Tundulisu kila jambo lazima useme uwongo na uzushi . kilichofanyika na CCM nikuwapa viongozi wa kata sikila kijiji .Nawewe waletee viongozi wake .mwongo Tundulisu
@user-sl1ko9me7u23 күн бұрын
MH. RAIS SAMIA ANAPATA WAPI MABILIONI YA HELA KUNUNUA PIKIPIKI NA KUGAWA BURE NCHI NZIMA....RUSHWA NA UFISADI KWA ARI NA NGUVU MPYA!
@verdianabanabi220522 күн бұрын
Mwenye macho haambwi tazama wanyonge tunapigwa tu.
@omarybakunda255422 күн бұрын
Kwani Tundu lissu na wewe si ununue pikipiki zako uache kutupigia kelele. Halafu wewe huelewani na mwenyekiti wako sema unajificha Kwenye mgongo wa samia na ccm.