Watuhumiwa wa Uchawi waibua Kasheshe kwenye Mkutano

  Рет қаралды 76,421

Edwin Moshi

Edwin Moshi

Ай бұрын

Ni taarifa kutoka Kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ambapo wananchi wamewaweka "mtu kati" watuhumiwa wawili kuhusu kujihusisha na vitendo vya ushirikina.

Пікірлер: 164
@RehemaKasanga-vu5nj
@RehemaKasanga-vu5nj Ай бұрын
Mganga na mchawi lao mmoja MUNGU pekeyeke Ndo Anaweza kutamka Kwa unabii
@EmmanuelNdahya-ud5nj
@EmmanuelNdahya-ud5nj Ай бұрын
Mliosali iombeeni hii jamiiib😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 naombeni like
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Ай бұрын
Wagonjwa wote wapone warudi kwenye hali yao ya kawaida tunaomba na kuamini wote tuseme Amina 🙏🙏
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Ай бұрын
Tubuni dhambi zote na kumufuata YESU TU. BILA HIVYO NI SHIDA
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Ай бұрын
Ukibisha uchawi haupo ujazulika na Hao bado usibishe,
@johnsimba
@johnsimba 8 сағат бұрын
Mch. Nae ovyo badala ya kuomba Mungu anaita Mtu heri mwenye kiti anaongea vizuri alafu peleka watu hosp.
@klaudymbilinyi
@klaudymbilinyi Ай бұрын
😂😂hawoo ni panga tyu mchawi analudisha mambo nyum
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Ай бұрын
WANAWAKE WA KITANZANIA NI WACHAWI SANAA.
@RamlaKimaro-f2y
@RamlaKimaro-f2y 29 күн бұрын
😂😂😂
@yohanacharzmsela9921
@yohanacharzmsela9921 Ай бұрын
Siyo kukosa elimu watu wamechoka ndugu zao kufa ,,,kama mbaya naiwe mbaya ,,wanyongweeee..
@noahchepe8036
@noahchepe8036 Ай бұрын
Uchawi upo mazee... Hao watu sio kua wamekurupuka tu
@ManceJ-yc4dd
@ManceJ-yc4dd Ай бұрын
Mmmh hatar sana
@nicebatare2737
@nicebatare2737 Ай бұрын
Yani ulifanywa bubu uache kuongea na Leo umeongea mtakutana jioni 🤣🤣🤣
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 14 сағат бұрын
Elimu + umaskini Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Күн бұрын
Watu wakichoka huondoa hofu huamua kupambana bila kujali lolote; serikali inapinga eti hakuna uchawi ujue Viongozi kama hao huenda nao wanatoka katika familia za uchawi
@nestasanga8433
@nestasanga8433 9 күн бұрын
Mnatuaibisha waache uchawi wamrudie Mungu
@dizelakituleKitule-qx6ss
@dizelakituleKitule-qx6ss Ай бұрын
Mungu yupo atafanya
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 Ай бұрын
Ataua mmoja mmoja hapo
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Ай бұрын
Sasa wamejuaje kuwa mchawi, presha mnapima? Maana wengi wanakufa kisa plesha, ila uchawi upo pia
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 26 күн бұрын
Nashangaa presha unalogwa????
@geofreykamwela
@geofreykamwela Ай бұрын
Jamanii watumishi pelekeni mikutano ya injili huko 🙏🙏🙏
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Ай бұрын
@@geofreykamwela Wana Loga spika
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 29 күн бұрын
😂😂
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 26 күн бұрын
Good solution
@user-cb2ck6yw8i
@user-cb2ck6yw8i Ай бұрын
Okokeni mwaminini Yesu
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j Ай бұрын
Apo wanatafutwa watu wenye umri mkubwa wauwawe bila hatia.
@EstherJulius-cv9tk
@EstherJulius-cv9tk Ай бұрын
Acheni ujinga niwapi ukuu c muombee mungu awabadilishe dawa ni ndogo tuu yesu atosha kubalisha anga ilo
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 19 күн бұрын
Ndio upate mchungaji alie na nguvu ya mungu kuja kuishi kijijini .wachungaji wote wanakimbilia mjini wamesahau vijijini kama kuna watu😂😂😂😂
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi Ай бұрын
Acha imendikwa wap atubu kwa wanadamu wambie watoe, ushahidi nahakuna mganga watakuja wezi wachonganishi mwenyekiti acha acha ujinga usimtwishe mama wawatu mzigo wakijinga utawala sio wawenye akili ndogo kama ww
@user-nb7qr5br8s
@user-nb7qr5br8s Ай бұрын
Miteni mtumishi jembe kutoka iringa kiboko ya wachawi aje awasaidie
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 Ай бұрын
Uchawi ni sehemu ya ushirikina
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 15 күн бұрын
Ndugu zangu wakinga mvoleke uvohavi YESU KIRISTI avaganile mwokoke
@pastadandan3569
@pastadandan3569 Ай бұрын
Mtendaji nae ameingia kwenye mtego wa kuamini huyo mama ni mchawi
@YustaMfugale
@YustaMfugale 27 күн бұрын
Hvi unapajua vizuri njombe iringa au unaskia,,,tena hizo tabia za kujigeuza Simba ndo michezo yao
@FredrickChristonsia
@FredrickChristonsia Ай бұрын
Duh vyuma vime umana !! Iyela""
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Ай бұрын
Imani Haba
@user-pi7gk7nj4s
@user-pi7gk7nj4s Ай бұрын
Mungu awape nguvu wagonjwa
@joshuanyaulingo4109
@joshuanyaulingo4109 Ай бұрын
mchungaji yoooooo 😂😂😂
@user-hk6ls3yw9q
@user-hk6ls3yw9q Ай бұрын
Ni tz au?
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 15 күн бұрын
WAKINGA WENZANGU ACHENI UCHAWI UCHAWI NI MZIGO YESU KRISTO NI JIBU TOSHA YESU KRISTO ANAWAPENDA ALIKUFA KWA AJILI YETU WOTE
@tanzaniaburundian582
@tanzaniaburundian582 24 күн бұрын
Uchawi nikelo watafute wakuwatowa uchawi msihukumu nyinyi nibinaadam
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 29 күн бұрын
Yani nasikia uoga jmn mungu awajioneshe jmn
@severamunishi1253
@severamunishi1253 Ай бұрын
Jamani njombe kuna uchawi niliteswa balaaa unaletewa usingizi mkali balaa wafanye kazi yao
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Ай бұрын
😂😂😂😂
@saimonmizingo7485
@saimonmizingo7485 8 күн бұрын
Amuonae mchawi nimchawi pia
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Ай бұрын
Mambo yote haya yanasababushwa na serikali kutwastarabisha watu.kwa shule.na kuleta maendeleo ndipo hizo tabia zinapotea
@PaulChacha-p1m
@PaulChacha-p1m 9 күн бұрын
Agines
@RamlaKimaro-f2y
@RamlaKimaro-f2y 29 күн бұрын
Icho kijiji mbona km wote wachawi
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi Ай бұрын
Mmmmmh kumbe bado kunashida wakemia wapo
@GetrudaBushiri
@GetrudaBushiri Ай бұрын
Mkinga huyooooo mapembelo
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 26 күн бұрын
Si kweli
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Ай бұрын
Mungu awasaidie saana jamanj wachawi wapo jamani msikatae nyie watu wanauwliwa na wachawi wanugua magojwa yasiyoonekana hospitali usiombe yakukute uchawi upo
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 19 күн бұрын
HUYU BIBI SULA YAKE NI MCHAWI WA KULUKA USIKU MCHUKULIENI SHELIA MKONONI MPIGENI MOTO HUYO BIBI 😂😂😂
@othumanomari1589
@othumanomari1589 Ай бұрын
🤔🤔Nahoyo mzee pia nmchawi
@user-cv7vm1mx9d
@user-cv7vm1mx9d Ай бұрын
Hawa wamama waliovaa kilemba cheusi anaonekana mchanga
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 24 күн бұрын
anafanya uchawi na Bado uko maskini wakutupa nchini kama alivo sema marehemu magufuli
@antonyjrc5792
@antonyjrc5792 Ай бұрын
Amina
@williamnyankongo9655
@williamnyankongo9655 26 күн бұрын
Huko wapi kwakisengee@sanga Kinga tribal
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv Ай бұрын
Inawezekana kalishiwa
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi Ай бұрын
Tafute pesa hapo wote niwachawi unajuaje wote niwachawi
@dizelakituleKitule-qx6ss
@dizelakituleKitule-qx6ss Ай бұрын
Uchawi upo wapingwe hao
@MasaiNyorosha
@MasaiNyorosha 26 күн бұрын
Kama wewe sio mchawi unajuaje huyo mama nim chawi hapo hakuna mchawi hapo nichukitu
@MasuFrank
@MasuFrank Ай бұрын
Kigoma moja
@MeddyZambetakis-iq6pg
@MeddyZambetakis-iq6pg Ай бұрын
Kukosa Elimu ni umaskini 😂
@AmaniHeriHalisi
@AmaniHeriHalisi Ай бұрын
Toeni Namba Za Simu Tuwaombee
@ngejejemashubi4213
@ngejejemashubi4213 Ай бұрын
Hizo ni Chukitu
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 Ай бұрын
Okokeni Yesu nikiboko ya wachawi je niwapi huko tuje tumlete Yesu hao wachawi wasipookoka kufa na wanakufa wapi huko
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 29 күн бұрын
Bibi alikuwa ananena kwa lugha😂😂 jmn naomba Mungu anipe uzee mwema
@FloraMasika
@FloraMasika Ай бұрын
Njombe hoyeee
@StanyOfficiol
@StanyOfficiol Ай бұрын
AAA kweli ndo maana ukinga vijana tunakimbilia mijini
@rasnchimbi
@rasnchimbi Ай бұрын
Elimu elimu elimu #katibampyanisasa!😂😂
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 Ай бұрын
Umenikumbusha , Edward Lowasa.
@BenjaminAndrew-vu2we
@BenjaminAndrew-vu2we 16 күн бұрын
mchai hiyo nopumbu 2
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 23 күн бұрын
Utubu😢
@JumaaSaid-hn6yh
@JumaaSaid-hn6yh Ай бұрын
Utamjuaje mchawi wew kama sio mchawi aceni ujinga 10:31
@ElizabethNdalahwa
@ElizabethNdalahwa Ай бұрын
Wewe nimchawi
@FloraMarinyo
@FloraMarinyo Ай бұрын
Muokoke jmn uchawi sio wakuuogopa kbs ukiwa na Yesu
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 26 күн бұрын
Acheni mambo yenu pressure mtu unalogwa kwendeni sana
@marygregory7566
@marygregory7566 Ай бұрын
Wote wachawi hapo mnashindana tu kijiji kizima hawezi kuwa mchawi mmoja tu
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 24 күн бұрын
wachawi wote motoni tu
@OswadiGumahamwe-sy6xb
@OswadiGumahamwe-sy6xb Ай бұрын
Semen Sasa ni sehem gan
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 Ай бұрын
Hiyo Swahili ni Southern Highland -Iringa, Njombe, Mbeye. Lkn kina Sanga ni Wakinga hao
@MasaiNyorosha
@MasaiNyorosha 26 күн бұрын
Mama wawatu wana muonea Bure
@erickmpelembwa3090
@erickmpelembwa3090 Ай бұрын
Kinga mother wizard
@SalumuJuma-q3x
@SalumuJuma-q3x 29 күн бұрын
Ivi Hawa wachawi wao hawafi😢😢
@brunomtweve8073
@brunomtweve8073 Ай бұрын
Nilifikiri mtendaji atasema wagonjwa waende hospitl
@SalumuJuma-q3x
@SalumuJuma-q3x 29 күн бұрын
Uchawi sio dir
@user-is7pj2fb4u
@user-is7pj2fb4u Ай бұрын
Dawa hivi hiyo ya kuondoa uchawi
@kichenjewillian5720
@kichenjewillian5720 27 күн бұрын
Tokeni kijijini mje mjini😂😂
@fatumamohamed9614
@fatumamohamed9614 Ай бұрын
Huyu mama huenda siyo ila Hawa wenye kujua vifungo ndie wachawi
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 26 күн бұрын
Kijiji gan hicho
@Keyjop
@Keyjop Ай бұрын
Sasa mbona woote ni akina sanga😂😂😂
@kagombaEnok
@kagombaEnok Ай бұрын
Hapa ni wapi??
@EligiaMligo
@EligiaMligo Ай бұрын
Njombe
@khalifanoti6974
@khalifanoti6974 Ай бұрын
Pelekeni dini huko kwani bado kuna shida
@byuledmwaipopo9353
@byuledmwaipopo9353 23 күн бұрын
Uyo anavo onekana kweli mchawi
@Keyjop
@Keyjop Ай бұрын
Mala nyingi wanao tuhumiwaga hivi sio wahusika wenyewe ndio viherehere kuchafua wengine 😢😢
@user-cv7vm1mx9d
@user-cv7vm1mx9d Ай бұрын
Kabisa yule mwenye anasema kua biblia imesema anaonekana mchawi kabisa
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 Ай бұрын
Mwee vakinga mtengue ndeti uvuhavi? Binafsi nashauri waliomtuhumu huyo mama kuwa mchawi na wao ni wachawi kama sio wachawi wamemjuaje mchawi huku wao sio wachawi? Haiwezekani ulipo gizani kuona aliyepo gizani bila Nyale tochi
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Ай бұрын
Mmmmh pope ASHA SANGA AAA TUBU DHAMBI XAKO ZOTE UOMBE SANA
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Ай бұрын
ATAWEZA KUACHA HUYO, MPAKA ATOLEWE HUO UCHAWI. LAKINI ETI AACHE TUU HAWEZI. ETI ANANE KWA NENO.
@erickmpelembwa3090
@erickmpelembwa3090 Ай бұрын
Njombe hiyo sio mchezo,
@mathewm7115
@mathewm7115 Ай бұрын
Hakuna cha kusaini dawa yake inajulikana ipo wazi wanapoteza mda
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Ай бұрын
Wachawi hawaitikagi.
@barakakings
@barakakings Ай бұрын
Mapembelo ndugu zangu. Mbona hii ni aibu?
@user-cv7vm1mx9d
@user-cv7vm1mx9d Ай бұрын
Huyu Asha sio mchawi amevikwa kivuli tu na wachawi
@michaelkilango9300
@michaelkilango9300 Ай бұрын
Waache uchawi
@Datiuspp
@Datiuspp Ай бұрын
Hacha ujinga huyo mama et aje muganga muganga ni nani? Murudie Bwana Yesu Kristo
@RamlaKimaro-f2y
@RamlaKimaro-f2y 29 күн бұрын
Mbona mwenye kilemba cheusi nae kama au basi tuuu
@worldherotv
@worldherotv 27 күн бұрын
Wapelekeni hospital hao wagonjwa
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Ай бұрын
Elimu Elimu Elimu chanzo cha yote haya ni ccm.
@FettyOriginal
@FettyOriginal Ай бұрын
Wateni makamchape
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Bibi.kamajweri jilekebishe Acha watakuchoma moto hapokijijini
MCHAWI WA KIJIJ CHA LUAGALA
36:38
HEBUGWA SERIES
Рет қаралды 243 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 49 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
MAMA MICHAEL ALIEKUWA AKILOGWA NA DADA YAKE MBELE YA MWANAE ATABIRIWA MAKUBWA
9:46
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 31 М.
UTASHANGAA MISUKULE 100 YAFUNGULIWA NA MGANGA INATISHA
11:49
SUNSET TZ
Рет қаралды 191 М.