Roma ww ni Mchawi,hili Pumbu ni Hatari sana,umeongea kila kitu halafu ukweli mtupu,Akili kubwa sana🔥💪👊🙌
@goodluckchacha503729 күн бұрын
Rip papa john umefanya mazuri wengi zaidi kuliko mabaya
@badugafamily235927 күн бұрын
Mazuri ni kuua watu akisahau na Yeye ni marehu mtalajiwa acha we mwendazake alipoteza watu ..wajane wengi kisa Yeye
@MICHAELEDWIN-fh5nq29 күн бұрын
viva roma gonga like kama unamkubali mwamba
@lemeboyofficial28 күн бұрын
Sanaa ni kubwa hongera kwa ubunifu,amemwimba mwenda zake ili hawa wengine nywele zao wazitie maji..Maana anaona wanakirudia kilemba😢
@dani12comedy29 күн бұрын
Roma umeti🎉🎉🎉🎉🎉🎉shaa sana sanaaaa br god bless you're work
@RamdJuma-fo8gj9 күн бұрын
ukwer muenda zake alitenda mazul kwa nchi ila kwa laia moja mmoja ilikuwa mbinde so Roma msimuerewe vibaya
@OmariRajabu-cq3cg7 күн бұрын
Mwana nakukubali.rudi uchukuejimbo.tangamjini
@mulababaz223226 күн бұрын
Oyaaa wanangu eee hata kama humpendi sungura lazima ukubali mbio zake Mkato is another level Apewe maua yake Shout out to you Mzimbabwe 👊
@mogendingonde18009 күн бұрын
Laini inapiga kila mtandao kila nnch watu wanapiga motoni kumedamshi
@jayjay-yc8kb29 күн бұрын
Vita vina suluhu na kupona ni majaliwa 🔥🔥🔥🔥
@LukiusGerman11 күн бұрын
We ushaanza kula rushwa
@abdallahamad468228 күн бұрын
Oya Sema "Story ndio itakayo bakia"... ule mzigo noma na nusu broo👌💯
@CANIVATZ27 күн бұрын
Sanaaaa
@KRM_R29 күн бұрын
Noma sana baba Roma 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 tunakupenda ❤❤ hapa BURUNDI 🇧🇮
@charlesdavid886329 күн бұрын
Wakwanza nipeni like zangu
@gabrielkabato990929 күн бұрын
We jamaa ni noma
@robkidayovideos29 күн бұрын
One of the best
@user-vq9np4cr4f29 күн бұрын
GREAT job
@silashemed484929 күн бұрын
mh! kuna harufu naihisi humuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉, Asante Roma big_ up sana
@issackjoseph643629 күн бұрын
Magu aliwapa shida saaana wasombea kwa mabeberu, ukikosoa mwendo weka mwanzo na mwisho kwenye mizani Roma, sema nini soko ni hili biashara ni yako bidhaaa ni hii
@AmonMahenge-gs5el23 күн бұрын
Mwenda zake kashasepa bro yanayofanyika saiv imba sasa au saiv mambo yapo sawa bongo!!! RIP panya but ata sasa wakikosea wambie . Be blessed bro R.O.M.A
@ISSASHABANI-sw7lx10 күн бұрын
Tonatoa ngoma alafu hatutaki hata interview na redio yoyote ile kubababake salute sana msodoki🫡🫡🫡
@user-mh7dq2xi3y25 күн бұрын
Broo umeuwa nakubali
@izack919129 күн бұрын
Duh nakukubali bro lakini sasa unanaanza kumshambulia hadi marehem duh! Pia nchi haiendeshwi kwa demokrasia unavyo taka wewe. Jua kwamba demokrasia ni sumu kwa mataifa zetu hasa africa
@TONE_TZAFRICA15 күн бұрын
Bloo Ngoma Kali Sana nilimic Aya mavoko Mzee umetisha sema uyo latifah anajua Mzee kwenye kolasi ametisha Sana mtoe atoke bloo nimeelewa Sana kiitikio alivo pita nacho
@HusseinDjuma-cn2ox28 күн бұрын
My favourite song
@EmmanuelMwakihaba-vm3mp10 күн бұрын
Sambamba kabisa mwamba uyuapa ajawaikuniangusha atamala moja
@b3falampendwa75829 күн бұрын
Roma come back is too big. Go go go...
@PatrickJulius-uy3yb29 күн бұрын
Nomaaaaa sana roma hupotezi uboraa 😢😢
@carl-donald28 күн бұрын
Pure dedication kwa serikali kuu ya Kenya...sisemi.
@geombaji19 күн бұрын
Mimi naona hii umeieka hapa sababu ya solidarity na WaKenya #Viva #RejectFinanceBillKe2024😢🎉
@leonardvales639027 күн бұрын
Nimekubali kaka ,ngoma kali sana
@LukiusGerman11 күн бұрын
Kwamba ya mama anaetaka uboss kwa nguvu mbona usemi raisi ana nyodo we unaenda kumuimba mwamba
@Teyga_the_Don29 күн бұрын
Kama unaikubali hii nyimbo na Roma mweyew tujuwane kwa Like❤❤❤❤
@AmosRugaimukamu29 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@anitharroger556729 күн бұрын
❤❤❤ Viva Roma viva
@Curioustraveller25415 күн бұрын
Can this be played on any Tanzanian radio?😂...I doubt!
@innocentvicent551326 күн бұрын
Me nawaza Iyo baiki naipataje kak😂
@CoolTvTanzania29 күн бұрын
VIVA ROMA VIVAAAA........ Ukikosoa miundo mbinu tu unahujumu Uch..i 😂😅😂 I like this guy 你平时都说实话
@thenolstagiclord941029 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Finance Bill Must Fall
@mageuziseverine332521 күн бұрын
Message sent. Ila hii nyimbo imetulia sana kama unaikubali reply hii comment
@JonathanAlex-wr3ef20 күн бұрын
wew mwenyew nipakatu wanakutombea mkeo uku falaww
@jastineeliah525626 күн бұрын
Ngoma kalii saaana mwana harakati
@claudepaluku184228 күн бұрын
Classic hip-hop💥💥💥💥🇨🇩
@EyanDanda-ls3lp28 күн бұрын
Jamaa unajuaaa
@WatagwainMan29 күн бұрын
Daaah Yani Angetokea Wa Kumfunga Paka Kengele Sisi Panya Angalau Tungepunga Hewa Safi, Big Up Sana Mwanangu, Bila Kuchoka, Nazingatia 2030 Ile Ahadi Yako Kaka, Kengele Muhimu Kufungwa Yule Paka..😅
@MusaIddi-pn6dd28 күн бұрын
❤❤❤😢
@ringicnation372229 күн бұрын
Mzee +254
@abelshao628429 күн бұрын
Yeye ameamua kumuimba huyo anayemuimba Nyie waimbeni hao mnaowasema.. kila mtu na priorities zake kwenye haya maisha...hajawalazimisha kumsikiliza Achen unafik
@Tesha200015 күн бұрын
Asante nashangaaa wanatoa mapofuu
@ibrahimomari245828 күн бұрын
Roma...hatar sana mwanakwetu...
@user-gg3qe3sj1x13 күн бұрын
Yn ukweri tuna majonzi😂😂😂 tunamkumbuka Joni jama
@seiphmketo984816 күн бұрын
❤
@katanakazungu399328 күн бұрын
Viva roma mkatoliki salute bro
@user-ij2lp1om6i25 күн бұрын
Safi sana roma
@brianbizopozee542329 күн бұрын
Ngoma kali sana aisee...❤
@user-gm9xe6hf2r17 күн бұрын
Ngoma kali mzee
@issackjoseph643629 күн бұрын
Sema kila angle lakn ukiiisema pombe ya fly over binafsi nakupalia
@MetaMc-iv5bi29 күн бұрын
Mkatooooo
@user-td8rr9xp5b28 күн бұрын
🎉nakubari asee
@rashdegovernor165429 күн бұрын
Bonge la hit ni moto 🔥
@TellaaxisTz29 күн бұрын
Woow
@Isaka0529 күн бұрын
Mwana kwenye Pini hukoseagi🎉
@NdakhiSusu-qz9md29 күн бұрын
Roma Tz🔥💯
@estambuya390125 күн бұрын
Safi sana roma.
@izack919129 күн бұрын
Chunga hiyo uber scooter isikuzimie katikati ya kazi yako😂😂😂
@erickmgaya391429 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@abdallahamad468228 күн бұрын
Kaka mkubwa 🙌
@alphamwambelo818928 күн бұрын
Kiitikio ni motoooo
@TONE_TZAFRICA15 күн бұрын
Kama tayali anayo akaunt mi naomba kujua nimfatilie
@anitharroger556729 күн бұрын
Bora tuhairishe uuchaguzi ilitupate katiba
@lemeboyofficial28 күн бұрын
Nako huko kuna foleni kumbe🤗😆
@IsmailEl-mazroui25 күн бұрын
Folen au traffic light
@AbeDesigner29 күн бұрын
Mwanaharakti🎉
@Wanisimbula29 күн бұрын
Mambo niyapendayo😊😊😊😊
@bigpaulmw894027 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@harithmohd631829 күн бұрын
Roma umetisha 🎉❤
@user-vq3zu8ne9b29 күн бұрын
@vivaroma 🔥🔥, tunga na wimbo wa TANGANYIKA aisee maana inatafunwa Sana Kaka Hadi sio poa 😒😢
R I P JPM The king, the only one, iron, Bulldozer, Vampire and so on😂
@Misheckkazilist-cv2hb28 күн бұрын
Roma hatali ila kaka unahasila kweli sasa tufanye mapinduzi tuwaseme hawa waliyoko hai mwenda zake amesha enda zake changamkia hawa waliyo baki selikari ya mijimama ya hovyo
@doubletlacs130028 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@bushbabytz29 күн бұрын
YAANI PAKA ALIJIONA SANA
@abrashizorashid11729 күн бұрын
Aminia
@TogetherForeverXy01m1919 күн бұрын
Wewe imba walio madarakani
@udizungwahimalaya521329 күн бұрын
Me simoooooo😆😆😆
@bushbabytz29 күн бұрын
DAH ETI ' Bado vita havina SULUHU na kupona ni MAJALIWA" 😊 BONGE LA MSTARI
@user-uz4vz3nb7n28 күн бұрын
❤😂❤❤
@user-iu2jy4yu1s28 күн бұрын
Apo ndo aliponikera mm unamsemaje mtu kashatangulia mbele ya haki huo ni ushamba ni uchoko na ni usenge
@adamndefuto281728 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@MosesLubely22 күн бұрын
Umakini unahitajika kuielewa hii nyimbo🎉🎉🎉🎉🎉
@ramamabrok252329 күн бұрын
🏆👑
@barakasamweli911529 күн бұрын
✊✊✊✊
@shabanimtunu88727 күн бұрын
Nyie mnaosema aimbe utawala wa sasa aache kuimba utawala uliopita kwani roma alitekwa utawala huu anakumbuka machungu aliyopitia utawala uliopita