DIVA AMCHANA MUME WAKE ATOBOA SIRI ANALALA NNJE/KODI NALIPA MIMI HAFAI SIO MUME/AMKIA KWA HARMONIZE

  Рет қаралды 17,644

Bongo5

Bongo5

5 ай бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 87
@marymwaluko3364
@marymwaluko3364 4 ай бұрын
This is so disrespectful, hata boyfriend wangu siwezi kumdharaulisha hv in public
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 4 ай бұрын
huyu dada chawa katoka wapi tenaa jamani
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 4 ай бұрын
Mmmh..diva embu vunja hiyo ndoa usije kuletewa maradhi bulee😂😂😂
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-di9lc6cc5p
@user-di9lc6cc5p 4 ай бұрын
Ana ngoma toka mda
@hawaally3136
@hawaally3136 4 ай бұрын
Huyu chawa hayuko real anapretend..halaf cyo mzur wala nn sura mbaya
@user-nw3ie8yq1x
@user-nw3ie8yq1x 4 ай бұрын
hivi huyu chawa diva wakilewana na mumewe itakuwa je?
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 4 ай бұрын
Ukisikia kauli ya Diva! Hapa penzi liliisha zamani sana!! Abdul utapigwa matokeo na diva hutapenda, na by the way,huyu diva ana mtu ambaye anampenda kwa sai!! She is seeing someone!! Listen to her talk!!!
@mirabel2336
@mirabel2336 4 ай бұрын
Huyu mwaume wako kama mwanamke wa kiarabu ameolewa lkn atulie na mme wake kila siku kwa mama yake anamuacha mumewe pekee yake
@Zainab_salat
@Zainab_salat 4 ай бұрын
Yupo kwa bi mdogo
@frankvianey2438
@frankvianey2438 4 ай бұрын
Imefikia hatua jamaa anaambiwa kama unaweza kaa kwenye nyumba kama huwezi ondoka,hamna ndoa hapo
@vero57
@vero57 4 ай бұрын
Eti office ina kitanda, khaaa!!! Umeaza tena divaa ebu malizaneni huko sio kila kitu media
@user-xn7oc4qu2m
@user-xn7oc4qu2m 4 ай бұрын
Ukute anawaambia watu wake diva anajipendekeza mm sina muda nae ndio maana anayafanya hayo piga chini huyoo
@kessytajiri6320
@kessytajiri6320 4 ай бұрын
We Diva hujielewi, umeyataka mwenyewe. Utajua kama hujui. Shauri yako Mwana kulitafuta Mwana kulipata. Hovyooo
@mumspencernleah8037
@mumspencernleah8037 4 ай бұрын
Office iko na kitanda hapo kuna kitu
@jankenkasambala7687
@jankenkasambala7687 4 ай бұрын
Mwanamke akitoa pesa za nyumbani dharau itakuwepo
@ramahdaniel8064
@ramahdaniel8064 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 sijui nacheka nini😂
@Marjeby
@Marjeby 4 ай бұрын
Wee! Abdul huyo demu hapo nyuma ndiye mchawi kati ya wachawi wa ndoa yako kama vipi mtombe tu na yeye
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws 4 ай бұрын
Kilichobaki kimlamba huy short wke mana anashobo huy mamaeee
@naomicharles5444
@naomicharles5444 4 ай бұрын
Maisha haya Mganga ndio anasemaga anajua mapenzi, Diva ndio mtangazaj pediatric wa kipind cha mapenzi,, tulitegemea ndoa iwe ya mfano badala yale ovyoo😅😅 kweli situation is tafu
@user-fg8hg9fe1w
@user-fg8hg9fe1w 4 ай бұрын
Hapo mganga umemrahishia njia ya kumla huyo Rafiki yako
@amazitv2899
@amazitv2899 4 ай бұрын
Inamana Abduli ni analelewa ni mume bwege maana anatunzwa na mwanamke huyo mume bwege kweli au ameowa kwa sababu ya ku trending kweli ile mwanamke wake aliwahi kusema abduri alimwambie ameowa Diva kwa sababu ya kujulikana hiyo ndiyo sababu ya kuowa Diva siyo kwa mapenzi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 utakuta Diva anapigwa na vimbola ana rorwa bora ni muowe ni pambane na huyo mchawi abduli 😂😂😂😂😂
@K2dawilla
@K2dawilla 4 ай бұрын
Nipewe namba ya huyu chawa. Nimemuelewa sana.
@user-fg8hg9fe1w
@user-fg8hg9fe1w 4 ай бұрын
Mmh hapa Kuna kitu huy div na shost wake watakua wanasaga
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 4 ай бұрын
Hapo hakuna mke kabisa huyo jamaa achukue maamuzi amtimue tu akafie huko wasafi
@annamarry2033
@annamarry2033 4 ай бұрын
Amtimue au mwanaume aame kwa diva😂😂😂maana ni kama analelewa
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 4 ай бұрын
Yaani dunia inataka umakini sana ,dada anaefundisha watu mambo yamahusiano,na wanamfuata ,ndo anaongea maneno yakisenge ivo kwa me wake ,mother f**k
@marymanoni5536
@marymanoni5536 4 ай бұрын
Diva ❤
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 4 ай бұрын
Diva anampenda sanaaa uyu jamaaa ila tu amujuwi
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Si amri yake, jamaa mganga WA kienyeji unategemea nini, kamtangulia 😂😂😂😂
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 4 ай бұрын
@@MsAggie5 🤣🤣🤣🤣🤣🙊
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 4 ай бұрын
Mganga hajigangi naomba nieleweke😂
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 4 ай бұрын
Diva umekua bibi acha watoto wadogo
@nanaritho6850
@nanaritho6850 4 ай бұрын
Hakupendi huyo abdull bhana ni king'asti
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 4 ай бұрын
Ndio mvae Miwani ya jua ndani
@zulphaadam4671
@zulphaadam4671 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ila daaaah
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 4 ай бұрын
Nihatar sana
@user-jn4qh5lw5p
@user-jn4qh5lw5p 4 ай бұрын
MmmMmh huyu chawa promax
@Marjeby
@Marjeby 4 ай бұрын
Abdul mtombe huyo demu hapo nyuma ana changia usenge kwenye ndoa yako
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
🤪🤪🤪🤪🤪
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 4 ай бұрын
Diva is becoming stronger
@RahmaRashid-lc6nw
@RahmaRashid-lc6nw 4 ай бұрын
Kweli maana anaongea ya machungu na bado yuko sawa
@alexandermajiwa4421
@alexandermajiwa4421 Ай бұрын
How old is diva
@dinaalfani
@dinaalfani 4 ай бұрын
Huy hakupend
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 4 ай бұрын
Yani hili sanamu lina shida kwwli
@user-tx6nz4up5h
@user-tx6nz4up5h 4 ай бұрын
Pp ni nini tena jamani
@salha.d5060
@salha.d5060 4 ай бұрын
NDOA YA VICHAA😂😂😂😂 DIVA WIVU UTAKUUA
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 4 ай бұрын
Imagine Hana tena.huyu amesha move on
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Jamaa muhuni sana lakini alionywa sana hata mange alisema, mapenzi ya dawa hajafai
@jescajohn6619
@jescajohn6619 4 ай бұрын
Hao ndo wanawake wa mnjini
@mesukanku6016
@mesukanku6016 4 ай бұрын
ET ABDUL DIVA ILS ONT QUEL ÂGE ??TOUT SUR LA RUE?? REGARDEZ L'EXEMPLE DE DIAMOND ET ZUCHU
@vero57
@vero57 4 ай бұрын
DIOMOND,Ebu ongea na wafanyakazi wako , diva na didaa
@davidkisinini8855
@davidkisinini8855 4 ай бұрын
Diva sio mzima kichwani.
@magrethmkira6250
@magrethmkira6250 4 ай бұрын
H pylory virus????😮
@allykota8355
@allykota8355 4 ай бұрын
Amna mke hapo 😢
@muhammedtetere484
@muhammedtetere484 4 ай бұрын
Kwisha habar yao Hawa 😢😢
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 4 ай бұрын
Kumbe huna akili
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 4 ай бұрын
Ndoa ndowano mwanakuyatafu mwanakuyapata🥲🥲🥲😁👅👅👅👅😅😅😅😅😅
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 4 ай бұрын
Jeuli yote kwisha sili za ndani umeanza kuzimwaga mwenyewe nje 😂😂😂😂😂😂
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Madawa yameisha 😂😂😂😂
@thomangwanyama7122
@thomangwanyama7122 4 ай бұрын
Muambie diva anipe dada yake huyo
@NiceMussa
@NiceMussa 4 ай бұрын
Michubuko hiyo😊 , kama baruti mwekundu
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 4 ай бұрын
We sema wakupenda ngoja uachike ndio ujue wakupenda au wakuharibia
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 ай бұрын
Mshaambiwa jinsi ya kumpata mke na maandiko yalishasema mwanamke anaolewa kwa uzuri wake mali yake familia yake na dini yake.Oa mwenye dini utabarikiwa ila watu hawaelewi acha tuyaone mengi.
@aishajuma18
@aishajuma18 4 ай бұрын
​@@Pedeshee01Abduli mwenyewe dini Hana muhini yule
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 ай бұрын
​@@aishajuma18duhh mtihani
@issazalala4907
@issazalala4907 4 ай бұрын
Mume na mke wame kutana daaah 😂
@MultiKelvin1994
@MultiKelvin1994 4 ай бұрын
Mashost 😅😅😅
@hamidasalum157
@hamidasalum157 4 ай бұрын
Muongo uyu amesshau alisemaha ata kupika chai hawezi 😂
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r 4 ай бұрын
Hovyo. Wewe saut ñzur ilautakua Huna lolote. Mdangaji
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 4 ай бұрын
Amekudangia na babako
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Acha kuropoka mambo usiyoyajua. Jamaa aliroga sasa dawa zimeisha ndo matokeo yake. Anapenda kulelewa ndo shida yake
@mwendemwende5789
@mwendemwende5789 4 ай бұрын
Diva wachana na hio ndoa
@frankvianey2438
@frankvianey2438 4 ай бұрын
Umaskini ni kitu kibaya sana,huyu jamaa yake anadhalilishwa sana kwa sababu hana kitu mfukon
@chemstry409
@chemstry409 4 ай бұрын
😂😂😂
@RandB_Channel
@RandB_Channel 4 ай бұрын
Lakini hata wewe pia sioni kama unafa kuwa mke . Juyanini kila siku maneno yako kuya towa inje?? Sio sawa hawuna heshima ninavyo kuona wewe nikama vile unapendaka kumugandamiza ukimuuguza si nimme wako??
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 4 ай бұрын
Nkt kuna mke asiye manenos?
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
We kuweza??? Uwe na mume sio mwaminifu, unajua kakuroga, unamghalimia Kwa kulipa Kodi ya nyumba na bills we ungeweza kumvumilia?
@RahmaRashid-lc6nw
@RahmaRashid-lc6nw 4 ай бұрын
Kuwapa faida wasiokupendelea heri ungeita watu wakasuluhisha huyu rafiki pie sie anaingilia ndoa za watu ukute yeye ndoa hana
@RandB_Channel
@RandB_Channel 4 ай бұрын
@@MsAggie5 .wewe tulia sio mke huyu unazani hata mmewe anakosa mabaya yakumuongeleya?? Siniju tu iko kimya njomana mnamuona yy tu njo mwenye makosa. Any way kwani kila siku kuleta maneno ya ndoa yake kwenye mitandao itamusaidiya nini? Wala ss watazamaji tutamusaidiya nini? Kama ameshindwa siwaachane ? Kwani walimufungiya kwenye hiyo ndoa? Tumesha mchoka hajielewi ma nonsense . Kila siku hili kilasiku lile ala muachane haina maana
@RandB_Channel
@RandB_Channel 4 ай бұрын
@@RahmaRashid-lc6nw exactly point iyo .nahajafungwa nakamba eti paka wafe naye ukifika mahali unaona kuna vitu haviendi achaneni sio kila siku kujizaralisha
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 4 ай бұрын
PENZI LISHAKATA,,,,
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Tangu mwanzo halikuwa penzi jamaa aliroga Tu, na Mange alimuonya hakutaka kusikia
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 4 МЛН
HARMONIZER ATANGAZA KUMUOA POSHYQUEEN
1:58
Twigamedia
Рет қаралды 25
Ай ай 🤣
0:27
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 630 М.
Ужасное свидание🤯 #стальноймужик #жиза #еда
0:50
SteelMan XXL | Стальной мужик
Рет қаралды 2,9 МЛН
БАЧОК ПОТИК
0:22
KINO KAIF
Рет қаралды 4,3 МЛН