No video

ALIYOYAFANYA NGWEA KABLA YA KIFO CHAKE/MCHIZI MOX AFICHUA SIRI NZITO

  Рет қаралды 44,835

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

#S&R #MchiziMox #Mgwear
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 26
@takeoffyrn3973
@takeoffyrn3973 Жыл бұрын
Big mox wakati Niko mdogo umri kama miaka 14 nafika geto kwao manzese darajani nawakuta wako geto na jay mo pamoja na ngwea . Salute Sana big muda wa chakula ukifika alikuwa ana ninunulia chakula Cha buku 2 na wenyewe wanakula ivo ivo than ananiagiza nikanunue matunda njee kulikuwa Kuna genge ivi wametoka mbali San hawa
@makame3524
@makame3524 Жыл бұрын
Mtangazaji upo vzr,,, ila nakuombea Kwa Mungu ufanikishs ndoto zako ,umetulia kwenye.kaz yako.
@jamesindunguru
@jamesindunguru Жыл бұрын
Mtangazi upo vizuli mzee kaza mzee baba unajuwa. Sana
@damemoney5140
@damemoney5140 Жыл бұрын
Nilichojifunza kwako baba angu mdogo big mox ni upendo una love sana ya maendeleo na respect sana kwa kila anaekuhitaji busara zako na mawazo yako na kupenda kuwepo pamoja kila wakati kimtu mwengine baada ya lile mikasi kushika hits angehitaji 50asilimia maana idea yote ni wewe lakini mziki wakati wenu ulikuwa na ushikaji undugu uthamini na upendo mubwa kutoka moyoni hukumchukulia albert tu ulimchukuli ni damu yako kabisa pamoja na wote mungu akupe uhai mrefu sana nawakumbuka sana kipindi king'oko na big bro jafarhymes ramani ya bongo fleva mliipokea kutoka kwa kina sugu na jay na mkaipeleka kote mungu awabariki sana
@kawanga0073
@kawanga0073 Жыл бұрын
I like it aiseee big up Mchiii Moki na RIP Mangwea 🙏🙏.
@adamsemmanuel2810
@adamsemmanuel2810 Жыл бұрын
Host upo powaa sanaa
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 Жыл бұрын
Ilazaman kulikuwa kunamabit makali sana
@hawangalima
@hawangalima Жыл бұрын
Nafikiri mtangazaji ajitahidi kuongeza ubinifu utakaompa upekee kwasababu seems like role model wake ni Millard also he gives mo Jay vibes Kwahiyo ajitahidi kuleta upekee we need uniqueness but he is good
@omaryrazalo4302
@omaryrazalo4302 Жыл бұрын
Duu kiukwer like Millard Ayo Brother Komaaa
@seinamador5474
@seinamador5474 Жыл бұрын
hio pakiti ya powder nyeupe ina uhusiano gani na maongezi
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Жыл бұрын
mchzi mox
@mohamedkitemwe3569
@mohamedkitemwe3569 Жыл бұрын
Noma sana
@abdallahmdangadachi7030
@abdallahmdangadachi7030 Жыл бұрын
Sijaelewa hapo mwisho inamaana majani nae aliingiza vocal kwenye mikasi?
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 Жыл бұрын
Mtangazaji anajitahiditahidi kama Mirad Ayo.
@bainolatino3412
@bainolatino3412 Жыл бұрын
Inabidi aongeze ubunifu
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji mbeleni atafika mbali kama milard ayo
@dmox8723
@dmox8723 Жыл бұрын
Kuazia leo naaza kufatilia hii chanel
@sadickchakka3147
@sadickchakka3147 Жыл бұрын
Mtangazaj unakitu
@EddoMhombo-qt9rx
@EddoMhombo-qt9rx Жыл бұрын
Jamaa unamuiga sana milady mpka una boa hutoi kwa hiyo njoo n stail yko
@tariqebenson
@tariqebenson Жыл бұрын
Acha wivu
@mosimba467
@mosimba467 Жыл бұрын
We mbona unamwiga Edo Kumwembe
@sailicekomba8075
@sailicekomba8075 Жыл бұрын
Wivu huooo
@dar24media
@dar24media Жыл бұрын
😂😂😂
@dar24media
@dar24media Жыл бұрын
😂😂🙌🏾🙌🏾
@georgemzuli3422
@georgemzuli3422 Жыл бұрын
Htr sana
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 20 МЛН
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
MSASA PODCAST
Рет қаралды 60 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН