Miladi miladi ulishindwa kumrekodi kwa upande wa muonekano???? legend mnanielewa
@shaameshaame97212 жыл бұрын
Basi ashauriwe asifate mkumbo ajistiri kwani tukumbuke kuna maisha baada ya haya na ndio khatar sana huko
@jacksonpallangyo1369 Жыл бұрын
Kwani yupo uchi wee vp?
@khalfanikimanta6663 Жыл бұрын
@@jacksonpallangyo1369 Ndugu ifanye akili yako ni nyenye kufikiri jambo hilo kalizungumza @shaame ni kwa kuzingatia familia anayo ishi na kutoka huyo dada ake umemuona yuko kichwa wazi? Kisha nakufahamisha katika uislamu UCHI wa mwanamke ni mwili mzima isipokuwa uso na viganja vyake
@jogoomohamed26522 жыл бұрын
Safi sana mhe Rais wangu/wetu.Ucheshi wako unatufanya nasi tufurahi.Ninakuombea sana mama siku zote.Inshallah
@zaidihussein4311 Жыл бұрын
Rais wetu tuna kupenda sanaaaaqaa
@habibndyeshobora6848 Жыл бұрын
Mlilelewa vizuri saana ki maadili , EXCELLENT!!!! M/ MUNGU AWASIMAMIE ZAIDI!!!!
@alloycejames52852 ай бұрын
Hehe... mamangu. Asante sana mamangu. Je ameolewa? Nauliza tu...😊
@fallymetoo1912 жыл бұрын
Waaw!! So nice 👏👏👏🇧🇪🇧🇪🇧🇪
@fatumamtukane44 Жыл бұрын
Mashallah mbona watu mnateseka
@iddikimia49512 жыл бұрын
Safi sana Mama
@minnadaffa64532 жыл бұрын
Congrats ladies .women are always able ,no fear
@rahabnkya82762 жыл бұрын
RAHA kweli kweli. FAMILIA ikiwa na wenye VIPAJI viingi VIZURI KTK jamii yao. Ashukuriwe MUNGU kwa kweli.
@farajajosephat60222 жыл бұрын
Vipaji!???
@kennywilliam24662 жыл бұрын
Vipaji kwenye familia za viongoz kasikilize wimbo wa twenty percent 20% naficha harafu njoo mtaani uone sefuria zinavyo toboka kwa kukwanguliwa ukoko.
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Hongeraaa team manager
@tengestenges8028 Жыл бұрын
Mimi pia mdogo wako kabisa.ila nasota kweli kweli
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@maskthegreet8400 Жыл бұрын
Ccm kitanda naijuaga damu yako mamasamia uwa unapendaga sana kuweka dore juu ukishusha dore mezainajisafisha yenyewe✋🧧nimeanza kuukubari ufaamu wako💙❤️😁
@SavaniLaboratory Жыл бұрын
This is what we call in Kenya corruption/state cupture
@shaameshaame97212 жыл бұрын
Hayakuwa maisha ya dunia ila ni starehe zenye kukatika.
@aflahabdula4084 Жыл бұрын
Nikweli kabisa
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Asante
@tuliahamidu2573 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@cutelady7410 Жыл бұрын
Kweli kabisa yani dada mpira tu umemvua hijab dadake amekua hadi raisi lakin bado hijab ipo kichwan
@aflahabdula4084 Жыл бұрын
Allah atujaliye tuwe wenye kumuhofu
@nassorseif79072 жыл бұрын
Mpe ushauri avae km wewe dunia ya kupita tuu
@franklinassey66002 жыл бұрын
Wapumbavu mko wengi
@TamuzaKale2 жыл бұрын
@@franklinassey6600 Hahahaa aisee... wengi mno! Anaacha kufanya kazi anataka pesa za BURE!
@marygregory75662 жыл бұрын
Mnajali sana miili kuliko roho zenu, Jichunguzeni na matendo yenu
@hamzaswaibu94702 жыл бұрын
@@marygregory7566 Ukisha vaa ovyo hayo ni matendo mabaya usisitete ujinga
@marygregory75662 жыл бұрын
@@hamzaswaibu9470 jiulize wewe una dhambi ngapi, sio kila wakati kukosoa wenzio
@HijaSaid-xd7fgАй бұрын
Mbona kama Mtanganqyika kichwa hajafunika, na wazanzibar wengi hufunika nyele zao jamani
@lanlady25042 жыл бұрын
Kumbeee!
@sirajanimunira94242 жыл бұрын
Eeee
@fadhilhimid2776 Жыл бұрын
Well done
@estermachea3373 Жыл бұрын
Safi Sanaa mama hongera kwahilo
@prosperkullaya6721 Жыл бұрын
Mama mcheshi sana
@johngerrald4453 Жыл бұрын
Mashalaaaah ana kitu atafika mbali hebu nipe namba yake
@mussaharun7257 Жыл бұрын
Kwann hajafunika kichwa
@berthajohn88402 жыл бұрын
Chezea mdogo wake ww
@georgenyoni9879 Жыл бұрын
Msimu ajaficha kichwa ,kwa mwanamke wa kizanzibar hii ni adimu sana
@mosalim871 Жыл бұрын
ila hajavaa ushungi Kma ww
@salminasalim5630 Жыл бұрын
Kwani yeye ndio anafundisha mbona hivyo hapana wanaocheza ni wote sema unawapongeza wote sio huyo tu jamani utawakatisha tamaa wengine
@mezddimosso3318 Жыл бұрын
Sisi na mama
@muhammadfadhil9442 Жыл бұрын
Na mimi namuona alivyovurugika maa nywele ipo wima na haitaki kufunikwa.
@georgemassebu20832 жыл бұрын
Sisi wengine na familia zetu ndiyo tutakula jeuri yetu siyo
@menalikechildren88362 жыл бұрын
hahahah
@gracelee612 жыл бұрын
😅
@hamiyhamadi2613 Жыл бұрын
Hahahahaahha
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Kila familia Ina mchango kwa Taifa... Eneo gani hapo ndio tunakotofautiana. Kuna wachezaji, wachekeshaji, waalimu, madaktari, manesi, dereva, injinia, makasisi, majeshi, wachungaji, wakulima, Wafugaji, wavuvi nk. Labda kwa nadra sana familia nzima iwe ya majanga Kama wezi, majambazi nk
@herimallya3385 Жыл бұрын
angekuwa ni Magufuli,, angeng'aka fatuma,,"Sukuma Gang"!
@berusarga2897 Жыл бұрын
Mama samia me mkwe kwenu sasa utanisaidia mahari lakin
@emmanuelymwaja7318 Жыл бұрын
VIP kwan ameolewa huyo? Ili niwe shemeji yake Mh.Presdent🤪🤪
@mussakiziyzi408 Жыл бұрын
Samia miaka 10 tena
@SamweliFelix-ij2pc6 ай бұрын
Mama naomba unisaidie unipeleke studio
@godfreymwenesho17708 ай бұрын
Nawezaje kupata mawasiliano ya ikulu au namba ya Rais DK Samia
@gracerishandumilema2783 ай бұрын
Mimi mwenyewe natamni nionane na mama Samia,ila sijui nafanyaje,mungu tusaidie
@machaggechacha2439 ай бұрын
Mwarabu.
@kainimlowe96462 жыл бұрын
Ushamba tu
@alikidungura9419 Жыл бұрын
Ayo manyele
@momo21 Жыл бұрын
Wa Tz from kenya ❤'mdogo wangu 'inamaanisha nini ,I've been wondering .someone please nielimishe
@Kandege Жыл бұрын
Means my sibling.
@momo21 Жыл бұрын
@@Kandege humbled G
@alisaleh25072 жыл бұрын
MAMA MM NAKUKUMBUSHA TU, HUYO MDOGO WAKO UNAEFURAINAE LEO ANAWEZA KUKUGHARIMU SIKU YA HUKUMU, INAKUAJE.MTOTO WA KIISLAMU ANATEMBEA KICHWA WAZI NA WW UNAMPONGEZA, NAKUKBUSHA TU MAMA, ANGALIA SANA.KUNA MAISHA BAADA YA KIFO
@mtwamkulu7319 Жыл бұрын
Ameolewa?
@marlonstudios4408 Жыл бұрын
Itabidi nimuoe
@kennywilliam24662 жыл бұрын
Vipaji kwenye familia za viongozi kasikilize wimbo wa twenty percent 20% naficha harafu njoo mtaani uone sefuria zinavyo toboka kwa kukwanguliwa ukoko!!
@muniraame15352 жыл бұрын
Jamani hata kuvaa mtandio basi jihifadhi ww mwanamke was kiislamu unatutia aibu wa kwetu
@fridageorge28092 жыл бұрын
Kwahiyo huo mpira atacheza na mtandio!!?
@ayushsaeed10512 жыл бұрын
Mwambie ajistiri
@Yu-jr9uf2 жыл бұрын
Mshauri avae shungi basi
@selamanngasa82002 жыл бұрын
Kaolewa maana, nikalembo kwr
@allygibu70032 жыл бұрын
@@selamanngasa8200 itabidi tuulizie Kama hakajaolewa tuoe
@eliashibundabalinze22172 жыл бұрын
Shungi ni nje tu ndugu, vipi kuhusu usafi wa roho zenu zikoje?
@suleimanjuly13962 жыл бұрын
@@eliashibundabalinze2217 stara ni moja wapo ya kupunguza maovu wew acha kujisemesha na ndio maana vitabu vyote vya dini vinasema hakuna alie kamilika isipokua mungu na katika dini yetu stara kwa mwanamke ni mhimu kuliko kitu chochote sijui huko kwenu
@eliashibundabalinze22172 жыл бұрын
@@suleimanjuly1396 kwetu sisi usafi wa roho zetu ni bora kuliko kitu chochote, maana Mungu ni Roho nao wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. Vipi kwa makabila yasiyovaa nguo yanavaa majani au ngozi tu tena wanafunika mbele na nyuma tu hawana stara?
@ismailjuma36922 жыл бұрын
Eeeeeee viumbe muogopeni Allah miongoni mwa njia za kumuogopa Allah ni stara.
@khamisabduuqataadah84882 жыл бұрын
Kama ni Mdogo wake kweli kwanini stara hana na yeye rais yu na stara?
@salmahalfani63072 жыл бұрын
Stara uwanjani? Atachezaje mpira na majuba?
@khamisabduuqataadah84882 жыл бұрын
@@salmahalfani6307 hapo alipomwita alikuwa uwanjani? Unaamua kuasi kisa nini?
@HelbethMlelwa2 жыл бұрын
Kiujumla michezo ya mpira ni ushetani, haipo katika biblia wala quruan tukufu.
@khamisabduuqataadah84882 жыл бұрын
@@HelbethMlelwa Shukrani Sana ndugu mie nawashangaa Sana hawa akina Mama.
@swaumdodoma75912 жыл бұрын
@@HelbethMlelwa point sana mimi kama mimi sitakuja ruhusu binti yangu ajiingize kwenye mambo kama ayo na akikaidi atafute pakwenda
@petercostakisoka2 жыл бұрын
Daah kwelii imekaa powah sana
@saadmbaraqa52722 жыл бұрын
Maji hakishamwagika hayazoleki
@jumamussantuiche89422 жыл бұрын
Sasa fundi mabomba wanini, ikiwa kauli yako sahihi.
@musamsangi7742 жыл бұрын
Duh!! Mrembo kweli kama hajolewa naomba uchumba
@kennywilliam24662 жыл бұрын
Utaonekana unataka hela we kausha tu
@matildaandrew52902 жыл бұрын
Mbn ana pete jaman..she is taken
@prosperkullaya6721 Жыл бұрын
Nimesha muwahi lol
@blackpanther4825 Жыл бұрын
@@kennywilliam2466 😅😅😅😅
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Undugu kufaana
@radhiasalum71562 жыл бұрын
Hayo ndo alikataa Baba mangu mambo ya ndugu ndugu hakutaka.misifa tu misifa
@joycemfuru4752 Жыл бұрын
Wivu nenda nawe kacheze malalamiko ya mshindwaji hayo
@happynesbaemuhappynes8813 Жыл бұрын
Acha makasiriko pambana na hali yako
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Wivu tuuuu
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Mbona hafanani na mwinyi
@hassanmassaga2476 Жыл бұрын
😂😂
@saidsalum95872 жыл бұрын
Km ni mimi kwa jamii ninayotokea nicingemkataa kama ni ndugu yngu ila nicingejivunia kwa yy kutembea kichwa wazi wakt ni muislmu kbsa
@ednaJF10282 жыл бұрын
Mambo ya kuonyeshana hayo magufuli hakuwa nayo kabisa.he was very simple man I will always remember you Baba ❤️
@muddyville2 жыл бұрын
Sijui huwa mnavutaga bangi au nini, mbona hata huyo uliyemtaja alikuwa anawasimamisha watu? Hukumbuki wakati anahutubia kuhusu yule Mtoto wa Dada yake aliyegombea Jimbo la kawe alimwambia asimame? Daaah
@mkude2 жыл бұрын
Acha chuki wewe kwahiyo kama mh Magufuli alikuwa na tabia flani unataka na huyu mama awe na tabia hiyo hiyo,buree kabisaa wewe,
@winfordmwangonda53752 жыл бұрын
Raisi anawapongeza vijana kwa mafanikio na kuwapa support,ni jambo njema kwa mkuu wa nchi ,hakuna dhambi kumtaja mdogo wake ,its not a show off stuff, just appreciating her young sister
@ghost86412 жыл бұрын
@@muddyville sio bangi tu wanavuta unga kabisa hawa watu ni wale wenye roho za kwanini mwanammke Rais that's why they are still bitter sour losers
@mudighurayra2 жыл бұрын
Hufatilii ulikua unafata mkumbo 2
@ayoebi7666 Жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 Brushed political sexs .
@saidhassan77792 жыл бұрын
MSIMU NAKUPENDA SANA
@lazaromaria53342 жыл бұрын
duuhh nakubal mwanangu 😂😂😂
@saidhassan77792 жыл бұрын
@@lazaromaria5334 Hahhha nipe number zako Kaak
@muddymuzungu43572 жыл бұрын
Wabongo kwa fursa tupo makini saaaana Said weka jitihada upate chombo
@trayoversion2 жыл бұрын
Umeniwahi nilitaka niseme hivyo
@user-kr2qr8vx1x2 ай бұрын
Msimu nakupenda mwanangu...mungu akupe hekima kama ya mweshimiwa dada ambae kwangu mweshimiwa mama...nakuomba mwanangu niombee Kwa dada Nina mkwe wangu anae tarania kuwa mwanangu amsaidie kazi naomba sana sana nashindwa kumfikia mweshimiwa rais..Kwa uwezo wa mungu kupitia kwako akate nde naamini mungu ni mwaminifu..hili anisaidie naomba mwanangu nibembelezee Kwa mweshimiwa dada...Sina kazi nauguza baba.mungu akubariki ktk yote nakupenda mwanangu.