DC SABAYA: NATUMIA UBABE KUPATA SULUHU | HAI INAHITAJI UTATUZI WA CHANGAMOTO ZAO

  Рет қаралды 230,010

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

3 жыл бұрын

#CLOUDS360 #CLOUDSMEDIAGROUP #DCSABAYA
DC SABAYA NATUMIA UBABE KUPATA SULUHU | HAI INAHITAJI UTATUZI WA CHANGAMOTO ZAO HII NI KAZI YANGU MIMI KAMA MKUU WA WILAYA YA HAI

Пікірлер: 687
@mrfashion1687
@mrfashion1687 3 жыл бұрын
Aliekuja kuangalia hii interview baada ya sabaya kutumbuliwa, gonga like hapa
@frankjacob6653
@frankjacob6653 3 жыл бұрын
Hatari😂
@gaspermkonyi5137
@gaspermkonyi5137 3 жыл бұрын
Hallo ndio naichek hapa
@bonatasha176
@bonatasha176 3 жыл бұрын
Nipo
@masanjamkinga3566
@masanjamkinga3566 3 жыл бұрын
Amesema anatumia ubabe nasiyo akiri
@ramak.9587
@ramak.9587 3 жыл бұрын
Huyu jamaa hafai ata kidogo
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 3 ай бұрын
Mungu atakwinua tena kaangu tunatambua kuwa watu matajiri watu wahovu watu wasiyopenda kuona masikini nawosikumoja waishi maisha kama yao nauwaga hawapendi viongozi wapenda haki kama huyu sabaya nakuhaidi sabaya Mungu atakurudishia cheo kikubwa sana katika utawala najuwa yote yaliyokukuta nivita ya wafanyabihasha wakubwa tu nawatu matajiri Mungu akupemaisha melefu😥😥🙏🙏🙏
@mpinno2180
@mpinno2180 3 жыл бұрын
Nimejifunza watu wanaomtajataja sana mungu huwa Ni watu wabaya sana
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 жыл бұрын
Kabisa yani
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 3 жыл бұрын
WE JAMAA UNA AKILI SANA.....UMENIPA FUNZO ZITO SAAAAANA........
@ChangchunRealstateDragon
@ChangchunRealstateDragon 3 жыл бұрын
So kweli hizo ni fikra zako tu
@benosilwani5208
@benosilwani5208 3 жыл бұрын
Wewe ni genius, unaakili sana. Ogopa sana watu ambao katika maongezi yao wanamtaja taja sana Mungu.
@fredrickmathias6478
@fredrickmathias6478 3 жыл бұрын
Tena sana yaan
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Watu Mnaosema Eti Uyu Mubaya Mbona Amsemi Ubaya Wake Nanyi Jiepusheni Na Usemaji Wa Uongo Hoo Alimtesa Mbowe Ivi Mbowe Mwana Siasa Au Mfanya Biashala Uyu Alikua Anafanya Kazi Yenye Kuonekana Live Sema Wenye Chuki Nae Wakubwa Ivo Raisi Awe Na Jicho La Tatu Kwa Uyu Alikua Kiongozi Makini Sana Uyu
@joshuasabasi3118
@joshuasabasi3118 2 жыл бұрын
Mungu fundi kweli amekuacha yatima
@apostleadamgige4662
@apostleadamgige4662 3 жыл бұрын
Kwa sabaya kutumbuliwa nimeshukuru Sana, Mungu amejibu maombi yetu
@mayele_jr3096
@mayele_jr3096 3 жыл бұрын
Hebu nidokeze sababu nimerudia hap nione kosa
@kilimanjaromegaexpeditions8527
@kilimanjaromegaexpeditions8527 3 жыл бұрын
@@mayele_jr3096 huo walaka wa yy kusimamishwa umeusoma?????? Ina maana rais kamuonea??????
@amirysaimon9488
@amirysaimon9488 3 жыл бұрын
Nimefurai mweee. Keisha habari yako sabayaaaaaa
@angelavayinga914
@angelavayinga914 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema mtegemee yeye,kutumbuliwa sio mwisho wa maisha yako pambana. Mimi wewe ni kiongozi wangu siku zote hata km umetumbuliwa.
@petermangowi
@petermangowi 3 жыл бұрын
Mpuuzi sana.
@aizaamsuya9966
@aizaamsuya9966 3 жыл бұрын
mungu ndo anajua ukweli sabaya sisi hatukuhukumu ila kama wewe ni mkweli mungu ndo anajua na kama wewe ni muongo mungu ndo anajua.pambana ndugu I pray for ukweli ujulikane ukweli au uongo.we need you
@janethsadock4559
@janethsadock4559 2 жыл бұрын
Pole sana na mungu wako,Ila Mungu wetu sisi tunaemuamini amefanya kazi yake
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 3 жыл бұрын
Endeleeni kujificha kwa maneno,Mungu ataendelea kuanika uovu wote nje
@simontamba1285
@simontamba1285 3 жыл бұрын
Waambie
@happydunstan9631
@happydunstan9631 3 жыл бұрын
Na kweli umejibiwa na m mungu... Upandacho ndicho utakacho vuna... Ulipanda ubaya umeuvuna ubaya... Huyu mungu mnaependa kumtaja mjue kabsa ni mungu wa principal.. sasa tulia dawa iwaingie
@danielombela1237
@danielombela1237 2 жыл бұрын
Dada ukovizuri maswaliyako yanamlenga vizuri sana
@augustinokingazi8301
@augustinokingazi8301 3 жыл бұрын
Yaan sabaya ni muongo anajificha kwenye mwamvuli wa Mungu kumbe mbaya sana. Tunashukuru bado heri james
@davidmwita139
@davidmwita139 3 жыл бұрын
Kafanya nn
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 жыл бұрын
Kusema mungu haimaanishi ndiye Mungu muumbaji bali matando ya mtu hudhihirisha ni Mungu gani anamtumikia maana wale wa Mungu wa haki hutenda haki, YESU kasema kila mtu humtii babaye, akawaambia Mimi namuheshimu baba yangu ,ninyi mnazitenda kazi za baba yenu ibilisi,
@yahayasalum2943
@yahayasalum2943 3 жыл бұрын
Jitahidi sana na muombe Mungu sana binadamu mwingine asikunung'unikie kwa haki wala kumwaga chozi kwa wewe kumnyima haki yake.
@victoriajulius5072
@victoriajulius5072 3 жыл бұрын
Kabisaa
@danielpaul8969
@danielpaul8969 3 жыл бұрын
Uko sahihi brother unafaa sana kwa ushauri 👍👍
@daressalaampost5785
@daressalaampost5785 3 жыл бұрын
Mheshimiwa Sabaya ulikuwa kiongozi bora sana, natamani mimi ningekuwa na mamlaka ya uteuzi ningelikufanya kuwa waziri kabisa
@ukhutymamuu7470
@ukhutymamuu7470 3 жыл бұрын
😅🥱
@janethsadock4559
@janethsadock4559 2 жыл бұрын
Subutuuu
@judyngowi391
@judyngowi391 2 жыл бұрын
Waziri wa matako yako
@musason1680
@musason1680 3 жыл бұрын
Daahh uyu jamaa mm kama namwelewa halafu anakataaa. Tena Namwachia mungu sasa
@officialjimmy0267
@officialjimmy0267 3 жыл бұрын
Mm mwenyew namuon kma yuko poa af inakataa
@musason1680
@musason1680 3 жыл бұрын
@@officialjimmy0267 shida jamaa ana show on anataka kila anachofanya aonekane
@happymushi8197
@happymushi8197 3 жыл бұрын
Mungu halali wala hasinzii. Sabaya kapambane na hali yako.
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 3 жыл бұрын
Ukweli you made the bed you must lay on it.
@subiramichael3840
@subiramichael3840 3 жыл бұрын
Wanamzulia kwa kazi yke nzuri wapinzani walipambana kumtoa ira atakumbukwa kama magu
@ibratati3636
@ibratati3636 3 жыл бұрын
Km upo huru naomba tujadili hili swala apa
@janethsadock4559
@janethsadock4559 2 жыл бұрын
Mazuri yapi?Mungu achen aitwe Mungu,kweli Mungu ni fundi,ana sababu kubwa ya kumtoa Magu
@kilianfravian7559
@kilianfravian7559 2 жыл бұрын
Mjinga unakili
@dianammari8431
@dianammari8431 3 жыл бұрын
Hivi hamjui Mungu YUPO
@dominickjohn1128
@dominickjohn1128 3 жыл бұрын
Umesema mboe kakomeshwa na watu wa hai,wew umekomeshwa na mama samia,100/100.
@amirysaimon9488
@amirysaimon9488 3 жыл бұрын
Kikomooo komoooo
@erastobartalome2709
@erastobartalome2709 2 жыл бұрын
Hahaha
@johnzacharia2308
@johnzacharia2308 2 жыл бұрын
Kweli mwenyezi Mungu amekujibu kwa kazi uliyofanya kama ulivyosema
@danielkidenya7009
@danielkidenya7009 2 жыл бұрын
Ha ha ha
@mohammedkimanga8960
@mohammedkimanga8960 3 жыл бұрын
Sabaya kzi umeifnya umeiyona kutoka Kenya,,,,,,,uyu mma toka ashike uongozi ni kufuta wtu kila kukcha naona amejisahau anaona atakaa milele hpo uongozini
@ibratati3636
@ibratati3636 3 жыл бұрын
Huyu mama n mxhenzi watu wa magufuli wote wanadondoshwa mara wafe mara wazushiwe kesi....huyu mama n mshenzi sanaaaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ibrahimkasongo
@ibrahimkasongo 3 жыл бұрын
Sema jamani mti wenye matunda hupigwa mawe ushauri wangu ni uchunguzi ufanywe kwa kina huyu mtu anastahili cheo kikubwa kuliko hata DC
@marymanoni5536
@marymanoni5536 3 жыл бұрын
Kweli
@hellenmollel6679
@hellenmollel6679 3 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu mama naye hajapuuzia taarifa zako, nenda mwana kwenda
@nurukauzen1721
@nurukauzen1721 3 жыл бұрын
Mshenzi kabisa huyu jamaa
@zenaabdallah3797
@zenaabdallah3797 2 жыл бұрын
MTAMKUMBUKA TU CKU 1 KAMA NYIE NI WANAHAI.C WANAHAI TUNAMKUMBUKA KWA KUTUTETEA VEMA.HIZI NI FITINA ZA KISIASA TUMETAWALIWA NA MBUNGE MIAKA MINGI LAKINI HATUNA LOLOTE TUKIMPA KURA ANAKIMBILIA DAR IKIFIKA WAKATI WA UCHAGUZI ANARUDI TENA MAENDELEO HATUNA WALA HAULIZI SHIDA ZETU.DC NDIO ANACKILIZA SHIDA ZETU MUNGU ATAMSAIDIA ATATOKA TU
@hitlerpardon9308
@hitlerpardon9308 3 жыл бұрын
hiii intavyu imekustopisshhhaaAa kaziiii
@mushimushi801
@mushimushi801 3 жыл бұрын
Nahona mungu wakutaniya Aminaa
@mutajawhakaiza2752
@mutajawhakaiza2752 3 жыл бұрын
Balaa san hıı ıshu ya sabaya nı noma sana wetu wamecharuka sana duu Mungu ndo anaejuan ukwelı wote tuıshı kama tulıvotumwa na mwenyrzı MUNGU
@duoxmasisa6529
@duoxmasisa6529 3 жыл бұрын
Kweli M/Mungu ni fundi umekwenda na maji2,kija huwa nakupenda mno ila ckuelewi ckuhz
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 3 жыл бұрын
Kija me nilishaona yupo kimaslahi zaid alafu anategemea sana teuzi kuliko kazi yake
@krizofrancisco1287
@krizofrancisco1287 2 жыл бұрын
Kijana amefanya mazuri mengi ila mabaya machache ndo yamekuzwa ni sawa na mwalimu kufelisha wanafunzi wawili kati ya mia then unamfukuza kazi
@francismlembwa2733
@francismlembwa2733 3 жыл бұрын
Mungu ametenda makubwa Sana Hawa viongozi vijana Ni. Wajeuri Sana, tuwe tunaangalia Sana tunapiwatua
@hildaurassa4174
@hildaurassa4174 3 жыл бұрын
Dharau zake zimemfikisha hapo. Alikuwa kwenye Kijiji chetu akakuta watu kadhaa. Alichokisema ni kusema hawezi kuongea na watu kama hawa ni wachache. Akaondoka this guy hafai.
@emmanuelntalima1717
@emmanuelntalima1717 Жыл бұрын
Zama zetu zinakuja usihuzunike, tutarudi kazini kwa nguvu mpya
@andrewyona2552
@andrewyona2552 3 жыл бұрын
Jamaa kamnyanyasa Sana Mbowe , alijifanya yeye ndie Mungu wa HAI
@shankamtv4240
@shankamtv4240 3 жыл бұрын
Duuuhh kweli
@mwinyimwanakatwe4624
@mwinyimwanakatwe4624 2 жыл бұрын
Una uhakika mbowe yupo salama..?
@isunga1964
@isunga1964 2 жыл бұрын
Baada ya kufungwa miaka 30 jimekuja kuangalia interview
@preciousjohn9405
@preciousjohn9405 2 жыл бұрын
Mm pia tafuta ukwel alikuwa anaendeshaje uongozi wake, nichuki au alikosea kwel
@allanothuman2941
@allanothuman2941 2 жыл бұрын
@@preciousjohn9405 n kwel mpuuz huyu
@machachehardware5975
@machachehardware5975 Жыл бұрын
Alishinda rufaa ya miaka 30
@emmanuelmarklugole6637
@emmanuelmarklugole6637 3 жыл бұрын
Tunaelewa uongoz wako makini,unaweza! Kiongoz kijana shupavu mti wny matundo ndo unachezewa bado una future y uongozi nchi ucjali comrade!
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 3 жыл бұрын
Limtu awajamaa wapowengi sana chuki ilizidi sana ccm haikuwa sawa kabisa nichuki2 ilizidi
@joycemndeme1395
@joycemndeme1395 3 жыл бұрын
Uko sahihi kuna sehem lzm uwe mbogo ndo mambo yanaenda mfano Wa yesu nimeuelewa na mzee Magu alikutuma hai kwasababu inshaallah utakuwa huru
@mnganuraistunae5942
@mnganuraistunae5942 2 жыл бұрын
Huyumtu kunasiku atatoka Mungu atakutetea
@leaherasto929
@leaherasto929 2 жыл бұрын
Nipo apa baada yahukumu yaSabaya
@mpinno2180
@mpinno2180 3 жыл бұрын
Mmmmh kumbe we we ndo uliyemkata masikio maana unasema wananchi wamemkomesha
@florangido202
@florangido202 3 жыл бұрын
Ulimnyanyasa sana Mbowe Malipo ni hapa hapa Duniani!! Mungu ndiyo kashakujibu hivyoooo!!
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 3 жыл бұрын
Kimeita nyasi sasa akalime
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 3 жыл бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani. Unajisikiaje sasa bwana DC
@allansamwel2948
@allansamwel2948 3 жыл бұрын
Ila sam hii interview dah Kama mlijua nn kitafwata mbele
@darposttv2647
@darposttv2647 3 жыл бұрын
Dadekiiii amtegemeae mwanadam haya ndio matokeo yake mungu ibariki tanzania
@Zaburi-
@Zaburi- 3 жыл бұрын
Mungu
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 2 жыл бұрын
Kama unavyowategemea waliopo madarakani sasahivi,,,,,ukifikiri wao ndio wamefika!
@gastordominic410
@gastordominic410 3 жыл бұрын
Mdada nimekupenda buree kwa maswali yako keep it up....jambo lile kwa mfanano ule jambo ni moja
@bennmagaya4503
@bennmagaya4503 3 жыл бұрын
Duniani Ishi Na Binadamu Wenzako Vizuri Maisha Mafupi Sana..
@usajiliusajili6511
@usajiliusajili6511 3 жыл бұрын
Pole sana Sabaya huna jipya
@happymushi8197
@happymushi8197 3 жыл бұрын
Halaf clouds Mungu anawaona hayo maswali yenu kama mlijua anatumbuliwa. Mungu fundi kweli kweli aseeee
@stewarttesha8085
@stewarttesha8085 3 жыл бұрын
Mnafeli sana clouds tunaomba mumuite Mbowe aje ajibu
@mdedsm5522
@mdedsm5522 3 жыл бұрын
Mbowe alipi Kodi na mhujumu uchumi
@mdedsm5522
@mdedsm5522 3 жыл бұрын
Mbowe alipi Kodi na mhujumu uchumi
@lukaseliasobwolo7498
@lukaseliasobwolo7498 3 жыл бұрын
Mama safiiii
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Ubabe Una mwisho wee kijana
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
Ninshukuru Allah kwaajili ya Sabaya
@frankmwinuka8264
@frankmwinuka8264 3 жыл бұрын
Dah nimekuelewa bro ila inchi hii cjui tupoje tukipata mtetezi ndio tunampiga mawe
@hashymharun9337
@hashymharun9337 2 жыл бұрын
Dah maisha haya
@judyngowi391
@judyngowi391 2 жыл бұрын
Alikuwa anatetea nini
@danielombela1237
@danielombela1237 2 жыл бұрын
Ohopa watuwanao mtajataja mungu wanayasana
@sophiekivuyo6028
@sophiekivuyo6028 3 жыл бұрын
maaasai wa kwanza kuwa na roho mbaya mwwnyezi mungu unamjua Mungu ww kanyee debe uko
@anordgerison8639
@anordgerison8639 2 жыл бұрын
Baada ya kufungwa ndio nimekuja kuitazama hi interview
@mokhimji
@mokhimji 2 жыл бұрын
Sanaa au Siasa hahaha mara nyingi na changanyikiwa
@keffajacob8952
@keffajacob8952 2 жыл бұрын
huyu mama samia...kapitia maelezo haya ya sabaya...nini maoni yake baada ya hukumu hii🤦‍♂️
@Hamy1109
@Hamy1109 3 жыл бұрын
Tunamshukuru mama kwa kututolea huyu kiumbe.
@yohanamtunduruyohanamtundu6585
@yohanamtunduruyohanamtundu6585 3 жыл бұрын
Hongera Rais kwa hekima
@fadhilibrahim8878
@fadhilibrahim8878 3 жыл бұрын
yuko wapi vile huyu jamaa 🤣🤣🤣
@marceljohnkimaty4986
@marceljohnkimaty4986 3 жыл бұрын
Jela
@salomemahenge6758
@salomemahenge6758 3 жыл бұрын
Kwisha abari yako hakika mungu fundi
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 3 жыл бұрын
Tena si fundi nguo wala kinyozi jamani
@amirysaimon9488
@amirysaimon9488 3 жыл бұрын
Wewe ndo ulijifanya mungu. Keisha habari yakooooo.tamaaaa imekuponza
@noahlarapho3411
@noahlarapho3411 2 жыл бұрын
Yep, yote siku uachanane na hayo yote hakika sabaya ndugu wangu utakuwa umejifunza mengi nzuri,,, naamini hutarudia...
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 3 жыл бұрын
Hivi kuna baadhi ya watu wakisema Mungu huwa wanamaanisha wanachokiongea au wanalichukilia kama neno jingine.
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 жыл бұрын
Kama Huyu Anamkejeli Mungu Mnafki na Muovu Mkubwa
@johnnnko5814
@johnnnko5814 2 жыл бұрын
Duuhh Mungu ni fundi kweliiii
@bonfacekanangiramungure832
@bonfacekanangiramungure832 3 жыл бұрын
Peleka ujinga uko unajificha kwa maneno ahsante mama kulitoa ili jambazi mama ni mama,atakama ana maumbile ya kike kwa mungu wakina mama ni taifa kubwa la Israel
@ismaelmeliter2632
@ismaelmeliter2632 2 жыл бұрын
Kweli ndugu lakini tuxishangile sana axe maana nimtu mdogo
@deejeydaev
@deejeydaev 3 жыл бұрын
Asee safi sana
@irenemkwizu2041
@irenemkwizu2041 3 жыл бұрын
Siku zote mtu anayesaidia wanyonge na kusimama ktk mstari huwa hapendwi siku zote lazima abambikiwe mabaya... Kaka yangu mtegemee Mungu tu kila kitu kitakuwa sawa. Nilitamani sana kupata Mkuu wa Wilaya kama wewe lakini sijui haya yote yanatoka wapi???
@mot.tvmsamvu6770
@mot.tvmsamvu6770 2 жыл бұрын
Acha ujinga huyo muhud tu ndio maana kafungwa
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 3 жыл бұрын
Mimi mwenyewe pia nimehuzunika kifo cha jembe magufuli
@ombeniluka170
@ombeniluka170 2 жыл бұрын
Umefika nchi ya ahadi
@williamgeorge150
@williamgeorge150 3 жыл бұрын
Me nimekuja apa baada ya uyu jamaa kutumbuliwa,ila clouds siwapendiiii vibaraka tu
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 3 жыл бұрын
At mie
@constantinochalle856
@constantinochalle856 3 жыл бұрын
At mm
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 3 жыл бұрын
Haaa haaaaa
@judyngowi391
@judyngowi391 2 жыл бұрын
Mimi mwenyewe nilichukia sana, siku wamemleta huyu choko kumhoji
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 3 жыл бұрын
No 1 is perfect
@samwelipima3795
@samwelipima3795 3 жыл бұрын
Chapa kazi kazi iendelee hata maswali unayoulizwa Niya kejeli Kama hukutenda baya mungu ni shaidi utafika mbali viongozi wenye maamuzi magum nchi hii wanauhitaji sana
@livingstonemichael42
@livingstonemichael42 3 жыл бұрын
Kweli mungu yupo had mm kaona hufai
@kihirirajabu4929
@kihirirajabu4929 3 жыл бұрын
Sabaya tulia kama kweli siasa ni hatima yako badae mambo hayo yatakuwa mema yatakupa ukuu mda utasolve kila kitu
@godblessmushi4093
@godblessmushi4093 2 жыл бұрын
Niko hapa baada ya Hukumu kutoka. Ntakuja tena kuweka Comment baada ya Miaka 30 ya kutoka jela
@nizarurassa6480
@nizarurassa6480 Жыл бұрын
Ashatoka kaka!!!! Ushaamini mda unakimbia ee😂😂😂😂 nasubiria comment yako.
@elizabethkimbi3336
@elizabethkimbi3336 3 жыл бұрын
Nakulilia sabaya kama ulivyomlilia Maghufuli mwanangu mimi ni mpaka hii sina msaada wowote naweza kukusaidia
@michaelobunde753
@michaelobunde753 3 жыл бұрын
Mnamlia jambazi
@thomaskaungo11
@thomaskaungo11 3 жыл бұрын
Sabaya utalipwa sawa sawa na Kazi yako
@stevennkini7213
@stevennkini7213 3 жыл бұрын
Daa bahati mbaya Sana,,,ogopa Mungu na tekinolojia
@yohanamteleke2324
@yohanamteleke2324 3 жыл бұрын
Mdogowangu SABAYA acha kutumia Maneno ya Mungu kama Sehemu ya Kificho,,,ULILEWA MADARAKA ukamsahau MUNGU.
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 3 жыл бұрын
Huyu jamaa na makonda walikua hawana tofaut kuyatumia madaraka yao vibaya sana kunyanyasa watu
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 2 жыл бұрын
Uko na wakika wewe
@abdallahlyimomrwana9134
@abdallahlyimomrwana9134 3 жыл бұрын
Idd mubaraka mama etu umetutendea haki acha kaz iendelee
@emmanuelmeshuko1416
@emmanuelmeshuko1416 3 жыл бұрын
Kweli hii interview ilipikwa kwa makusudi maalum
@azizalivingston1954
@azizalivingston1954 3 жыл бұрын
Kwer sabay
@majaladubai9698
@majaladubai9698 3 жыл бұрын
HUYU JAMAA HAFAI ANAROHO MBAYA SSANA WAPO WENGINE WALIJIFANYA KUGOMBEA UBUNGE NAKUACHA UKUU WA MKOA NAWAJUWA HAWAPATI UBUNGE NIA NIKUCHOMOKA ILI WIZI NA NA MAIVU YAO YAFUTWE HAPANA WAFUATILIWE. WAMEKUSANYA MAPESA MENGI SANA
@majaladubai9698
@majaladubai9698 3 жыл бұрын
FAGIO LIPITE WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WENGI WALIWEKWA KIMAKOSA. SAMIA CHOMOA WAKO WENGI WILAYANI MIKOANI
@elizabethkimbi3336
@elizabethkimbi3336 3 жыл бұрын
Kwa hiyo angekwenda kujieleza wapi asinine na hao wanaomsulubu sasa
@muemedealuco2987
@muemedealuco2987 2 жыл бұрын
Mimi nilifurahi sana
@amirysaimon9488
@amirysaimon9488 3 жыл бұрын
Mbowe umeiona hiyooo .chariiii sabaya
@davallamchambe5275
@davallamchambe5275 3 жыл бұрын
Basi nimeelewa kwanini umeachishwa kazi kuna kikundi cha majambazi wanaikontroo ile familia iliyofiwa na baba yao
@caslidajosephat8912
@caslidajosephat8912 3 жыл бұрын
Sijakuelewa
@davallamchambe5275
@davallamchambe5275 3 жыл бұрын
@@caslidajosephat8912 jiongeze utanielewa ndugu yangu
@johnmakubi190
@johnmakubi190 3 жыл бұрын
Mama omba mungu akupe viongozi mnaoendana nao,wa mwenda zake toa wote,niwababe mno,wametumiza sana
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 3 жыл бұрын
Mhm, Kuna watu humu, wameajiriwa kumchafua mtu tu. Dunia tuna pita tu, shaulizenu sijuwi kwa mungu tutajibu nini, siku ikifika
@kilimanjaromegaexpeditions8527
@kilimanjaromegaexpeditions8527 3 жыл бұрын
Nani kachafuliwa????
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Ngoja tusubirie kbs neno la mwisho la Mama
@jumasaid232
@jumasaid232 2 жыл бұрын
Imeisha hiyooooooooooo
@josephchausi8201
@josephchausi8201 3 жыл бұрын
Yes GOD is great all the TIME
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 3 жыл бұрын
Wee kweri sabaya upo vyema sanaa wee nyayo za magu
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 3 жыл бұрын
Ndo kishatmbuliwa
@janethjackson374
@janethjackson374 3 жыл бұрын
Hatuhitaji nyayo za magu saiv tunataka za mama
@petermwimanzi4717
@petermwimanzi4717 3 жыл бұрын
Duh unalala tajiri unaamka masikini maisha ............................?
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 3 жыл бұрын
N kwel maisha hayana formula
@dshazarajabu9950
@dshazarajabu9950 3 жыл бұрын
Mwandishi uko vizuri
@elizabethelisaria6730
@elizabethelisaria6730 3 жыл бұрын
Kila mtu akipewa nafasi ya kujitetea! Kujiosha! Hataacha kuitumia
@thomaskaungo11
@thomaskaungo11 3 жыл бұрын
Mungu yupo
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 3 жыл бұрын
Kbs
@singasinga2663
@singasinga2663 3 жыл бұрын
Tupo hapa ila mda utasema cheo in dhaman
@efronaaron6772
@efronaaron6772 3 жыл бұрын
Washakula kichwa
@singasinga2663
@singasinga2663 3 жыл бұрын
@@efronaaron6772 nilisema huyu muda UTASEMA naona waliokuwa wanamsifia hapa wapo dwiiiiii
@jeniphaurio4665
@jeniphaurio4665 3 жыл бұрын
Mwanangu ulijua au.vip.mana keshatumbuliwa
@singasinga2663
@singasinga2663 3 жыл бұрын
@@jeniphaurio4665 No kaka Nivile Ngoma ikivuma sana kifuatacho kupasuka
@josephmatiko6743
@josephmatiko6743 3 жыл бұрын
Wewe upo kwenye system au?
@mbatatakiazi1678
@mbatatakiazi1678 3 жыл бұрын
wenda kuna tusichokijuwa, najipa muda kupisha uchunguzi wa tuhma zinazomkabili.
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 2 жыл бұрын
Clouds walijua uovu wote wa sabaya kabla ndio maana walimuita kwenye hii interview
@hassanosman3824
@hassanosman3824 3 жыл бұрын
Sabaya tuna jua hizo nifitina zao tunajua unafanya Kazi nzuri mungu yupo simama hapohapo!!!!!!?
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 2 жыл бұрын
Inauma kabisa jamani
@happyjoseph9793
@happyjoseph9793 3 жыл бұрын
Mmmmmmmm sabaya
@michaelmponeja2102
@michaelmponeja2102 3 жыл бұрын
Wema badae! Kaz imeisha
@allenmlelwa7950
@allenmlelwa7950 3 жыл бұрын
Clauds watakatishaji wa wahuni....
@kayombokayombo9609
@kayombokayombo9609 3 жыл бұрын
#sengeee
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 44 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,4 МЛН
GOODBLES LEMA AMPIGIA OLE SABAYA NA KUMTAKA AACHE KUTESA WATU
3:14
Chadema Media TV
Рет қаралды 400 М.
Van Dijk Destroys Everyone + HIM 💀
0:21
Fearron
Рет қаралды 8 МЛН
Haaland Respect Moments 🥶
0:40
Foot Mood
Рет қаралды 6 МЛН
Вот так улетает Ута Абе от Келдиеровой! Лучшие моменты ДЗЮДО, из сети.
0:19
Андрей Шидловский Оздоровительная Борьба.
Рет қаралды 1,9 МЛН