CHADEMA MBEYA BADO HAPATOSHI: ALIYEVULIWA UONGOZI MBEYA AJA JUU - ''HAKUNA WA KUNIZUIA''..

  Рет қаралды 11,451

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

CHADEMA MBEYA BADO HAPATOSHI: ALIYEVULIWA UONGOZI MBEYA AJA JUU - ''HAKUNA WA KUNIZUIA''..
Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Peter Msigwa kuwavua uongozi wa chama hicho viongozi wa Wilaya ya Mbeya kwa madai kuwa viongozi hao chini ya Mwenyekiti wao John Mwambigija maarufu kwa jina la Mzee wa Upako kudharau taratibu na kanuni za chama, Mzee wa Upako amefunguka baada ya kuvuliwa uongozi huo.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 46
@juhudijotham888
@juhudijotham888 2 жыл бұрын
Heshimu viongozi wako ,Katiba isome,mkoa na kanda wako juu yako,tengeneza busara hekima ili uheshimike,CV imeporomoka mno Kwa dhalau zako.mbeya iko salama ,
@leonardmwanjisi3206
@leonardmwanjisi3206 2 жыл бұрын
Mmmmh ungekaa kimya aisee
@amoskasebele4597
@amoskasebele4597 2 жыл бұрын
Mwambigija una tamaa
@williamkeita1519
@williamkeita1519 2 жыл бұрын
MwenyEkit mwenyewe n jamii ya halima akina mdeee hufukuziki chaman
@benjaminmichael6720
@benjaminmichael6720 2 жыл бұрын
Ntawahitaji JUMANNE MBEYA
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 жыл бұрын
Umewanyooosha, Msigwa ovyo kabsa
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Tatizo la Chadema kuna baadhi ya watu wachache wanajiona Super power, mtu akitofautiana nao kidogo ni tatizo
@saheedali7467
@saheedali7467 2 жыл бұрын
Miki ni mpinzani ila kwa kweli chadema sikipendi hata dakika Moja.
@leonardbrown181
@leonardbrown181 2 жыл бұрын
Acheni tamaa! Muda wa kutangaza Nia bado! Mnavuruga wanachama!
@angeluslijuja3408
@angeluslijuja3408 2 жыл бұрын
TATIZO UKIWA MKWELI KATKA SIASA UTAKIWI CHAMA KIMEKOSA KUVUMILIANA UYU MWAMBIGIJA NAJUWA MCHANGO WAKE KATIKA CHAMA KAPAMBANA SANA SANA POLE MWAMBIGIJA KIKUBWA NI KUMWACHIA MUNGU BORA UENDELE NA SHUGHULI ZAKO BINAFISI SIASA ZA TZ PASUA KICHWA KAKA POLE
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 жыл бұрын
Hee kumbe ishu ni sugu mwanangu nakukubali Sana mbona sugu alikuwa mwanao imekuwaje
@nelsonmaleo3342
@nelsonmaleo3342 2 жыл бұрын
Ondoka kwa nini unanagania uongozi kuna nini wewe sio chochote wala lolote hiki ni chama kikubwa hayo yote ya kumbeza mwenzako kuna jambo ndani ya pazia ulijua je alikopa au ana stress za ubunge au ulifurahi yeye kukosa ubunge hujui kitu ondoka hiki chama sio cha mkoa ni cha kitaifa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Nelson wanaye huyo kama lipumba na hayati maalimu sefu ccm oyee kazi inaendelea
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 2 жыл бұрын
Anaondoka kwa utaratinu gani?
@seifsungura6936
@seifsungura6936 2 жыл бұрын
Alikuwepo slaa Leo yupo wapi... maelezo yako yapo wazi kuwa wewe unatumika kukiua chama..una Mambo mazito sana ....hufai ...
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Umeongea sawa kbs huyu atakuwa anatumika kbs
@ephraimmwandemange5083
@ephraimmwandemange5083 Жыл бұрын
Katiba IPO kwa ajili ya wrote sasa wewe unajiona uko juu ya katiba acha masiara na harakati za watu tunajua ulikua sasa huna sifa hats kua Mwenyekiti Wa tawi labda vipofu watakuchagua
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Msigwa pole kwa saccos yenu ya chadema mmekwisha
@jumamohamed1233
@jumamohamed1233 2 жыл бұрын
MSIGWA ASIANZE KUTUVURUGA
@paulnatanael2979
@paulnatanael2979 2 жыл бұрын
Aisee kumbe ikohivyo naminirikuwa najiurizasana mwabigija kabisa niwakutorewa kwari
@ephraimmwandemange436
@ephraimmwandemange436 2 жыл бұрын
Mwbigija. Jitathimi. Kama. Kweli. Viatu. Vinakutosha?
@deohank5995
@deohank5995 2 жыл бұрын
Hekima haiuzwi
@saheedali7467
@saheedali7467 2 жыл бұрын
Chadema kwishaaa kwishaaa kwishaaa kabisa aaa.
@marymanoni5536
@marymanoni5536 2 жыл бұрын
Unajielew sn sn mzee uyo anakurupuka
@bahatimalundi3593
@bahatimalundi3593 2 жыл бұрын
Napita tu mzee wa kutowa misukule
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Una vikao vyako sio vya chama sio?
@reubenismail3672
@reubenismail3672 2 жыл бұрын
Wakina mwambigija vulugu za Nini kwenye chama?acha kuharibu chama bwana!Kama umechoka nenda chama kingine acha kutuharibia chama
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
huyu bwana mbona anafaa kuwa kiongozi wanamuondoa kwa lipi?
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Fanya utafiti ujue nini walichokifanya ili ujue kiini mdau
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 2 жыл бұрын
Mzee wa Upako piga kazi hahaha
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anamdomo kweli kama hutakiwi kwenye chama unangangania nini ?.Maneno unayotamka kuhusu wabunge wa chama chenu inamaana mpaka hapo kwa matamko yako inatosha kuonekana hufai
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@tumainzambi1442
@tumainzambi1442 2 жыл бұрын
Huna lolote naanza kuku chukia hayo mambo ni yandani unataka kuuwa chama kama huna maslahi kwann utaki kutoka ww ni mamluki tu.
@Ba63828
@Ba63828 2 жыл бұрын
Hata Saccos ina katiba
@omarymkungwa7657
@omarymkungwa7657 2 жыл бұрын
Komaa baba wasizingue wewe sio mwepesi Kama wanavyo fikili
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Omari wamekoma hao mtoto wa mjini wanaweza kumuondoa kama kuku huyo ndiyo lipumba ccm oyee kazi inaendelea
@sashambonde7258
@sashambonde7258 Жыл бұрын
Aujielewi wewe mpumbavu utakiwi
@ramadhanmohamedi9793
@ramadhanmohamedi9793 2 жыл бұрын
CHADEMA KANDA YA NYASA NAWAPONGEZA MEZIDI CHADEMA TAIFA KWA KUJENGA JENGO LENU
@seifsungura6936
@seifsungura6936 2 жыл бұрын
Wewe ni mamluki na huna lolote ...hutakiwi na utabukiwa utake usitake ...ushagundulika ...kafanye vikao vyako huko vichochoroni
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Seif sungura mnae huyo muache kazi mfanye kazi kazi inaendelea chapa kazi mkweli huwa hapendwi msigwa umekwisha umepewa live bila chenga huyo ndiyo mwenyekiti sugu hana shukrani msigwa huna shukrani hamjachangia chochote kwenye chama chenu cha sacco hana hata umamluki kwani chama kinafanya msizikane wala kuongea na wana ccm
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 жыл бұрын
Ongeeni Ktk vikao mnabomoa chama wakati wenzenu wanasota rumande
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Lusajo hao wanafurahia mwenzao anasota gerezani huku wanabomoa chama chao wataiweza kweli kuitoa ccm madarakani mama samia oyee kazi inaendelea acha wagombane wenyewe kwa wenyewe ndani ya vikoba yao na saccos halooo ya ccm
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 жыл бұрын
@@margarethpolepole7438 kinacho niumiza huduma za elimu afya na umeme bado ni shida saana lakini viongozi hawaoni, kabisa Chadema huwa wanatusemea na kuwakumbusha majukumu yao
@StanleyKitika-dd7lz
@StanleyKitika-dd7lz 2 ай бұрын
Umekosea kuwakashifu wakubwawako
@angeluslijuja3408
@angeluslijuja3408 2 жыл бұрын
TATIZO UKIWA MKWELI KATKA SIASA UTAKIWI CHAMA KIMEKOSA KUVUMILIANA UYU MWAMBIGIJA NAJUWA MCHANGO WAKE KATIKA CHAMA KAPAMBANA SANA SANA POLE MWAMBIGIJA KIKUBWA NI KUMWACHIA MUNGU BORA UENDELE NA SHUGHULI ZAKO BINAFISI SIASA ZA TZ PASUA KICHWA KAKA POLE
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 154 МЛН
🌊Насколько Глубокий Океан ? #shorts
00:42
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 112 МЛН
New chancellor promises to 'get Britain building' with policy plans
15:02