Рет қаралды 1,649
Sehemu ya mwisho ya mazungumzo kati ya Mr. Innocent Sahani (D Knob) na timu ya Bongo Project. Amezungumzia mambo mengi aliyoyajutia kwenye safari yake ya muziki na amewaasa vijana wa sasa kuepukana na mambo hayo.
#dknob #bongoproject #bongofleva
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org