#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 4,412

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

5 ай бұрын

#EXCLUSIVE: IBRAHIM CLASS Amjibu SAID MKOLA - "MWIZI Yule, KUNA Shoga YAKE Yupo TANGA ANAMTUMA"
KARIBU utazame mahojiano ya Bongo Boxing Safari na bondia Ibrahim Class kuhusiana na maisha yake ndani na nje ya ngumi kwa ujumla.

Пікірлер: 19
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 5 ай бұрын
BONGO BOXIN MTACHELEWA,,,MNASHINDWA KUPIGANA MPAKA MASHABIKI WANAAMUA WAO NDO WAKAPIGANE😊😊
@user-gm6yk5vy6x
@user-gm6yk5vy6x 5 ай бұрын
Ibrahim naomba namba yako
@richhaule9264
@richhaule9264 5 ай бұрын
Ibra Class wewe ni noma piga kazi
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 5 ай бұрын
Tanga sehemu gani yueleze!! Heti mzaliwa wa sehemu nyingi Kwani umezaliwa Mara ngapi? Unadhani ukijipa Utanga ndio unaweza kuchukua nafasi ya Mwakinyo huko Tanga? Ufalme wa Mwakinyo hautapotea Ktk boxing hapa TZ na Ulaya jifunzeni kupitia yeyw mwenzenu amewaacha mnalingana Sana acheni wivu. Mlishamuo a Mwakinyo akapiga mizinga ya pesa Kama nyinyi mnavyofanya? Yule Sasa ndio bondia wa kimataifa.
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 5 ай бұрын
Kwani huwez kufanya ngumi mpaka umtaje mtanga Kama kwel unaweza nenda kwa mtanga ukakanyagwe
@mdosephayta8075
@mdosephayta8075 5 ай бұрын
Mim naona BOXING inazid kukua na kuleta ushindani sio kila siku twaha kiduku na mwakinyo safar hiiii ngoma imenoga
@user-ek9hc5fo3z
@user-ek9hc5fo3z 5 ай бұрын
Kuweni mashabiki wazuri wa ngumi acheni matusi akuna bondia anae lazimisha mashabiki kuweni na nidham...
@ManMadini-jm9ki
@ManMadini-jm9ki 5 ай бұрын
Wewe mm ni Shabiki wko ila kwa ili unafeli bwana mdogo acha maneno fanya kazi
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 5 ай бұрын
Tzd boxing Ni Za mwakinyo mpaka astaafu
@AbbasMwakichui-db9tn
@AbbasMwakichui-db9tn 5 ай бұрын
Wewe muandishi mchonganishi sana
@rahimhemed3370
@rahimhemed3370 5 ай бұрын
iki kijamaa nakionaga km asma
@user-zp5tm3wd8b
@user-zp5tm3wd8b 5 ай бұрын
Ibra we shoga umuwezi mwakinyo
@tebelehondo8268
@tebelehondo8268 5 ай бұрын
Uyo bondia ni chawa wa mafia twamjua kumsema mwakinyo ni kupalilia ajira yak
@richardimagine8460
@richardimagine8460 5 ай бұрын
Tanzania kuna mabondiya wana mapambano mengi njeanchi nawa nawana record kubwatu mwakinyo simbaya sema kilamtu nanyota yaketu, sindokama bondiya wakuoogopewa hana wako mabondia tanzaniya akicheza nao watamkalisha vilevile
@karimually4236
@karimually4236 5 ай бұрын
Kak bas2 ushaongea lakini tunampa bland huyo dogo wew kaka sasa
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 5 ай бұрын
Unacheza na watu hawana uwezo
@saddammasige1481
@saddammasige1481 5 ай бұрын
Nyie washamba tu kaz kumsemama mwakinyo mbona ye anamambo yake mnakaa ku.msema watufudenke wakubwa wote unamaisha gani we mtufudenke
@jonathantito3528
@jonathantito3528 5 ай бұрын
KWELI MWAKINYO BONDIA MKUBWA SANA, KILA MTU ANAMTUMIA KUPATA KIKI... Halafu haya maneno ya kumwita mtu mwingine shoga angeyasema Mwakinyo, angeambiwa anaongea sana! Kwa akili ya kawaida tu Mwakinyo aache kufanya mambo yake amtume kwako kwa kipi? 😂😂😂
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 5 ай бұрын
Wewe choko tu kuma wewe
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
Kids' kindness shines bright on the soccer pitch #shorts
0:40
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 762 М.
Punished for insolence! #mma
0:28
IMBALANCE
Рет қаралды 6 МЛН
опозорился на олимпиаде❗️😳
0:15
sila_pelmeney💪
Рет қаралды 609 М.