Рет қаралды 3,209
Msanii wa zamani D Knob ameendelea kutujuza mengi ya safari yake ya muziki ikiwemo sababu kubwa ya yeye kuacha muziki na kumrudia Mungu . Usikose
#dknob #bongoproject #bongofleva #mikamwamba #elimumitaani
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org