DIVA Afunguka "NITAKUFA na JINA la DIAMOND/Kodi ya Nyumba Yangu MILIONI 60

  Рет қаралды 20,921

Rick Media

Rick Media

Жыл бұрын

Hii ni Exclusive Interview na Diva The Bawse akifunguka kwa mara ya kwanza Live juu ya Ndoa yake kuteteleka. Hapa anatuambia maisha baada ya kuondoka nyumbani kwa mumewe
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#DIVA

Пікірлер: 109
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz Жыл бұрын
Diva nakupenda Sana Ila ukigombana usipende kuweka Mambo yako mtandaoni
@aminaali792
@aminaali792 Жыл бұрын
Yaani hili dada lina mwili mkubwa lakini akili yake ndogo kama kokoto yaani anapenda sifa na halijielewi na bado hajakuwa wife material linapenda attention sana 🙄🤦🏽‍♀️👀
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka nasauti
@speciosermusika2009
@speciosermusika2009 Жыл бұрын
Yaaani mawazo yako ni sawa na mimi. Hana lolote.siku Diamond akimtema atachanganyikiwa.
@doktamathew
@doktamathew Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 unamuonea wivu au
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 Жыл бұрын
😂😂😂
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@karimjuma4019
@karimjuma4019 Жыл бұрын
Unaijua milion 60 ww au unalopoka tu km huna memo ya mbele
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Eti kodi kwa umri huo wa mamayangu hauna hata nyumba ya vyumba viwili 😂😂😂
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Don’t depend on your boss to pay your bills of that millions while you got manga husband ( witch Doctor. If I where you I would have the strength to mention about my boss, I could talk about my husband when it’s comes to matters of family.
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 Жыл бұрын
Dada anapenda kujisifia huyu jmn loh na anachokiongea na swali analoulizwa vitu v2 tofauti ajabu ni kwamba yeye ni mtangazaji kweli mganga hajigangi😂😂😂
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Ishi maisha yako maadui ni wengi kuliko wema kwako
@HAMIDAMIVULE
@HAMIDAMIVULE Жыл бұрын
Abdul shukuru sana mungu kukuepusha nahuyu mgonjwa wausonji😊
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Жыл бұрын
Akili ndogo sana😢😢, Mungu akusaidie, ukifika mwisho mwiko kurudi nyuma 😢😢😢 why hujielewi girl????
@zawadizawadimussa23
@zawadizawadimussa23 Жыл бұрын
Atastuka miaka ya 58
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Diva❤️❤️❤️
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 Жыл бұрын
Jamani Diva unajua kujigamba duu
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 Жыл бұрын
Really she's a billionaire dollar voice
@pdaxofficial3144
@pdaxofficial3144 Жыл бұрын
Hawa ndio malaya wakibongo hawana biashara wala hawana shughuli yeyote hawa wanajiuzaga nje ya nchi ila wanazeekaga vibaya hatar..
@sheilathabit-uw7km
@sheilathabit-uw7km 11 ай бұрын
Nakupenda wanawake tupambane
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Nawaombea mzeeke pamoja❤❤❤
@AsAs-lj4ob
@AsAs-lj4ob Жыл бұрын
Comenti yangu ihifadhiw mganga hjarudi kwa mapenzi kuna kitu kafata na akitimiza diva hato amini niko pale nimeika
@kuruthumumkalawa2786
@kuruthumumkalawa2786 Жыл бұрын
Sasa una mtoto wa familia unayoiudumia lazima ufanye uo ujinga😛🤗
@josephndunguru6290
@josephndunguru6290 Жыл бұрын
Hamna kituu hapaa,
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii Жыл бұрын
Hizo hela unapata uwanja unapiga na foundation ya nyumba kubwa tu
@wizmashin8011
@wizmashin8011 11 ай бұрын
Waislam tumuogope Allah tuace kua tuna jizalilisha mitandaon kutowa towa haibu zetu nauyo mdada ikoiko ana atanuru ya wislam iko iko
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 Жыл бұрын
Mtu muongo utamjua tu kila neno anasisitiza kwa kisema kweli sidanganyi!!!
@3Dshoez
@3Dshoez Жыл бұрын
Huyu kwa Abdul hatoki,ujanja wotee eeee kwisha😢
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
Wule ni Mwamba kasha mumaliza Diva paka kifo🤣🤣
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 Жыл бұрын
Kwenu Tanga Baba wa Bukoba mama Wa Tanga Diva kiboko
@thomasgalogalo5866
@thomasgalogalo5866 Жыл бұрын
Gold medy
@noorrajpar3928
@noorrajpar3928 Жыл бұрын
Baba levo kasema umechangiwa
@ibrahkenya5580
@ibrahkenya5580 11 ай бұрын
Jaribu Sana Ujipange Sababu hujui kesho Itakuwa aje???
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Жыл бұрын
Umaitala ndoo nutakuuwa diva unspanga nyumba ya milioni 5 ubadilishii nywele duuuu watanzania
@kelvinkasanga1235
@kelvinkasanga1235 11 ай бұрын
Unawaingizia sh ngapi
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 Жыл бұрын
Usoni mapoda umekuwa kama jini sikupendi sana ww diva ni mnafiki sana ww alafu ww unajionaga mzuli hali hii huna sura huna shep 😀😀😀😀😀😀
@abdillahrashidnassor7973
@abdillahrashidnassor7973 Жыл бұрын
Mbona aliomba omba mtandaoni halafu anajisifia billionea Wasanii Mungu anawaona
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@lovenessmushi41
@lovenessmushi41 Жыл бұрын
Kwa kweli
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 Жыл бұрын
Despite other things this sister is very smart.
@LeeLian95
@LeeLian95 Жыл бұрын
Usmart upi unaongelea?🙄
@bellogregory7175
@bellogregory7175 Жыл бұрын
Nahisi io english ndo inakuchangany
@khadijafeda8598
@khadijafeda8598 Жыл бұрын
Kumbe ndio maana dida ana pesa sasa kodi yote hiyo c ujenge mnataka baadae mkikwama mchangiwe huo ni ujinga dida we ni Mwanamke unaejitambua izo mil 5 za kodi unafanya starehe hayo ndio maisha diva ni zero hamna kitu
@user-yq4sn6cq1l
@user-yq4sn6cq1l Жыл бұрын
Amina acawivu kwani akijitapa kuna ubayagani?
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 Жыл бұрын
UPO TANZANIA WENSIO TUNAMALIZA TU MB KINGEREZA KINGELEZA KINGIII UNAKELA
@user-mp4rc3bn2i
@user-mp4rc3bn2i Жыл бұрын
😂😂😂😂yaan mambo mengine bhana nacheka kama mazur😂😂😂
@3Dshoez
@3Dshoez Жыл бұрын
Yan juzi alikuwa anaomba omba leo kodi 5m kwa mwezi 😂😂
@kelvinkasanga1235
@kelvinkasanga1235 11 ай бұрын
Una watoto wangapi
@zalminaomary1874
@zalminaomary1874 Жыл бұрын
Unapenda kujigamba ww nabado utazidi kuzalilika Kila ck
@iceplay18
@iceplay18 11 ай бұрын
mrongo sana huyu dada watu wenye pesa hawaongei
@shirfadigubike7920
@shirfadigubike7920 Жыл бұрын
Bwana maliyooo
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Watu watamani muachane swali mtaolewa nyinyi?? Mtamuowa nyinyi mnajua anachpata ndani au shobo tuu
@martinakimaro3302
@martinakimaro3302 Жыл бұрын
Tuliza akili kwanza aseee you still not ok
@ZechKejo
@ZechKejo Жыл бұрын
Mwili mkubwa, akili ccmiz kodi yote hyo c ungeshaanza kutembelea Simba cement pamoja na alaf!
@zawadizawadimussa23
@zawadizawadimussa23 Жыл бұрын
Mama unapenda kununua vtu siununue kiwanja ujenge
@wemachristian286
@wemachristian286 Жыл бұрын
Eti ananunjua vitu aweke wapi na nyumba hana inabidi ajenge milioni 60 za kodi akipewa mtu mwenye akili timamu anakua bilionea
@kulway4669
@kulway4669 Жыл бұрын
Huuu ni mtihani
@nafuwswedi2465
@nafuwswedi2465 Жыл бұрын
😂😂😂😂mtihani gani ndugu yangu 😂😂😂?
@sund2553
@sund2553 Жыл бұрын
20 MIL si ungeenda nunua kiwanja ujenge room moja ukae hapo
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Unewaza km mimi yani hawa wadada wa mjini hovyoooo
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 Жыл бұрын
Unapenda masifa
@rahmanamani3422
@rahmanamani3422 Жыл бұрын
Usimfananishe na mme wa kim uyo mme gani hovyo
@queenmilan2024
@queenmilan2024 Жыл бұрын
Hivi Huyu mawigi yake ananunua wapi?
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Жыл бұрын
AKILI YA HUYU DADA ANAYE JUU NI YEYE TU
@rukiaabdallah3824
@rukiaabdallah3824 Жыл бұрын
Sasa iyo 60 millions si ungenunua kiwanja ukajenga jamnii😤😤😤😤
@lydiahbhoke2284
@lydiahbhoke2284 Жыл бұрын
Umasikini ndo unanifanya nione hii hela ni nyingi sana ningejenga na kujenga tena!
@ashuramohamed3267
@ashuramohamed3267 Жыл бұрын
Upo sahihi Wala sio umaskini yaani miaka miwili una bonge ya nyumba 😅😂😂😂
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Жыл бұрын
Si ukusanye tu hizo pesa ununue nyumba yako ama ununue kiwanja ujenge..🇰🇪🇰🇪 anyway let me mind my business 🤸🤸
@aminadollar3308
@aminadollar3308 Жыл бұрын
Muongo anaongeza sifuri tu
@user-pd6cr4ip9w
@user-pd6cr4ip9w Жыл бұрын
Ila bongo😂😂😂
@user-mr6xl4gs8d
@user-mr6xl4gs8d 11 ай бұрын
Mukiumwa mnataka michango
@aminadollar3308
@aminadollar3308 Жыл бұрын
Kama ni hivyo si bora angejenga kwa kazi gani
@zena6203
@zena6203 Жыл бұрын
Kumaninazakoooo😅😅😅😅
@husseinkihemo5093
@husseinkihemo5093 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@glorymalemi
@glorymalemi Жыл бұрын
Aiiiiiihii😂😂😂😂😂
@user-gy3dv3tq8d
@user-gy3dv3tq8d 11 ай бұрын
Ningekuwepo ningekupa.mikofi
@user-vs8ht4uy8p
@user-vs8ht4uy8p 3 ай бұрын
😂😂😂
@irenekanza1601
@irenekanza1601 Жыл бұрын
Diva jenga acha ujinga kujisifia kodi kubwa
@stelamwakatulile2455
@stelamwakatulile2455 Жыл бұрын
Diva ujakua bado kingine wewe ni mbugila sifa nyingi
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g Жыл бұрын
Acha kutufanya wajinga wwboya,unaongea km kibogoyo😂😂😂😂et million tano ya kuchorwa au??sura km ubapa wa chapat😂😂😂😂
@akulumusa-ny4se
@akulumusa-ny4se Жыл бұрын
Rrrrrrr
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Sasa izo hela unazopata diva si ungejenga yako nyumba
@ashrona9884
@ashrona9884 Жыл бұрын
Duuh
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 11 ай бұрын
HUYU DEM NI MATAKO
@user-qz8gn6bn6r
@user-qz8gn6bn6r Жыл бұрын
Huo n ushamba2
@rahmanamani3422
@rahmanamani3422 Жыл бұрын
Kijifanya uzungu lakini huna akili mme gani uyo ilimkubali kuolewa nae
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy Жыл бұрын
eti kodi milion 60 unajisifia, jamani dunia hii ina watu na viatu, shida mastaa wetu wanajisahau sana hiyo 60m si umepata kwako, wakumbuke wao ni binadamu lolote laweza tokea huna pa kuipata hiyo 60 kujisifia maujinga tu
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 11 ай бұрын
Yaani huna akili kabisa,sasa milioni 60 kwa nini usijenge nyumba yako mwenyewe
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Hiyo hela si ukanunue uwanja???? Yani akili za wadada wa tz hovyoooooiiii kesho kutwa unafukuzwa kazi huna assert yotote
@sarastephano3409
@sarastephano3409 Жыл бұрын
Anaongea maluweluwe kitu hata hajaulizwa ajiropokesha
@khadijammanga6154
@khadijammanga6154 Жыл бұрын
Lidada liongo iliiii duuuh
@jacoblaban2589
@jacoblaban2589 11 ай бұрын
Ungekuwa mjanja,hizo dola elfu 5. Ndani ya mwaka mmoja mbona ungejenga nyumba nzuri tuuu.???? Nakuonaga una akili sana,lakini bogas tuu.
@user-zz1vv2qw2t
@user-zz1vv2qw2t Жыл бұрын
Liongo kabisa liongo kabisa
@user-zz1vv2qw2t
@user-zz1vv2qw2t Жыл бұрын
Limwili likubwa lakini akili hauna mjinga ww
@user-zz1vv2qw2t
@user-zz1vv2qw2t Жыл бұрын
Kwanini usijenge nyumba yako acha sifa
@aminadollar3308
@aminadollar3308 Жыл бұрын
Muongo
@user-zj1ep6hn4p
@user-zj1ep6hn4p 11 ай бұрын
Mbwa wewe ukizeeka utapata akili😂😂
@mirrykirungi5078
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Mmmmmh napita jamani x uwa arudiwi ukiona x amejirudi ujue kaja na lake nilikuwa nakuona le super woman kumbe mang'aa tu hujielewi mana ungejielewa tapishi uwa halirudishwi mdomomi abdul atacheza na akili yako up and down kumuanika kote kule na kumuongelea shit alafu kakurudia sio bure
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Huyu demu ni fake kuzidi ufake
@kenedymdemu6943
@kenedymdemu6943 Жыл бұрын
Akili mchanga ndio hiyo! Kama unaweza kutumia mil 20 si ujenge nyumba yako? Hizo ni sifa za kijinga dada yangu
@abedomar5183
@abedomar5183 Жыл бұрын
very stupid woman and useless, hivi huyu dada mtanzania kweli au very stupid
@jacoblaban2589
@jacoblaban2589 11 ай бұрын
Sifa za kijinga sana.
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,9 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 23 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 30 МЛН
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 91 М.
Anxiety panic attack (Inside Out Animation)
0:11
FASH
Рет қаралды 10 МЛН
Фильм про побег от родителей
0:59
Holy Baam
Рет қаралды 4,6 МЛН
There’s A Starman #superman #shorts #memes
0:26
Walking Streets 워킹스트리트
Рет қаралды 53 МЛН
#cat #shorts Rescue Adorable Kittens
0:50
Shohel Is Back
Рет қаралды 13 МЛН
Oi Oi Oi & E E Ei Meme Looking For a Girlfriend
0:26
Mischief time
Рет қаралды 40 МЛН