na ukisilimu pia upo pamoja nayo.
@whajavfsb5154
@whajavfsb5154 2 ай бұрын
😂😂yan waislam wengi hawajui dini yao wanakua wanaona kama hawa ni waongo
@gabrielphabian4439
@gabrielphabian4439 2 ай бұрын
Ushawahi waza katka moyo wako,je kama waafrika tungejaaliwa tecnologia nzuri ya kutengeneza siraha Bora na majeshi bora ya kujilinda,kabla ya wazungu je wangetutawala vp na dini zao wangeziingiza vp Africa,je zisingekuja hizi dini hatma yetu ungekuw nn, jiulize xna then Leta majibu
@SaidiAmiri-qv5ed
@SaidiAmiri-qv5ed 2 ай бұрын
​@@ebenezerchurchsupremetv9490musicho kijua nikwamba Qur'an nikitabu ambacho hakijaacha kitu,wenzetu wa upande wa pili munaamini uislam ni dini isiyo yakweli,na waislam wanafuga majini,kwanza mufaamu majini ni viumbe kama ssi Mungu aliwaumba wanadamu na majini ili wamuabudu,lakini majini haya kuna majini mema na majini mahovu kama ssi binadamu.kwahiyo basi narudi kwenye qu'ani nikitabu ambacho wazungu wanakitumia sana ili kujifaidisha kwasababu nikibu ambaho hakijaacha kitu,hivyo enyi wakristo uislam ni dini ya kweli na haina mashaka ndani yake,hawa wanaofanya hivi ni miongoni mwa wale wanaomkufuru Mungu.
@adamkassim-ts2ds
@adamkassim-ts2ds 2 ай бұрын
Subhanallah huu ni ushirikina...mtume sws alisema Akbar kabahir madhambi makubwa kuliko yote ya Kwanza ni kumshirikisha mwenyezi mungu dini yetu ya kiislam mwaifanya ni ya ki sheitwan... sheikh umevaa vazi la heshima ila unaongea mambo ya shirki mwenyezi mungu akusameh na akuongoze njia ya swa
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
Usionge kitu hujui huyu sio mshirikina akueleza hajasema uwite majini huyu amesomea hayo mambo ww ukirogwa anao ilimu ya kukutibu waona nabii suleiman alikua akiwatumia kwa njia ya sawa hata ww waeza kumtumia jini ili kufanyia mtu dawa apone makosa Nepalese wataka utajiri utumie majini kua kutoa kafara ziko njia nyingi sasa ustadh yuwakueleza sio kwamba yy mchawi huyu ni mtabibu
@adamkassim-ts2ds
@adamkassim-ts2ds 2 ай бұрын
@@saba-gv3mj wew ndo ujui kitu sisi ni umma wa mtume Muhammad sws twafata Sunnah zke we uliskia historia ya mtume akifanya tiba na kushirikisha majini
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
@@adamkassim-ts2ds kushirikisha majini vp soma boss wacha kukurupukwa sawa mtume s a w amefundisha kila kitu mana ya rukia ni nn kushirikisha mungu ni kutumia jini kuroga sawa na mengineo tafauti tafauti ambayo kumdhuru binadamu mwenzako na waeza kutumia jini kisheria jini waeza kumtumia ukifanyia watu dawa kama kumtuma kutafuta miti shamba na kuna dawa zengine majini wazijua ambao ni waisilamu na kunao majini wengine wakiristo ambao kazi zao kukupa ww binadamu ugonjwa ama ukitaka akufanyie mambo yako atakwambia umshirikishe Allah ndio ufanikiwe kama kua umtoe mamako ama umtoe mtoto wako sawa soma mwanzo kabla kuropokwa tumeumbwa majini na binadamu tumuabudu Allah basi na wengine wanamusi Allah
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
@adamkassim-ts2ds sasa kama hunui hata mtume s a w alikutana na majini tena wakamuamini soma suratul jin usikurupukwe sawa na kila binadamu anae shitwani na malaika sawa mtume s a w pia alikua nae ila wa mtume s a w alimsilimisha akawa mwema soma baba
@adamkassim-ts2ds
@adamkassim-ts2ds 2 ай бұрын
@@saba-gv3mj ngoja nikuulize swali...kwahio mtume aliita majini usku
@Hassannoor254
@Hassannoor254 2 ай бұрын
Dhambi kubwa lisilosamehewa ni ushirikina.Umepoteza watu wengi sasa subiri siku roho itachukuliwa na mwenyewe ndio utapata mavuno ya unayoyafanya.Hao majini unatumia watu wanamjua mwenye aliwaumba,wewe mjanja sana unapotosha watu katika njia ya Mwenyezi Mungu Ilhali Mwenyezi Mungu amesema aliwaumba majini na binadamu ili wamwabudu yeye tu.Lilia Mwenyezi Mungu na utubu,
@omarmzaham7248
@omarmzaham7248 2 ай бұрын
Swadaqta huu ni ushirikina hapo nakuunga mkono kabisa, wapi mtume Muhammad (s.a.w) na sahaba zake au Tābiʿū al-Tābin wakafanya zaidi ya Quran na sunnah? huu ni ushirikina mtupu muombeni mungu pasipo na washiriki majini ni viumbe tu hata malaika ni viumbe tu hakuna anae uwezo illa Allah(s.w.t)
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 3 ай бұрын
Tuwekee..clip inayo onesha Dr sule ameongea kuwa jini aitwi au akuna mtu anaye weza kumwita jini..tuoneshe sasahivi..mtangazaji ni muongo sana..anapeleka maneno nyuma na mbele..anachanganya changanya...sule alisema kuwa inabidi uwe na elimu ya kutosha ndio umwite jini..rakini wengi wao ni waongo wanasema wanaweza kumwita jini aje pia atoe utajiri..ila kwanini wao wanaweza kumwita jini mbona bado masikini..pia maisha yao sio mazuri..si wangekuwa matajiri kwanza..ndio wafundishe wengine kuita majini..ndivyo alivyo ongea Dr sule..sasa uyu mtangazaji ni muongo arafu mgombanishi pia anataka kuchafua dini za watu
@hasnaissah8500
@hasnaissah8500 2 ай бұрын
Kaka hii ni Dunia tuu kisho utaingizwa kabrini wafundisha watu uchawi live subhana Allah
@user-gu2yc2ki4u
@user-gu2yc2ki4u 2 ай бұрын
Huyu mungu amsameye sana
@omarbinjaa2801
@omarbinjaa2801 2 ай бұрын
Inna li llah wainna ilayhi raajiun Elimu za kupotoa hizi watu wamtegemee Allah pekee waache manen y hawa wanaolingania elimu za kijini n kutegmea majini
@ragedama7476
@ragedama7476 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@M.A.AMfinanga
@M.A.AMfinanga 2 ай бұрын
Jielimishe vizuri kwanza kabla ya kulaumu, elimu mbaya ni uchawi elimu inayokuweka karibu na Allah sio mbaya kwasababu utajua utukufu wake vilivyo na utakuwa na ihlaswi ya kweli.
@Mudhihiri_Hakika
@Mudhihiri_Hakika 2 ай бұрын
Subhana'Allah... Kwa hakika Tunatumia Vibaya sana hii elimu ya Allah s.w...!!
@jaynelpro1492
@jaynelpro1492 2 ай бұрын
Kumbe hiyo ni Elimu ya Allah😮 basi hajafanya makosa kuieleza elimu ya Allah wenu
@rachelmaina3476
@rachelmaina3476 2 ай бұрын
Wacha waongee mwaswma wakristo to ndo wanavituko.Wacha tuone waislamu wanavo fanya ushirikina kutafuta pesa pia. Mola arehemu watu wake.
@YusufuMusani
@YusufuMusani Ай бұрын
Namiminataka utajjiri'
@English-SomaliTranslationHub
@English-SomaliTranslationHub 2 ай бұрын
HasbunaAllah, wachawi pia wanatumia jina ya Mungu kutekeleza uchawi yao...may Allah protect us
@teslasamsimao3324
@teslasamsimao3324 2 ай бұрын
Ameen
@willdomy1078
@willdomy1078 2 ай бұрын
Right ungejua usingewaita wachawi, hao ndio walioshika dini hasa.. soma uislam sana, utakua mganga mzuri. Hukusoma kua Muhammad alisilimisha majini na majini yana sura yao kwenye Quran. Nina mengi ya kukwambia, siri ni nyingi. Haujiulizi kwanini majini yanaitwa Kwa lugha ya kiarabu tu.
@karimudzekotz
@karimudzekotz 2 ай бұрын
Hakukufuru suleimani. Hizi njaa mmnamuambatanisha mungu na shirki
@myself4128
@myself4128 2 ай бұрын
Nani kakudanganya?suleiman alipotezwa na wakeze
@GibsonKangethe
@GibsonKangethe 2 ай бұрын
Yesu Kristo ndiye Njia, Ukweli Na Uzima,Bila yeye uko njia potevu,Bila yeye Umendanganyika,Bila yeye Uko katika Mauti.
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 2 ай бұрын
Subhanaallah huyu kaka sio mwislamu ila anatumia dini kuweka madoa wakati vitu hivi tujaambiwa ndani ya msaafu huyu mnafiki kabisa Allah atusamehe 😢
@malietamaliet
@malietamaliet 2 ай бұрын
we ndo mnafiki Mwenyezi Mungu akusamehe unataka kusem ni dini Gani mfano we Mungu
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 2 ай бұрын
Acha zako majini ni wageni ndani ya uislamu hamfundishwi
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 2 ай бұрын
@@audifansisafari5587 hizo anafanya ni shirki kabisa someni Quran MWACHE kudanganywa me mnafiki au nyie😏😏
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 2 ай бұрын
@@zahraabdul9652 Quran si Kuna sura nzima ni majini tu inaelezea Nikuambie tu rafiki yangu Dini yako ukiisoma nakuelewa lazima uwe na uhusiano na majini usikatae
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 2 ай бұрын
Huyo ni muislamu kabisa mnamkataa msio na elimu ya uislamu wenye elimu zao dk sule na mazinge wanamuelewa mbona
@evansomwaita3872
@evansomwaita3872 2 ай бұрын
Yesu ndie utajiri tosha!!
@user-ye7eq7ox7u
@user-ye7eq7ox7u Ай бұрын
Umeona ety wanaita jini alooh Mungu tuhurumie ☹️☹️☹️
@SadamAbdulkarim
@SadamAbdulkarim Ай бұрын
Soma uislam kwanza na sio ubishane kwa kitu usicho na ELIMU nacho tafadhali usije ukajutia SIKU ya mwisho
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 2 ай бұрын
Wewe ni mchawi pambana upate pesa ya halali mwendawazim usimshirikishe Mungu
@mosesmutharimi5837
@mosesmutharimi5837 3 ай бұрын
Amini yesu ,mengine ni adithi za kichawi na wazee wa zamini ,yesu ndio kila kitu
@SuleimanDastan-ro2zy
@SuleimanDastan-ro2zy 2 ай бұрын
😂😂😂 bado hujasema..... Na yesu wenu
@jimmymaingi7593
@jimmymaingi7593 2 ай бұрын
Kweli
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 ай бұрын
Wazee wa zamani ndio kina nani?Wahenga au ?😆😆
@AbduliKombo
@AbduliKombo 2 ай бұрын
Jamani Allah Allah tumuogope na siku ambayo tutasimamishwa tuache kuutia doa uislam tusimkufuru Allah s.w
@yousirsports7482
@yousirsports7482 3 ай бұрын
Nihatar mnooo kuna wachungaji ile lugha wanazungumzaga naanza kuelewaaa sasa
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 2 ай бұрын
Wachungaji, lugha wanayo isema wao wenyewe hawaielewi na wala si lugha, naweza kusema ni ubabaishaji Lugha isiyo tafasirika hiyo siyo lugha. Kama ni Malaika, tuba elewa Malaika alimtokea Maryam akampa ujumbe wenye kueleweka tena SOFT LANGUAGE ila hawa wa chungaji ni sehemu ya upigaji na wenyewe wanajuwa ila ni siri yao. Lazima tuelewe, Maana kubsa ya uwepo wa makatazo.
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 ай бұрын
​@@ismailsoud3634Ila hata mm kwenye hiyo lugha ya wachungaji nakubaliana na wewe
@chachamturi259
@chachamturi259 2 ай бұрын
Kweli huyu YESU nampenda sana, hana masharti kama ya waislam.. aisee waislam poleni sana. Yani kiufipi nyie mnatumika na shetani
@salumawadhi2745
@salumawadhi2745 2 ай бұрын
Hujui unachokiongea.kaa kimya
@animamichael3968
@animamichael3968 2 ай бұрын
Yesu pia ni muislam safi hata ukikataa kataa tu lkn yeye si mshirikina km huyu jamaa na hajapotea kama wewe
@saidamir1035
@saidamir1035 2 ай бұрын
Wewe ulikuwa uangalie na kuckiliza na sio kucomment usicho kijuwa kwenye imani, ukwel ni muumba wa vyote ndio atakae toa jibu na amesha yatoa. Endelea kumpenda mtu asiekuweko kwenye msaada kwako, Nabii Issa alikuja kwa wana kondoo wewe punda unahusu nini, huko Israel hata kukujuwa hukujui ni mswahili hujiulizi jambo tu, kweli unakiza machoni.
@user-si3vo1tc1u
@user-si3vo1tc1u 2 ай бұрын
Sio wasilam pekeake ata wa christo nao niwa shirikina kwaiyi washirikina wako pahali pote
@BarakaMissana
@BarakaMissana Ай бұрын
Hujui ulisemalo mungu akusamehe
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 ай бұрын
Muombe Mungu, fanya kazi pesa zinakuja. Ukitaka pesa bila kufanya kazi huo ni uvivu na uvivu utakusababisha ufanye mambo ambayo hayampendezi Mungu !!
@hurulaainmalkiaaisha1508
@hurulaainmalkiaaisha1508 2 ай бұрын
Yaa rabb tunusuru,maana walimu zetu wanazidi kutupoteza,hatujui tutapokea wapi iilmu yako yaa ALLAH
@Kanyawela
@Kanyawela 2 ай бұрын
Ni kweli maana Uislamu bila Uchawi hauendi ndio maana kuna surati jini pia majini yalisikia Quran yakasilimu ,Sasa hii ndio dini eti ya myazi mungu Allha asiye Mungu muumbaji
@AthumaniAthumani-no2oc
@AthumaniAthumani-no2oc 2 ай бұрын
Ndio uislam ni dini ya haki na ndo maana hata majin wanatubu wakiisikia kwasabb nao ni viumbe wa Allah kama unakataa leta ushahd kwanza kama majin hawakuumbwa na Allah ili tuendelee
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 Ай бұрын
Mbona yesu kazungumza na majini na kuywekwa kwenye nguruwe mnaokula 😂
@paulgitaukinuthia3916
@paulgitaukinuthia3916 2 ай бұрын
Ametaja Azazel na Samyaza, lakini hawa wawili ni malaika waliobanwa kwa minyororo na Archangel Michael Kufuatia maagizo ya Mwenyezi Mungu, kisha wakatoswa kwenye shimo jangwani lililo mvunguni mwa River Euphrates. Maandishi matakatifu yanasema ipo wakati huo mto utakauka na wataachiliwa huru kwa muda mfupi.
@Neclar-wn3yp
@Neclar-wn3yp Ай бұрын
Mkunduo wewe pamoja nahuo mchoro wangu falaa wewe from Kenya
@dronemiguel2230
@dronemiguel2230 3 ай бұрын
Yaan hujaipanga vzr hii interview unaenda mbele mara inarud nyuma kifupi umefel mwanang uwe una arrange vzr interview zako jamaa amejitahd kuelezea ila ww ndo mwandish ndo miyeyusho
@idrissmutinda6243
@idrissmutinda6243 2 ай бұрын
Nakumbuka nikislim niliambiwa,nisifuate WAISLAMU,nifuate UISLAM.Ila sina imani asilimia Mia kuwa huyu ni muislam ,pengine kalipwa ayaseme hayo.Subhanallah.
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 2 ай бұрын
Karibu ktk uislam ila huyu kijana hana adabu na dini
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 ай бұрын
Ni muislamu mi namfahamu na ni mganga anatibu
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 ай бұрын
We nae utapata dhambi za bure kalipwa na nani?Huyu ni ustazi na anatibu
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 2 ай бұрын
Nimuisilamu huyu huyu kazi yake nikukusaidia kama ww ukirongwa akupe dawa huyu amesomea haya mambo ila hawa watu wanakua na taa kama wazee wazamani wakikutibu atakwambia nipe chochote ila hawa watakwambia toa laki milioni yani wafanya kwa manufaa yao watu wingi hawafanyi kwa ajili ya Allah
@Grataaaaa
@Grataaaaa 2 ай бұрын
Washirikina aoooo
@safaringaku5040
@safaringaku5040 2 ай бұрын
Ndio maana mnapigania kupinga ukristo kila mara. Sasa unaslim alafu mwishowe unakuwa mganga ukijiita we dakrari, kila badae unakua mchawi na unakufa.
@user-bp4kz9py7z
@user-bp4kz9py7z 2 ай бұрын
Naona waisilamu mnakataana
@AthumaniAthumani-no2oc
@AthumaniAthumani-no2oc 2 ай бұрын
Nawe unapotoa komenti fikiria usiropoke kuna waisilam na waumin,,hat wewe hapo kwenye dini yako hiv vitu vipo kwa wachungaj wenu sisi hatumkatai ila tunamuelewesha asipotoshe wengne
@arafathswaleh
@arafathswaleh 2 ай бұрын
Kwani hata wakristo siwapo kama hivyo
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
​@@arafathswalehtuwekee ushahidi wa hayo
@safaringaku5040
@safaringaku5040 2 ай бұрын
MI HAMUEZI NIBADILISHA NIWE MUISLAMU. Nilikuwa huko na nkajua unakoelekeza watu.
@user-ye7eq7ox7u
@user-ye7eq7ox7u Ай бұрын
Huyu anamanisha jini lina nguvu kuliko mungu wake dawa yenu iko mtapingwa na moto hadi mjuwe 😢😢😢
@BenjaminWakhungu-oo7ug
@BenjaminWakhungu-oo7ug 2 ай бұрын
Asante Yesu wewe ni mwema
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 2 ай бұрын
Sema mungu kimya ww yesu ni Issa na Nabii
@msaleveri
@msaleveri 2 ай бұрын
We bila yesu kristo mbingu huna
@bare-gj2mu
@bare-gj2mu Ай бұрын
Nauliza nyie wakristo yesu vipi a nawza kuw Mungu? Yni akili zenu xjui ah yni dah. Hebu njooni ktk Quran Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwaaaaa. Heeee nyie kwani vipiiii
@jacobclement-wc5pb
@jacobclement-wc5pb 2 ай бұрын
Daah kundi litakalo Kaa Motoni milele no washirikina subehanallah. Tumtegemee Allah pekee
@anointedking6960
@anointedking6960 2 ай бұрын
Wewe huo moto ushauona?😅😅😅😅
@aishaomary230
@aishaomary230 2 ай бұрын
Sawa mnajua dini lakin mna mambo ya shirki sana ndani yake,, wewe pamoja NA huyo sulle wako mnatamaa sana NA maisha ya dunia
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 9 күн бұрын
Mimi ni mslamu na mpenda na mtume swa mwenye kuumba bingu sasa na ardhi
@henrykairo1849
@henrykairo1849 2 ай бұрын
🎉Uislam shinda tupu Imani za kishirikina shinda matatizo
@niolaussdavid
@niolaussdavid 2 ай бұрын
mungu hana urafiki na majin
@mkapojer
@mkapojer 2 ай бұрын
Kuna tofauti kati ya jini na sheitan, jini ni kumbe kama wewe TU ambaye kaumbwa amuabudu mungu, ispkuwa anakuwa sheitan pale anapo muasi mungu nikikumbuka mafundisho Kuna majini wanafanya Ibada vizuri TU je, hawa hawapendwi na mungu??
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
​@@mkapojerna Muhammad aliwasilimisha wakawa waislam
@rachelmaina3476
@rachelmaina3476 2 ай бұрын
Afadhali tapeli kuliko uzinifu ilhali wajiita sheikh.Huoni wapotosha watu.Mungu akurehemu.
@niolaussdavid
@niolaussdavid 2 ай бұрын
uislamu ndio huo mnaoupenda tha way up hakluna muislamu kwenda mbingun
@rachelmaina3476
@rachelmaina3476 Ай бұрын
Kwani hamujui mashekh wanatumia jini msikitini.Kuna msichana aliye nieleaza kwamba kuna jini wazuri na jini wabaya.Najivunia kua mkriso.
@adennurahuka402
@adennurahuka402 2 ай бұрын
Huu sio uislamu,,huu ni uchawi,, Allah atuepushe nayo
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Huu ndiyo uislam haswa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Ndiyo maana washilikina wanachinja kumbe wanachinjia majini
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 2 ай бұрын
SUBHAANA ALLAH NATAMAN KULIA JUU YAHUU UPUUZI ANAOZUNGUMZA HUYU KIJANA MPUUUUUZI MWENYE AKILI ZAAKIDUNIA
@rogatimushi689
@rogatimushi689 2 ай бұрын
Njia pekee ya kumwona mungu ni yesu kristo hizi dini ni ushirikina mtupu
@MwijakaSwalehe-dg4hw
@MwijakaSwalehe-dg4hw 2 ай бұрын
Wengi wanaokoment hawamwelewi huyu bwana,ameanza kusisitiza kwanza elimu hizi ni hatari na zinaenda kinyume na mafundisho ya Allah, huyu anajaribu kutoa ilimu tu
@usrahismail3196
@usrahismail3196 2 ай бұрын
Ni kweli ila na yeye anaamini mengine na kukufuru mengine kama hayo ya pete anayo ,nu ya kishirikina Pili ,kujifunza elimu hii ni ushirikina hata kama utajufunza kutengua uchawi
@nurumwinyi796
@nurumwinyi796 2 ай бұрын
Yaph ni kweli,hii ni elimu au ni kipaji alichojaaliwa nabii suleiman,alikua akiongea na majini na wanyama
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 ай бұрын
Huyu ni ustazi anatibu mi namfahamu
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
​@@nurumwinyi796Labda Suleiman wa kiislamu lakini suleman mwana wa David mhayudi hakufanya upumbavu huo
@IsmailKitundu
@IsmailKitundu 2 ай бұрын
Hasante kwakutumalizia bando umeongeza like ongera sana
@naafirvincent5715
@naafirvincent5715 2 ай бұрын
le problème avec ce Pays vous savez c'est qu'il est bâti sur de la sorcellerie depuis le VI ème siècle a peu près sauf qu'il a été habité bien avant . le peuplement a commencé avec les Africains , les Malgaches et les Arabes . la majorité était des sorciers et pour eux s'était une tradition même si ça allait a l'encontre du Créateur . ils on continués sur ce chemin et vous savez tous comme moi que les Africains et les Malgaches beaucoup il ne jurent que par ça . Alors moi je penses que tous leurs problèmes vient de là .
@ibrahimmzungu3849
@ibrahimmzungu3849 3 ай бұрын
Huyu wa interview hajitaidi kupanga content yaani mtu anajibu vizuri lakini bongo touch unafeli
@HassaniSaidi-ly3dg
@HassaniSaidi-ly3dg 2 ай бұрын
Duh shekhe mche Allah
@user-zk3ql9th2c
@user-zk3ql9th2c 3 ай бұрын
Huu ni ushirikina jamani mungu hajafundisha haya
@user-rt8ff3dm2o
@user-rt8ff3dm2o 3 ай бұрын
Hii dunia ina mambo mengi sàana
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 2 ай бұрын
Wewe huijui Dini ya kiislamu ukijua nakuelewa utakuwa kama huyo shehe
@QassimEbraheem
@QassimEbraheem 2 ай бұрын
SubahanaAllah ,sijui waitwa nani wewe mushrik lakini namuomba Allah Akuongoze uujue uislam.ki ukweli hauna hata nuru ya uislam Wala hukai muislam.Jaribu sana utubie kabla ya wakati wako kufika
@josphinenduta2011
@josphinenduta2011 2 ай бұрын
Shekhe, jini, dini, aaaai!!! Yatatiza
@fraviusfulgence7346
@fraviusfulgence7346 2 ай бұрын
Yesu ni jibu
@user-xr5lf6pe1n
@user-xr5lf6pe1n 2 ай бұрын
Uyu hajasoma mafundish ya kur-ani ndio mana mana mtume hakufundish ivo mtu atafute rizki namna iyo wala maswahaba zake hakuwafundish zaid ya duwa nakusimama usiku kumuelekea Allah sw wamuombe yeye na wasitegeme kwengine .awa wanachangany iman munasahau mashekh kama kunasuratul ikhlas aya ya 2 inasemaje eeeee subhanallah yarabbi tuongoze na vizazi vyetu ktk mamb ya kher nakufata muongozo wa kurani na sunnah
@user-vm2fu3nm3s
@user-vm2fu3nm3s 2 ай бұрын
ALLAH AWA ADHIBU NA HAWA HAWA ,MAJININ, MNAYOWAITA...MNA TIA DOSARI KWA DONINYETU SAFI
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 2 ай бұрын
Mtume gan kafundisha hayo anayoyasema Huo ni uchawi mbwa wew
@kherimakame5743
@kherimakame5743 2 ай бұрын
Unapomwita mwenzio mbwa unakosea kaka
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 ай бұрын
Acha ubishi wewe
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 2 ай бұрын
Salaam kwa wakristo iyo ndiyo tofauti kati ya ukristo na uislam.
@abdullahiramadhan5779
@abdullahiramadhan5779 2 ай бұрын
Hasbuna Allah wani'mal wakeel
@AshilatAbas-qe4fh
@AshilatAbas-qe4fh Ай бұрын
Mmeanza kufichuka tutawapiga kwa jina la Yesu
@Ibrahim-vo5pz
@Ibrahim-vo5pz 2 ай бұрын
Mwenyezi-Mungu amekataza mambo hayo
@coolvoices6608
@coolvoices6608 2 ай бұрын
Yaani maana halisi ya ushirikina ni kuchanganya mafundisho sahihi ya Mungu na yale ya shetani kwa nia ya Kumuudhi Allah na kumtumikia Shetani. Washirikina wote motoni
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun .. hayote.binaadam anaangaika kwaajiliya pesatu kwaniukikaakitako kusema na Allah atokupa nibasitu wanaangaika na kukufuru. .Allah yupo anatoa
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 3 ай бұрын
Kweli Mtihani, Allah atuongoze
@YusufMohammedMohammed-pf4vi
@YusufMohammedMohammed-pf4vi 2 ай бұрын
Ya Allah Waongoe Waisilamu
@AminaHafswa
@AminaHafswa 2 ай бұрын
Allah akusamehe unaharibia dini ya kislamu wakati ni dini safi
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 3 ай бұрын
Hapo uliposema kuwa Elimu ya kuita majini ipo nje ya dini ndo umeeleweka kwa maana itawasaidia Waislam wenye elimu ndogo kujiepusha na Shirk.
@Fadhila-xk2sw
@Fadhila-xk2sw 2 ай бұрын
Waislamu haya hayatufai kwa kweli unapoba muombe Mwenyezimungu na unapotaka msaafa mtake Mwenyezimungu
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb Ай бұрын
Kwann yapo kweny vitabu vyenu
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky 2 ай бұрын
Hawa wanaendekeza shirk tu lakini mtoaji rizq ni Allah na yeye ndie muweza wa kila kitu
@hamedmweru6955
@hamedmweru6955 2 ай бұрын
Hata kumuoa Binti Fatma wa ufalme wa kijini wa 7 riadha siku 21 inakuhusu.
@abulfidaamedia
@abulfidaamedia 2 ай бұрын
HUU NI USHIRIKINA WA WAZI KABISA NA UKIFA HIVI WALLAH UTAINGIA MOTONI..!! ALLAH AKUONGOZE.
@MohamedabdallahKilimo
@MohamedabdallahKilimo 2 ай бұрын
Hiyo ni elm dunia ni ushirikina uislam haujafundisha hayo munautia doa uislam mutaulizwa na allah kwa kuwatoa watu ktk Imani na utajir ni qadar ya Allah mwenyewe acheni Mambo yenu hayo Allah awaongoze
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Kama wewe hujafundishwa wenzako wamefundishwa
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 2 ай бұрын
NJOONI KWA YESU WAISLAMU, KAMA MNATUMAINI KUMUONA MUNGU WA KWELI.
@MicahSalah
@MicahSalah 2 ай бұрын
Aki tena yesu die usima
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 ай бұрын
huyo mshirikina TU kama nyinyi washirikina wakubwa nyiee
@JerusaMkuyu-pw1zo
@JerusaMkuyu-pw1zo 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@EmilyTembo-pg6tg
@EmilyTembo-pg6tg Ай бұрын
Mungu anawaona mnavyo dhalilisha uislam ambao kachaguwa kama njia yakufikiya pepo
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky 2 ай бұрын
Uislam ni dini ya kweli na haki wala haina shaka kabisa
@M.A.AMfinanga
@M.A.AMfinanga 2 ай бұрын
Kujua ni vizuri na imani iongezeke watu waelewe mambo wasitoe tu povu bila faida yote.
@TSMONEY92
@TSMONEY92 2 ай бұрын
Ataje namba shekh
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 ай бұрын
Nakukubali
@baenaj4007
@baenaj4007 2 ай бұрын
Only evil jinn come if summoned ,Good jinns can’t go against the teaching ,they fear Allah and they know it’s forbidden so keep summoning the evil jinn and later wait for the consequences
@yusuframadhan8927
@yusuframadhan8927 2 ай бұрын
@ bongo touch Nyie watanzania jifunzeni namna ya ku creat headline of your content you look ambiguous with what you present
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 2 ай бұрын
Inalilah wainailah rajeeun 😢😢😢
@jagjitalvinder5471
@jagjitalvinder5471 2 ай бұрын
ALLAH AKUONGOZE WEWE NI JAHILI KIJANA
@MicahSalah
@MicahSalah 2 ай бұрын
Ukweli
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 2 ай бұрын
Tukiwaambia uislamu dini ya majini hamuelewi wenye elimu zao wanawafumbua macho lkn bado hamuoni wala hamskii
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 ай бұрын
Nimecheka kama mazuri
@nimefikaulipo
@nimefikaulipo 2 ай бұрын
Elimu zote zilifundishwa hazikuja tu kwaio Uchawi ukapigwa marufuku baada ya kuleta madhara ya kufitinisha ndugu na kuuwana
@nasraljahadhamy4302
@nasraljahadhamy4302 3 ай бұрын
Mbona ajibu jibu ana ruka maswali
@hawrajehan2398
@hawrajehan2398 2 ай бұрын
Elim au ushirikina tu!hawa washirikina wakubwa wamebobea kweny ushirikina na wana kaz ya kusambaz ukhafidhina wao
@Pendo077
@Pendo077 2 ай бұрын
Samahan jmn,, na huyo shekh nae ni tajiri au?! Naombeni kujua😂😂
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 2 ай бұрын
Kimaskini tu nduguyangu hakina lolote hapa ndo kinatafuta kupata pesa kwa kuuichafua dini ya Allah
@sultanmbogo860
@sultanmbogo860 2 ай бұрын
uko sawa kabisa shekh ila elimu ya majini nikubwa sana jina anaitwa muda wowote inategemeana nijini gani usiifiche elimu shekh
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 2 ай бұрын
Naomba mawasiliano
@salongoomutaka9708
@salongoomutaka9708 2 ай бұрын
Huu uchawi watanzania mnao ufanya kwa kutumia jina la uislamu ndo unao watorosha watu kwenye dini ACHENI NA MUMUOGOPE ALLAH
@8MEDIA-o9r
@8MEDIA-o9r 2 ай бұрын
😂😂😂😂 walai watu wana njaa😂😂
@MrKaya3
@MrKaya3 2 ай бұрын
Tatizo elimu watu hawana,uislam,majini, uchawi ni vitu tofauti... Anachoongelea ni elimu kama elimu nyingine sio uislam msiuchafue uislam na mueleweshe sio mnakurupuka tu.shule muhim sana wakati mwingine... Some jamani
@RamadhaniMkulunga
@RamadhaniMkulunga 2 ай бұрын
Subhnaallah
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 2 ай бұрын
Huyu kijana anaelezea kwa kujiani anayijuwa hii elimu
@DakorTrony
@DakorTrony 2 ай бұрын
Kwa hiyo waislamu ni wachawi tuu na majini. Yesu kristo kweli ndio nuru. Kumbe waislamu majini pekee yake hawana ukweli bali majini . Uislamu dini ya siri na majini na uchawi. Damu ya mnyama ni uchawi. Sasa kama dua zenu ni uchawi mnaomumba Allah gani wachawi nyie
@DakorTrony
@DakorTrony 2 ай бұрын
Uislamu dini ya majini kweli. Waislamu wachawi sana
@fatimaabassymashalla9130
@fatimaabassymashalla9130 2 ай бұрын
Siyo waislam, ni yeye mwenyewe na nafsi take waislm haupo hivi wanajichafua wenyewe so dini
@RamadhaniMkulunga
@RamadhaniMkulunga 2 ай бұрын
Kaka soma kwa watu sahihi, uislam ni safi na hauna hata doa la uchafu hata kidogo
@Incrediblejona
@Incrediblejona 2 ай бұрын
Huo ndiyo uislamu aisee! Wenye dini yao wanagomeana hapa
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 2 ай бұрын
Huyu anatoa elimu ya kichawi, wachawi hawafanikiwi😊
@isayacharles2850
@isayacharles2850 18 күн бұрын
Hukuna shetani , wala jini mzuri wote ni wabaya, na kufanya ubaya ndio masilai yao. Kwahio akikupa utajili,.ujue anajambo kwako: hivyo ukiwafuata ujue unaangamiaa;? Mfuate yesu roho yako itaisj u HB cm
@user-en7bs2xr3t
@user-en7bs2xr3t 2 ай бұрын
Jamani msikazanie niuislam,mnamuelewa huyo kijana lakini,amewaambai na anasisitiza kila wakati,kwamba ni ilimu nyingine na si waislamu,na katika mambo hayo hata wakristo wanafanya hayo.
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 2 ай бұрын
Wachungaji wanao jifanya kunenakwslugha. Nao nihaohao Enendeni nanjia zenu. Wamwabuduo halisi. Watamwabudu MUNGU kwa loho na kweli
@YusuphHabibu-hy9mj
@YusuphHabibu-hy9mj 2 ай бұрын
UISLAMU UNAHARAMISHA KUMILIKI MAJINI NA PETE ZA BAHATI.
@MuhammadWesonga
@MuhammadWesonga 2 ай бұрын
Ushirikina huu,huyu sio mwislamu,maana mwislamu huruhusiwi
@user-qx8zd5kc8o
@user-qx8zd5kc8o 2 ай бұрын
inalilah
@user-sr9xu7rx1z
@user-sr9xu7rx1z 2 ай бұрын
Inna Lilah wainna ilah rajiun
UST. HABIB OTHMAN  MAZINGE | MZEE YUSUF NAKUDAI
21:06
Fahari yangu
Рет қаралды 71 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 49 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
UTASHANGAA MISUKULE 100 YAFUNGULIWA NA MGANGA INATISHA
11:49
SUNSET TZ
Рет қаралды 190 М.
Ngugi wa Karanja MCee kuhe mami wa nyumba kirorerwa
1:19:29
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 16 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 49 МЛН