DUDU BAYA AWACHARUKIA LIVE FREEMASON SIWEZI KUJIUNGA NITOE KAFARA KISA UTAJIRI BORA NIFE MASKINI ILA

  Рет қаралды 48,495

Maks Media

Maks Media

4 ай бұрын

Пікірлер: 153
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882
Huyu kaka mkubwa Dudu Baya kila nionapo anapohojiwa na vyombo vya habari lazima nimsikilize cwez kumpita anaongea point tupu❤❤❤❤❤❤❤❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618
Nakukubali sana dudu baya❤🎉
@wilsonjonas5481
@wilsonjonas5481
Huyu dudu angekuwa msemaj wa vijana Tz wangejifunza mengi sana
@juliusdonard933
@juliusdonard933
😂😂😂😂 napenda speech za huyu jamaaa
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht
Mwambaa anajielewa ABARIKIWE SANA na Bwana YESU KRISTO
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 7 сағат бұрын
Duh, hakika BWANA MUNGU amejisazia mabaki yake hapa duniani. Ambayo yataubeba utukufu wake katika siku za mwisho.
@Lanihsarumu
@Lanihsarumu
😂😂😂 Ni kweli Kaka tamaa mbaya
@chescochaula8964
@chescochaula8964
Hapo Mimi ninachokiona ni kukatisha vijana tamaa ya kumtafuta mbona mnawasema Sana wakinga Mimi naona umaskini unawasumbua ndiyo maana muda wote kuwasema wakinga tafuta hela siyo kufurahia umasikini Ili usisemwe na mara nyingi maskini ni kuwachukia matajiri
@joshuamugala265
@joshuamugala265
Mungu akubaliki sana mtumishi
@ZachariaNgesse-el1ge
@ZachariaNgesse-el1ge
Huyu ni nima safi xn
@kvoicetv
@kvoicetv
Dudu Baya Nakukubali bro Asante kwa ushauli mzuri ❤
@user-jl6py8jn7u
@user-jl6py8jn7u
Dudu you are real u talk you're self
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074
HuYU JAMAA NI MTU WA DINI HAKIKA.Anamwamini Alla! Ubarikiwe sana broo.
@beriahdesilva491
@beriahdesilva491
Am from Kenya... Dudu Baya unahitaji kukua mhubirii 😊🙌💪
@wowo1546
@wowo1546
kweli kabisa ❤
@hamissomary6869
@hamissomary6869
Braza nakkubali sanaa"tamgu enzi za nakupenda mpnz song"ongera
@SospeterRevocatus
@SospeterRevocatus
Amina YESU KRISTO akusaidie
@raimondnduwi
@raimondnduwi
Dudu Baya, you are very smart and understandable about Freemason. Please keep faith in God dont believe in Fremason and l am sure God will bless in anyways. You are a guy too
@Direct-0000
@Direct-0000
hilo jengo la posta dudu hilo lillikuwapo muda mrefu sana, kabla ya benjamin ya mkapa madarakani,hata vikao vya bunge vilisha wahi kufanyika humu kwenye jengo lao freemason, freemason imeeanza kupata umaarufu zaidi baada ya social media kuingia kwenye jamii, hao walikuwapo miaka mingi
@LionofthetribeofJudah-hn2xh
@LionofthetribeofJudah-hn2xh
Amen..God bless you brother....
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 415 М.
Putin vows 'mirror measures' if US deploys missiles in Germany | VOANews
2:38
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 8 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
DUDU BAYA AMCHANA MANARA KUHUSU MAKONDA| PUNGUZENI DHARAU SASA MMEUMBUKA
56:25
DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA
14:43