#comedy #waisa #chekatu #laugh #happy WAISA COMEDY SHOW ILIYOFANYIKA LAPF TOWER MAKUMBUSHO
Пікірлер: 416
@mishikikoti2948 Жыл бұрын
Ila eliudi nampenda sana vichekesho vyake, na vile me napagawa na wakaka weusi baasi roho yangu najiskia ka nimelala afu nje mvua inanyesha 😂😂
@charlev-xn5yy Жыл бұрын
Duuh
@mishikikoti2948 Жыл бұрын
@@charlev-xn5yy 😂😂 atalii
@aminatatu5692 Жыл бұрын
Polesana usifetu😂😂😂😊
@mishikikoti2948 Жыл бұрын
@@aminatatu5692 asante sana mbwa ww.
@sarakusaga7874 Жыл бұрын
😂😂😂
@hassansammy1076 Жыл бұрын
Kaka Eliudi umetisha sana respect 🤣🤣🤣🇧🇮
@gastordominic4103 ай бұрын
Eliud upo vzr sana usivimbe
@catherinemathew5742 Жыл бұрын
Blaza eliud Anajua af anajua Tena✌️✌️Big up wakunyumba
@imeldaromli1377 Жыл бұрын
Nimecheka sana 🤣🤣🤣
@marthakahema5969 Жыл бұрын
Ubarikiwe n Bwana Eliud Humsahau Mungu hata kweny utani, Nakupenda
@benardmathew515321 күн бұрын
Katisha eliud sana
@user-ct5cb5pp6l Жыл бұрын
Nakukubali sana Eliud tangu tupo shule kilimahewa
@esthermwinuka8141 Жыл бұрын
sijawah kukufatiliaaa leo nimechekaaa hakika ww mshenz sanaa
@scolarjapheth32499 ай бұрын
Nakupenda mwaisa mwenzangu😅😅
@mchumiajuani1993 Жыл бұрын
Binafsi nimecheka sana, Eliudi mshenzi sana
@FiveZone-np6yt6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@barnabasasl Жыл бұрын
Big up Sana broo unatikisa comedy watu unaenderea kuwavunja mbavu
@mcback4384 Жыл бұрын
Eliud unajua mpaka basi 😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@williardlusekelo7419 Жыл бұрын
Homeboy unajua SANA, na kupata kutokea Sinde. Wakimbize wa kwetu
@mariamramadhani3860 Жыл бұрын
Sinde hihii ya mwanjelwa mbeya
@lucalmodric6685 Жыл бұрын
unajua bro ongeza juhud utafka mbaili..... xana
@innocentdamas3148 Жыл бұрын
Uyu jamaa anaongeleaga maisha yangu😂
@FiveZone-np6yt6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@joycenjole7463 Жыл бұрын
Mnyakyusa boy good job😅😅💪fight bro
@agatherlusepo1627 Жыл бұрын
😂😂😂😂nimecheka kwa saut mwee
@benjaminsemwenda3152 Жыл бұрын
Eliud Leo Amedhihirisha Wazi Kuwa Mshindi Wa Kwanza Kwenye Cheka Tu Alishinda Kimchongo...
@mokeyaАй бұрын
Unamjua Leonard wew au unamsikiaga tu.!!!
@benjaminsemwenda3152Ай бұрын
@@mokeya Huyo Leonardo ana nyota tu ya kupendwa ila hana content na sio mbunifu
@agogomgagagigigogoАй бұрын
Ni hivi,huyu Eliud anacheza na audiences, kini Leonardo anakujaga na story direct,so ukiwalinganisha unagundua wote wapo vizuri ktk kuchekesha ila sasa kama ukitaka kujua undani nani ni zaidi ya mwingine ujue ni Eliud coz anafanya stand up kweli tena kwa mtindo wa free style,.
@naymar8823 Жыл бұрын
Ety niwasimulie na nyingine🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
@nzitogondwe9976 Жыл бұрын
Mwaisa unajua sana unajua kumchekesha mtu alie nuna kazi
@frankjamhurimwashiuyamwash66982 ай бұрын
Hakika uyu jamás anakipaji ni hatariii, Mungu akubaliki endelea kusonga mbele mwaisaa mbeta mojaaa
@biorrybrymlewa-wl1ll Жыл бұрын
Nakupend sana eliudi unajua mpaka unajua tena
@theprincejr1417 Жыл бұрын
Ndaro na kilandange nao wanacheka vichekesho 😜🤣
@odazzletztv4900 Жыл бұрын
yan eliud ilifaa wewe ndyo ushike namba moja aise unajua sana🔥🔥🔥
@onlinemateustv1925 Жыл бұрын
Ila Eliudi ase vyakutufanya tuchekage kwakujiachia hivi nauheshima zetu aaah punguzapo mwee
@abduljuma4330 Жыл бұрын
Mc wa taifa nakukubal sana kaka👏🌍
@NagaShukia-nn7mu Жыл бұрын
Hahahaha
@ev.eliezangiruketv8902 Жыл бұрын
YAANI UMESHINDIKANA WEWE🤣🤣🤣🤣
@devothaernest92 Жыл бұрын
Jmnii hv hii kitu inafanyikaga dar sehemu gani siku ganii how much naombenii jibu napenda Sana jmnii
@franklissu113829 күн бұрын
Mliman city / pssf tower
@priscardanier8264 Жыл бұрын
Mwaisa mtu mbadi ahsante kwa kutuwakilisha Wana mbeya
@Merry-ek5mj8 ай бұрын
Kumbe uyu ndo mwaisa
@peacejovith6708 Жыл бұрын
eliud unajua kaka God akusaidie bro upambane ya hela yote
@fatmaallyabdul1732 Жыл бұрын
Uligwagili ugwe Eliud🤣🤣😂😂etata imbafu syangu
@suzanmairy263811 ай бұрын
Kaka Eliud nataka uwe uwe Emsii kwenye send off na harusi yangu
@mcno1noah Жыл бұрын
Sana mc eliud nakubali sana
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG Жыл бұрын
😂😂😂😂 Tisha sanaaaa Eliud
@PanchoValentino-wh7wt7 ай бұрын
Eliud banaa 😁😅🤣 Jamaa unajua unajua sàaana 🖐🏽🖐🏻
@scholasticabufune1013 Жыл бұрын
Nimecheka🤣🤣🤣🤣😂😂🙌namuona Hadi lamata duuh🤗🤗
@eastafricabrokerkiller8028 Жыл бұрын
Mwanangu una kipaji safi☝️
@andreabarnaba3054 Жыл бұрын
Eliud all the best
@sayozmediatv6021 Жыл бұрын
Good mwana kiingereza kimenichelewesha kuandika
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Chakufurahisha yule aliyeshinda kapotea kwenye fani wewe bipo siku Mungu atakufungulia milango zaidi🙏🏽
@NoellKomba Жыл бұрын
Mwanga yule
@franciskanuth1705 Жыл бұрын
Una uhakika amepotea..??
@MusaMkembela-ex6ev7 ай бұрын
Alipendelewa tu
@bintsoudsalum53423 ай бұрын
unajua mtegemee sanaa mungu
@bandit3779 Жыл бұрын
Unajua na unajua tena💥💥🔥
@user-uk4ll3su3g6 ай бұрын
Unatuwakilisha gwakukaja!safi sana Eliud
@christopherdavid8635 Жыл бұрын
Bro unajua waisa safi
@mariamusaidi2766 Жыл бұрын
Eliudiiiii🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@nicholausjackison7729 Жыл бұрын
Naqbali nzovwe boy 🔥🔥🔥
@nemakitwika1132 Жыл бұрын
Vile nakupendaga kaka yangu kyusa oyeee
@FatumaSaidiNgombo-nc9mk7 ай бұрын
Jmn huy eliud ana Pepo ya peke Ake ❤❤❤
@efransiafrank25605 ай бұрын
Eliud uje na makambako bc tuna kupenda ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@shukranitv2971 Жыл бұрын
Unajuaaa sna mwambaa
@SoritahPrincess-ct4dm Жыл бұрын
Eliudi bhna hahaha tembelea na mikoa ya kanda ya ziwa basi nakupenda mmno
@kingswebe3251 Жыл бұрын
namuona nyonyoma anatabasam tu.
@AnnaMatondo-f8l5 күн бұрын
Njoo mwanza Eliud jmn
@brightkasabwe5277 Жыл бұрын
I love you Mr Eliud
@Ngarambeboy Жыл бұрын
I love your talent eliud
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Hadi nimelia dah😆
@issahpaul4510 Жыл бұрын
Huyu jamaa bhana ni kiboko 😂
@davidalphonce604411 ай бұрын
Big up eliud
@nesielias9493 Жыл бұрын
Eti mpe penzi Luka😂😂😂
@khibowarsame897 Жыл бұрын
Nimemuona kiredio jmn so lovely 😍
@qudratv9169 Жыл бұрын
unajua unajua tena😁😁😄
@yonafikamzungu20911 ай бұрын
Mwamba sana wewe! big up sn
@LizenMaker Жыл бұрын
Eliud we ni msenge sana utatuua kwa vichekesho
@barakahtwinzi8927 Жыл бұрын
Dah ulifaa kuwa namba 1
@judie7033 Жыл бұрын
I love your talent eliud 😍
@penueldjuma2845 Жыл бұрын
Nimecheka sana kweli brob❤❤❤❤❤❤🎉
@samwellaurence7035 Жыл бұрын
Eliudi mjinga sana 😅😂🤣
@ElizaAbeli-tg5fr11 ай бұрын
Nimeinjoi sana aisee!!
@edinanyembeke67605 ай бұрын
Eliudi unajua unajua unajua tenaaaaa❤❤❤❤❤❤
@user-yn1uz1gu4wАй бұрын
We ni noma Sana broo barikiwa Sana🥰
@enockniko9270 Жыл бұрын
Home boy Asante sana
@user-yd2eb3ic7x5 күн бұрын
Binafsi eliud nakukubali sana unanichekesha balaa
@JulianaTitus-zy1tm4 ай бұрын
😂😂😂 iyoo ya kitengee kwer wazazi wengi walifanya ivo😂😂😂
@noelamtesigwa681911 ай бұрын
Wew uende watu Baki tu🤣🤣🤣
@Johnethan20215 ай бұрын
Dahh 😂😂 big up sana bro nakmbuka mama alifanya vng sana kwaajili yetu had leo hii mungu ambariki sana also my father I appreciate you wherever you are god bless you, love you all ❤❤❤❤
@benezethedward9096 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Mbeya boy
@valerianne102 Жыл бұрын
😂😂😂😂pure talent
@vascotalent Жыл бұрын
nakubali wajina wang unajua mpaka unakela
@efransiafrank25605 ай бұрын
Eliud hatumi ht nguvu kuchekesha yaan km wengine nakupenda san❤❤❤❤❤