Kwa kweli napenda sana maneno ya wimbo huu. Unabariki sana roho yangu. Its on the top of my favourite Gospel songs at the moment. Mungu azidi kuwabariki sana watumishi wa Mungu na kuwalinda nafasi zetu sasa na milele kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai. Amen and Hallelujah 🙏🏿
@emedibyaombe58492 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi hakika Mungu anakutumia katika kutangaza injili kwa njia nyimbo
@lovenessdiva3370 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor 🙏
@mathayomkumbuchile15692 жыл бұрын
Ambwene sina neno juu yako zaidi ya kukuombea kaka, computer yangu na simu yangu imejaa nyimbo zao tuu. Ahsante Mungu kwa ajili yako
@charlschito68672 жыл бұрын
Aaaa!!! Naam Kaka kumbe umepita kwnye Imani ya NIKEA , Sawa sawa ..
Nitaufuatilia wimbo. Nawapenda nyote. Salamu zangu kwenu wote kutoka Nairobi Kenya.
@barakaadson66272 жыл бұрын
Natamani ningepata mafunuo Kama mungu anayokufunulia katika utunzi wako,, Nakupenda saana na unanibariki Sana na nyimbo zako
@AmaniMwalyego-do2vk8 ай бұрын
I like that
@gideonjames69982 жыл бұрын
Shaloom kaka, tunaomba hata basi utuwekee hapa youtube ule ulitoka kwenye flash kaka, huu wimbo unaonekana ni mkubwa sana Nahis kama nahitaji sana kusikia hii baraka kubwa, naona moyo wangu una hitaji sana huu wimbo kaka
@onesmusmutangili12932 жыл бұрын
Waiting mkuu,nakufuatilia kutoka Lavington #254.
@fallymusa63612 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka ambweni. Nyimbo zako zinanibariki
@mankamushi74932 жыл бұрын
mwenyewe nimependa iyo part wewe ni zaidi ya elia hauchomi watu unasamehe
@trizasamuel85552 жыл бұрын
AMEN
@barakamwakinyuke19102 жыл бұрын
Be blessed my young brother Ambwenekyala mwasongwe
@magrethevarist43782 жыл бұрын
Ameen Nimebarikiwa Sana Mungu Akuinue Zaidi Mtumishi Wa Mungu
@yohanawillberforce6412 жыл бұрын
Amina watumishi BWANA awatie nguvu
@miriamsongora61172 жыл бұрын
Wimbo naupenda sana huu
@thechaiboytv96662 жыл бұрын
🔥🔥
@josephkntiga61272 жыл бұрын
Amina sana ubarikiwe mno mtumishi
@rmaryp62692 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa kz nzr.
@nebartsanga78902 жыл бұрын
tunamsubili mwana wa Azali asiye na asili bali ni wa milele
@naominkungu11012 жыл бұрын
Nausubir kwa ham wimbo mtumishi nabarikiwa sana nyimbo zako
@valentinamangula11282 жыл бұрын
Mwakatobe na mkubali sana Mungu amuinue🔥🔥🔥🔥💪
@katsuvakamatedaniel78932 жыл бұрын
Mubarikiwe Sana watumishi wa Mungu
@florentinafabian35372 жыл бұрын
Kazi njema saaaana
@moneykiks24342 жыл бұрын
Nliokoka kwa huyu mchungaji now Niko dar ni miaka mingi sana kwakweli nmekumbuka mbali sana Mungu awaweke sana
@mnyakyusambunifu1432 жыл бұрын
Hongereni saana watumishi Mungu awatunze
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
Good morning heaven passengers we love you unlimited sweetheart ❤from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 But next time ⏲️cook it in English language because I don't understand this maswahili language
@hpalacemusic2 жыл бұрын
Amen
@neemajohn82642 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@andreamndeme15392 жыл бұрын
AMEEEEEEN BROTHER ONE DAY MUNGU ATANIPA KIBALI TUFANYE FTRING I WISH
@zakayomahenge9572 жыл бұрын
Barikiwa Sana watumishi wa Mungu
@shukurumsikai23952 жыл бұрын
kaka yangu mungu yupo nawe natamani tuonane tu lakni bla kusahau kuna kaz ya mungu isonge mble usisahau like comment subscribers inaitwa shukuru Msikai ni wewe mungu akubariki
@albertmwinde4872 жыл бұрын
Naomba tafadhali huu wimbo uutoe ndani ya wiki hilihili tafadhaliiiii
@anyelwisyemartin37442 жыл бұрын
Ubarikiwe na sanaaa Mtumishi
@francisnyoni16062 ай бұрын
Asa mbna hujatoa Hadi Leo Mtumishi
@dianamohamed48062 жыл бұрын
Ameen nabarikiwa na huduma yako
@ezekielimbalwa39642 жыл бұрын
barikiwa sana mtumishi
@petrobavuna80842 жыл бұрын
Barikiwa sana Nimebarikiwa
@paschalkiniofficial1232 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@luhekelondelwa97142 жыл бұрын
Amin
@ElinaErasto172 жыл бұрын
I will be waiting for the song ❤️
@elizabethmakala42862 жыл бұрын
Mungu akubariki mnooo kaka
@habibasail11962 жыл бұрын
Amena
@upendosumari30952 жыл бұрын
Be blessed brother
@pintymelodytz9132 жыл бұрын
Barikiwa Sana Kaka 🙏
@godfreykoyi34882 жыл бұрын
Blessed brother
@irenechogoofficial59012 жыл бұрын
Ameeeeeen
@OscarandMary2 жыл бұрын
𝐀𝐦𝐞𝐧
@agmproduction32702 жыл бұрын
safi sana, hongera sana ndugu yangu
@gwakisaadamson37152 жыл бұрын
@Ambwene Obadia Mwasongwe umepita mwezi sasa mbona kimya tumesubilia sana imekuwa tuna chungulia kila siku humu
@celestinebora25052 жыл бұрын
Kaka mchungaji kanifanya moyo wangu uwake moto kwa kutamani kuusikia huo wimbo jamani nampemda YESU sana kaka
@Utulivu4442 жыл бұрын
AMEEEN AMEEEN kaka
@bonpeter38752 жыл бұрын
Wimbo huo unatoka link mbona unachelewa tunaham nao
@wannaproducts2 жыл бұрын
Lini utakuwa released?
@theeproverbs31babe822 жыл бұрын
Bro Ambwene carry this mantle to the end more love and prayer from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunaku enzi sana bro💞💞
@mrmhenipm2 жыл бұрын
Hakika ,,,,
@samwellyatuu2 жыл бұрын
Where is the song
@ElinaErasto172 жыл бұрын
When would this song will come out again
@dannykorongo26662 жыл бұрын
Tanasubili
@numpefikimwaipopo2 жыл бұрын
Hakika mwana was Azali
@kashindimwaliasha47622 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa na neno hilo
@rubenkandonga1467 Жыл бұрын
Tayari
@rulimbiyesaid59072 жыл бұрын
Ivi na ii video yake ilirekodiwa Tar 10 April pia?!
@prophetmlokozi46332 жыл бұрын
𝙴𝚖𝚎𝚎𝚎𝚗𝚒 𝚋𝚊𝚛𝚒𝚔𝚒𝚠𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊
@emedibyaombe58492 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi hakika Mungu anakutumia katika kutangaza injili kwa njia nyimbo