MBUNGE AIBUKA na JESHI Kutumia ZANA za ZAMANI “Kwanini JESHI Halitumii ZANA za KISASA”

  Рет қаралды 10,908

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Ай бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 22
@irenekalinga323
@irenekalinga323 Ай бұрын
Jeshi limejaa vibonge na wakina mama kibao
@mathiasnchimbi6493
@mathiasnchimbi6493 11 сағат бұрын
😂😂😂😂 au ulitoboa mkatana ndugu mbona makasiriko
@opportunities2767
@opportunities2767 Ай бұрын
Tuna vijana wamesoma ni magenius tutengeneze silaha zetu wenyewe ni muda sasa wa kuanza kusubutu
@senikomanya7223
@senikomanya7223 Ай бұрын
Kweli jeshi liboreshwe saizi Vita ni technology sio kubeba mabegi ya mawe hayo yalisha pitwa na wakati, ndiyo maana vijana wengi wanakimbia jeshini wapo tayar kuonga hata milioni 5 ili aingie jeshini kwamaan anajua ukiingia jeshini tu nikula mshahar mpaka kufa huend hata vitan kidogo utapata kazi ya kupiga raia ili uendelee kutetea chama tawar kibak madarakan
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Ай бұрын
Zile ni demo, kubeba yale mabegi ni show ya ukakamavu lakini wakienda kwenye mission hawabebi vitu vizito vile, zile ni show tu
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in Ай бұрын
Bunge kuu lilikuwa la magu,viti viko tupo jamaani,du samahani msije mkaninahiii😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
😂😂😂😂 kaa chonjo😂😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Msijali sisi raiya tutakuja na silaha za kisasa muda utasema
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Jeshi liwe lakisasa mpaka mjadili bungeni hapo mmechelewa sana na ipo siku mtapigwa na sisimizi
@salumyusuph6633
@salumyusuph6633 Ай бұрын
Mkitaka balistic, precision misiles mkaambiwa mfunge mkanda msilalamike
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Ай бұрын
Naam, wanafikiri ni bei rahisi
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
Mkitumia nyumbu pesa za kula na rushwa zinapungua. Ukiona unapenda kupewa badara ya kujua namna ya kuunda, ujue utakua maligafi miaka yote
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Ай бұрын
Nunuene silaha za kileo
@salcle9702
@salcle9702 Ай бұрын
Kweli bana majeshi yetu yana silaha za kizamani sana,wazikusanye waziuze wanunue za kisasa
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Mawazo yako yamelala😮😮
@mathiasnchimbi6493
@mathiasnchimbi6493 11 сағат бұрын
Wamuuzie nani 😂😂😂
@WilliamYatosha
@WilliamYatosha Ай бұрын
Jesh ltu hamnaa ktu wao wanachojua n kupambn na raiya wasio na siraha
@abdallahmakombo3866
@abdallahmakombo3866 Ай бұрын
Kitanda kama si Chako hukijui!!!
@julianmsele3880
@julianmsele3880 Ай бұрын
sasa jeshi bado linatumia magobole na vifaru vya mwaka 1970
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Ай бұрын
Jeshi hawana gobole, walisha phase out siku nyingi sana
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 Ай бұрын
twetfor seven
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 85 МЛН
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,2 МЛН
PROF. MUHONGO NI HATARI ASHUSHA SOMO ZITO BUNGENI "SIO UGOMVI"
7:58
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН