DR SULLE APATA KIBOKO YAKE NI MUONGO ATAJA JINI LINALOMUENDESHA LENYE UTAJIRI

  Рет қаралды 129,174

Bongo Touch

Bongo Touch

2 ай бұрын

Пікірлер: 804
@user-bc2wd1sq3k
@user-bc2wd1sq3k 2 ай бұрын
Kesho Miele ya Allah kutatanda 😢😢😢😢😢😢 na jasho, Ya rab nisamehe mimi na unionize ktk kheri na uongoze ulimwengu mzima.
@ramadhaninchimbi8807
@ramadhaninchimbi8807 Ай бұрын
Huyu jamaa ni mshirikina...Tanbih kwa waowafuata hawa jamaa kwaajili ya tiba,,wajue wanawaendea washirikina wanaojificha ktk kivuli cha dini
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 ай бұрын
Ukimsikiliza Uyu Ostazi Maneno Yake Yamejaa Elimu Kubwa Sana Sijajua Kwa Watu Mnaomsema Mnawaza Nini Kichwani Maneno Yake Ziko Pointi Nyingi2 Moja Anasema Mtu Ukipata Pesa Kupitia Jini Ujue Wewe Unamuamini Jini Kuliko Mungu Na Yapo Maneno Mazuli2 Tuache Kusema Uchawi Uchawi Mimi Nachukia Sana Mashee Wale Kazi Yao Maubili Yao Wanawake Na Ngono Wanawake Na Ngono Mpaka Unawaza Inamana Kitabu Kinazungumza Ngono2
@abdulrauphaiy3032
@abdulrauphaiy3032 Ай бұрын
Naam.
@user-je7no7lq7d
@user-je7no7lq7d Ай бұрын
exactly
@fredducaunt
@fredducaunt Ай бұрын
Hakuna cha elimu Wala nn Ushirikina tu Mwogopeni Mungu Achana na mapichapicha Jini ndo ushenzi gani acheni dini za uongo
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 2 ай бұрын
Subuhanallah Allah tujalie mwisho mwema
@Onchieku-cp8wd
@Onchieku-cp8wd 2 ай бұрын
Uislamu ni miongoni mwa wachawi, washirikina na ushetani pia
@ashuraabdulmaalik5319
@ashuraabdulmaalik5319 Ай бұрын
Na Ukiristo nao je?
@AbdulqarimhassanSwalehe-sz2er
@AbdulqarimhassanSwalehe-sz2er Ай бұрын
@@Onchieku-cp8wd sokweli ndugu uislamu ukombali nahivyo vitu
@user-pe1qv1sn5p
@user-pe1qv1sn5p 2 ай бұрын
dunia hii inamambo mengi sana mwenyezi mungu atunusuru mana kila mtu analake kwasababu moyo wa mtu ni msitu Allah atuongoze ktk kheri zake atuepushe na tamaa za maisha haya kumekua na mambo mengi mnoo yaarabi tunusuru yaarabi
@Matunzo_Classic
@Matunzo_Classic Ай бұрын
1a
@AbdulMikidadi-sl9gx
@AbdulMikidadi-sl9gx 2 ай бұрын
Kuita jinn ni katika ushirikina ushahidi aya ya 6 suratul jinn na hadith ya mtume (s.a.w) alipomfunga sheytwan akakumbuka maneno ya nabii suleiman ('alayhi salaam) aliposema Allah (s.w) asimpe kiumbe yeyote uwezo aliopewa yeye wa kuamrisha majinn Hakuna wa kati na kati ktk kuleta rizk, Allah (s.w) haitaji pete kukuletea rizk wala jinn muogope mola wako rejea ktk manhaj sahihi ya ahlul athar wa sunna wa jama'a kutoka kwa ufahamu wa wema waliopita
@RamadhaniMsukuma
@RamadhaniMsukuma 2 ай бұрын
We😂 nawe hata haujui tofauti ya shwaitan na jini
@AbdulMikidadi-sl9gx
@AbdulMikidadi-sl9gx 2 ай бұрын
@@RamadhaniMsukuma tafauti yake nini?
@user-kn8pw7vk4e
@user-kn8pw7vk4e 2 ай бұрын
Hadithi tu izo ...sifa za shetani hakuna wa kumfunga zaidi ya MWENYEZI MUNGU, funguka akili
@user-yv3qi1yf3j
@user-yv3qi1yf3j Ай бұрын
Swadakta
@allyally5124
@allyally5124 2 ай бұрын
Masheikh wa bongo njaa zinawasumbua sana.. Allah atawahuku.
@nundabe
@nundabe 2 ай бұрын
Mimi na YESU wangu fresh, pengine panatisha…
@softymoha5484
@softymoha5484 2 ай бұрын
yeu hakuwa mkiristo. wala wakiristo hamufwati yesu wala mafundisho yake wala lolote alilolifanya yesu hamna mnalilifanya. kwa taarifa yako. yesu hakuwahi ingia kanisani, wala wakati wake hakukuwa na kabisaa sasa wewe unamffwata yesu yupi?
@AlfredZacharia-of3je
@AlfredZacharia-of3je 2 ай бұрын
YESU ni kristo, na sisi niwakristo soma wagaratia 3:29. Na tunafuata mafundisho yake, kwanza tunaamini kuwa alikufa na kufufuka, tunabatizwa kama alivyowaamulu wanafunzi wake, matayo 28:19
@fredducaunt
@fredducaunt Ай бұрын
​@@softymoha5484toka pepo
@abelwillium4286
@abelwillium4286 Ай бұрын
Kaka nimekuelewa vizuri Sana Ira mtangazaji hajakuelewa
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 2 ай бұрын
Wewe mtangazaji..ni mgombanishi sana..DR sule ajasema kuwa aiwezekani kumwita jinni..amesema kuwa inawezekana rakini inaitajika uwe na elimu ya kutosha ya kuongea na majini...ninekusawisha vizuri mtangazaji..ukiwa na elimu ya kutosha ya kuongea na majini..utakuwa nao uwezo wakuwaita
@abdallahmkali3251
@abdallahmkali3251 2 ай бұрын
Mtangazaji amejikanyaga
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 2 ай бұрын
Alafu anataka kujua kila kitu mtu ashasema ni siri yake lakini yy analazima ajue khaa
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 ай бұрын
Unamwita jini Kwaajili ya nini,nyie watu acheni uchawi, Muhammad hakuwa mtume wa Mungu na ndiyo maana hakuna mahali kwenye koran panaonyesha Mungu alisema naye kama alivyosema na wakina Musa, Yesu, Samuel au Daniel,mud ni muongo na ndiyo maana hata mafundisho yake yanachanganya sana
@hatibubalozi592
@hatibubalozi592 2 ай бұрын
wewe mwehu huna akili​@@FridayMwassa
@maciaali3698
@maciaali3698 Ай бұрын
Mwamini Allah,hakuna mafundisho ya Pete katika Quran tukufu watanzania wacheni ushirikina
@rashidbusanya5843
@rashidbusanya5843 2 ай бұрын
Allah kuongelea shiriki Kwa mara nyingi zaidi Tena Kwa uzito kunamaana sio Bure
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 23 күн бұрын
Yaani huyu mwamba Muhammad ana nguvu nyingii za giza hadi kawafanya wafrika wakafata ujinga wake duh mungu tusaidie
@saadislam718
@saadislam718 18 күн бұрын
Namba ya simu dkt sulle tafadhali
@shamimnelly.8042
@shamimnelly.8042 2 ай бұрын
Huyu ana ukweli fulani mimi najua na naelewa chenye anakiiongelelea
@vijanawapendakherfoundatio5069
@vijanawapendakherfoundatio5069 2 ай бұрын
Umemuelewa kwasababu ya rugha lakini akuna kitu
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 2 ай бұрын
SUBHAANA ALLAH SUBHAANA ALLAH YAARABBY TUONGOZE NAHAWA NDUGU ZETU KTK HAKI ZAIDI
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 ай бұрын
Tunapata Maneno jinsi waislamu Wanavyoita Majini na Jinsi wanavyotajirika kupitia Majini
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 2 ай бұрын
Acheni uongo, kwa Mwenyezi Mungu hakuna siku mbaya, siku zote ni nzuri. Vinginevyo ni shirki. Na sio mnaita majini mnaita uchawi.
@LumolaSteven
@LumolaSteven 2 ай бұрын
Una ushahidi gani kusema siku zote ni nzuri? Siku ya ijumaa ni siku bora kuliko zote imetukuzwa na tumepewa umati Muhammad.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 2 ай бұрын
@@LumolaSteven Siku zote ni nzuri, na Al jumaa ni nzuri zaidi Na ndiyo maana inawakutanisha waja pamoja..
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Ай бұрын
Kweli, ubora uliomo ndani sala ya al jumaa ni bora kuliko uhai wako. Ila watu hawajuwi. Njooni kwangu niwafafaulie sala ya al jumaa na siku yenyewe. Nipo Toangoma( al musabih ) na maswali yenu yoye najibu Mimi mfano kama waliopita. Allah ameniruzuku elimu toshelezi.
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 2 ай бұрын
Mungu akujalie kaka mi nimekuelewa sana sule anatuongopea sana etikunamajini wazuri nimekuelewasana kaka
@alianboori9734
@alianboori9734 2 ай бұрын
Mm pia namkubali
@user-yv3qi1yf3j
@user-yv3qi1yf3j Ай бұрын
Wote washirikiina muislamu safi anamjua mungu pekee.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Ай бұрын
Abdullah ni neno la kiarabu, pia ni jina Abdullah maana yake ( KUMTEGEMEA MWENYEZI MUNGU ) sasa wengine Wanategemea majini kinyume na Mwenyezi Mungu. Hili ni balaa.
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 2 ай бұрын
Wote waongo hawa, si ktk mafunzo ya Quran wala mafunzo ya Mtume salallahu alayhi wasalla. Majini wema wanaomtii Allaah hawaingii ktk vichwa vya watu wala hawashirikiani na wanaadamu.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 ай бұрын
Swadakta
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 2 ай бұрын
Yaani hawa waganga kweli leo ndio wanaiharibu dini kiasi hiki
@FatmaayoubsuleymanSuleyman
@FatmaayoubsuleymanSuleyman 2 ай бұрын
(​@@thabitimkufi7388
@8pistons194
@8pistons194 2 ай бұрын
Hakunaga shetani mwema acheni uzwa,wa
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 ай бұрын
Majini wema uliwaona wapi, mafundisho potofu ya Muhammad,
@omarmzaham7248
@omarmzaham7248 Ай бұрын
!!Hii ni SHIRKI!! kwa muislamu yeyote anae soma labda hana uhakika hapa, tiba ya ruqya na shifaa yeyote inatoka kwenye Quran kwa idhini yake Allah(s.w.t) na RasullAllah(s.a.w) ame tu ongoza kwenye Sunnah zake zote na dini ime kamilika usi danganywe kwenye Bidaa,ingekua kweli haya mambo sijui nyusi za samaki sijui nini ..kutoka kwenye sahaba wa kizazi cha pili auTābiʿū al-Tābin ingekua hizi sunna zote ziko wazi kwa waumini...chunga imani yako na amali zako jitenge na kufur!...
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 2 ай бұрын
JAMAAA KASOMA HAYO MANENO SIO YA KUOTESHWA😊,,,NA NDIOMANA TUNAMSIKILIZA,,,OPTION NI 2 TU,,,KUBALI AU PUUZA,,,USIANZE KU CRITISAIZ WATU NA HUNA UNACHOKIJUA TULIA ELIMIKA.
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 2 ай бұрын
SWADAKTA
@mpodilesefu3437
@mpodilesefu3437 2 ай бұрын
😂Ni kweli kabsaaaaah
@abubakarahyan9515
@abubakarahyan9515 2 ай бұрын
Yye hyu anajita bin laden aah hwa wote matapeli wallah mungu shahid hta mm kanitapeli anatafuta umaarufu hana lolote Na ushahid ninao juu ya u tapeli wke asimponde mwenziwe, asitoe aibu ya mwenziwe wakt zak anazoo
@SuleimanMsechu
@SuleimanMsechu 2 ай бұрын
Ulikutapeli je tuambie
@vijanawapendakherfoundatio5069
@vijanawapendakherfoundatio5069 2 ай бұрын
Watu wengi wamebabaishwa na lugha mkamuona huyu shekh apana ni shirki tu
@abuarifhassan6316
@abuarifhassan6316 2 ай бұрын
Sikliza mpk mwisho amefafanua vizuri kabisa
@luqmanjafari
@luqmanjafari Ай бұрын
Hakuna chchte hapo
@mohammedrutta4989
@mohammedrutta4989 Ай бұрын
Inna shshriki ladhulmun a'dhwiim.Hii ndo dhambi kubwa kuliko dhambi yoyote kuweni makini na hayo mnayoeneza na muandae majibu mazuri kwa Allah s.w
@albertpike6208
@albertpike6208 2 ай бұрын
12:55 kitu chochote ukivaa kwa malengo ya kinga huo ni ushirikina hata ukiandika aya za quran alafu ukazitundika ukutani ama mlangoni alafu ukaamini ni kinga yako huo ni ushirikina
@jumaa052
@jumaa052 2 ай бұрын
Je upo Sawa kabisa usitoe hukumu Hali ya kua hujui hukumu ya jambo
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 2 ай бұрын
Yaani hawa waganga dahh dini inaharibiwa jamanii
@user-pl8pn7qb9e
@user-pl8pn7qb9e Ай бұрын
Hawa waganga wa kienyeji ndo wanao tuharibia dini ,ushirikina umewajaa
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 2 ай бұрын
Waislam tujizatiti ktk kusoma Tawhiid na kujifunza tiba ya Ruqya ya kisheria kwa jinsi Mtume S. A. W alivyofunza.
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 ай бұрын
Bado ni uchawi na majini watakuja tu uislam na majini ni kitu kimoja
@jpmanotaofficial639
@jpmanotaofficial639 2 ай бұрын
Mtume wako kajifunza kwa nani na yeye
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 ай бұрын
@@jpmanotaofficial639 mtume gani?? Sijawahi kuwa na mtume mchawi
@mohamedmwatuwano5526
@mohamedmwatuwano5526 2 ай бұрын
Huyu jamaa anajichanganya. ALLAH ndio kila kitu, haya mengine ni utunzI na uzushi tu wa siku nyingi. Huyu jamaa ni kibaraka wa maandishi asiyo yaelewa vizuri. Muulize nani kaandika hivyo vitabu. Mwambie aende akasaidie wapalestina wasidhulumiwe na waisrael. Kama kweli elmu hiyo yawasaidia waarabu wangesumbuliwa na muamerika. Huo wote ni ulaghai. Kama kweli hio elmu yao na mapete yao yafanya kazi nawaruhusu waitumie kunidhuru mimi, wayatume kwangu majini mabaya sana wafanyie unyama watakavyo wao. Hawa watu wana elmu potoshi. ALLAHU AKBAR!
@fredducaunt
@fredducaunt Ай бұрын
​@@jesusislord9190😂😂 washenzi hawa wananafasi yao peponi kuongopea watu na kupotosha watu sio bure
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 Ай бұрын
Sule anachakujifunza hapa, ule wa sule ni ushirikiana wa wazi na kakufuru mpaka sasa
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 2 ай бұрын
HIZI ZOTE NI ELIMU ZA SHIRIKI MSIMFUATE WAISLAM. WAMUACHE ALLAH HAWA MASHEIKH NI WA GANGA KAMA WANGA WENGINE
@alianboori9734
@alianboori9734 2 ай бұрын
Elmu zipo ila kuwa na mipaka yake
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 2 ай бұрын
Sahihi
@SaeedMughayyar-jv8et
@SaeedMughayyar-jv8et Ай бұрын
Kusoma hizi elimu sio shida madhali Allah ametuteremshia, ispo kua ni mbaya sana kiupande Fulani kama ukizojua Kuna asilimia kubwa sana ya kumuasi Allah. Binadam tumeumbiwa na tamaa
@JumaHamisi-qh3lo
@JumaHamisi-qh3lo 2 ай бұрын
Acheni kuusema uislamu kwa vibaya kwasababu ya haya maneno qur-ani na sunaa za mtume Muhammad swalla llahu alayhiwasallam hazjafundidha upuuzi 17:54 hio
@user-dv8lm4ko5i
@user-dv8lm4ko5i Ай бұрын
Huyo jamaa wala sio sheikh anatafuta kumchafua Doctor Sule Mshamba tuuu
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv 2 ай бұрын
Allahu akuongoze ktk hqq ndugu yangu
@sulekhan7119
@sulekhan7119 2 ай бұрын
Hakuna jini wakuleta pesa fanyeni kazi acheni kudanganya umati Muhammad
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 2 ай бұрын
Sahihi
@meckmussa1840
@meckmussa1840 2 ай бұрын
Sahihi, Hawa wote ni wezi tu.
@alijuma675
@alijuma675 2 ай бұрын
Mmoja kaua kisha kapotea mkali wa tiktok
@salumuledisalum8038
@salumuledisalum8038 2 ай бұрын
wote hawa ni wezi tu wapumbavu hawa
@hakizimanaselemani1995
@hakizimanaselemani1995 2 ай бұрын
Mimi na fwatiya sana vipindi vyako : Ila naku hakikishia wote wana tumia ilimu ya Siri ambayo ki sheria yaki islam ni shirki aina ubish ndanimo , Allah pekee ndo mwenye kutowa utajiri na ku kadiria kila kitu , Allah ndo mlinzi , na akuna ushirika wowot saw bin’Adam n majin wot weny kumia ilumu y nyota wot nyuma yao kuna nguvu y jini hutumika nao yot ni ushirikina , haijalish alo sem ame vaa kanzu na kilemba au ni mwarabu au ni nani Ila dini yetu iko waz waz , ndoman mtume saw ame tumia miak mingi kuifundish tauhid, turizik n maish alo tukadiria … Allah uko shahid nime fikish
@hashimudizele35
@hashimudizele35 Ай бұрын
inakuwaje shekh ..... hahahah ndugu mwanadishi zingatia mazingira ya salamu
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 2 ай бұрын
Namshukuru MUNGU kuwa mkristo Hakika nipo mahali salama na pa uhakika ni njia isiyo na shaka yoyote.
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 2 ай бұрын
Bado hunawa salama yesu anaenda kukukataeni mbele ya mungu
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 2 ай бұрын
uoukilsto niushilikina kukubali yesumungu niushilikina kumpinga mtume Mohammad s.a.w. ukafili kukubali yesu kajakukomboa zambizawatu niushilikina nyinyi wakilsto amunaelimu yadin .atamwamposa nimshilikina
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 2 ай бұрын
achakuogopa pumbavuwe uklsto niushilikina kaamini yesu nimungu kumpinga mungu kusema kunamungu baba namungu mwana niushilikina kuamin msalaba nakuutii niushilikina waklstowote niwashilikina kakuna mklsto anabisha nimpeandiko ndani yakitabuchake biblia awa wakilsto niwasomi ila awaisomi dini wanaelimu yakutafuta ajilatu kwaio wewe usiogope kusema ukweli abuwewe mklsto soma kwanza issaya 10..56
@user-ve3wu5jn1l
@user-ve3wu5jn1l 2 ай бұрын
Hahahahaha . Allah akuongoe ujue njian sajihi
@OG_The_King
@OG_The_King 2 ай бұрын
Amina, Hakika Yesu ni Bwana
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 20 күн бұрын
Mm siofundi ila mm hizi mambo mnayo ongelea ni mjarabu sana sule anajuwa nn anacho kiongelea
@rashidabasi7940
@rashidabasi7940 Ай бұрын
Sheikh naona karuka alipogusiwa sio makanisa yote.. Eti inawezekana Sio Tanzania.😂😂
@kasichimoses6869
@kasichimoses6869 Ай бұрын
Wewe unasema kweli na hutaki unafiki, endelea kuweka wazi wengi wajue, mwenyezi Mungu atakukipa mema, achana na muongo dr Sule
@CKMO
@CKMO Ай бұрын
Hii imekuwa Bishara ya uganga sasa wallahi j😢Jamani watangazaji acheni kutafuta waganga kwenye mitandao watu wote wenye tamaa fupi muwataingiza ktk ushirikina hii dunia imekuwa ya ushirikina tuu loooh mungu atuhifadhi
@fredducaunt
@fredducaunt Ай бұрын
Ukristu ndo dini ya kweli Duh nkajua mnaakili kumbe manyumbu tu Majini toka lini akawa integral part na Dini Upuuzi huu
@omarbinjaa2801
@omarbinjaa2801 2 ай бұрын
Wengi hawa ni wachawi na washirikina watu wa Elimu za majini na nyota n pete
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 2 ай бұрын
Elimu ya nyota ni miongoni mwa elimu ya shiriki.
@halimamohamed4842
@halimamohamed4842 2 ай бұрын
Subhnallah Allah tujalie mwisho mwema😢😢
@kaundemtanga
@kaundemtanga 2 ай бұрын
Uyu kijana nilimjua mwaka 2021 anaitwaa sir Bin laden Nilimpata Kwa Bingo alinisahidia Sanaa kunitibia matatizo yangu uyu anajua haswaa Tiba SEMA umri wako ni mdogo
@gideonjohn8912
@gideonjohn8912 2 ай бұрын
Habari ndugu naomba namba zake ninamgonjwa labda anaweza nisaidia
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 2 ай бұрын
​@@gideonjohn8912 Kachukua kwenye channel yake inaitwa firdausi
@hamisiiddi7340
@hamisiiddi7340 2 ай бұрын
Tunaomba namba
@GoodDeeds-Jesus
@GoodDeeds-Jesus 2 ай бұрын
Naomba kuwasiliana na wewe tafadhali nikwambie Habari za uponyaji kupitia Yesu Kristo kama hutojali ​@@gideonjohn8912
@mansoorsuleiman1645
@mansoorsuleiman1645 Ай бұрын
Acha uongo ndugu yangu kumbuka kuna kesho unaongea uongo tu na hata hufikirii hio elimu wenyew ya majini hujui acha kupotesha
@user-ih7nl5nv3c
@user-ih7nl5nv3c 2 ай бұрын
Tuwasomeshe watoto wetu ttauhidi wasije kua waganga
@Zaharaamiri
@Zaharaamiri 2 ай бұрын
Subhanallah Allah Akbar Nyie ni washirikina wakubwa sana Na mtaingia motoni milele Mnatuaibisha ss waisilam
@petermgonja8547
@petermgonja8547 Ай бұрын
Waislaaamu munatia aibu Sana. Acheni majini wandugu yatawazulia balaaaaaa
@hamzarangi7989
@hamzarangi7989 2 ай бұрын
Mtangazaji umemsingizia dr sule huyo shehe yupo right ila umemsingizia dr sule hawezi kusema jini haitwi
@shamimnelly.8042
@shamimnelly.8042 2 ай бұрын
Huyu jamaa Ameongea vitu vya ndani saana tatizo watu kuambiwa ukweli ndio hawapendi
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 2 ай бұрын
Kabisa, lakini Kuna watu kuelewa ndio shida
@rashidkapile
@rashidkapile 2 ай бұрын
Wengi wavivu kusoma huyo dogo kasoma
@eliudieliya6394
@eliudieliya6394 2 ай бұрын
Huyu ostadhi anapatikana wap
@user-yd3me5rr2z
@user-yd3me5rr2z Ай бұрын
Huyu jamaa anaelmu kubwa sana
@azizabuyonde8368
@azizabuyonde8368 2 ай бұрын
Yaaani jini anajuwa dini la kislamu, kanisani hatupandishi jini, sisi tuna Roho mtakatifu
@bare-gj2mu
@bare-gj2mu Ай бұрын
Da Hawa wakristo nao Hawana akili kabisa mwanaadamu anawezaje akawa mungu. Mtu amezaliwa anawzje kuw Mungu, jamani hii ni akili kwel ya Mt?
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 Ай бұрын
Unajarib kukwepa maswal ya mwandish lkn uhalisia ww nk mshirikina live, pete unaisomea dua
@masoudjongo
@masoudjongo Ай бұрын
Naisi huyu muandishi anaeye hoji ana kumbukumbu na anaowaoji unafarakanisha hapo
@ala1608
@ala1608 Ай бұрын
Muthani kweli kweli mie nampenda sana sheikh Nurdin kishik havai pete kbsa 😢😢🤔🤔🤔
@SureBoy-o2t
@SureBoy-o2t Күн бұрын
Kishki pia kipenz chang
@user-qw3fj1zw6p
@user-qw3fj1zw6p Ай бұрын
Munguninuxuru nauyu hoxtdhi yukoxahihi
@EliaMwangobe
@EliaMwangobe 2 ай бұрын
Ko hilo neno la kiarabu la kuitia majini linasemwaga kansani ???? Acha uongo mwamba umeyatimba
@user-qw3fj1zw6p
@user-qw3fj1zw6p Ай бұрын
Mungu nijaariye mimi naummawako woote
@PascalKingunge
@PascalKingunge 2 ай бұрын
Acha aseme ukweli mtu WWE kisha shehe jabili Acha namba za simu watu wajalibu kuuliza maswali zaid kwako hongela Kwa kutoa ukweli😂😂
@abuudachi3986
@abuudachi3986 Ай бұрын
Huyo sheikh mwenyewe anang'ata maneno hajaweka wazi anavaa hiyo Pete kwa malengo gani anatakiwa afunguke kama anavyo funguka mwenzie Sule
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 2 ай бұрын
SubhanaAllah mtihani Allah atuepushe na shirki
@maciaali3698
@maciaali3698 Ай бұрын
Hawa watanzani wote washirikina mtapata laana kutoka kwa Allah
@mops8905
@mops8905 2 ай бұрын
Mbwa kwel wewe mungu atakulahan kwa utapel wako
@ayasspashaa8119
@ayasspashaa8119 2 ай бұрын
Jamanii kwanini. Unasema utapelii ??
@KelvinAgalla-kg9gl
@KelvinAgalla-kg9gl 2 ай бұрын
Vp ushataoeliwa!!😅😅
@epitomeapex
@epitomeapex 2 ай бұрын
Kwani Umetapeliwa nin?🤔🤔🤔
@AbuuNuraiyah9009
@AbuuNuraiyah9009 Ай бұрын
Hiyo sio elimu bali ni uchawi.acheni kudanganya watu
@user-ei9rh7vh7e
@user-ei9rh7vh7e Ай бұрын
Tumcheni Allah tungu zanguni kwenye uwislam elimu zote zipo tunaamin lakn so kila elimu inafaa kuifanyia kazi ,hapo hatuna masheikh wote wamrudie Allah kabla kufa
@user-jh1vr1vt2k
@user-jh1vr1vt2k 2 ай бұрын
Tatizo duniya hii mtu akiongea ukweli anaonekana nimpotoshi yeye hajasena hivoo lakin
@FadhilKassim-qj8tc
@FadhilKassim-qj8tc Ай бұрын
Huyo na Dr sule wamoja
@moseskusamba431
@moseskusamba431 2 ай бұрын
Jamani hii ndini au uchawi!
@moudy4realibrahim601
@moudy4realibrahim601 2 ай бұрын
Naomba umuulize sheikh hukmu ya kumdhurumu mtu haki yake inakuaj kwa mwenyezi mungu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 ай бұрын
🤔🤔
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Wenae shehe yukowapihapo. Hukumuyake mototu ukitakakusalimika umlipe
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 20 күн бұрын
Nanyie angalieni na watu mnaokuja kuwahiji uchawi ni sayansi hivi kunashekhe gani Tanzania hii anaemshinda Dakta sule kwa sayansi jini kuitwa mpaka akaja kunajazi na jini ambae anaitwa mpaka kukufika tayari ashaweka mawasiliano na wewe na hili dka sule asha lizungumza
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 Ай бұрын
Asante mtu uliyenihubilia injili ya Yesu
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 Ай бұрын
ALLAAH akuongoze
@noors7030
@noors7030 Ай бұрын
Ukae ukijua wate ni washirikina wanamshirikisha Allah na majin Muslim humuomba Alla pekoe mmoja tu
@mohammedjabir6128
@mohammedjabir6128 Ай бұрын
Kajitahidi shekhe kueleza lakini hapo katika pete kachemsha, Allah amuhidi!
@user-lr6ri8bx2f
@user-lr6ri8bx2f 2 ай бұрын
Innalillah Wainailayhi rajiun
@cydemanchester2368
@cydemanchester2368 Ай бұрын
Mshirikina anamtaja mshirikina mwenzie
@sophiabaraka760
@sophiabaraka760 2 ай бұрын
Kumuita jini mpaka kufata masharti hii ndio shirki yenyewe, Usimwamini Mungu akusaidie unamtegemea jini.
@musapfute6608
@musapfute6608 2 ай бұрын
Tukisema wabarakatu wafuga majini mnabisha
@Onchieku-cp8wd
@Onchieku-cp8wd 2 ай бұрын
Uislamu ni uchawi tu kwa huyu mhojiwa....
@saidjuma4547
@saidjuma4547 Ай бұрын
kuvaa kanzu sio ushekh
@MmingeMminge-kr8nj
@MmingeMminge-kr8nj 2 ай бұрын
Hata wew pia Ni mshirikina kwa maelekezo yako, Ni mtihani 😂
@AishouSamantha
@AishouSamantha 2 ай бұрын
Mmmmmh dunia iyi inamengi kwl allh tup mwisho mwem yarab
@user-hf3sf7rh5m
@user-hf3sf7rh5m 2 ай бұрын
Huyu kijana yuko vizuri kabisa ! Kumbe kwa wa islamu piya kuna wanao fafanua mambo kwa ukweli ?
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 2 ай бұрын
Nyie mmnaposema docter sule tuekeen clip yake tuskie ayo maneno msiongee uongo tu
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 2 ай бұрын
Kwa uchawi na majini saluti sana kwenu
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 2 ай бұрын
Mshirikina sana ww tubu kwa Allah la si hivo Allah atakutia.motoni
@abdulfatahumarsaideazamo2654
@abdulfatahumarsaideazamo2654 2 ай бұрын
Hapa Hakuna tcha ushekhe wala wislam safi. Huyu hana dhihirisha kuwa ni mshirikina na hana ijua shirk tena vizuri sana
@hassanmohammed6229
@hassanmohammed6229 2 ай бұрын
Aww msiwasikilize hawa wahuni shauri zenu.elimu ni bahari 🙏🙏
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 2 ай бұрын
Bakabla hujacoment kwanza umewaskiliza alafu ndio umecoment Sasa unatwambiaje tusiwaskilize?? Kwanza Kuna kuskiliza na kukubali
@jayharryson4913
@jayharryson4913 2 ай бұрын
😂Hayo macho matatu tunaoneshwa kwa makusudi ushamba huu
@hashtagdarling4738
@hashtagdarling4738 Ай бұрын
Jina la uyu shekhe tafadhali
@user-kn8pw7vk4e
@user-kn8pw7vk4e 2 ай бұрын
Daaah...!! kazi ipo ktk izi Dinni...
@Muzmuayubu
@Muzmuayubu 2 ай бұрын
Hii dunia imeisha ss mungu tunusuru😭🙏 mina
@amidanibimenya9692
@amidanibimenya9692 2 ай бұрын
Yani wewe unajaribu ili ujuwe mungu akulinde .yani wa somi poleni .sis wamungu mungu atazidi kutulinda
@qariuzzamaantanzania7074
@qariuzzamaantanzania7074 Ай бұрын
Tuna mashehe wengiiiii wa mitandaoni. Mojawapo ya dalili za qiyama Ukiona wasiokuwa na darsa la watu mbele yao, kw maana angalau wanafunzi watatu tu, akifundisha Qur'an fiqihi tauwid nk. Yupo mitandaoni tu ama mihadhara ambayo mwisho wake ziuzwe dawa na michango kw ajili ya matumbo yao.....
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 2 ай бұрын
Mm nimmoja wa watuambao nimekutana na mambo mengisana ya kidunia ambayo sijaomba wala kutafuta ispokuwa ulimwengu ndio ulinifanya iweivo baadakuwa napigwa vita na wanadamu tena wandani ya familia sasa majini nilokuwa natupiwa kwaajili ya kuzulumiwa sasa mungu hajawa tayari kuwa mm mjawake kufa sasa majini waliamuwa kubadilika ndio wakaja kwangu naniukweli wamehitaji mm nifanye kazi ya utibabu na utafanya vip utibabu bila kukutana na hawaviumbe lazima uwaite tena anakuja na mnaongea na kiukweli hata wachawi iliuchawi wao utumike jini na quani na miti ifanyekazi tofauti na mti na quani mti unaroho iriji toka umeubwa ila quani mpaka uisadifu hayomambo nimakubwa sana
@issaosman7397
@issaosman7397 26 күн бұрын
Dini ya kislamu inaweza tatua shida zote hapa duniani
@raymondmunis3553
@raymondmunis3553 Ай бұрын
Unahoji watu wenye sifa hizo tafuta watu wenye elimu.Pete zilizokuwa zikitumika kipindi hicho ni alama au kama muhuri ilikuonesha ujumbe umetoka kwa nani?Hao ndio wanabadili sasa kuwadanganya watu
@raymrash
@raymrash 2 ай бұрын
Upande huu wanapenda sana majini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@KarimuYusuph
@KarimuYusuph 2 ай бұрын
toa jibu unavaa pete kwa maana gani mbona sule akiongea unampinga kubali nawew upo humo acha kumchafua mwenzako
@kaundemtanga
@kaundemtanga 2 ай бұрын
Uyu kijana anaitwa sir Bin laden nilimjua mwaka 2020 kwa Bingo alinisahidia sanaa matatizo yangu anajua tiba kweli ila ana umri mdogo
@KelvinAgalla-kg9gl
@KelvinAgalla-kg9gl 2 ай бұрын
Ko yuko vzuri kitiba
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 2 ай бұрын
Kama hutojalii nisaidie namba zake tafadhali Ndg yangu
@princedesire6270
@princedesire6270 2 ай бұрын
Namba tu kaka🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@user-lq6kr2gl7n
@user-lq6kr2gl7n 2 ай бұрын
Mmm! Si wote waelewa hii elimu ya hawa viumbe ni pana zaid
@SuleimanMsechu
@SuleimanMsechu 2 ай бұрын
Anapatikana wapi
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 Ай бұрын
kiebrania ndo lugha aliyozungumza yesu...
@sadathashimu223
@sadathashimu223 2 ай бұрын
Huu ni ushirikina mtupu namuomba ALLAH mtukufu atuongoze sote maana Hawa ndo wachafuzi wa uislam kwa elim zao za kitaoeli za kutafutia ugali
@SAIDNYUNGU
@SAIDNYUNGU Ай бұрын
Huyu na dr sule wote wasafiri wamoja gari moja isipokua mmoja manamba mmoja konda
@jumalihumbo5314
@jumalihumbo5314 2 ай бұрын
Shekh umepigaje apo uchawi imekutoka au😂😂😂
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 105 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,3 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 158 МЛН
MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.
1:04:29
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН