Рет қаралды 352,177
Dereva mmoja anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Lang'ata baada ya kumuua polisi wa trafiki kwa kumgonga na gari katika barabara ya Southern Bypass kaunti ya Nairobi jana jioni. Edward Njoroge anatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho kama anavyotuarifu Gatete Njoroge.