Dada wa aliyedaiwa kuuawa na MumeweDodoma, aeleza ilivyokuwa

  Рет қаралды 50,020

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Mwananchi Digital imefanikiwa kumpata dada wa Aisha Ramadhani anayedaiwa kuuwawa kwa kupigwa na mumewe hapa jijini Dodoma na kuacha watoto watano.

Пікірлер: 478
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 Жыл бұрын
Huyu dada bora hata asingeongea.
@fridaminja7191
@fridaminja7191 Жыл бұрын
Yan kama anakunywa peps
@soaringhigh9604
@soaringhigh9604 Жыл бұрын
Jameni, anasema nini huyu nyamaza kabisa, aitwa na mwanawe na anasema hapati nafasi, bure kabisa 😋
@elizailomo3596
@elizailomo3596 4 күн бұрын
Akaee kimya tu waandishi hata msingerusha hii hafai kuigwa
@magesaneema1903
@magesaneema1903 Жыл бұрын
Dada unaroho mbaya tena unawivu kama dada yangu na wewe yatakupata lione
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 Жыл бұрын
Yaani hatalinavyongea likavu halina hata sura ya chozi naona kafura tu
@magesaneema1903
@magesaneema1903 Жыл бұрын
@@ameenaameena1224 kwenye ukoo kuna mamtu huwa yanawivu na maisha ya ndugu zao pengine marehemu mume wake alikuwa ana uwezo wa kifedha roho ikawa inamuuma naona alikuwa anamuombea hata afe lijinga sana jata kwetu yapo hayo
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
@@ameenaameena1224 alafu Lina roho mbaya looh likavu kama daga kavu
@neemanyudike2320
@neemanyudike2320 Жыл бұрын
Yaani mwe jamani! Badala ya kumpeleka hospital wanamrudisha Kwa gaidi!!!!
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 3 ай бұрын
@@neemanyudike2320kinachoshangaza mtu anapigwa bado anarudishwa kwa mume mume gani uyo dini gani iyo ya ndoa yenye matatizo bado unaeudi
@verociousagnerus9793
@verociousagnerus9793 Жыл бұрын
Huyu dada anaroho mbaya sanaaaaaa
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Kichefuchefu Sana,au anamtaka huyo mume.
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Жыл бұрын
Huyu dada ni mpumbavu sanah tena Hana akili kabisa
@judithkiramweni7135
@judithkiramweni7135 Жыл бұрын
Hii familia ni ya kipumbavuuu kuanzia mama na huyu mdogo wa marehemu wazito , wazembe, hawajali na hawajali kbs mnspigiwa simu kabla mtu hajauwawa hamuendi, mnapigiwa simu muende hospitali hamuendi .😭😭😭😭 yaaniiii ikibidi wachukuliwe hatua kwa uzembe wa kutookoa maisha ya mtu .
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Wewe dada hovyo ,Bora usingeongea!!!
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
Kwel
@pendondulilo7871
@pendondulilo7871 Жыл бұрын
Anaongea ujinga kweli
@gatrinaezekiel4747
@gatrinaezekiel4747 Жыл бұрын
Kbs Yan
@mwazanimnyamani8493
@mwazanimnyamani8493 Жыл бұрын
Unaongea ujinga kqbisa ni mkubwa lakini ulishindwa kuichakanganua
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 Ай бұрын
Ujinga mtupu
@shahashaha6269
@shahashaha6269 Жыл бұрын
Dada mkavu huyu nyie khaa haki inauma Sana yaan unapataje kusema yote hayo au ndo mwisho wa ubaya aibu ungejifichia aibu yako eti nimetumiwa SMS na mtoto wa matehemu sijajibu nimepigiwa simu sijaenda yaan mtihani huu acha niseme Tu innallilah wainnalilah rajiun 😥
@fridaminja7191
@fridaminja7191 Жыл бұрын
Umeonaeeh
@ipyanaangellah2452
@ipyanaangellah2452 Жыл бұрын
Hadi wanaboa yaani. Kafa kwa uzembe, wao wanakaaje na mtu aliyezidiwa ndani badala ya kumrudisha fasta hospitali
@annajohn3377
@annajohn3377 3 күн бұрын
Kuna mmmama alisema dunia ya Sasa ndugu yako mwanao uliyemzaaa looo huyu atakua anachembe yauchawi hanhata uruma
@ashuramuhinde3849
@ashuramuhinde3849 Жыл бұрын
Hamkuwa na mapenzi na ndugu yenu mnaroho mbaya
@dianamwalongo9732
@dianamwalongo9732 Жыл бұрын
Dada acha kujieleza upuuzi wewe una Roho mbaya Sana Tena huna upendo kabisa sijuiii Kama hata hai watoto Kama utawalea vizuri,inaumaaa Sana😭😭😭
@irhamseif
@irhamseif Жыл бұрын
Hiki sijui hata kinaongea nn na roho mbaya yake dah yan mtu awez kutembea ety tukamuacha kwenye kochi tukaondoka kesho tunarud na kurud hukurud
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 Жыл бұрын
Mpumbavu sanaaaaa wee dada unaroho mbaya kwani hakuna dada yko wa damu au mbona umekuwa na roho ya kinyama dada yng??????!!!!
@teddyelizabeth9358
@teddyelizabeth9358 Жыл бұрын
Wewe Dada wewe ni mpumbavu kabisa
@cosmasmakoa3117
@cosmasmakoa3117 Жыл бұрын
Chizi wewe
@ruthsawida8507
@ruthsawida8507 Жыл бұрын
Wewe dada mtu mwehu kweli yani umetaarifiwa mapema sana na dogo kumbe wewe nae ungewahi kuokoa maisha ya mwenzako wee ni mpumbafu sana yani jifunze unapoina hata tafazali nipigie tuu unatakiwa ujitaid kufanya mawasiliano kwa huo muda
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Anapigwa anarudi kwa mme matokeo ndio hayo
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Ww Rehema unaroho mbaya unaitwa mara 3 hata kuxhtuka Looooh! Unaroho mbaya sana Ww
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Ndiyo wale wakuwachukua mashemeji zao.
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 Жыл бұрын
Yaani hii familia ni yakipuuzi sana yaani huyu dada katumiwa sms na mtoto wa marehemu lkn hakujibu kapigiwa aende hakwenda asubh yake pia wamemigia watu wa hospital bado hakwenda kaagiza bajaji iwabebe watoto waende kwake wakale , nimeumia sana mama nae karhusu mtoto wake arudi tena kwa huyo muuwaji eti anadai nilimkuta peke yake chumban , yaani nyie wanafamilia mjifunze kushtuka mnapoona! vitu Kama hivi haya sasa mmemkosa ndugu yenu kwa uzembe wenu kwanza alivyokuja kuchukua watoto tu mlitakiwa mumkamate achezee kichapo kidogo ndipo mumpeleke police yaani imeniuma sana
@pendondulilo7871
@pendondulilo7871 Жыл бұрын
Afu anaongea bila aibu roho
@ablashaffy2860
@ablashaffy2860 Жыл бұрын
Hii familia cjaielewa
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 Жыл бұрын
Yaani Mimi Hadi ananitia hasira sijui wanaishi vipi hivyo hawana ushirikiano
@magesaneema1903
@magesaneema1903 Жыл бұрын
Yani kwenye msiba limekaa utafikili limetoka mkoa mwingine sisi ambao hatumfahamu marehemu tumeumia lakini lenyewe hata uchungu halina linaroho ya paka
@latifahassan123
@latifahassan123 Жыл бұрын
Kweli kabisa, matatizo yote hayo mmekaa kimyaa!!! Kweli familia ya ajabu sana
@joyce55727
@joyce55727 Жыл бұрын
Kuna familia zingine wapole ivi mtu amepigwa bado mnamludisha kwa muuaji😭😭😭
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Nashangaa balaa mm ningechom gari yake
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 Жыл бұрын
Kwakweli huo sio upole ni ujingaa unipigie mwanangu hivyoo looh Mungu nisaidie mimi
@piusjulius1779
@piusjulius1779 Жыл бұрын
Mkwe bora unyamazetu sioni unaongea nini
@piusjulius1779
@piusjulius1779 Жыл бұрын
Pore shakira maana nimsiba mzito
@stellageorge1813
@stellageorge1813 Жыл бұрын
@@magrethmbangama1199 kwa kweli sy upole ni upumbavu Tena wa Hali ya juu kabs mpk nimechukia
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Nawe una roho ngumu chakula cha mgonjwa unapika kutwa nzima?? Sijakupenda huna upendo kwa ndg zako natamani nikulambe viboko
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Hunizidi..kanichefua sana
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
@@masalakulwa7601 nahisi anatembea na shemeji yake au dada yake alimzidi maisha ana kisirani
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Mdogo wa marehemu una roho mbaya sana una ata aibu unavyoadithia🙋‍♀️Mungu ampumzishe kwa amani
@salmaally8461
@salmaally8461 Жыл бұрын
Wewe Dada choko Sana mbwa wewe
@soaringhigh9604
@soaringhigh9604 Жыл бұрын
Hana Roho mzuri huyu dada
@joyce55727
@joyce55727 Жыл бұрын
Haaa hicho chakula ulikipika sku nzima bola ata usingeongea ila unaroho ngum
@mosesmajogoro863
@mosesmajogoro863 Жыл бұрын
Picha ilivyo hapo hiyo ndoa ilikua kama ukrain na urusi kwa ujumla ni heka heka tuu hadi watu walisha wazoea ...kumbe kipigo hicho hakikua cha kawaida. RIP Dada etu.
@ndennkya9554
@ndennkya9554 Жыл бұрын
Nimechoka imeuma imeniumiza Mungu amweke pema peponi Amina😭
@ashuraissa7044
@ashuraissa7044 Жыл бұрын
Huoni hata aibu kuelezea mmmh apumzike kwa aman
@BenjaminHenry
@BenjaminHenry Жыл бұрын
Kwahio umeitwa mara 3 zote na bado hujaenda. Hivi kwenye msiba umelia kweli wewe?.
@lilianmartin5075
@lilianmartin5075 Жыл бұрын
Ata mama yao pia ana roho ngumu. Mgonjwa amekataa kurudi kwa mume mnamradhimisha tu . Aiseee
@fatumasukwaju226
@fatumasukwaju226 Жыл бұрын
Mmh wewe dada .lzm ubadilike.maongezi yako yamekela watu wengi sana.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
Sana
@happymchomvu6766
@happymchomvu6766 Жыл бұрын
Unavyoeleza hta hakuna machungu ama mlikua na ugomvi duh😎
@kholaalmahrizi8525
@kholaalmahrizi8525 Жыл бұрын
Haaa! unaroho mbaya sanna wewe mtt wa dada yako anakutafuta mara 3 wana huna his kumfata. Labda wewe uko ushauri moja na mumewe huyo dada yako
@simplyfay5308
@simplyfay5308 Жыл бұрын
Bora nife single kuliko kuwa punching bag ya mtoto wa ma mkwe🙌
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
We ndiyo kama Mimi kabsaaa
@simplyfay5308
@simplyfay5308 Жыл бұрын
@@mwanaherhussani7425 Nakupenda 🤍
@agnestemba7372
@agnestemba7372 Жыл бұрын
Au walikuwa wameshamchoka anapigwa anarudi, mana wengine unamwambia usirudi anarudi na kupigwa anapigwa yeye unamuacha apigwe.
@halimasul6018
@halimasul6018 Жыл бұрын
Yaan wwh dada sijui nikuhadisie VP unapigiwa cm kuwa ndg Yako anapigwa wewe unalala kwel MTT anakutumia na kukupigia njoo mtufate uanaka Kimnyaa yaan roho inaniuma Sana ilaa unaroho mbya Sana Sana
@christinakimaro4009
@christinakimaro4009 Жыл бұрын
Natakani nilichomoe humo nilipige
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Жыл бұрын
@@christinakimaro4009 yan kama sio mzima
@neemaruhembe6360
@neemaruhembe6360 Жыл бұрын
Anaroho mbaya sana mimi nikipigiwa CM tu naenda nakaa nae mpaka mwisho jamani mpaka anapigiwa CM akachukuwe mpaka watoto hataki anasema wapande bajaji aisee
@suzanamayuma5844
@suzanamayuma5844 Жыл бұрын
Una roho mbaya ww dada cm zote unaitwa umezipuuza
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Watt watakuchukia milele
@hamisaabdulhamid529
@hamisaabdulhamid529 Жыл бұрын
Huyu dada anajisikia kweli anachokiongea. anaongea mkaavu yaani unaitwa Mara kibao uwafate watoto nawee unawaagiza wakukute ulipo mtu kapigwa hoi mnamrudisha kwa mume tena looh poleni
@joycesanga4378
@joycesanga4378 Жыл бұрын
Wakakupime akili wewe yaani mkavu kama umefuwa na mbwa lo
@saummohamedm435
@saummohamedm435 Жыл бұрын
Familia kimeo mtu anaumwa mnasema arudi kwa mumewe shida nn mbona hampo serious. Yani dah
@shameemrashid5219
@shameemrashid5219 Жыл бұрын
Walah nimeshangaa sana huyu mdg mtu roho ngum
@rayanamrsshariff5777
@rayanamrsshariff5777 Жыл бұрын
Hii family Ina roho ngumu Sana hata watoto wasipewe
@fridaminja7191
@fridaminja7191 Жыл бұрын
Kabisa, Yan khaa ni aibu
@shakirakalumuna6108
@shakirakalumuna6108 Жыл бұрын
Yaan familia nzima wote oovyoo kabisa au hakuwa na uhusiano ni mtu baki tu hakuwa ndugu yao si mama si ndugu bora mhandishi asiwahoji .wapuuzi tu wote hawana upend roho mbaya
@elmanichombe7198
@elmanichombe7198 Жыл бұрын
Nyie wote ni wapuuzi tu unatumiwa sms hueleweki mjinga na wewe unashindwa kufuatilia umchukue umpeleke hospitali mnamwangalia tu.
@khadijaali9042
@khadijaali9042 Жыл бұрын
Yani umenisinya ww mwanamke unae ongea hata sikuweza kumalizia kuskiza
@lisameshack395
@lisameshack395 Жыл бұрын
Kuna watu wana roho ngumu,ndugu yenu anapigwa mnamrudisha huko huko kwa mwanamume na wana muangalia tu!! Hadi hasira☹ familia ilimchoka huyo dada.Huyu dada anaeleza as if anamuelezea mtu baki,,,kumbe dada wa damu kabisaaa.ingekua familia nyingine pangechimbika na wasingekubali vipigo kwa ndg yao na kifo kisingetokea.Imeniumiza sana
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 Жыл бұрын
Huyu ni mjinga sanaaa aiseee
@missmoona4497
@missmoona4497 Жыл бұрын
Kiukweli huyu dd sijamuelewa kabisaaaaaa,,vb mmmmmmh kwanza kule kupigiwa cm akawachukue watt akawa anaurusharusha hii kuna sintafahamu,,,,,,,,, ??????????.
@lisameshack395
@lisameshack395 Жыл бұрын
@@missmoona4497 yaani changamoto sana,dada yake kabisaaa lakini moyo haumshtuki kabisaaa.Anaelezea utafikili anamuelezea mtu baki,kumbe dada wa damu.ingekuwa familia nyingine wangechukua hatua kali na kisingetokea kifo
@mdzainb3722
@mdzainb3722 Жыл бұрын
Ata marehemu mwenywe ni tatizo kwani si kaanza kupigwa mda
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@sabrinasabrina8395 Nashangaa pia mm jaman😭😭😭
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Wanaume wa local wa Kitanzania ya mavi kunuka wakatili ni kupiga tu poleni sana wanawake wa Kitanzania
@abasmwika3432
@abasmwika3432 Жыл бұрын
Yani hawa bora wangejikalia kimya tu wanazidi kutia hasira bira hata yule Mama huyu ndio anatia hasira zaidi
@simoncharles683
@simoncharles683 Жыл бұрын
Huyu dada n mjinga Sana hafai hata kidgo callings zote hzo hujarespond hamna kitu hapo aache tuu kuongea bwana
@zazazawadi7270
@zazazawadi7270 Жыл бұрын
Duuhh iyi familiya noma sana kwa kweli poleni sana na msiba
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 Жыл бұрын
Yani familia ya ajabu kuanzia mama na watt wake khaaa
@doriskanyenda3978
@doriskanyenda3978 Жыл бұрын
Yaan nilikuwa nawaangalia Kwa hasira msibani mpk bhasi, mmesababisha Mama Vanessa ameacha watoto Kwa uzembe wenu, yaaan inauma sana
@janethhaule1121
@janethhaule1121 Жыл бұрын
Kwakweli mama vane wetu
@lightnesmbwambo5814
@lightnesmbwambo5814 Жыл бұрын
Kitu ambacho sitaweza kuvumilia kwa mwanaume ni kipigo my dear usikubali kuteseka kusimangwa n.k unachotakiwa kukumbuka ni kwamba Kati ya, maisha, ndoa, watoto , ni kipi kilianza ? Ukishatambua hilo sidhani kama utaendelea kukubali kufa kwaajili ya kutetea ndoa na watoto ....... Maisha lazima yaendelee
@lizperchiwamba9010
@lizperchiwamba9010 Жыл бұрын
Familia inatia hasira hii!!! Mtoto alijitahid kutoa taarifa kuokoa maisha ya mama yake lakini alikosa msaada japo alijitahid sana kutoa taarifa tena Kwa watu sahihi...Too sad😭😭😭
@vittesaadani10
@vittesaadani10 Жыл бұрын
Saana hajielewi
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 Жыл бұрын
Atakuwa huyo mdogo wake alikuwa anatembea na mume wake Dr anamuuliza alikuwa anasumbuliwa na nini badala angesema ni kipigo ahudumiwe tena anasema ame.uacha kwenye kochi daaa
@nkulikandusi5282
@nkulikandusi5282 Жыл бұрын
Duuu kweli una roho kavuuuu we dada
@faryiashabani9109
@faryiashabani9109 Жыл бұрын
kesho na kesho kutwa mtakuja kusikia huyo ni kalithi vya dada yake shemeji akawa mume
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Una roho ya ukatili
@maimunaazizi7916
@maimunaazizi7916 5 күн бұрын
Huyu dada hata roho ya majonzi hana sijui alikuwa na omba dada yake afe😢😢😢
@saummohamedm435
@saummohamedm435 Жыл бұрын
Huyu watoto wa dada ake atawaelea kweli huyu mbona hana upendo
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Tumwachie Mungu jamani... Tutaongea mpaka tumkufuru Mungu .. kila mwanadamu ana roho yake ndugu yangu 😭
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Mkavu hata chozi halikutoki
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 Жыл бұрын
Mpuuuzi kwel huyu yan ishara zote hzo ulishindwa kusimama na dada ako ndo hawa hawa wanaodhan watubaki ni muhimu kuliko ndugu zao na inaonesha hata watoto watapata tabu sana mana ma mdogo wao chenga tu 🙄🙄🙄
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Жыл бұрын
alafu mtu hana nguvu mnamuacha vipi kuwa chooni peke yake, hii familia kweli mna roho ngumu, alafu mna mrudisha kwa mtu alie mpiga kipigo cha mbwa mwitu, nyie mlitaka afe. yani dada ana shindwa kujibu dada yake alikua mtu wa aina gani wala alikua na mchango gani? na inaonekana mkimzarua
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Nilichogundua Peter alikua na kauwezo,walimuogopa,halafu ndugu wa marehemu hawakumpenda ndugu yao mbona wasimjali na kumhudumia? Yani Peter aumize na haogopi yupo tu,kwa Dr huingii ujue ndugu yako yupoje,Yani mume ndio umuachie akat ye ndo muhalifu
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Duh!! dada huna uchungu na ndugu yako hukutenda haki kabisa imenisikitisha sana ukiwa na ndugu hukuwa na uchungu kbs
@ssaa7495
@ssaa7495 Жыл бұрын
Dada unakiburi wewe unaitwa mala tatu unaambiwa kuna tatizo ni ndugu yako wa damu.😬😬🙄🙄😷😷😷 au ulikuwa unatembea na mume wa dada ako?
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Mm mwenyewe nimestaajabu sana
@hertafabian7261
@hertafabian7261 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
ATAKUWA alishaingilia chaneli huyo.☹️☹️☹️ Mmmh
@afrigrowers
@afrigrowers Жыл бұрын
Huyu alikua ameshazoea ugomvi wao kuna watu wanapigwaaaa weee nanhawasikii kuambiwa waondoke
@janethhaule1121
@janethhaule1121 Жыл бұрын
Jamani msilaumu sana hamjuitu nyie nyumba ilikuwangumuile ndugu wamke kujapale nimtihani
@jeskahaule2867
@jeskahaule2867 Жыл бұрын
Yaan hii familia hamna kitu kabisa taarifa mnapata ila umnapuuzia mnadharau sana mnaboa amekufa Kwa makosa yenu
@JoyceMziray
@JoyceMziray 7 күн бұрын
Msimlaumu huyu dada ujue watu wenye migogoro ya ndoa hawashauriki wanapigwa lkn hawaachi hao wanaume inafik mahal ndugu mnaingilia mpk mnaonekan wachonganishi mnachok na kesi zao ndo kama hivi , sisi yaliotukuta tunajua
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk Жыл бұрын
Kwa maelezo Yao yaani wameonyesha uzembe wa Hali ya juu marehem amefariki Kwa uzembe wa familia
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 Жыл бұрын
Kitu amabacho mmekosea nyie familia ni kupuuza wakati tyr ndg yenu kaumia anaingia kwa Dr na mtu aliyempiga mnategemea majibu sahihi kweli? Ila ww ni kiboko nikisikia tuu ndg yng anaumwa hata usingizi sipati ww unapigiwa simu zaidi ya mara 3 hata kujitingisha kweli?
@rahmajaffar794
@rahmajaffar794 Жыл бұрын
Hivi wanawake wa kitanzania mtaendelea kudhalilishwa mpaka lini kila siku mnapigwa mnauliwa na bado mnawangangania hao wanaume. Kila siku kitchen party na mafunzo ya makungwi wengi. Mafunzo yenyewe mnaishia kuuwawa. Sasa hivi itabidi kabla ya ndoa ujifunze karati wakianza kipigo mnawabumunda hadi wableed ndani kwa ndani baadae dai talaka umuache ateseke peke yake
@DinnahHosea-mf3hn
@DinnahHosea-mf3hn 28 күн бұрын
wewe dada chizi kweli ivi unakili timamu unaelezea upuuzi kweli nyoko wew umechangia kifo cha dada yako unaitwa mara tatu unagoma halafu unaenda kumtelekeza kwake tena nawewe mungu akupe pigo kubwa
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Жыл бұрын
Wewe mdogo mtu nawe hana uchungu na dadako eeh.unapiwa simu hujibu unaitwa huendi ukoje wewe
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Wivu wa mapenzi ya shemela😅😅
@user-gv9lg2ls8t
@user-gv9lg2ls8t 5 күн бұрын
We Rehema bora ungekufa ww maana umeshindwa kumsaidia dadaako huna hata aibu unapigiawa simu 3 unapuuza loh
@vittesaadani10
@vittesaadani10 Жыл бұрын
Hii familia wazembe sana
@sarapilla4274
@sarapilla4274 Жыл бұрын
Acha hata kujieleza huna hata huluma
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 Жыл бұрын
Ili li dada chizi eeeeh eti nikawa sijaenda
@violethmeshack9416
@violethmeshack9416 Жыл бұрын
Ila we dada kweli hata ukushtuka cmu zote hizooo jaman...
@iddahmwakyoma2464
@iddahmwakyoma2464 11 күн бұрын
Hii familia daa wazembe jamani hawana uchungu kabisa,kama huyu ndo asingeongea ameitwa mara zote anajizungusha kama minyoo,marehemu nae anapigwa anavumilia jamani kipigo hakitakiwi kuvumilika kabisa
@happinesshezron6633
@happinesshezron6633 Жыл бұрын
Msichana una ngumu sana, umeitwa mara Tatu hata hujashtuka looohhhhh
@tnerdaniel6198
@tnerdaniel6198 Жыл бұрын
Hii Familia nilichogundua imekosa upendo na ushirikiano huwez pigiwa simu na mwanao au ndugu yako anapigwa anahitaji aokolewe wewe unapuuza yupo hospital unapuuza khaaaaa
@mizesuleiman1834
@mizesuleiman1834 Жыл бұрын
Uyu Ana dharau uskie dadako amepigwa upuuze mungu tusaidie n.a. awa ndugu jamani
@majijimikomaga1368
@majijimikomaga1368 Жыл бұрын
Maswsli ya Mwandishi Hatamu Weredi.. Zingatia huo Ukatili wa beans shetsni. Jamie isinyamaze, waingilie nyumbani ya Jirani ukiwa Kuna Oshawa za Ukatoliki want kupitiliza. Jirani wanna walivyo wa kumpeleka Lituondokee change Polisi kufamiana dhalimu. Nfugu /kaka na dads za Marehemu wangepaswa kuingilia na kupeleka malalamiko Mahskamani Ili kunusuru uhai wa Dada yao.
@erikalutevele8362
@erikalutevele8362 Жыл бұрын
Yaani wewe dada una roho mbaya sana afu hata hufanani na sura yako
@omanoman2044
@omanoman2044 Жыл бұрын
Wanavo onyesha hii family walikuw hawapendan kam sis hatupendan kwa sababu yakuwapita kimaisha anaeleza ujinga kabsa huyo dada fanya mfurahi sasa
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 Жыл бұрын
Yaani kazi kubwa watoto waliobaki watawapenda kweli au ndio manyanyaso yameanzia hapo
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Hii familia bure kabisa ni kama walikuwa wameishamtelekeza huyu dada
@faustinahugo9621
@faustinahugo9621 Жыл бұрын
Yaaan mtu unaitwaaa sahv kafa ety dada yangu....kaaaa
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Ndiyo wale wakutoka na shemeji zao.
@anifaally4816
@anifaally4816 Жыл бұрын
Inatakiwa wote wapelekwe ndani hata siku tatu tuu SI kwa uzembe huu .....maana pengine wangemsaidia ndugu Yao
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 2 ай бұрын
Utafikili anaadisia stoly ya jilani una roho mbaya sana
@peterkadelya5490
@peterkadelya5490 7 күн бұрын
Mh kazi roho mbay hizo simu ya kwanza tu umesikia lazima ushituke
@frolidaamani9090
@frolidaamani9090 Жыл бұрын
Dam sio nzito
@afrigrowers
@afrigrowers Жыл бұрын
Inavyoonyesha huyu dada hana roho mbaya ila ni watu ambao wameshazoea huku kupigwa kwake kuna watu wanapigwa mnooo ktk ndoa zao ukiwashauri kutoka hawataki wanasingizia watoto watabakije ona sasa unakufa unawaacha watoto mazima bora utoke ubaki na wanao.mama yao kasema huyo mume haingiagi kwake sasa ni mume gani asieingia ukweni hapo dada yao kajisababishia kifo chake mwenyewe
@eliudijustinyindi5939
@eliudijustinyindi5939 Жыл бұрын
Uyu dada anarohombaya alikuwa anamwonea wivu dada ake ndomaana alikuwa haonyeshi ushirikiano wowote Kwa dada ake ndugu tunajua mambo ya familia yanavokuwa
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 2 ай бұрын
Uyu ana roho mbaya sana umepigiwa simu na mtoto toka usiku mama anapigwa umekaa kimya roho ni mbya mnooo mpumbavu mkubwa
@JoyceMziray
@JoyceMziray 7 күн бұрын
Usipopambnia uhai wako mwenyewe hakuna ndg atakae kuja kukupambania kwa huyo mwanaume wako,pia inachosh kila siku kesi ni zenu tuu mpk familia inawachoka watu wana mambo mengi hata msimlaumu huyu dada
@hadijahadija4699
@hadijahadija4699 Жыл бұрын
yani.inasikitisha.sijui.walikuwa.hawampendi.jamani.
@user-wg8hs4tu7w
@user-wg8hs4tu7w 22 күн бұрын
We dada nyoko sana ww bora usinge ongea kilaza mkubwa ww hao watoto walio baki hawana mtu apa
@Joy-fo7kr
@Joy-fo7kr 4 күн бұрын
Sio mama wala sio dada wote hovyo
@dottowaziri1896
@dottowaziri1896 Жыл бұрын
WEWE DADA HUKUMU YAKO IPO HAPAHAPA DUNIANI NA SIJUI KWA ROHO YAKO KAMA UTAISHI VIZURI NA WATOTO WA MAREHEMU DADA YAKO MBWA MKUBWA WEWE
@raheljoshua6725
@raheljoshua6725 Жыл бұрын
Una jina laemdogo wangu ila una roho ngumu mno dada Tena roho mbaya badilika
@maryjonh311
@maryjonh311 Жыл бұрын
Mmmmh sitaki ata kusukia hii familia sio walitaka afe bhana hawa sio watu wazuri
@annasiliti3920
@annasiliti3920 Жыл бұрын
Yaani hapa ufuatiliaj kwa mgonjwa ulikuwa hafifu maana aliyempiga ndio aliyekuwa anatoa gharama ya matibabu,halafu vipimo vyote NORMAL.MWISHOwe mgonjwa anaanza kubleed hiyo utra sound haikupima??au huyo mpigaji aliongea na huyo mtaalam??
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 Жыл бұрын
Wataka uoneka midia rokho mbayaa dada.ako anaumwa wewe wenda lala. Asre. Unarokho mbaya.
@najathtemo3908
@najathtemo3908 17 күн бұрын
Yan mtu kapigwa kiasi hicho bado mnamrudisha nyumban kwa mtu muuaji daaah familia nyingine bhana😢
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
hii family hapana Kwakweli hawana utu kabisa mnatia hasira SANA marehem kafa kifo kigumu SANA,mmeshindwa kumsaidia ndugu yenu
@marthakenes2702
@marthakenes2702 Жыл бұрын
Huyu dada nyoko wewe unaongea Kama chizi unaitwa mara3 we unapika manini
@denniskisangi2994
@denniskisangi2994 Жыл бұрын
wewe dada hovyo kabisaa, yaan mpuuz ungejua ucngekubal kuongea mjinga kbs
@faustinahugo9621
@faustinahugo9621 Жыл бұрын
Unaitwa mara zote hizo mnamuacha kwenye kochi.... yaaan kifo hicho ni kipigo na uzembe......na ndomaana ukaulizwa kama ni ndugu wa damu....matendo hayo
@thomasdominick8604
@thomasdominick8604 Жыл бұрын
Iddy amini yuko wapi wasombwe wote hii family watupwe MTO kagera,Hamna kity
@neemadaniel9209
@neemadaniel9209 Жыл бұрын
Yaani mdogo wangu daaaaa ulishindwa kumuwahi dada Yako jamani, alafu mnamshauri arudi huko tena, mkamuacha Tena halafu unawasiliana na mtoto badala ya kuwasiliana na dada Yako😭😭😭
@umiy1971
@umiy1971 Жыл бұрын
Mapenzi hayaumizi , ukiona mnaumizana hizo sasa ni chuki Chukulieni kuwa Funzo kwa nyie mlobakia katika uhusiano usioeleweka ,
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 Жыл бұрын
Linatabasamu Kama limekuja kuchumbiwa na mwandishi looh,,
@Zubaiba
@Zubaiba 25 күн бұрын
Ww dada mjinga tena pumbavu sana
@innocentiBonifas
@innocentiBonifas 16 күн бұрын
Dah!!!! hakuna haja ya kuwa na ndugu
@iddahmwakyoma2464
@iddahmwakyoma2464 11 күн бұрын
Hawa sijui kabila gani wanaroho ngumu daaa wanajieleza hata chozi hawadondoshi,nawamezembea waliaza kupigiwa simu tangu anapigwa hawana msaada,amepigwa wanakaa nae ndani nyie mimi nisingerudi nae nyumbani kabisa uwiiii
@Zubaiba
@Zubaiba 25 күн бұрын
Huyu dd hata wtt hatoweza kuwalea ana roho mbaya sana
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 57 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 51 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 61 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1 МЛН
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,1 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 57 МЛН