SABABU 5 ZINAZOKUPA HASARA KWA KUKU
7:04
NAZARETH TOUR /AGROSTUDY/ISRAEL
3:35
ANZA KILIMO/UFUGAJI BILA PESA
5:31
4 жыл бұрын
Пікірлер
@JamesMakweba
@JamesMakweba 23 сағат бұрын
Tuma namba zako
@user-pk2fp8hf7i
@user-pk2fp8hf7i Күн бұрын
Mm nataka kuja huko izraeli kufanyakazi za kufuga ili nijifunze zaidi nasaidie nifki huko
@emmanueleddiemwamakula3398
@emmanueleddiemwamakula3398 Ай бұрын
Mwanga ni kitu muhimu sana ukiondoa chakula bora
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds Ай бұрын
Asante kwa elimu
@elibarikishukya-lf3sk
@elibarikishukya-lf3sk Ай бұрын
Kuku kuingiliana kwenye kuatamia ,je utafanyaje
@elibarikishukya-lf3sk
@elibarikishukya-lf3sk Ай бұрын
Good
@zawadiabdallahussi2994
@zawadiabdallahussi2994 2 ай бұрын
Kuku wangu wanachelewa kutaga nifanyeje wanaumri wa miezi 9 ss
@user-uc9do2gu2m
@user-uc9do2gu2m 2 ай бұрын
Mimi viranga wakifikisha mwezi miwili wanaanza kuumwa nifanyeje happ😊
@Estermvungi-cl2zc
@Estermvungi-cl2zc 2 ай бұрын
Habari naomba uniunge kwenye group la ufugaji
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 ай бұрын
Upo sawa
@user-jr2hs3hh5f
@user-jr2hs3hh5f 3 ай бұрын
Hongera sana kwa mafundisho mazuri yenye kuimarisha uchumi
@mbwanajangwa
@mbwanajangwa 3 ай бұрын
Mambo vp? Ebana Mimi naomba elimu ya kutengeneza chakula Cha kuku ili kupunguza gharama ya kununua vyakula vya viwandani Jinsi ya kuchanganya kwa uwiano ukilinganisha na Rika za kuku kuanzia vifaranga Hadi kuku WAKUBWA.
@geraldndila5172
@geraldndila5172 5 ай бұрын
He chanjo ya tatu moja inatakiwa uchanje mara Ngapi
@ShukuruJulliasi-gj1pw
@ShukuruJulliasi-gj1pw 5 ай бұрын
Og og
@filipinadaud885
@filipinadaud885 5 ай бұрын
nimeyapenda mabanda,utegenezaji wake ni shs ngapi
@user-ss4lx5en7z
@user-ss4lx5en7z 7 ай бұрын
Nitumie no ya Whatsapp
@user-nd1ym9hb9n
@user-nd1ym9hb9n 7 ай бұрын
Kuku Anataga kwa miaka mingapi ili tuseme kuku amezeeka na hatagi Tena?
@user-uf3fz6vg7b
@user-uf3fz6vg7b 7 ай бұрын
Nimefurahishwa na kipindi chako na swali langu ni ili Je??ni sababu gani zinapelekea kuku kutaga yai ambalo halina layer ya juu (I mean anataga kiini tu)
@AbernegoKikungwi
@AbernegoKikungwi 8 ай бұрын
Oya et maana ya neno " check pea" ni nn
@user-vz2jp8sg3i
@user-vz2jp8sg3i 9 ай бұрын
Nasikia kuku akinenepa sana hatagi vzr?
@chrisnambahu7342
@chrisnambahu7342 9 ай бұрын
Mayai
@djuristngenzi7072
@djuristngenzi7072 10 ай бұрын
Nahitaji mawasiliano
@panwizzyefx319
@panwizzyefx319 10 ай бұрын
Kuku akipandiwa anachukua mda gani kutaga?
@princekapocho2132
@princekapocho2132 11 ай бұрын
Asante sana
@joelmnzava
@joelmnzava 11 ай бұрын
Aloo brother nikushukuru kwa hatua ya swami maana hili lilikua swali langu Nitapata wapi mtaji? Ilihali Nina hobby _sure naenda kuipractice hii I'll give you feedback brother kua nimefikia Wap🙏
@fraternitesecondaire7073
@fraternitesecondaire7073 11 ай бұрын
Nimesikia kuhusu mtaji kwaiyo Nina swali kuhusu mtaji wakufuga kuku, ningependekeza kupata mafunzo ya mtaji waufugaji wa kuku.
@fraternitesecondaire7073
@fraternitesecondaire7073 11 ай бұрын
Ni chakula gani bora yakuipa kuku ? Na namnagani yaku tengeneza chakula cha kuku ?
@fraternitesecondaire7073
@fraternitesecondaire7073 11 ай бұрын
Ningeomba uwe nataja izo chanjo.
@fraternitesecondaire7073
@fraternitesecondaire7073 11 ай бұрын
Sf San bro
@othumanilema3829
@othumanilema3829 Жыл бұрын
Tufanye nn ili kuku atotoe mayai yot
@shukuru9792
@shukuru9792 Жыл бұрын
Good
@selemanhassan3604
@selemanhassan3604 Жыл бұрын
Naomba namba zako za wasap ambazo unaweza kupatikana maan ulizoeka siwezi kukupata
@selemanhassan3604
@selemanhassan3604 Жыл бұрын
Habar mtaalam naomba kuuliza suali maan kuku wangu wanatabia ya kudonoana na kutoana manyoya sasa je nichukue hatua gani kwa kuweza kusolve tatizo hilo ndani ya shamba langu?
@ModestGeorgeRenge-hf6bd
@ModestGeorgeRenge-hf6bd Жыл бұрын
Bwana shamba uko vizuri, sasa naomba kujua mchanganyo wa chakula cha kuku kulingana na makundi husika
@KabaysaMsangabora-hi2ck
@KabaysaMsangabora-hi2ck Жыл бұрын
Naitwa ikramu kaka umitiha
@chedielmasinga1934
@chedielmasinga1934 Жыл бұрын
Upo viziri , NASHAURI KAMA UTAWEZA ANDAA VITABU VYA MAFUNZO HAYA, KWAAJILI YA WAKULIMA WASIO NA UWEZO WA KUMILIKI SIMU JANJA
@stephanmiganigan-zv3pm
@stephanmiganigan-zv3pm Жыл бұрын
Je ni vitu gan vinasababisha kuku kula mayai yao
@nicolemariehubertine5249
@nicolemariehubertine5249 Жыл бұрын
Nina kuku wa mayai, naweza kuwatoa nje?
@saidimhando2701
@saidimhando2701 Жыл бұрын
Assalaamualaykum...mm naitaji kujua njia rahis yenye garama nafuu katika kilimo cha nyanya... shamba langu lipo eneo zuri lenye asisili ya bonde na maji yanapatkana kwa wepesi ukichimba ksima kwaajli ya umwagiliaji
@user-ou8xr6yx5k
@user-ou8xr6yx5k Жыл бұрын
Nimefuatilia, na nimependa sana hii elimu, hongera sana kaka
@user-ou8xr6yx5k
@user-ou8xr6yx5k Жыл бұрын
Mimi naomba ushauri kuhusu kuku wa nyama, broilers, nataka nifuge kama elfu mbili, naomba kujua jinsi ya kuhakikisha wanakuwa na uzito mzuri, bila vifo vingi
@DenisKawa-zm9eb
@DenisKawa-zm9eb Жыл бұрын
Zote ni bab kubwa
@AlodiaAdlofu-lb7fw
@AlodiaAdlofu-lb7fw Жыл бұрын
Je? Nahitaji kuwa na mtaji kiasi gani kuanzisha bishara ya ufugaji wa kuku?
@joelurio2777
@joelurio2777 Жыл бұрын
Tatizo linalosababisha kuku kuwa na magamba kwenye miguu ni nini?
@bigirimanatresor-tm3fm
@bigirimanatresor-tm3fm Жыл бұрын
Sawasawa
@rogersmadeni4815
@rogersmadeni4815 Жыл бұрын
Leo nimejifunza kitu, Safi Sana bwana Shanna
@paulmdiya5941
@paulmdiya5941 Жыл бұрын
100% kutangaza TZ kwa elimu, ufugaji kibiashara hasa kwa kuku
@paulmdiya5941
@paulmdiya5941 Жыл бұрын
Kama nna kuku 100 wa kienyeji nitahitajika sq metre ngapi za Banda lao?
@paulmdiya5941
@paulmdiya5941 Жыл бұрын
Big up - Mzalendo
@paulmdiya5941
@paulmdiya5941 Жыл бұрын
Npo Tanzania nmepata sifa zako kupitia changamkia fursa - npo Tanzania naendelea kujifunza namna ya ufugaji wa kuku kibiashara