Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya kuwa makini kwa mchumba wako kabla ya kuoana.(Part 3)

  Рет қаралды 30,218

Chris Mauki

Chris Mauki

3 жыл бұрын

Ndoa nyingi leo zinapata tabu kwasabau watu walichemka vitu muhimu wakati wa uchumba, je unavijua vitu hivyo? Fuatana nami nikusaidie kuvijua kimoja baada ya kingine
#DrChrisMauki#Mchumba#Kuoana

Пікірлер: 47
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 жыл бұрын
Am so glad someone has to speak to this young People. Honestly Parenting in Africa is a sin to discuss such issues with your kids. Big ups brother keep doing what you’re doing🙏🏾
@user-cx2us8wu8l
@user-cx2us8wu8l 5 ай бұрын
Ubarikiwe Sana dr Chris .mimi ni Badesirwe Mudebe Théophile kutoka Uvira Sud Kivu RDC
@hadijakonyaki5580
@hadijakonyaki5580 3 жыл бұрын
Una mke mwerevu mno,MUNGU nibariki nami nipate Mume sahihi
@bonifacebeatrice8077
@bonifacebeatrice8077 3 жыл бұрын
Mungu akubariki, hakika Mungu ahusike ktk mahusiano yangu.💒
@user-if9iq5sg5c
@user-if9iq5sg5c 11 ай бұрын
Dr. Chris Mungu wa mbingu na nchi akurehem you with your family nawapenda na naimarika kimahusiano kupitia wewe ingawa bado nina changamoto 🙏
@deborajulius6024
@deborajulius6024 3 жыл бұрын
Aisee MR $ MRS. Heshima kwenu. Mnamadini mazuri Sana.. MUNGU awabariki
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante sana
@carolinasilayo7136
@carolinasilayo7136 3 жыл бұрын
Asnte Dr Chris nawapenda sana
@elizabethcharles4690
@elizabethcharles4690 3 жыл бұрын
Somo zur sana
@northerntanzaniatv4033
@northerntanzaniatv4033 Жыл бұрын
Aseee apo kwenye maswala ya pesa wanawake wako vzr kwenye budget
@kijanamwepesi6997
@kijanamwepesi6997 2 жыл бұрын
Upo vzri ndugu
@swalhinajuma4149
@swalhinajuma4149 3 жыл бұрын
Mrs mauki,i salute u dada
@jacklinejoseph4060
@jacklinejoseph4060 3 жыл бұрын
Hongera san mrs. Chris
@user-lt4oq4ez2d
@user-lt4oq4ez2d Жыл бұрын
Asante Dr Hakika nimejifunza mengi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Hahaaaa da nimecheka Sana yani Wanawake umetyweza ni vyakwerivyote
@beckykipepe7742
@beckykipepe7742 3 жыл бұрын
Wow,watching this From UAE..!Nabarikiwa mno na mafundisho yako Mwl.Mauki.Stay Blessed.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante sana sana. Wasalimuhuko
@lewinacute7687
@lewinacute7687 2 жыл бұрын
Nimeipenda
@angydavy8906
@angydavy8906 3 жыл бұрын
Je!!!kuna mtu anaweza akawa na hizi lv language zaidi ya moja??
@oliverjoseph55
@oliverjoseph55 2 жыл бұрын
Nawapenda sn
@edithstellambezi6768
@edithstellambezi6768 3 жыл бұрын
Ahsante sana Dr Chris
@user-cx2us8wu8l
@user-cx2us8wu8l 5 ай бұрын
Tunashukuru sana.
@catherinendunguru8859
@catherinendunguru8859 Жыл бұрын
God bless you Man of God!🙏🏾
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 3 жыл бұрын
This is powerful sir...
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante sana
@cliffkingi
@cliffkingi 3 жыл бұрын
Chris thanks may God give more and more.....utufunze...
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Amen asante sana
@kiloabdallah9367
@kiloabdallah9367 Жыл бұрын
Aisee, mafundisho ni mazur binafsi nafrai maana nikija jiunga na mahusiano mpaka ndoa, ntakuwa nimekua kiakili zaidi.
@jacklinechabruma3123
@jacklinechabruma3123 3 жыл бұрын
Kunamtu hata ukimwambia ukweli kwamba napenda mwanaume ambae tutakua tunaeaidiana katika maisha lakini bado anakua Hana msaada lakini anasema anakupenda
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Hiyo nishida
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Dahaaaaa kumbe unavitu ktk mktano wako daah asnte nilikua sijui nitakua nafatilia asnte barikiwa
@mussapeter9907
@mussapeter9907 3 жыл бұрын
Sana2
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Njoo karibu mke wangu nan kasikia hapo Ha ha haaaaaaaaaaaa!!!
@fortunepaul3992
@fortunepaul3992 3 жыл бұрын
👏👏👏
@esterlaizer7237
@esterlaizer7237 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana mwalm nawapenda sana Mr and Mrs mauck
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante sana
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Kad yakura nanaul nachumba apewe yaku jaribu nguo ha ha haaaaaaa umejua kunifurahisha dkt
@edgarlema8309
@edgarlema8309 2 жыл бұрын
Hapo kwnye kubagan mh namashaka
@hildajoshua2906
@hildajoshua2906 3 жыл бұрын
Blessed Pastor
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Amen
@user-iv8kh8vd5r
@user-iv8kh8vd5r 7 ай бұрын
Ha 😂 haaa haaa haaa good point
@mamycoco1828
@mamycoco1828 2 жыл бұрын
Mimi nataka kuuliza hizo love language huwezi kua nazo zote kwasababu mimi ninajiona niko nazo zote pia naumia pale nafanya yeye hanifanyie
@mamycoco1828
@mamycoco1828 2 жыл бұрын
Kwasabubu mimi napenda kumufanyia suprese napenda sana kumwambia kapendeza napenda sana nikiona tuko pamoja napenda muzigo wake uwe wangu ila napenda anipe muda anifanyie vile Ninavyo mufanyia sasa hapa nimechanganyikia yeye lazima kitu chote nimwambie ndie atanifania munisaidie from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@catherinebright2204
@catherinebright2204 Жыл бұрын
@@mamycoco1828 ii nimeipenda mungu atukunze
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 3 жыл бұрын
Ila kiukweli hamna msaada wa mtu pasipokuwa na sababu ya kumpenda
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Nikweli
@veromnzava4822
@veromnzava4822 3 жыл бұрын
Somo zur sana
Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani
28:57
Chris Mauki
Рет қаралды 40 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 486 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 7 МЛН
UKIONA DALILI HIZI KATIKA UCHUMBA,TAMBUA NI HATARI
23:36
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 115 М.
Makosa saba (7) ya kuepuka kwenye mahusiano yako
12:24
Chris Mauki
Рет қаралды 99 М.
Ongeza Kipato Chako - Joel Nanauka (Mbeya Sehemu Ya Kwanza)
1:10:38
Joel Nanauka
Рет қаралды 44 М.
Dr. Chris Mauki: Tabia 9 zitakazokuongezea ujasiri maishani
12:13
CHRIS MAUKI- UKITAKA KUFANIKIWA MTUNZE MKEO (FULL VIDEO)
36:54
Tacmen Group
Рет қаралды 65 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 486 М.