Hongera sana bro nimesikia unamtaja Yesu katikati ya halaiki ya watu
@MeckitilidaTushabe-or9hu5 ай бұрын
Kabisa
@Rumbakweka21 күн бұрын
Kwanini asitaje Acha ushetani wako na ushamba wako
@gloriakayinga2536 Жыл бұрын
Eliud Hujui tu navyokukubali mdogowangu wewe ndio stress killer wangu
@gastonamnon7005 Жыл бұрын
MUNGU AKIAMUA KUKUPA HAKUANDIKII BARUA...KEEP GOING BROTHER 🔥🔥🔥🔥🔥
@mylaomary16227 ай бұрын
Nakupenda sana kaka eliud jana umenichekesha sana kwenye jua kali na suti yako ya njano nawapenda familia yenu ya kwenye jua kali walai mnachekesha😂😂😂
@masumbukomaganga438 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu kaka kipaji hicho kikuheshimishe, aminaaa
@user-ty8gw8fj6m11 ай бұрын
What I love form Eliud anaweza kuFree Style aisee..
@paulnames6624 Жыл бұрын
Nimeanza kukuona mbal sana ,tunahitaj kaz nying zaid,we ni best of the best
@youtubecreators590 Жыл бұрын
Fluent Swahili and good comic content..though I take time to understand your Swahili.much love from Kenya
@BrevinHerman-nb6nc6 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa baba kwa masomo mazir
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
😂😂😂😂 wajina wangu Consolata salute kwako
@gastonamnon7005 Жыл бұрын
😀😀 Usikute ni wewe ndio mchumba wa Eliud
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
@@gastonamnon7005 😂😂😂😂 Hapana Bhana Mim nipo Dar wajina yupo Mbeya huko
@conniemfui56011 ай бұрын
Tumefikiwa kina Conso 😂😂
@ElizabethWatson-vp1in4 ай бұрын
Najivunia kuwa kabila moja nawewe,,,were soo amazing
@brightonisaack-iq4up Жыл бұрын
Dah we jamaa mwishoni kwenye mchicha umeuwa kinyama nakukubali sana natamani uwe unapewa hata nusu saa unaongea tu😂😂😂
@aysherkhamis33386 ай бұрын
❤❤❤Eliud Suti y njano kwenye haruc y diba hutaivaa tena😂😂😂😂
@lucylyale716911 ай бұрын
Eliud👌🔥🔥🔥🔥kama umeoa mkeo ana rahaa huyoo
@peterluth68956 ай бұрын
Big up bro naamini siku moja natamani niwe comedian as you
@casmuiddy73048 ай бұрын
Huyu mtu talented sanaaa
@conniemfui56011 ай бұрын
Hahaha ananitosha wangu consolata😂😂😂😂
@joshygeorgee Жыл бұрын
😂😂😂 most talented,,, yani jokes zinakuja kama alipangilia🙌🏻😂😂😂🫡
@anicethpeter3100 Жыл бұрын
Wewe ndo comedian wang
@BOneBoytz-yl9zs Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 Big app Sana bro
@mbungecomedy Жыл бұрын
Blaza umeiwakilisha mbeya kwa comedy
@NiceBiscuit-qo4dq Жыл бұрын
ahaahahahahahahahahahhhhhah k eliud jmn jmn kaz nzr mbavu sna😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kastorkidumu6579 Жыл бұрын
Pambana nakukubali mwanafyale
@enekeofficial4387 Жыл бұрын
eliud unajua bwana aah😅
@Oresta-vg1cz Жыл бұрын
Blessed more brother
@mudathirdunia2771 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Unachekesha mpaka cjutii mb zangu
@hilderbusinge130 Жыл бұрын
Unaweza sanaa😂😂😂
@kassebo Жыл бұрын
Kipaji kikubwaaa kaka✍️ Mpaka umenimalizia MB
@bigambopaul Жыл бұрын
Yaani mwanzo mwisho Huwa nacheka tu nikiwa namuangalia😅😅😅
@JohnKiangi-nc6qt Жыл бұрын
Wee jama unajua bhn nakubali kaz yako broo
@barack.A-Mtulo Жыл бұрын
Your so talented boy… keep going 😊
@mkadinali_ent. Жыл бұрын
this is insane 1min just started nmeiisha nkicheka ,bruh
@neypaul641611 ай бұрын
Hongera Kwa kuokoka broh.
@gradnessshitindi3694 Жыл бұрын
Kama nmemuona Nick wa Pili😳
@tegemeaemmanuel-ec5iu Жыл бұрын
Hongera sanaa mwaisa kazi nzuri
@MussaMchina-me2rh3 ай бұрын
Kazi nzuri sana brooo😊😊😊😊😊
@macksonjuma5180 Жыл бұрын
You do it effortless bro ❤️ from 🇰🇪
@filbertalfred94786 ай бұрын
😊😮😊😅😊😅😅
@yasminoluoch169Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah hapo kwa mchicha nimecheka sanaaa😂😂😂😂
@user-kl6gk9gt9k4 ай бұрын
Jamaa anaweza Sana habahatishi kwakweli
@Tino_Official_tz Жыл бұрын
Kipaji chako ni cha pekee sana😂😂😂 unaongea mambo ya kawaida kabisa na still tunacheka
@nicholausmbilinyi35878 ай бұрын
Yuko halisia sana huyu bwana...wala hapati tabu kutunga..na ni mchekeshaji kwa asili kabisa...
@superiusvedasto48216 ай бұрын
3:38
@meryglory20126 ай бұрын
Wote na kipotoshi wanajua sana
@MonicaGwaje3 ай бұрын
Blessed sana ..mungu akutunze
@brownkalinga4733 Жыл бұрын
So talented 😂😂
@kevinmwesigwa8955 Жыл бұрын
Hongera sana, Unatufurahisha watazamaji
@aikamassawe700111 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣consolata na nywele nyekundu
@dostovan5142 Жыл бұрын
Best comedy , anatumia lugha ya staha
@user-pf6sw7be1c3 ай бұрын
Nakukubali kinoma yan
@mlokaferdinand6 ай бұрын
Daaah! Mchicha haukoleagi nyanya😂😂😂
@sebastianmwanganyanga9531 Жыл бұрын
Nakubare sana brooo
@sevelinahinnocent6803 Жыл бұрын
Nakupenda bureee😂😂
@kelvinmwandemwa11 ай бұрын
Ww dada
@elizabethmakaranga2182 ай бұрын
Barikiwa Eliud waisa mfike mbali siyo afrika tu na wazungu ukawachekeshe huko na kinyakisyu chetu ,wamama wa mbeya akiwemo mm Eliud mauwa yenu jamani mmkipotoshi mauwa kwa zaidi
@officialmsamiboy3562 Жыл бұрын
Umetisha brother
@mathanikibuti6676 Жыл бұрын
KAMA UMEMUONA JAMAAA ALIE SEMA MARA SINZA..... 👊👊👊👊
@mangakwigema Жыл бұрын
Unaweza sana
@richardngojwike3179 Жыл бұрын
well done bro......unafanya poa sana...sema hii ulikua chini kidogo
@LilianKimambo-gg1do9 ай бұрын
Wala hutuumii nguvu mwamba Kuna ww Kuna brother k my favorite actress
@MelinahKatikula-se1ud3 ай бұрын
Bro mungu akubaliki
@mohamedally5362 Жыл бұрын
Eliud ni kifaa Cha uchekeshaji
@Faustinansemwa-om4qs Жыл бұрын
Nakubal sana
@gayomwasonzwe80197 ай бұрын
Hongera sanaa eliud
@user-bx5dh6co8u Жыл бұрын
Safi sana kaka 😮😮😮😮
@emanuelmiyonjo4484 Жыл бұрын
Nakubari san
@mackdonaldalex716226 күн бұрын
Sukari kuoga aaaah 😂😂😂
@roqayaro94396 ай бұрын
Huyu kaka namkubali
@user-wv5qd2rv2d7 ай бұрын
Eliud unanifulaish San jaman😅😅😅
@pascaljames2051Ай бұрын
Daah unajua sana mzee
@Leonard-jl8gt13 күн бұрын
Wewe ni genius tena talented
@PennyCharles-ik9fb Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eliudiiii weeeeeee
@evianarafael8965Ай бұрын
Unajua sana kaka
@rev.musabalalarogersmusabalala9 ай бұрын
Ninakupenda sana Eliud
@ismailmasanilo7018 Жыл бұрын
Show nzur 👍
@elishaluhwago6940 Жыл бұрын
Jamaa anajuaaaaaa
@jumahassan273 Жыл бұрын
Nouma sana
@ephraimmwano6378 Жыл бұрын
nice work
@Josephkigondo-jm2tk Жыл бұрын
Unachekesha sana
@raphaelmtama65489 ай бұрын
Unajua homeboy
@OnesmoEmmanuel-xr2rf7 ай бұрын
Yani eliudy YESU jeuli yako
@dominiclupembe85179 ай бұрын
Hi aikoleag nyanya🤣🤣🤣🙌🏽🥑
@kidatokassim76165 ай бұрын
Ila diamond aliletwa duniani na mungu kusaidia binadamu wenzake yani kipaji kilikua hakionekani kama sio kwa cheka tu comedy search
@davisjuma5887 Жыл бұрын
mwaisa umenifanya nicheke kwakweli
@simionlutebuka29147 ай бұрын
Consolata 😂😂😂
@omaryabdul023 ай бұрын
Sasa eliudi umesema umepanga sinza,mara unakaa makongo.. au sinza ya makongo? Ukiwa muongo uwe unakumbuka boss
@josephapolinary52695 ай бұрын
A true talent! Pure!!!
@highlyfavoured9696 Жыл бұрын
Napendaaaa😂😂😂!
@DeborahJackson-ys4cl Жыл бұрын
😃😃
@AnnerErneo-vc9yz Жыл бұрын
Unachekesha wapi? Jamn nianze kujfresh kdgo
@exprodigitaltechtv55715 ай бұрын
Top talented
@abdallajuma88984 ай бұрын
Unaware sana❤
@dorahmushi-we6ts3 ай бұрын
Kitu nampendaga Eliud, vichekesho vyake utasikiliza na wakwe na watoto...vina heshima...ila kuna mmoja huyo!! Kinywa chake!!.....😢