DAH HUWEZI AMINI! DKT SULLE AMUAIBISHA MNO MCHUNGAJI NDACHA | MAZINGE AMVURUGA KABISAAAAAA

  Рет қаралды 93,058

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

7 ай бұрын

#riyadhTvZnz #zanzibar
Follow Us On:
INSTAGRAM: / riyadhtvznz
FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
KZfaq: / @@riyadhtvonlineznz
Dkt Sulle Mazinge wakata mzizi wa Fitna, Qur an Ndo kitabu cha kweli cha Mungu

Пікірлер: 266
@DancanOsongo
@DancanOsongo Ай бұрын
Aya iko ❤🎉🎉wacha kuteta kwamana mano yari😢omo kwamane yamungu yariomo bibilia
@MaggySimon-nr5if
@MaggySimon-nr5if 3 ай бұрын
Allahumma inny mzidishie Dr.sule iman elmu na umri wenye faida kw waja wako wote dunian mpaka mbinguni na Aamiiiiin
@kriswanyanya256
@kriswanyanya256 6 ай бұрын
The wisdom in Ndacha✌🏻 🔥 kiboko ya waislahamu
@kitumainikubatu3182
@kitumainikubatu3182 6 ай бұрын
Ndugu mchungaji ndacha wewe kweli ni Mwalimu wakuwanyoosha waislamu ; ili wamwamini yesu kristo. asante sana kwa huduma hiyo.
@barackamosi4116
@barackamosi4116 3 ай бұрын
Mmmmmmh ili jamaaa ndacha AAAA sarut baba ndacha huna mfano Mimi Nina wasiwasi na wewe itakuwa YESU yupo ndani yako siyo bule duuuu baba baba wewe kiboko❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-sh5ks5hg9r
@user-sh5ks5hg9r 5 ай бұрын
Duhhhh Yani ndacha mungu kakupa kibali Yan umewasha moto Kwa wasilamu wapenda sifa badala ya ukwel
@jacksonpatrick9814
@jacksonpatrick9814 6 ай бұрын
Waislam kuelewa Mungu ni Ngumu
@juliusjamanda7313
@juliusjamanda7313 6 ай бұрын
Waislam taften YESU awaonyeshe njia ya Kweli...
@OtundoJeremiah
@OtundoJeremiah 4 ай бұрын
Kweli
@deogratiusthobias4322
@deogratiusthobias4322 6 ай бұрын
Nashukuru sana mungu kwa kuniumba mm kua mtu wa kristo,Hakika najiona utofaut wang,Maisha yang tupu ni xtor ndef,Ukiona mtu kahasi ukiristo karogwa uyo,Ndacha mmoja walimu wa kiislam 10 lakin umewapelekea moto
@jamesswai6583
@jamesswai6583 7 ай бұрын
Mbona Sule abazunguka😂😂😂
@jonathanharabandi2707
@jonathanharabandi2707 6 ай бұрын
Ndacha ubalikiwe sana
@hirammbugua7593
@hirammbugua7593 6 ай бұрын
Nani hao walio,WALIO iteremsha kaa alla ni mmoja,ama alisaidiwa kukibeba😂😂
@user-wj2vd9jr7p
@user-wj2vd9jr7p 2 ай бұрын
Wewe ndacha ubarikiwe mungu ariku jariya gipaji❤
@user-kn8dj7rl1r
@user-kn8dj7rl1r 4 ай бұрын
Nimetokea kuiyamini na kuikubali sana uwaisalam
@blessingmuyambo908
@blessingmuyambo908 6 ай бұрын
Ndacha you’re the best
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 4 ай бұрын
Wote wapo vizuri safi sana kwa elimu wanayotupa
@kennedyeboso6820
@kennedyeboso6820 6 ай бұрын
Hekima ya Ndacha iko juu sana ,
@abediabdallah1547
@abediabdallah1547 6 ай бұрын
Kampe mjomba akupelekee
@OtundoJeremiah
@OtundoJeremiah 4 ай бұрын
This is the only man of God we have from Kenya
@Makevo08
@Makevo08 7 ай бұрын
Mbona sure ajatwambia waandishi wa quran
@husseinismail5972
@husseinismail5972 6 ай бұрын
Asante Sana Doctor mungu akulipe
@IsmailJuma-ke2wd
@IsmailJuma-ke2wd 2 ай бұрын
Aslm alykm ww sheikh sule ,waelimishe inshallah
@user-ys2gn1nd4q
@user-ys2gn1nd4q 7 ай бұрын
sule hunaakili wangap wanamtukana mungu , adiafande sele pia alimtukana mungu namungu akumuazibu lkn nyny waslamu mlimuukumu lkn mungu akajifanya mpumbavu Sasa mungu Kwan nimpumbavu ,sule hunahoj Wala huna jibu naona wrkrktu
@HirabDigfer-iu3rs
@HirabDigfer-iu3rs 6 ай бұрын
Sulle kageuka nyuki 👆
@mirengekahamwiti1260
@mirengekahamwiti1260 6 ай бұрын
Ndasha una upako wa Mungu nu unyenyekufu ulio nao, Mungu akubariki zaidi na akupe maisha marefu
@AhmedSleman-fj9ry
@AhmedSleman-fj9ry 4 ай бұрын
Nakukubali mwalim dk sule
@user-hp6gz6ln4k
@user-hp6gz6ln4k 7 ай бұрын
Ndacha Mungu akubariki,kumbe vitabu ivyo vinaijuwa Biblia Na wakristo 😮 Asante ndacha Mungu akubariki
@abediabdallah1547
@abediabdallah1547 6 ай бұрын
Kampe tako mjomba
@jonathangithinji2652
@jonathangithinji2652 6 ай бұрын
​@@abediabdallah1547kweli uisilamu dini ya amani bila matusi
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 3 ай бұрын
Mungu ndiyo alijua kwamba kuna binadam watakuja kujiita wao ni mungu pia Kuna wengine watajifanya mitume na manabii na dini zao za uwongo ndo maana Quran ya mungu aijaacha kitu katika maisha ya baadae
@user-hp6gz6ln4k
@user-hp6gz6ln4k 2 ай бұрын
​@@jumabuckary7698Mungu gani😅allah
@user-su3cx9qr8h
@user-su3cx9qr8h 3 ай бұрын
Masha ALLAH
@richardnganya2311
@richardnganya2311 7 ай бұрын
Yaani mtu anafaulu mtihani anatangazwa mshindi aliyefeli !! Hivi kuna elimu hapo au vihoja tu !? Inahitaji kwa aliyefilisika kichwani kuona hapo aliyetangazwa mshindi kuwa mshindi !! Kuna elimu ? Kweli "..mwenye kusoma na afahamu" nami naona mwenye kusikia na asikilze apate ufahamu !
@omanbarka1588
@omanbarka1588 7 ай бұрын
Suller hujatujibu koluani ina sura 7 lakini ina sula zaidi ya hizo 7 sura zingine zilitoka wapi ? Suller hajatujibu
@maicoandrelilepe3728
@maicoandrelilepe3728 6 ай бұрын
Ndacha Mungu akulinde
@AmosNicas
@AmosNicas 7 ай бұрын
Bwana yesu Apewe sifa waislamu wote waseme amina
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 5 ай бұрын
Aliyeabishwa ni Sule kwa asilimia 1000!Acha kupotosha ukweli!
@user-jf2gp7wb9i
@user-jf2gp7wb9i 7 ай бұрын
ivi hii TV ni ya Sure ?kwanini mnaandika vichwa vya habari tofauti na yaliyomo waislam Mungu anawaona mnadanganya hata maneno tunayo yasikiliza mnaandika Ndacha kabanwa alafu ukisikiliza utakuta nyie ndio mmebanwa polepole mtampokea Yesu
@MchungajiSilungwe
@MchungajiSilungwe 7 ай бұрын
Asante sana mch ndacha
@HajraMohammed-vs9fn
@HajraMohammed-vs9fn 4 ай бұрын
Allahu akbar☝️
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 7 ай бұрын
Hivi kusema "Hakika sisi ndio tulioiandika" "tukaishusha"Kama ni Mungu, ni miungu wangapi ?
@user-th2ks9et2m
@user-th2ks9et2m 5 ай бұрын
Jamani jamani ejamani wakristo na wasihi ingieni katika uislam uyo yesu ni mtume2 na sio mtoto wala sio mungu jaman mungu hana mwana yesu kaulbwa kwa kupitia miujiza2 jaman ili allah atupe mtihani maana alisha umba pepo na moto sasa asingali muumba kwa njia hiyo jahannam isingali pata watu wa kuingia jaman njon katika uislam ndio dini ya kweli na ya haki hivi hamuoni nyinyi !
@user-vb4ek9jd7x
@user-vb4ek9jd7x 4 ай бұрын
Ndacha mungu akuongeze umri uzidi kuwaelimisha jamii ❤❤
@kennethjunior6071
@kennethjunior6071 6 ай бұрын
Ndacha ubalikiwe sana kwa kutetea dini ya kweli
@hghh6056
@hghh6056 5 ай бұрын
Kumbe waisalm munaabudu binadamu mm nilikuwa sijui huyu Muhammad si ni mtu jameni chooni kwa wa kristo ❤❤❤😂
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 3 ай бұрын
Subhanallah Ww unamsikiliza ndacha hujamsikiliza sule, aau ni ubishi wako tu. Sisi tunamuabudu Allah tu, mtume Muhammad swalla llahu alyhi salaam, kaja kutufundisha nani Allah na vipi tumuabudu hakusema tumuabudu yeye kabisa. Funuka akili na usiwe mbishani. Ukimsikia muisiliamu kasema hivyo ulivyosema wewe basi huyo kakosea dini y uisilamu haijafundisha hivyo. Hayo n maneno y properganda tu, ili kuwapoteza watu km nyinyi, munaoburuzwa n wachungaji wenu.
@DancanOsongo
@DancanOsongo Ай бұрын
Amen dacha na frango onyango
@rodgersmae-rc2pn
@rodgersmae-rc2pn 6 ай бұрын
Hiyo haedline ni ushabiki tu bt ule ukweli ikiwa kuna majibu muafaka kutoka kw muislam yeyote anaeweza kunibu mm au Ndacha bx naezi Slimu mana kuslimu n bure hakuna ada yoyote lakn sisi tunaangalia ukwel uko wapi
@LukasKastiko
@LukasKastiko 3 ай бұрын
Napenda wahadhir wa kiislam Allan awalipe kheri
@akilyemily5788
@akilyemily5788 7 ай бұрын
amina ndacha kwa elimu kubwa MUNGU akubaliki nauendelee ivo kufundisha ukweliii na ukweli uko wazi
@ZeroBlen
@ZeroBlen 7 ай бұрын
For those who watching this in 2044 plz make duwaa for Dr Sule bcz he was doing amazing work Masha Allah
@andikadirali9738
@andikadirali9738 7 ай бұрын
MashaAllah
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 7 ай бұрын
Which work,for deceiving peoples to Islam
@richardkiarie7445
@richardkiarie7445 7 ай бұрын
The book of luke 4;15-16-17-18
@user-dw9jl4lk7x
@user-dw9jl4lk7x 4 ай бұрын
Kumbe uislam ni dini ya haki kwel,Ndacha unajua ukwl uko wp lkn hautaki kuach sadaka
@MarcellinMitamo-jx6qu
@MarcellinMitamo-jx6qu 4 ай бұрын
Ndacha akuwezeshe mwenyezi mungu
@temesjames8867
@temesjames8867 7 ай бұрын
Nimesikiriza kwa makini kiukweli biblia iko wazi sana walioiandika lakini korani haiko wazi walioiandika hii yote tumshukuru mungu kwa kumleta NDACHA duniani hongera mtumishi mwema wa mungu.
@user-kb4dk7zo1l
@user-kb4dk7zo1l 6 ай бұрын
Pole Sana Kaka c n Paul ndo aliandika ama kuna wengine?
@pharmkiksi7463
@pharmkiksi7463 4 ай бұрын
Biblia iko wazi inamtukana Mungu, Inamwita Mungu MPUMBAVU na DHAIFU.... (1:15 wakurinto wa kwanza) Wewe ni kipofu huoni ayo maandishi basi hata husikii? Wewe moyo wako umekufa kabisa, tafuta ukweli usifuate upepo.....
@user-yp1lm5fb1v
@user-yp1lm5fb1v 4 ай бұрын
Ndacha dar we noma umemdhalilisha doctor sule vibaya safi sana
@besteddynashanatukambale5163
@besteddynashanatukambale5163 6 ай бұрын
Nimeona kweli waeslamu hawana majibu hata maneno ya kuongeya hawana.
@jeanmwamba7380
@jeanmwamba7380 10 күн бұрын
Wa adventiste wana mungu
@user-ey4hj9jk1i
@user-ey4hj9jk1i 7 ай бұрын
Sulle toa hoja zito bana nikama umeshindwa tena umeleta matatani gaki bible inafanya nn qoran😅😅 2:20:53 2:20:58
@LwitikoKatule
@LwitikoKatule 7 ай бұрын
Mko vizuri sana
@kimelirono5084
@kimelirono5084 7 ай бұрын
Ndacha alisema tu vizuri msikate hii vedio kwa vipande ndo watu waelewe ukweli.kiliwaramba waislamu sindano iliingia vizuri
@callennyabonyi5580
@callennyabonyi5580 7 ай бұрын
Kawaida ya waislamu ni ushabiki tu,hawana lolote
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 6 ай бұрын
Umenena vema ndugu
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 6 ай бұрын
Hwa waganga wanaelimu ya majini😂😂😂😅
@lacksonmwakanema6799
@lacksonmwakanema6799 7 ай бұрын
Wewe mwandishi muongo mno! Unasema Ndacha kaibishwa wakati tunamsikia akiongea Kwa pointi Sana kumshinda Sulle!
@johnnation4000
@johnnation4000 6 ай бұрын
Hawa waongo tu,ndacha hutowa kweli sio peloronjo
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 6 ай бұрын
Kabisa bro,hawa makafiri wa umma wa Mohammad ni watu wa kuchekesha mno,eti malaika wakahandika Qur'an kumbe ni ya muhitaji wa majini aliyopewa kwa pango pale macca
@pharmkiksi7463
@pharmkiksi7463 4 ай бұрын
​​@@jumarobertonyancha8605 nyinyi mioyo imekufa kweli, kwenye biblia Mungu anaambiwa yeye Mpumbavu na Dhaifu bado tu munasema NDACHA Hasemi porojo, Sikiliza Sule Anayasema ayo......
@pharmkiksi7463
@pharmkiksi7463 4 ай бұрын
nyinyi mioyo imekufa kweli, kwenye biblia Mungu anaambiwa yeye Mpumbavu na Dhaifu (1:15wakurinto wa Kwanza) bado tu munasema NDACHA Hasemi porojo, Sikiliza Sule Anayasema ayo.....
@IddiZuberi-ef6oz
@IddiZuberi-ef6oz 4 ай бұрын
Mashalla she
@amankimaryo1809
@amankimaryo1809 4 ай бұрын
Mazinge anaanza mechi na woga, tulia mzee kijana master mind huyo.... Tukubaliane umezeeka
@stanleycheroben4120
@stanleycheroben4120 7 ай бұрын
My question is sijaiona mwislamu akianzisha mdahali kwani hawana hoja wanangojea ndacha kuanza
@user-nc4jh2gw2h
@user-nc4jh2gw2h 5 ай бұрын
Ndacha maneno mengi tu ajielewiii
@user-rg4qv3ey8k
@user-rg4qv3ey8k 7 ай бұрын
kwani ukisema sule kashindwa utapata dhambi
@barakafondo8090
@barakafondo8090 7 ай бұрын
Ndacha may God bless you
@DancanOsongo
@DancanOsongo Ай бұрын
Amen❤bleess
@DancanOsongo
@DancanOsongo Ай бұрын
To get it done before the end of next life😅
@DancanOsongo
@DancanOsongo Ай бұрын
Amen
@user-ys2gn1nd4q
@user-ys2gn1nd4q 7 ай бұрын
alafu makaratas yann mikonon mwenzenu yapo kichwan kishameza
@user-wr8fo9cc4t
@user-wr8fo9cc4t 7 ай бұрын
Dr sulle kwakweli imeshindikana🙌🙌 Allah akupe maisha marefu
@temesjames8867
@temesjames8867 7 ай бұрын
Mbona hajajibu hoja au kasahau
@amankimaryo1809
@amankimaryo1809 4 ай бұрын
Tukiwafundisha watoto biblia na Quran kwa usawa, alafu wakifikisha miaka 15, wachague kusilim au kubatizwa, Nina hakika uislamu utafutika katika uso wa dunia
@JamesDonat
@JamesDonat 3 ай бұрын
Mungu mmoja walioteremsha kitabu cha Quran ni akina nani??
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 7 ай бұрын
Lile jiwe jeuzi la majini ndio mungu wa dr sulle na timu yake
@SumaAbduly
@SumaAbduly 7 ай бұрын
Ujui ulisemalo pole
@atwowa6380
@atwowa6380 7 ай бұрын
Hatuabudu jiwe tunaabudu Allah
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 7 ай бұрын
Wapi hapa sulle kamwaibisha ndacha ,bila ushabik sulle bado kabisa😂😂😂😂😢😢😢
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 6 ай бұрын
@@atwowa6380 Allah in nani sasa
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 5 ай бұрын
​@@atwowa6380Allah ni nani
@user-wr5ce6lu8q
@user-wr5ce6lu8q 6 ай бұрын
Ndacha chiz kabisa
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 5 ай бұрын
Kumbe mkiambiwa ukweli kwa hoja ni uchizi? Poleni waislamu kwa uelewa mdogo!
@mohamedumri4176
@mohamedumri4176 7 ай бұрын
DHARNII WALMUKADHDHIBU BIHAADHALHADITH SANASTAJRIBUHUM MIN HAITHU LAA TA LAMUUN.
@user-th2ks9et2m
@user-th2ks9et2m 5 ай бұрын
Mutajijua wakristo wakati sisi waislam tunauhakika dini yetu ni ya haki na yakweli na ndio din ya manabii hatuna hata wasi wasi juu ya dini. Mm kama yesu ndio mungu kweli basi mm namwambia yesu pepo yako siitaki siitaki kabisa pepo aliyoumba yesu
@besteddynashanatukambale5163
@besteddynashanatukambale5163 6 ай бұрын
Ubatizo gani huwooo? Ubatizo ni katika jina La Yesu Kristo, nahiyo ndoo Ubatizo sahihii.
@user-ys2gn1nd4q
@user-ys2gn1nd4q 7 ай бұрын
ndacha kiboko wafundishe wabishiawo kzyao ubishtu
@boscojohnny8980
@boscojohnny8980 2 ай бұрын
Naanza kuelewa Uchristo ni dini ya Mungu
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Ndacha kachanganyikiwa 😢😢😢😢😢
@bongelabwana7366
@bongelabwana7366 6 ай бұрын
Ao walisema sisi tumekuletea au kukutelemshia kitabu maana yake ni zaid ya mmoja apo nanyie mnasema Yesu sio Mungu wala mwana wa Mungu
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 7 ай бұрын
Midahalo Ni mizuri lakini kweli Ya Mungu inabaki palepale hata uc hambuzi uwe wahali yajuu namna gani hauna uhusiano wowote kumsamehe dhambi mtu yeyote .Nibora kuchunguza Kama maandiko unayoyatumia kumtafuta Muumba wako Kama yanauvuvio wa pumzi ya Mungu au la,kwakuwa Mungu nihai neno lake Ni hai.
@MarkIranzi
@MarkIranzi 5 ай бұрын
yesu nibwana
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 4 ай бұрын
Yusu ni mtu kama wewe alikuwa anakula ,anakunya anaoga kama kawaida .
@Shamim-hl1hf
@Shamim-hl1hf Ай бұрын
Uislam forever
@AhmedSleman-fj9ry
@AhmedSleman-fj9ry 4 ай бұрын
Ndacha hapo hutoboiii wajiaibisha ndachaa icho kichyaa
@FaithImani-qj1ci
@FaithImani-qj1ci 7 ай бұрын
Ndacha huwa anajaribu ,mashehe wengii na pastor mmoja
@filisalkhah5832
@filisalkhah5832 6 ай бұрын
Amen
@user-ey4hj9jk1i
@user-ey4hj9jk1i 7 ай бұрын
Sulle toa hoja zito bana nikama umeshindwa tena umeleta matatani gaki bible inafanya na qoran
@richardkiarie7445
@richardkiarie7445 7 ай бұрын
Read from the book of LORD ISAIAH 34:16
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 7 ай бұрын
💖💖💖
@user-yp7nv3mg4b
@user-yp7nv3mg4b 7 ай бұрын
sule kawa sele
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 4 ай бұрын
Muda mwingi Dr Sule anahubili injilli hafundishi elimu,
@user-tr8vy7gf4m
@user-tr8vy7gf4m 7 ай бұрын
Doctor, at the times of ISHA, Was the quran available??. If not, why is it that HE is in the quran?.
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 7 ай бұрын
Ahaaa! Kumbe mdahalo umeandaliwa na taasisi ya kiislam. Utaratibu wa mdahalo wenyewe una nia potofu.
@user-nw9ds9qe5i
@user-nw9ds9qe5i 7 ай бұрын
Safi kabisa pastor ndacha ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU Alie hai. Asie kuelewa hilo ni sikio la kufa tu. Ndacha unaeleweka sana
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 7 ай бұрын
Kosa la kwanza ni KURUHUSU watu kujadili vitabu vitakatifu vinavyoaminiwa na imani husika. Wala sioni tija katika hili .ndo maana husikii Dr Wala Prof wa kikristo akipoteza muda kujadili eti kipi kitabu halali.
@hirammbugua7593
@hirammbugua7593 6 ай бұрын
Khai angetetea qurani
@user-sv3em3hm8u
@user-sv3em3hm8u 5 ай бұрын
Yann Hawa wezetu hawaelewe kama Hawa masikio kwel wasilamu tuwaombee dua
@mamamtakatifu6465
@mamamtakatifu6465 4 ай бұрын
Ndacha unaeleweka sana ivo vizeevilivovaa kanzu hoja vimeishiwa kazi yao nikubisha tu🤣
@faridyshaame4705
@faridyshaame4705 5 ай бұрын
NILICHO GUNDUA WAKRISTO WANACHUKULIA DINI KM TEAM 😅
@Backyard_Gardening_USA
@Backyard_Gardening_USA 3 ай бұрын
Mwalimu Ndacha unaweza weka simu yako hapa kwasababu nataka kuzungumza na wewe tafadhali?
@mohamedumri4176
@mohamedumri4176 7 ай бұрын
NIMEMSOMA NDACHA,TATIZO LAKE HAJUI ELIMU YA BALAGHA. ANAONGEA NA KICHWA CHAKE.
@janetmwende7280
@janetmwende7280 7 ай бұрын
Wacha ushabiki, erevuka na uache kudanganywa ,waislamu mnamwamini Musa na mafudisho yake na hamna torati yake,mbona uislam imewaficha vitabu zingine,ulizeni mashehe wawaonyeshe vitabu zingine,
@janetmwende7280
@janetmwende7280 7 ай бұрын
Wacha ushabiki, erevuka na uache kudanganywa ,waislamu mnamwamini Musa na mafudisho yake na hamna torati yake,mbona uislam imewaficha vitabu zingine,ulizeni mashehe wawaonyeshe vitabu zingine,
@user-qn5ne3oz3d
@user-qn5ne3oz3d 7 ай бұрын
Thanks for good combination but detail answer and good explanation should be there in answering the questions on both sides not as some as the questions are answered
@juliusjamanda7313
@juliusjamanda7313 6 ай бұрын
Ati doctor Sule😂😂😂😂😂hyu jamaaa aki Hana elimu ya dini kabsa......Hawa ndo watapekeka waislam motoni....jibu hoja .
@blessingmuyambo908
@blessingmuyambo908 6 ай бұрын
Ndacha is the best
@JamesDonat
@JamesDonat 3 ай бұрын
Msomaji wa upande wa waislam anambwembwe mbaka anaboa baada asome anajilimbwasa tu!! Umetisha sana mch. Ndacha mungu akubariki amina
@user-yp7nv3mg4b
@user-yp7nv3mg4b 7 ай бұрын
Ndacha anakumbuka hoja alizozungumza mwenzie hii kichwa kama computer anatembea mule mule kwenye chaki
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 41 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 17 МЛН
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 3,6 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
NIMEWACHA KUWEKA MAANDIKO VIRAKA - NASAHA YA UPOLE KWA MWINJILISTI NDACHA
1:47:33
JE YESU NI MUNGU?  | MAZINGE VS NDACHA +254705602959
1:47:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 492 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:51:47
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 41 МЛН