Episode 8 | Uchambuzi wa Soko la Mitaji DSM | Tuongee Kuhusu Hatifingani | Orbit Securities

  Рет қаралды 389

Mindsetting Initiative

Mindsetting Initiative

Ай бұрын

Siku ya leo, tunatarajia kukuletea mjadala juu ya hatifungani, lengo ikiwa ni kutoa #elimu ya awali ya #uwekezaji kupitia #hatifingani.
Hili litafanyika ndani ya kipindi cha #uchambuzi wa #sokolahisa ama #sokolamitajidarssalaam ambacho tutakifanya kuanzia saa moja kamili jioni.
Uchambuzi huu unatokana na ripoti ya uchambuzi ya wiki kwa wiki ya 26 (24th - 28th June 2023) ambayo zinatengenezwa na Orbit Securities.
Ili kuipata ripoti hiyo tafadhali tumia link hii:drive.google.com/file/d/1kykj...
Hapa ni kurasa ya KZfaq ya Orbit Securities: / @orbitsecurities23
Haya ni mawasiliano ya Fortius na Ammi: +255 620 650 616; rutabingwa@orbit.co.tz; ammi.mwamunyi@orbit.co.tz:
Jinsi ya kufika ofisini kwa Orbit Securities:
4th Floor, PSPF Building, Golden Jubilee Tower, Ohio St, Dar es Salaam, Tanzania
#uwekezaji #uwekezajiwahisa #hatifungani #stocks #bonds #dse #dar es salaam #daressalaamstockexchange
I am using Streamyard (web-based) for my livestreaming sessions. If you want to give it a try, please use the link below:
streamyard.com/pal/d/46554275...

Пікірлер: 5
@drghuhenmtaita5524
@drghuhenmtaita5524 Ай бұрын
Nilikuwq kwenye AGM ya Twiga mauzo pia yaliadhiriwa na Mvua za Muda mrefu za elnino sababu zingine ni hizo zilizosemwa
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana Dr. Mtaita kwa 'insights'. Tafadhali endelea ku'share' more insights katika session zetu zote. Hizi ni insights muhimu sana kwa muwekezaji.
@yusuphmaganga8193
@yusuphmaganga8193 Ай бұрын
@Mr Ammi, kwa nini mashirika ya Serikali kama Tanzania telecommunication company limited hazijawa listed DSE.
@yusuphmaganga8193
@yusuphmaganga8193 Ай бұрын
Swali la 1.Je naweza kuuza hatifungani ya Kampuni binafsi endapo nitakuwa nahitaji fedha? swali la 2. je Kila mtu anaruhusiwa kushiriki katika mnada wa awamu ya kwanza na wapili?
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana Mr. Yusuph kwa maswali mazuri. Katika session ijayo tutayarejea yote.
Episode 10 | Uchambuzi wa soko la Mitaji | DSE | Orbit Securities
2:10:45
Mindsetting Initiative
Рет қаралды 260
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Wasafi Media
Рет қаралды 30 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 7 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 45 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 9 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 43 МЛН
LIFE WISDOM : NUSU YA MWAKA ILIYOBAKIA FANYA HAYA - JOEL NANAUKA
13:57
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
MFUKO WA HATIFUNGANI (BOND FUND )
2:44
UTT AMIS PLC
Рет қаралды 205
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 280 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 7 МЛН