BROILER VS LAYER/Nifuge nini kati ya kuku wa NYAMA na MAYAI/KIlimo na mifugo israel

  Рет қаралды 11,263

Bwana Shamba

Bwana Shamba

4 жыл бұрын

Kwenye video hii tumeonyesha umuhimu na uzuri wa kufuga broiler(kuku wa nyama)
Pia vilevile tumeonyesha umuhimu na uzuri wa kufuga layer(kuku wa mayai)
Halafu tukashauri ufuge nini
Kwa maswali na ushauri unaweza kuweka kwenye comment
lakini pia unaweza nicheki kupitia
whatsap: +972 552 726 444
instagram: abasi_alfani
email: abasiawazi075@gmail.com

Пікірлер: 69
@rayajuma301
@rayajuma301 4 жыл бұрын
Ushauri wng ni vema mfugaji ukaangalia soko kabla ya kuanza kufuga
@isayalupogo3406
@isayalupogo3406 4 жыл бұрын
Kuku wa nyama umeshinda Kwa upande wangu, ila nahitaji mdahalo wa kuku wa kienyeji na kuku hao wengine.
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Sawasawa usjali tutaandaa
@cpasalma1532
@cpasalma1532 4 жыл бұрын
Nami na support broiler
@issaali8277
@issaali8277 3 жыл бұрын
Mm nimependa leya maana nnapata kula mayai na nyama.
@noelmsofe2589
@noelmsofe2589 4 жыл бұрын
Safi Sana jembee
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 4 жыл бұрын
Kuku wa nyama umetisha faida haraka haraka
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Asante Sana
@stworddm3460
@stworddm3460 3 жыл бұрын
Pamoja...texting you soon...one love from 254...🇰🇪🇰🇪
@lucasmsuka8252
@lucasmsuka8252 4 жыл бұрын
Mie binafsi nahisi layers ntafuga japo changamoto ni nyingi
@mbwanajangwa
@mbwanajangwa 3 ай бұрын
Mambo vp? Ebana Mimi naomba elimu ya kutengeneza chakula Cha kuku ili kupunguza gharama ya kununua vyakula vya viwandani Jinsi ya kuchanganya kwa uwiano ukilinganisha na Rika za kuku kuanzia vifaranga Hadi kuku WAKUBWA.
@fraternitesecondaire7073
@fraternitesecondaire7073 11 ай бұрын
Nimesikia kuhusu mtaji kwaiyo Nina swali kuhusu mtaji wakufuga kuku, ningependekeza kupata mafunzo ya mtaji waufugaji wa kuku.
@diamondplatnumz4916
@diamondplatnumz4916 3 жыл бұрын
Hi mm nifugaji mchaga kutoka Keya mbasa mm na sapot tim zote zina faida zake asanteni Sana kwa kunipa morali
@patrickmasele4566
@patrickmasele4566 Жыл бұрын
Safi Sana... Ila Mimi Ni Team Broiler...
@gladymwaipopo7632
@gladymwaipopo7632 4 жыл бұрын
Nifuga aina gani sasa
@akeem1221
@akeem1221 3 жыл бұрын
wote wako sawa.
@chrissmwani1012
@chrissmwani1012 3 жыл бұрын
Broira wapo safi
@chrisnambahu7342
@chrisnambahu7342 9 ай бұрын
Mayai
@momumofarms
@momumofarms 4 жыл бұрын
Hahahaha, Nimependa Layers aisee faida ya muda mrefu
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Safi Sana hongera
@momumofarms
@momumofarms 4 жыл бұрын
@@bwanashamba7497 poa poa mkuu
@khaledhabeb9160
@khaledhabeb9160 3 жыл бұрын
Layers
@johnnnko6439
@johnnnko6439 3 жыл бұрын
Kaka vp
@peterwamwandawiro8126
@peterwamwandawiro8126 3 жыл бұрын
Mimi nimependa wote
@ismailmashimba3470
@ismailmashimba3470 4 жыл бұрын
Vipindi vyenu ni vizuri sana maana tunapata elimu ya Israel wakati tupo tanzania
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Asante Sana
@ezydolyjulius5015
@ezydolyjulius5015 4 жыл бұрын
Mm pia nmependa kuku wa mayai na ninatamani sana kuwafuga
@DenisKawa-zm9eb
@DenisKawa-zm9eb Жыл бұрын
Zote ni bab kubwa
@chrissmwani1012
@chrissmwani1012 3 жыл бұрын
Naomba namb yako kaka
@yusuphkatimba1397
@yusuphkatimba1397 Жыл бұрын
Layers ameshindaaaa
@charleschachamulilichacha173
@charleschachamulilichacha173 3 жыл бұрын
Broela
@zubedadahalgould8809
@zubedadahalgould8809 4 жыл бұрын
Browela inatakiwa uwe na sehemu kubwa
@kingcopper_tz
@kingcopper_tz 4 жыл бұрын
Team broiler tumeshinda
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
😃😃😃
@shijalameckmpemba4529
@shijalameckmpemba4529 4 жыл бұрын
Zote nimezipeda mm naobeni namba yenu
@ismailmashimba3470
@ismailmashimba3470 4 жыл бұрын
Mm nimependa breilar
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Safi sana
@salumsaidsalumsaidnassor4226
@salumsaidsalumsaidnassor4226 4 жыл бұрын
Mm nafunga kuku wa nyama lkn sina ujui na umbea kufundishwa maamuzi naomba namba yako
@dullaupepo9767
@dullaupepo9767 3 жыл бұрын
Layes
@abdallasalim324
@abdallasalim324 4 жыл бұрын
Wote bora, lkn layer ni wazuri changamoto yke muda, ,
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Yeah inabid mfugaji awe mvumilivu
@emanueljoseph8036
@emanueljoseph8036 2 жыл бұрын
Mimi nafuga layer
@carolinedanson7782
@carolinedanson7782 4 жыл бұрын
Broiler ♥️
@jamilgavzan6796
@jamilgavzan6796 4 жыл бұрын
Mimi nimependa layers
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Haya hongera
@noelmsofe2589
@noelmsofe2589 4 жыл бұрын
Tunapata elimu
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Pamoja sana
@elizabethmwanga2103
@elizabethmwanga2103 4 жыл бұрын
Naomba mtufundishe jinsi ya kutengeneza vyakula vya kuku wa mayai layers
@sophiafaustin1409
@sophiafaustin1409 4 жыл бұрын
Nahitaji kufuga kuku mayai naweza kuanza na mtaji wa sh ngap? Tafazali naomba unipe majibu mm mama wa nyumban nimechoka kutoingiza hata sh 100
@jamalmvungi3162
@jamalmvungi3162 3 жыл бұрын
Milioni
@patrckimtela2289
@patrckimtela2289 2 жыл бұрын
Bloire
@deofurniture7700
@deofurniture7700 4 жыл бұрын
Vp kuhusu kroila n kienyej
@everiusprojestus682
@everiusprojestus682 4 жыл бұрын
Nawezaje kufundisha jogoo wangu wa kinyeji kupanda kwa kumshikia jike
@ItechnologyTZ
@ItechnologyTZ 4 жыл бұрын
NIMECHEKA SANA
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 жыл бұрын
Hivi vituko sasa
@muhamedntunzwenimana6913
@muhamedntunzwenimana6913 3 жыл бұрын
Miminapendakukuwamayayi
@michaelgerrard6862
@michaelgerrard6862 4 жыл бұрын
mayai faida zaid
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@careenshine9483
@careenshine9483 2 жыл бұрын
wee broler wakiwa 100 huweke kwenye freji hacha kurupuka mambo bora laryer wewe
@Yusufuy608
@Yusufuy608 4 жыл бұрын
kwamimi ningependa kufuga kuku wa mayai, kwasabb ninafaida mbili mayai na kuku pia, lakinipia sitokuwa na presha ya soko kwasabab wanamda mrefuu, nakipindi ntakuwa nauza mayai natafuta soko ya kuku polepole, lakini vip kuhusu chanjo ya kuku wa kienyeji please tusaidie kuhus hilo bwana shamba, maana mimi ninampango wakuku wakienyeji, niko najenga nyumba, mda simrefu naanza kaka.
@rayajuma301
@rayajuma301 4 жыл бұрын
Mi nitafunga broila kwakua ni mda mfupi nitakuja nimejifunza changamoto zake
@rayajuma301
@rayajuma301 4 жыл бұрын
Mi nitafunga broila kwakua ni mda mfupi nitakuja nimejifunza changamoto zake
@hamisikareem648
@hamisikareem648 4 жыл бұрын
Mwamba umetsha
@valencerutaihwa5244
@valencerutaihwa5244 4 жыл бұрын
Team remy
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Haya bana
@fillbettertem5211
@fillbettertem5211 3 жыл бұрын
Mimi nahitaji banda la kuku wa Mayai zuri lakisasa
@fillbettertem5211
@fillbettertem5211 3 жыл бұрын
Nitaipataje?
@abutwalibuiddy8734
@abutwalibuiddy8734 3 жыл бұрын
Layers
MAKOSA WANAYOFANYA WAFUGAJI WA KUKU/KILIMO NA MIFUGO ISRAEL
15:54
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI TANZANIA
10:52
Mutafarm TV
Рет қаралды 8 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 18 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Top 10 RICHEST PEOPLE IN KENYA 2024 and their NET WORTH
8:01
Acb King TV
Рет қаралды 169 М.
MASHINE ZA KUTENGENEZA VYAKULA VYA KUKU
1:32
ANLO MACHINERY
Рет қаралды 11 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
KWANINI KUKU WANGU HAWATAGI/ KILIMO NA MIFUGO ISRAEL
9:50
Bwana Shamba
Рет қаралды 9 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 18 МЛН