Katika moja ya matukio yasiyotarajiwa, Rais John Magufuli amempandisha cheo Kanali Charles Nguge na kuwa Brigedia Jenerali baada ya kuridhishwa na utekelezaji wake wa majukumu ya kazi za ujenzi aliyompatia. Tazama ilivyokuwa
Пікірлер: 182
@hesbonmusili98552 жыл бұрын
Bibilia inasema utatolewa kwenye mavumbi na kwenda kula na matajiri...hongera sana
@njerithiongo79012 жыл бұрын
As a Kenyan,I really proud of you Rais ; ulikua mwafrika halisi. Rip Sir
@abdultaddy27292 жыл бұрын
Thanks for such kinda thoughts i love you bro
@user-nd7ky2yt8g4 ай бұрын
Mzee ulikuw vzur sana
@salumramadhani55663 жыл бұрын
Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi, kila jambo na wakati wake..
@lucassabida54714 жыл бұрын
Huwa nampenda sanaa rais wetu, ana apreciate effortnza watu. Big up JPM for your appreciation to others effort. Mungu akubariki sanaaa
@luganoshaban39485 жыл бұрын
Commandant wangu wa ruvu...he deserves it!
@ayubuakim7835 жыл бұрын
hakuna haja ya kwa waganga we chapa kazi tu mungu atakuona maana mungu hamtupi mja wake,
@husseinkonz51923 жыл бұрын
Maguful R.I.P lakin bado kwenye mioyo yetu wazalendo tunakukumbuka daima
@hussmuya52465 жыл бұрын
Hongera sana anko tunafurahi sana .Na hii ni kwa bidii na uaminifu wako tunakujua toka tulipokua wote kinondoni Jack bar hongera sana tunazidi kukuombea kwa Mungu uwe na afya njema wewe pamoja na familia yako .ameen
@almendhiryable4 жыл бұрын
Safi sana Muheshimiwa Rais..... Mimi ACT Ila kwa jinsi upendo na uzalendo wa Rais nimempa asilimia 💯 na kura yangu nitaiweka kwako .
@million.onlinetv6595 жыл бұрын
Yeah ndo huyooo jombaaa..dah..malipo ni hapa hapaa duniani..hilo lilikuwa jembe la RUVU JKT..832..
@costakosa.simbakwaninihivy42354 жыл бұрын
hongera
@esromkanubho47385 жыл бұрын
Jamaa ata Ruvu JKT alitulaza macho Hatariii
@yakoboigoko66454 жыл бұрын
Kwel tunae lais nampenda sana lais wetu waawamu ya 5 Mungu amlinde sana
@medardkajuna11595 жыл бұрын
Dah..natamani ningekuwa mimi.hakika najisikia faraja sana nnapoona jeshi kama hivi😥.hongera sana lieutenant colonel kwa kazi nzuri hadi kuwa brigadier.
@charlesotwalo93354 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda siku zote Rais wetu jpm hakika kabisa una hofu ya Mungu DAIMA Aksante sana
@venancemwamfise75105 жыл бұрын
Nakukumbuka sana CO wangu Wa pale 832 KJ. Papaa Mbughe
@patrickchibuga29115 жыл бұрын
Huyu Afande ni kiongoz mzur sana namkumbuka sana KJ 832 RUVU 2015
@victorungani28105 жыл бұрын
Operation Magufuli 832KJ ruvu...2016
@onesmomkanga76645 жыл бұрын
Victor Ungani aaah nmekubal mzee victor hyu jamaaa atarii...anastahili hana mchezo!!
@salumnkamia7065 жыл бұрын
Fire 2016
@hamoudsalum90645 жыл бұрын
Safi sanaa rais wetu Hakuna kuchelewesha mda mtu akifanya vizur unampandisha cheo hapo hapo Nakukubali rais wnguu #magufuli
@rahaburichadi80122 жыл бұрын
Xxzakibogo
@aluinaalex95045 жыл бұрын
hongera sana siku zote Mungu huwa hamtupi mja wake pia bila kusahau vijana wa kujitolea op kikwete na op magufuli mlioshiri Mungu yupo pamonya nanyi
@kekemagori47325 жыл бұрын
Hapo ujakosea kabisa jpm hats cc tuliopitia kwKe tunamjua mbuge
@elizabethmziray38685 жыл бұрын
Kama mkono Wa MUNGU Uko juu Yako Lazima tutoboze life Daah l like to solder from my bottom of my heart
@mdashomwamba6795 жыл бұрын
Ruvu jkt 832 alikuwa CO yuko peace sana Mbuge
@Secondborn_4 ай бұрын
Hatari sana op miaka 50 ya jkt ndo tulikuwa wa kwanza kuapa kwake
@goldgod99635 жыл бұрын
Nan anamkubali JPM kama mimi anatumiaaa akili nyingi xanaa
@unitytzdar95535 жыл бұрын
MTU MWENYE AKILI AKIKAA MAHALI, LAZIMA KUWE NA MABADILIKO. JPM ANAONGOZA NCHI KWA KUTUMIA AKILI, NA HIYO ILITAKIWA SANA
@lukandotv81012 жыл бұрын
Msikilize vzr alafu sema akili iko wap km siyo upendeleo!
@clausemsemwa37045 жыл бұрын
Jw toka kitimtim cha kagera limebaki kua jeshi bora....na askari wake wana nidhamu mpaka raha
@emmanuelonjiro35653 жыл бұрын
Mungu akutangulie sana mjomba jpm
@focustryphone54355 жыл бұрын
daaaa Jembe la 832Kj Kanal Mbuge daaaa namkubal sana Hongeraa
@yasinkulendea18604 жыл бұрын
Hongera mzee wangu mungu akubariki katika utendaji wako wa kazi appreciate magufuli appreciate Charles mbuge
Sillo imebak zamu yako mkuu nawe onesha kwa mkuu kua jeshi la poris kua munaweza
@hamadiiddi38612 жыл бұрын
Namkubal sn mbuge kanifungia manzunzo rwamkoma 822 butiama
@clausemsemwa37045 жыл бұрын
Safi watu wachapa kazi wapande vyeo..........wengine watambue hawahitaji waganga
@lufitetv71205 жыл бұрын
Hakika niko happy sana,,,,kuona nchi yangu iko na amani,,,mungu ibariki tanzania,,,,mbariki Raisi wetu DR.JOHN POMBE MAGUFURI ninakutakia maisha marefu raisi wetu,,,ili nizidi kuyaona matunda...
@makiadiongala53455 жыл бұрын
Ni mwaka jana tu ulituaga mkuu ukaamxhwa ukaenda makao makuu ya jkt leo ukoo juuu kileleenii
@augustinewilliam7092 жыл бұрын
Rest in piece father we always loves u
@emmanuelmweruka8155 жыл бұрын
832KJ 2014,, CO wangu huyo aisee hongera zake, kwa kweli anastahili, ni jembe Sana
@sagreymduda65693 жыл бұрын
I jus cried every time i see the speech of my Father JPM
@salumkigoya58913 жыл бұрын
U cry but am very pained coz I was loose that position 4 no reason
@jessicarasigu22202 жыл бұрын
Hakika MAGUFULI alikuwa mtetezi wa Africa wala siyo TANZANIA peke yake,nani Kama JPM tena jamani, MUNGU atuchagulie mwengine Kama MAGU 😭😭😭😭😭😭😭😭 Pumzika kwa Amani Raisi wetu kipenzi cha Watanzania
@jisamjoseph45582 жыл бұрын
😭😭so painful
@abdultaddy27292 жыл бұрын
I love y'll
@saidiyusufu12035 жыл бұрын
CO 832KJ RUVU nambaako ninayo takupigia kukupongeza
@oxyrio12243 жыл бұрын
Tofauti ni gaani kati ya JKt N jwtz
@inderjitlall49724 жыл бұрын
To all dislikers SHAME on you!!!
@editchakoma1113 Жыл бұрын
All African nations are proud of your work Sir, RIP- Magufuli
@emmanuelmwandu.31262 ай бұрын
Good job
@michaelassam57892 жыл бұрын
Kipindi hicho, nchi inaenda bila tozo 😢
@dalaliamanidar30043 жыл бұрын
R.I.P JPM Mbuge lazima amkumbuke JPM daima kwa aliyomfanyia
@nassoromzenga8665 жыл бұрын
Nimependa salute yako
@rashidimussa51434 жыл бұрын
saluti hatar san hiyo
@famysalum27405 жыл бұрын
azam mpo vizuri picha zenu ingekuwa tbc tungeona ukungu to
@chozachoza33185 жыл бұрын
Ruvu 832 kj , Co yupo vizuri
@petercosta13173 жыл бұрын
rais magufuli mungu akuweke mahali pazuri
@richardtungaraza75092 жыл бұрын
Sio mungu ,andika na tumia MUNGU au Mungu ukianza na herufi kubwa kumpa utofauti na miungu mingine
@osybethmbangule76525 жыл бұрын
Anastahili
@yohanessomiyon80475 жыл бұрын
OP JPM 201.... Big up sana kamanda wanguu
@isacknzella46625 жыл бұрын
832 conk 2014
@marysabena3065 жыл бұрын
Hongera sanaa Mbuge
@ramanhoibrahim33835 жыл бұрын
Mie mwendo tu utasema mwendo kasi la express kivukoni-kimara
@sudymgeni7012 жыл бұрын
Magu jamani duuu mungu aiweke roho yako peponi ameni
@user-nt6fb2ky3t4 ай бұрын
Tutazid kukuenz rais wetu kipenz magufur😢🙏🙏🙏
@dalali_professionalwa_dodo83305 ай бұрын
"AROOO huyu kuanzia reo umvishe vyeo begani"... Tangu 9 december tisa kenda sitini na moja hakuna commandr in chief alietoa hii oda wazi wazi kwenye kipaza sauti.... CHUMA was the Best of them All....GOAT....Tutakukumbuka sanaa Ngosha...the best thing ever happend to us...
@johnmalembo64642 жыл бұрын
Ukweli utabaki kuwa ukweli... Nchi imepata pigo kubwa...kwa kifo Cha JPM... Pamoja na mapungufu yake ya kibinadamu kwa mema ya kuijenga nchi vizazi vingi vitamkumbuka.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@kondegangmjexh75634 жыл бұрын
this is our presedent that needed in our country
@reyjosee93905 жыл бұрын
hadi nimesisimka na huo nwendo wa haraka
@papayatnzania10055 жыл бұрын
Nalipenda sana jeshi langu pendwa JWTZ halijawahi kusindwa JPM baba nakuomba sana wape tenda zote za ujenzi hasa hasa hii wizara ya ujenzi iwe chini ya jeshi letu pendwa JWTZ
@eliyahango42782 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭JPM Nchi inaangamia huku baba kwann uliondoka kabla hujaifikisha TZ kaanani
@dairahally54712 жыл бұрын
This is real president rip jembeeee
@iddikimia49512 жыл бұрын
Rest in Peace father
@sangjr82195 жыл бұрын
Jamani Azam tv mbona kimya. Hivi ni lini mtaanza kutuonesha /kurusha taarifa ya habari LIVE?
@zagadat11294 ай бұрын
Mungu ana sababu katika kila hatua yako
@khadijaomary24275 жыл бұрын
Duuu hatari mbuge umekuwa Brig Gen!!!! waliokuwa wanakupiga vita kama alivyosema mh Rais sasa kimyaaaaaaaaaaa
@mbutomustapha70635 жыл бұрын
Khadija Omary Kwani na huko kuna majungu?
@hashimabdallah6734 жыл бұрын
,yaani hapa mh JPM nakufurahia.kwa maamuzi yako ya moja kwa mojq
@edwardnambo18574 жыл бұрын
Nakumbuka alitulaza usiku kujenga jukwaa la uwanja wa Mabatini
@richardburengengwa69983 жыл бұрын
Mzee ilikuwa inaonekana kama wew hatuwezi kuwa nawewe milele muache Mungu aitwe Mungu.
@mrchairtv17043 жыл бұрын
I like the leadership of H.E President John Pombe Magufuli
@josephatsebastian98484 ай бұрын
We will live in our heart.... forever..❤❤ RIP our 2nd father of the nation...
@rayaluizcameron25943 жыл бұрын
R I P Mr president😭😭😭 ulionyesha upendo kwa wote tutakukumbuka daima
@delekalxon72215 жыл бұрын
Brigadier kaweka unaaa sio poa hahah
@rayaluizcameron25943 жыл бұрын
Who watch it mar 26 2021 at the funeral of our late president😍😍😍
@allymahiyo24645 ай бұрын
Mwamba cheo alikiokota kabisa yani kweli kuna watu wana upepo.
@wankabanestory5325 жыл бұрын
hogera sana rais wetu rais wa watu wanyonge
@fedrickmaganga26932 жыл бұрын
Dar, hakika
@mahamudmhawi27315 жыл бұрын
Anastahili saaana huyu jamaaa kiukweli nilikuwa nae ruvu jkt ni mtu wa kazi saaana
@onesmomkanga76645 жыл бұрын
Mahamud Mhawi 👏👏👏👏he deserves
@makiadiongala53455 жыл бұрын
Hanaga makuu shimbwela tuu
@manubei35744 жыл бұрын
Namjua huyu Bwana, alikuwa CO wetu JKT Ruvu 2014. Ni mtu wa kauli njema anayetoa motisha pale unapomfurahisha. Hivi vyeo nilimwona ana umahiri wa kuviteka. (nachomekea: kiasi flani nilisi hapatani na Maja Msila)
@sesopando59852 жыл бұрын
😁😁
@qasammawa53102 жыл бұрын
Puzka kwa aman mzee wetu
@iddikimia49512 жыл бұрын
Good salute
@dominiclokuremusic51782 жыл бұрын
ninapo kumbuka raisi magufuli amekufa nalia sana mtu rhoo safi dunia msima
@ChidyMbinga4 ай бұрын
Tulioangalia 2024 tukutane apaa😢😢
@hamzakibli67792 жыл бұрын
Huy ndy tunaitaj kuw S D F WET
@salymkitumbika86442 жыл бұрын
Dah hapa tulikuwa na Rais
@tozzaalexandar49055 жыл бұрын
Safii magu upo vyemaaa
@eliphaziamon87945 жыл бұрын
Jeshi la Tanzania nilakuigwa mfano ,Africa nzima,,,kwa ni dhamu na uzalenda nawapa100%
@godfreymbwambo44605 жыл бұрын
AWAMU HII WATU WANAPANDISHWA VYEO WANAOSTAHILI, LAKINI JK ALIKUWA ANATOA VYEO KWA KUJUANA!!! BIDII YA MTU INAONEKANA!!
@goldgod99635 жыл бұрын
Kweli kabisaaaa naoendaaa JPM
@samwellwiza10982 жыл бұрын
Alikuwa anawatia moyo majeshi sana....
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Hahahaaa,,,,,yajayo yanafurahisha!!!!
@teachingtruthmissionafrica99985 жыл бұрын
Raisi huyu ana mapungufu mengi tu kama mwanadamu mwingine yeyote lakini anapaswa kuungwa mkono sana na kuombewa watu wasitazame madhaifu yake waangalie na mema pia ....
@nduwimanaelyse19822 жыл бұрын
Inchi ilikuwa na muelekeo ilasasahivi nacokiona kwahuyu mama wapi kabisa
@augustinewilliam82813 жыл бұрын
Nani lisikia arooooooohh ya Rais wetu JPM
@kaesarka32437 ай бұрын
Raïs mupendwa😢😢😢😢
@inderjitlall49724 жыл бұрын
Respect to Sir President Sir JPM
@jefrineliaselias6912 жыл бұрын
Tupate wapi tena Mtu kama huyu😭😭
@joycesamweli12192 жыл бұрын
Rest in peace JPM Leo brigedia wako amekua mkuu wa Mkoa
@florianmtunzi98992 жыл бұрын
Dah
@florianmtunzi98992 жыл бұрын
Dah basi2
@machoguhameri77572 жыл бұрын
Tutampata wapi mwingine kama huyu? Jibu "Mungu ana hazina ya kutosha" tuwe na subira.
@osybethmbangule76525 жыл бұрын
Namkumbuka alikuwa na Cheo cha major pale RuVu hakika anastahili
@esromkanubho47385 жыл бұрын
Jamaa alitulaza macho JKT Ruvu
@million.onlinetv6595 жыл бұрын
Yeah ndo huyooo jombaaa..dar..malipo ni hapa hapaa duniani..hilo lilikuwa jembe la RUVU JKT..832..
@onesmomkanga76645 жыл бұрын
Lkn anastahili...hyu msira alikuwa anabana lkn mbuge akijaa aah anaelewaa kazi kazii...mm namkubal mbuge!!
@emmanuelmweruka8155 жыл бұрын
Msira alikuwa balaaa, hacheki na kurutiiiii,, daaaah Acha kabisa
@Official_Sunday_Mjeda4 ай бұрын
Kwan mumgu alikuchukua
@bilioneamwegole51382 жыл бұрын
Mummh umi alikuwepo ila sijui alikuwaje
@wazirikhamisi48284 жыл бұрын
KWELI MAGUFURI WW RAIS SITAIKI NA NIKWELI RAIS TULIE KUWA TUNAKUITAJIA UWE KAMA WW NAKUPENDA SANA MHESHIMIWA JPK