MAKOSA WANAYOFANYA WAFUGAJI WA KUKU/KILIMO NA MIFUGO ISRAEL

  Рет қаралды 5,738

Bwana Shamba

Bwana Shamba

4 жыл бұрын

Ndani ya video hii tumeeleza miongoni mwa makosa ambay watu wengi wanaoanza kufuga kuku huyafanya na inawapelekea kupata hasara na kukata tamaa
kwa maswali na ushauri ili kipindi kiwe kizuri nichek
instagram; abasi_alfani
whatsap; +9722726444
email; abasiawazi075@gmail.com

Пікірлер: 34
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Kazi nzuri Bro
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Thanks Sana Kaka I appreciate your support
@paulmdiya5941
@paulmdiya5941 Жыл бұрын
Big up - Mzalendo
@gagasima9506
@gagasima9506 4 жыл бұрын
Gonga like Kama umejifunza kitu
@mwamlimadag4242
@mwamlimadag4242 4 жыл бұрын
Wishing you more success
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Thanks so much brother
@abathbenon2503
@abathbenon2503 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana.
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Asante kwa kuona hilo
@hamiloyusufu1982
@hamiloyusufu1982 4 жыл бұрын
Mzee mpana is so charming
@hamisahanip1553
@hamisahanip1553 4 жыл бұрын
Abasi wangu 😊
@frankbella196
@frankbella196 4 жыл бұрын
Wabongo watumwa english hamjui afu mkiulizwa maneno mliojifunza huko mnasema kiingereza
@paulmdiya5941
@paulmdiya5941 Жыл бұрын
Kama nna kuku 100 wa kienyeji nitahitajika sq metre ngapi za Banda lao?
@elly6014
@elly6014 4 жыл бұрын
Kaliii
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Asante Sana ndugu yangu
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 3 жыл бұрын
Babkubwa
@sadikisadiki360
@sadikisadiki360 4 жыл бұрын
Hujawah kosea nimependa idea ya kuchanya watu mbalimbali
@davydany9648
@davydany9648 4 жыл бұрын
Kaka nakuomba kuwa specific ktk kila unachokifanya na epuka mazungumzo mengi kabla ya mada yko huwa inakela sana kama wale jamaa zangu wa changamkia fursa,napenda sana Nazi yao lakin hzi story za awali zinaboa,wabongo tubadilike
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Asante Sana ndugu nimependa ushauri wako nalifanyia kazi hilo
@davydany9648
@davydany9648 4 жыл бұрын
@@bwanashamba7497 ucjal tuko pamoja kuwa mbunifu kujitofautisha na wengine,waache wakuige sio wewe kuwaiga,kwa mfano kwa kuwa uko kwa wanaojua jaribu kuwa unatafuta location nzur zinazoendana na kaz yko atapendeza sana ,wenzetu wanatuzid kwa vitu vidogo vidogo sana,na kumbuka kikubwa huanza na kidogo hakuna kumi kama huna ziro,be creative bro,mengine yko poa mdogo Wang kaza buti
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Thanks brother
@setotvtz
@setotvtz 4 жыл бұрын
ndiyo ndiyo
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Nakubali Sana
@basiopolio3303
@basiopolio3303 4 жыл бұрын
Emb sama bana😃😃
@fakijukalo3217
@fakijukalo3217 4 жыл бұрын
Mi siio mfugaji ila najifunza ili niione emb sema inanifurahisha sana
@dakahuop1255
@dakahuop1255 4 жыл бұрын
Halaf bwana shamba mi nashauri mkirudi mfanye tour kwenye mashamba yetu ili muone changamoto zetu
@verityherbalistjoseph9892
@verityherbalistjoseph9892 4 жыл бұрын
Asante Sana Jamaa Lakini nawaomba mtupatie namna ya kutengeneza vizuli chakura ya kuku kulingana na umri wa kuku kufikisha siku za kutaga
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
asante sana chakula cha kuku kimekua ni uhitaji wa watu wengi soon nitaachia video inayoelekeza
@hamidajilo5792
@hamidajilo5792 4 жыл бұрын
Campeni ya kufikisha subscriber 1000 imeanza tunashare had mwisho Ila nakupenda bwana shamba
@fanihama5031
@fanihama5031 4 жыл бұрын
Twendeni kazi
@daniganyi6343
@daniganyi6343 4 жыл бұрын
Nimeisoma bas tushare
@sadifata2160
@sadifata2160 4 жыл бұрын
Remmy kwenye kideo
@fadifadifadi9776
@fadifadifadi9776 4 жыл бұрын
Tunaomba kujua kuhusiana na chanjo
@wardangwanda6097
@wardangwanda6097 4 жыл бұрын
Bwana shamba naomba unitajie vitamin nzuri ya broiler
@paskalinaammi440
@paskalinaammi440 3 жыл бұрын
Hongera bro kzfaq.info/get/bejne/hruJg5dpx9GoqYU.html
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
IJUE CHANJO YA TATU MOJA
11:38
farmers centre
Рет қаралды 10 М.
Similarities Between Arabic and Swahili
24:48
Bahador Alast
Рет қаралды 234 М.
Becoming a Widow Part 3
35:17
Kellyn Beal
Рет қаралды 109
NAZARETH TOUR /AGROSTUDY/ISRAEL
3:35
Bwana Shamba
Рет қаралды 372
KWANINI KUKU WANGU HAWATAGI/ KILIMO NA MIFUGO ISRAEL
9:50
Bwana Shamba
Рет қаралды 9 М.
MBINU 3 KUZUIA MAGONJWA YA KUKU/kilimo na mifugo israel
8:22
Bwana Shamba
Рет қаралды 41 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН