Рет қаралды 1,164
FADHILI MAJIHA Afunguka KUPIGANA na SABELO - "NAENDA KUMSTAAFISHA NGUMI, HAJAPIGWA Vizuri BONGO"
MABONDIA wote watakaopanda ulingoni Julai 20, 2024 wakiwemo Iddy Pialali, Fadhil Majiha na Emmanuel Mwakyembe wamezungumza na wanahabari na kueleza namna walivyojipanga.