wanaume wengine fitna sana na ndio maana staki uke wenza
@ucjvvjcjjvih99342 жыл бұрын
Im TzGubu kuongea kuongea sana kwa kisirani na hakuna kosa lolote au kila akikaa atakosoa kosotu tu
@restitutalucia90092 жыл бұрын
Money talk
@btylove18702 жыл бұрын
Wanaume tafuteni pesa kila kitu kinawezekana.
@munamohd7655 Жыл бұрын
Siri ni mwanaume mwenyewe kujiamini.lkn wengine wanaowa tu lkn kukutanisha wake zao hajawahi
@jumakhalid5554 Жыл бұрын
Mwizi tu huyo
@esthermuthoni80682 жыл бұрын
Waaa ako poa
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
WANAFIKI HAO
@fatumasaidikaneakaneafatum41842 жыл бұрын
Hii kapo hatari Sanaa
@sihabahusseinmdee1102 Жыл бұрын
kimenuka pesa baba tuliyasema ukasema ni mapenzi
@abassimussa74732 жыл бұрын
Pesa ndo inaongea hapa we jifanye uko na upendo na huna pesa uone kama hutaitisha mchango kwa misikiti na makanisani
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
HAMNA LOLOTE MWANAMKE HATABIRIKI NI WANAFIKI WABAYA NA AMBAO NI WABAYA SANA HAWANA HISANI INGAWA WANAUME PIA BAADHI TUPO HIVO LAKINI WANAWAKE SI WATU WAZURI WANAFIKI USIOMBE KUJIDAI ANAKUPENDA WANAFIKI TUMCHE MOLA TUU
@@bosslilyg4390 halafu nitakila hicho kiswahili yaan mm mtz badala yakutafuta pesa nijifunze kiswahili yaan ww jitafakar
@restitutalucia90092 жыл бұрын
Unajua kuhudumia ndomaana wanapendana.
@neemashuma5595 Жыл бұрын
Subutuuu
@evancetilya51402 жыл бұрын
Ase
@fadhilistonemoshi48603 жыл бұрын
Dr Tuachetutafute pesa upendo uko kwawazazi tuu...!!!!
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
NA WEWE MWINJAKU MNAFIKI MMOJA WEWE NI MTU MBAYA SANA / MUISLAM MNAFIKI
@samiakikwete17622 жыл бұрын
Nahao wengine wanna magirl friend kawamwaga
@saynabmohammed62632 жыл бұрын
Bac niowe na mie
@zubedamagambo96003 жыл бұрын
Huyu Dr sioni Kama anathamini wanawake.
@aishachambo32933 жыл бұрын
Wanawake wanataka pesa hawataki thamani
@nantaembanusurupia56743 жыл бұрын
Usiogope anafanya practice, atajuaje maradhi mbalimbali ya kina mama😅
@halimahalima14882 жыл бұрын
@@nantaembanusurupia5674 😀😀😀
@nantaembanusurupia56742 жыл бұрын
@@halimahalima1488 inaitwa research, mke mmoja utagunduaje maradhi, utaambulia kugundua mauvimbe ya tumboni peke yake 😆 lakini akiwa nao wengi aaah, huyu mavimbe huyu UTI huyu ugumba halafu unawatwangia makisamvu unawapa tayari dawa🤣🤣🤣
@halimahalima14882 жыл бұрын
@@nantaembanusurupia5674 😀😀😀kwekweriii nalo neno
@evancetilya51402 жыл бұрын
Safi sana
@halimambarouk4612 Жыл бұрын
Kiumbe mxito eti we dokta mwak umetumia dini yakiislam kuo wake watatu lkn unavuk mipak kuwaanik wake zako hivo nguo hazina maadili mhhh jiangalie wake zako na pesa zako no fitina ngalia saaan hii dunia tunapita
@skeetergodwins25762 жыл бұрын
Huyu Daktari anatuaminisha kuwa wanaume wote ni wajinga kama yeye. Huku sio kuwapenda wanawake bali ni kuwatumia
@aishaomari9442 жыл бұрын
Pole wenzako wanahudumiwa
@ramadhanmakame1328 Жыл бұрын
Upoe kweli
@zhmzzz90612 жыл бұрын
Mke wa kwanza ni yupi?
@evelynsalila97003 жыл бұрын
Kwahiyo baada ya kupata hela ukamuolea wengine wawili 🥱🥱🥱
@zaitunrajab1163 жыл бұрын
Uko poa
@evelynsalila97003 жыл бұрын
@@zaitunrajab116 kabisa
@hadijageorge28632 жыл бұрын
He makubwa
@aishaomari9442 жыл бұрын
Wapo kibao2 mbona
@fatmasaid94003 жыл бұрын
angekua hana pesa angebaki na nani
@joycecharles78602 жыл бұрын
Girlfriends Watano then unasema kisa alikua mnyonge kwa wengine 😏😏😏
@aminanamoyo833 жыл бұрын
Mi nahitaji wazo tu la biashara mtaji ninao,🙏
@tamemahmad99023 жыл бұрын
Hata mm my yaani linanipa changamoto kiukweli
@munaahmed84992 жыл бұрын
@@tamemahmad9902 yaan mnataka kufanya biashara gn kwa mfano? Tujiulizenj sie watu 3 mm pia nataka ila nahis tukiwa pamoja tunaweza walah tena