FAFANUZI JE YESU NI MUNGU.?

  Рет қаралды 31,432

Mzee wa upako

Mzee wa upako

2 ай бұрын

#GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo)
Follow our Social Media:
FB: / mzeewaupakotzz
IG: / mzeewaupako_tz
TIKTOK: / mzee__wa__upako
Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za KZfaq Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

Пікірлер: 394
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 2 ай бұрын
mzee wa upako unastahili pongezi kwa elimu kubwa ulio nayo mungu akubariki sana
@amaningalla9420
@amaningalla9420 2 ай бұрын
Kama Yesu kwako si Mungu ni sawa,acha kutumia jina lake,hayo mambo yalisha zungumzwa zamaaani ,tulishapatana kama wakristo,Yesu ni Mungu
@user-go1rl6bb1z
@user-go1rl6bb1z 2 ай бұрын
Huyu mpinga kristo
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 2 ай бұрын
Mpinga kristo kivipi wakati anaongea ukweli wewe mwenyewe hujui hata hiyo bibilia unayosoma kama niyakweli au uongo maana bibilia zipo nyingi sana Kuna Ile ya Romani katoriki Ina vitabu 73 Kuna othodoc Ina vitabu 78 Kuna yakiangrikana na Jehova witness kana African bible sasa ipi yakweli hapo unashabikia vitu ambavyo hata hujui vinatoka wapi au nihadidhi zawatutu na unaamini​@@user-go1rl6bb1z
@geraldndosi2083
@geraldndosi2083 2 ай бұрын
Yesu ni mwana wa Mungu Ila yesu ni Mungu katika utatu mtakatifu
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 ай бұрын
ni UKAFIRI unaokusumbua, mzee wa upako anawambia ukwel somen biblia muielewe
@mudrikramadhani32
@mudrikramadhani32 2 ай бұрын
Sasa anachokipigania mzee wa upako kwamba usikalilishwe Soma masndiko kwa akili zako na uelewe
@jairossimwanza680
@jairossimwanza680 2 ай бұрын
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. For unto us a child is born, unto us a son is given: and the government shall be upon his shoulder: and his name shall be called Wonderful, Counsellor, The mighty God, The everlasting Father, The Prince of Peace
@mosesmwatika5281a
@mosesmwatika5281a 3 күн бұрын
Wewe Mzee wa upako vaa kanzu na kofia jeupe alafu ungana na wapinga Kristo wenzako waislamu 😢😢😢 nakusikitikia maana unapotea tu ukiona mzee Lusakelo
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 2 ай бұрын
Mzee wa Upako Pole Sana Nakusaidia Biblia iko Wazi Sana , Soma Warumi 9 mstari 5 . Unasema Alitoka Kristo kwa Jinsi ya Mwili Ambaye ndiye Mungu Mwenye Kuhimidiwa Milele . Amina
@Saya-ym4dl
@Saya-ym4dl 2 ай бұрын
WARUMI NI MANENO YA NANI? NDOMANA UNAAMBIWA HAMJUI BIBILIA WEWE KILA ANDIKO UNALOLIKUTA KWENYE BIBILIA UNAPITA NALO
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 ай бұрын
​@@Saya-ym4dl Warumi unauliza ni maneno ya nani kwani wewe umeyapata wapi kwenye Quran au biblia? Utujibu
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 2 ай бұрын
Mzee wa upako ametoa maandiko naye. Sasa, kitabu gani cha Mungu kina maandiko yanayokinzana? Yaani Mungu awe na ndimi mbili? Afanye makosa ambayo hata Shigongo hawezi kufanya? Kweli injili ndio aliyokuja nayo Yesu, biblia ni kalamu za waandishi...
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 ай бұрын
@@jabirkasunzu6841 Tena wewe ukae kimya unakataa biblia wakati huyo Allah wenu kataja kitabu biblia basi Allah ni muongo 29:47 Quran na umesema katoa maandiko yapi kasema isaya ajatoa isaya ngapi
@boazgodfrey865
@boazgodfrey865 2 ай бұрын
​@@jabirkasunzu6841kwan ukikaa kimya kama hujui kuna tatzo?,,,, Au ni lazima uzunguzie bible,,, Cku kikipatikana kitabu chenye uhai kama bible bas dunia itakuwa imefika mwisho,,,, Njoo kwa Yesu upate uzima acha kudanganywa
@kumbukaobeth7103
@kumbukaobeth7103 2 ай бұрын
Sitaacha kumshukuru Mungu kwaajili ya watu wake walio leta injili ya Yesu kristo huku Afrika, Kwa jinsi Mungu anavyonitendea kupitia yesu kristo nashindwa kueleza. Nabaki kusema neema ya Mungu yanitosha, Yesu ni kila kitu kwangu. Hayo mengine mtajua wenyewe
@alexkitundu7696
@alexkitundu7696 2 ай бұрын
Sawa mwalimu ila naomba unisaidie uelewa kwenye hii Aya, isaya 9:6 maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanamume ,na uweza wa kifalme utakua begani mwake,naye ataitwa jina lake mshauri wa ajabu,MUNGU mwenye nguvu, baba wa milele ,mfalme wa amani; je andiko hili Lina uhusiano wowote na kuzaliwa Kwa YESU!? Na kama ni hivyo isaya alikosea!? Asante.
@mohamedmohamedy8311
@mohamedmohamedy8311 2 ай бұрын
yani hapo km ukijua kuwa Mungu hazaliwi ni jibu tosha kabisa
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 2 ай бұрын
@@mohamedmohamedy8311Yesu mama yake ni Mariamu..aliyempa hiyo mimba ni nani? Nasi tunajua kuwa mwanamke hatangenezi ukoo, anayetengeneza ukoo ni mwanaume. Unajitaji tu ufahamu kuelewa uungu wa Yesu.
@mohamedmohamedy8311
@mohamedmohamedy8311 2 ай бұрын
@@BarnabaBuhoma kwahyo yesu ndio kamuumba Mungu au Mungu ndio kamuumba yesu???
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 2 ай бұрын
@@mohamedmohamedy8311 Unaamini Yesu ni Mungu?
@mohamedmohamedy8311
@mohamedmohamedy8311 2 ай бұрын
@@BarnabaBuhoma haijawahi kutokea yesu kuwa Mungu......hv yesu awe Mungu halafu akubali kuteswa msalabani???
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 2 ай бұрын
HAPA YESU KRISTO ANATAJWA KUWA MUNGU MKUU Tito 2:13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ;
@tediusmwafongo4862
@tediusmwafongo4862 2 ай бұрын
Mungu mkuu sio Mwenyezi Mungu( YESU ni might God na Baba ni Almighty God)
@shabanimtulya4718
@shabanimtulya4718 2 ай бұрын
Sasa kaja na kitabu cha nini, mungu hajiamin
@shabanimtulya4718
@shabanimtulya4718 2 ай бұрын
Anatajwa. Na kujitaja vitu 2 yofaut.
@hekimaelisha2736
@hekimaelisha2736 2 ай бұрын
Apo kuna maneno mawili great God and ....." nnavyo elewa kuna Mungu mkuu and imetumika kama ( pamoja na..) yesu.Ebu soma yohana 20:17 yesu mwenyewe akijitofautisha na mungu.
@user-qy7he6cl8w
@user-qy7he6cl8w 2 ай бұрын
Kwa kweli heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake ,,umeanza vizuri unataka kumaliza vibaya Tunakuangalia Sisi
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 2 ай бұрын
Toa andiko.
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 2 ай бұрын
Anatla kumaliza vzr sio kumaliza vby ww
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 2 ай бұрын
. Je kama watu hawajakupokea c unyamaze usiendeleee maana hata hukifanya kucctiza sana nakueleza hunajipya sasa umeonwa na watu wengi nakukemewa unataka uendelee kudanganya.we mzeee waupaka umekwisha
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 2 ай бұрын
Unaluka salakasi kwaajili ya sadaka za watu endelea
@kisakanzotah5861
@kisakanzotah5861 2 ай бұрын
Hakika wakati umetimia.Yesu alisema Kondoo wengine atawaita waingie katika zizi.Isaya 2
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 2 ай бұрын
Je!hatusemi vema kuwa Mwanteba ni mataifa na una pepo?👉 Yohana 8:48,52.
@Dominant97
@Dominant97 2 ай бұрын
Unafaa kuwa mwalimu wa kiroho,Barikiwa🙏
@mussamohammedy8014
@mussamohammedy8014 2 ай бұрын
Mzee wa upako unaelekea kuwa sawa lakini bado upo ktk utumwa endelea kuchunguza tu utaendelea kugundua pia mungu hana mwana Bali yesu Ni mtume wa mungu mungu alionyesha uweza wake kwa wanaadamu ambao walikua wagumu kuwatii mitume wao ndo akamleta yesu bila baba ndo maana ktk amri zako ulizozisoma mungu anasema usimfananishe na chochote ukisema yesu Ni mwana wa mungu Bala shaka anafanana na mwanae ktk Imani yetu mungu alipukuumba ww alikupa kizazi kisha akafanya wafanane na wewe ili utoe utata wa fikra ya kuibiwa endelea mzee utaijua haki tu.inshaallah.
@Minister_Jamesdavid_Tv
@Minister_Jamesdavid_Tv 2 ай бұрын
We unashida kubwa sana ,endelea kujichunguza vizur ...Kama ni Wagonjwa wewe ndo hoi kabisa kuliko mwenzio
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 ай бұрын
DINI ZOTE haziamini MUNGU kua na mwana kasoro UKRISTO
@theafricanprincevivecongo8632
@theafricanprincevivecongo8632 2 ай бұрын
KUNA MBUMBUMBU WANA MPINGA NA KUMTUSI KWAKUA WAMEKOMAA KWENYE KUSOMEWA SIO KUJISOMEA
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 2 ай бұрын
Tito 2:13, na Yohana 1:1-14Mzee wa upako, naomba Mzee wa upako uwe mwisilamu ndio wewe unavyo amini.
@HemediKapelewele
@HemediKapelewele Ай бұрын
Hongera Sana Mungu akuweke
@khalidmdimu4177
@khalidmdimu4177 2 ай бұрын
Unaona haki japo taratibu sana, endelea kujifunza zaidi bila kubagua vitabu, pengine Mungu atakuongoza zaidi katika Nuru
@herijaphet
@herijaphet 2 ай бұрын
Leo unazungumza kwa upole lkn ile clip sasa. Shida ni namna unavyozungumza yan unapenda kuonesha wengine wote wajinga mwerevu ni wewe tu peke yako. Haya ni maswala ya imani. Umeyakuta na utayaacha. Ila Mungu akusaidie tu mzee mn nakumbuka clip zako kipindi kile unaumwa na zile kebeh zako kabla hujaumwa nabaki kusema kweli Mungu huwakirimia wote. Magari mazuri yalikuwa ni yako tu. Lkn sa hz wachungaji wana kondoo wengi kukuzd sasa umeanza kuwa MWANAHARAKATI WA UKRISTO.
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 2 ай бұрын
Mtume Petro aliua na akabadilika sembuse Mzee ameongea tuu.
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 2 ай бұрын
Warumi 9:5 “…ambao mababu ni wao, na katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu, mwenye kuhimidiwa milele. Amina. “””” mnaosema Yesu sio Mungu, hili andiko mnalitafsirije? Au liliandikwa kimakosa??
@AlfredZacharia-of3je
@AlfredZacharia-of3je 2 ай бұрын
Wakolosai 2 : 8 Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 2 ай бұрын
Mzee wa upako.maisha ni kama kujilisha upepo.iyo kuzimu inayokulazimisha umkane YESU.aikusaidii.yesu ni yeye yule Jana Leo na ata milele.kuzimu itakusumbiwa sana kwasababu umekula vyakwao.pole sana.sisi kwetu yesu ni MUNGU mwenyewe nguvu
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 ай бұрын
wewe huna hoja za kimaandiko unaleta TU polojo Sasanikuulize na unijibu mungu gani alietokea kwenye utupu wa wa mwanamke ? yesu alipokuwa akilia pale msalabani kwa kusema mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha alikuwa akimuomba msada mungu wake yupi yena na wakati nyinyi mnadai yeye ndio mungu mkuu? au mnajizima data si ndio?
@honestrafael3390
@honestrafael3390 2 ай бұрын
Kumbe na wewe mzee ndiyo unaanza kujitambua kma ni hayo mafundisho ya mapokeo mbona uliwafundisha wengi, je huoni unawayumbisha kila uchao
@AliHamad-qy9ks
@AliHamad-qy9ks 2 ай бұрын
Anataka kutubia kwa MOLA wake!
@tediusmwafongo4862
@tediusmwafongo4862 2 ай бұрын
Mshukuru Mungu ndugu na uache kulaumu
@bonifacemwansasu6638
@bonifacemwansasu6638 2 ай бұрын
Hata mafarisayo walimpinga Bwana YESU japokuwa walikua ni wasomi katika dini,sio kwamba hawakumjua Kristo,hasha kwa sababu walimkataa kwa makusudi huku wakijua ni masihi waliyemsoma katika theolojia
@reganpaul8542
@reganpaul8542 2 ай бұрын
Mzee nimesikiliza hekima umetiririka vema sana ubarikiwe sana chief kwa waswahili wanaosoma vichwa vya habar jujuu hawasomi wakamaliza watakutukana sana ila atakaye sililiza mpaka mwisho hataona kasoro yoyote Mimi naona kwa ufahamu wangu mkubwa sana uko sahihi Baba
@barakatukay5464
@barakatukay5464 2 ай бұрын
Wote waliocoment nimeona una hekima Mungu akubariki
@RaphaelMeneja
@RaphaelMeneja 2 ай бұрын
Mzeeeee hapo uko sawa 10000% Mungu akuongezee muda wa kuwepo duniani
@thepowerofchristministry1918
@thepowerofchristministry1918 2 ай бұрын
Bwana asifiwe, Mtume mzee wa upako naomba tuonane tuzungumze jambo hili,naona kunaumuhimu kupata uelewa, Mimi ni Askofu Honest mushi
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 ай бұрын
Mzee wa Upako! Unajichanganya sana mara Mungu Mwana mara Mungu Roho Mtakatifu! Ila ujue Roho Mtakatifu hawezi kuwa kiumbe tu wakati Neno linasema natuumbe mtu kwa mfano wetu!
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 ай бұрын
kasome kwa nini mungu anatumia wingi hiyo Haina maana kuwa ni miungu wengi anatumia lugha ya wingi kwa kujitukuza Haina maana ya kuwa eti wako wengi
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Ай бұрын
Hatari mno Lusekelo Umetoka Rohoni umekuja njee mwilini Huwezi kulitambua jina la Mungu ukiwa mwilini,jina la Mungu linalotisha lilonanguvu kubwa ni jina la Yesu kristo, Hilo ndilo jina la Mungu Baba lusekelo usilitafsrili jina la Yesu katika mwili utatoka patupu katika mwili ni Binadamu Kama wewe lusekelo katika roho ni Mungu Mkuu,ohoo shauli yako. Utatekwa na wenye Imani ya mwilini no 666,namba hiyo inamkataa Yesu kristo kuwa sio Mungu sio mwana wa Mungu,, Mungu amekamili katika utatu, Mungu Mwana Mungu Baba na Roho mtakatifu lakini ni Mungu mmoja katika utatu, jina la Mungu ni cheo chake lakini jina leke ni Yesu kristo, Tena atapokuja kuhumu Dunia Hilo jina la Yesu,Hutalisikia Tena Atakuja na jina lingine kabisa ataitwa Neno la Mungu, Hapo sasa Dunia yote itatokwa na macho mekundi Kama wamevuta petroli,au Bangi maana wanadamu watachanganyikiwa ,kwakuwa waliliktataa neno la Mungu, 25:59
@realramjen3270
@realramjen3270 2 ай бұрын
Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
@faustinelias3284
@faustinelias3284 2 ай бұрын
wewe mzee imeandikwa kwamba walikua nasisi rakin hawakuwa wakwetu mzee wewe sio wa kristo nenda kwa unaemtumikia kwa jina la yesu
@user-wx6yg6yb3l
@user-wx6yg6yb3l 2 ай бұрын
Hongera sana kwa kusoma na kuubaini ukweli na kuifundisha ukweli watu wamefahamu ukweli lakini binadamu tulivyo na mioyo migumu kama jiwe hatukubaliani kabisa na ukweli kabisa lakini ukweli unabaki palepale hata wasipokubali na hiyo ni kwa sababu ya mafundisho ya uongo waliyofundishwa na viongozi wao waongo yesu anasema katika marko 7:6 nao waniabudu bure wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu. 7:8 ninyi mwaicha amri ya Mungu na kuyashika mapokeo ya wanadamu. 7:13 huku mkilitangua neno la Mungu kwa mapokeo yenu mliyo pokeana; tena mwafanya mambo mengi yaliyo sawasawa na hayo.
@ayubukawageme3524
@ayubukawageme3524 2 ай бұрын
Huyuu mzee nilimpenda sana hata sasa nampenda sana, ila Dunia imembeba na kupeleka kubaya. Pole sana
@DASTANBUSHAIJABWE
@DASTANBUSHAIJABWE 2 ай бұрын
Mzee wa upako ninakuelewa hata Mimi Ninavyoelewa ni kwamba BWANA YESU ni mwana wa Mungu yeye YESU alitokana na Mungu kama Hawa alivyotokana na Adamu ila wote wanaitwa binadamu Sasa je YESU naye ni Mungu kwa sababu alitokana na Mungu na kurithi SIFA zote za Mungu? Ni kweli Mungu ni mmoja. Naomba ufafanuzi zaidi. Je Roho Mtakatifu naye alitoka ndani ya baba kama YESU alivyotoka ndani ya baba na kurithi SIFA zote za Mungu. Mimi pia ninavyojua ni kwamba YESU na Roho Mtakatifu Hawakuumbwa kama Adamu, Hawa na Mimi tulivyoumbwa bali walitoka ndani ya baba mwenyewe. Sasa mzee wa upako naomba tujadiliane.
@frankmuhomi
@frankmuhomi 2 ай бұрын
Tito 2:13 soma hiyoo , hata ungesema mara 100 hauwezi kubadisha ukweli huu wakuwa Yesu ni Mungu
@hekimaelisha2736
@hekimaelisha2736 2 ай бұрын
umechangia vizuri ila ukifuata kanuni za uandishi baada ya neno yesu,kuna ( komma) alafu inafuata neno Mungu,maana yake ni yesu af anafuata Mungu sio Yesu ni Mungu.
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 2 ай бұрын
Mzee wa Upako Nakusaidia tena , Kumbe Yesu Kabla haja Chukuliwa Mimba na Bikila Marium Alikuwa anaitwa Jina lake Yesu , Soma Luka 2 - 21
@Yeshuatv729
@Yeshuatv729 Ай бұрын
Kwasasa sishangai ni kwanini umefanya MIUJIZA mikubwa kupitia Imani yako. Unaamini vyema kabisa mzee wa upako Umefanya jambo jema Sana kuliko hata akina misses kulola. HASHEM ELOHIM akubariki sanasana
@qurankareem582
@qurankareem582 2 ай бұрын
MIMI NAKUELEWA SANA MZEE WA UPAKO ❤❤ ILA NYINYI WAKRISTO MPAKA MUFAHAMU IMANI YENU NI SHIDA SANA MANA MNACHANGANYA SANA VITU ebu angalieni Uislam inavyoainsha kwa wepesi Krist islam BABA = MUNGU ROHO = MALAIKA MWANA= WATU(mitume)
@KesherNgwembe
@KesherNgwembe 2 ай бұрын
Asante kwa mafundisho hata nimeamini mungu Ni mmoja tunimefatikia sana kunamahari ktk biblia yesu alikutana na msamalia yule msamalia akamwuliza yakwamba huko jelusalemu Kuna mlima huwa wanaenda kuabudu ndipo yesu akasema mungu Niroho nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu ktk roho pengine Tena yesu kawambia watu kuwa wanamwamini mungu wamwamini nayeye pia kwamba ametumwa
@kombosalehe9787
@kombosalehe9787 Ай бұрын
Duuh muongo
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Ай бұрын
Mungu ni mmoja tu katika utatu, Mungu Baba mwana na Roho mtakatifu ni Mungu mmoja sio miungu mitatu hapanaaa Mungu nimkamilifu katika utatu, Hayo sio mapokeo Mapokeo ni mtu anaekataa kuwa Yesu sio Mungu 27:30 hayo ndiyo Mapokeo ya wanadamu Mimi Kama Mimi Yesu kristo nikiwa katika maombi namwita Mungu Wangu,Bwana wangu Yesu wangu na Roho mtakatifu nisaidie kuomba unaona jinsi inavyokuwa na utamu na ushindi Tena nikitamka tu kwajina la Yesu kristo shetani nipishe ananipisha akiwa amechanganyikiwa anakimbia Kwanjia saba lusekelo Bado tu ujatambua kuwa Yesu kristo ni Mungu Mkuu, Tena anasema kwajina langu mtatoa pepo na mtasema kwa luga mpya, na mtaweka mikono juu ya wagonjwa watapona, ludi upya kwa Bwana Yesu mpendwa,ili utembee na Rema sio rogosi Ya wanadin Wana wa Mungu wanatembea na Rema ndio maana wanamtambua Bwana wao Yesu kristo kuwa ni Mungu Mkuu, alipaa Mbinguni akiwa Mungu Atakuja kuwaukumu wanadamu akiwa Mungu Mkuu mwenye nguvu kuliko viumbe vyote Mbinguni na Duniani sijawai muona Alie Kama Yeye ,nawashangaa mno wanaomkataa Yesu kristo kusema sio Mungu,hiyo niajabu mno kwangu, Yeye ndiye alieniokoa Mimi,na kuniponya ,Nani kakudanganya mwantembe rafiki yangu kusema Yesu sio Mungu,. I 😢😢
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 2 ай бұрын
Soma isaya 9:6 soma yohana 1:1: sisi tunasoma bibilia.waumini wako ndo utawapotosha maana ndo vulaza wa kukupgia makofi.mzee wa upako BWANA na akukemee Kwa jina la YESU.kuzimu umekula vyakwao sisi wanakusumbuwa.kwa jina la YESU.waumini wako wapee akili wote wakukimbie Amina
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 ай бұрын
John 10:33 John 14:8-9 ilikumwelewa Mungu unaitaji Holy Ghost. Kwa mtu anae fikiri Mungu hawezi kuwa duniani kama mtu alafu awetena mbinguni the sametime huyo bado Hajuwi kama Mungu ni muweza ya yote. (Emmanuel = God with us) kama bado unachukulia Mungu poa bado ujuwi Mungu hashindwi na chochote.? John 1:1
@alanmtobesha4937
@alanmtobesha4937 2 ай бұрын
Yesu n Mungu,waebr1:8-11
@IsraelKijaga
@IsraelKijaga 2 ай бұрын
Kusoma wengine tunasoma Tena tunacho kikuta humo kwenye maandiko hayo ndicho kinacho tufanya tujue kua yesu nimungu mwenye kuhimidiwamilele. Amina. Rum 9:5 Tena tukisema tuyachunguze maandiko kiundani zaid tunakua namaswali ambayo majibuyake yanakuja kukataa hicho unacho kisema, Kwasababu yesu mungu na roho nivitu visivyo tenganishwa Alipo mungu yupo naroho wake na neno lake ambalo ndie mwanae Neno alipo uvaa mwil ndipo kaitwa mwana Yoh1:14 Wala kabisa huwezi kutenganisha mungu na neno lake.
@user-ox1tt3on3i
@user-ox1tt3on3i 2 ай бұрын
Amina
@mchjohnmasegese8193
@mchjohnmasegese8193 2 ай бұрын
HUJUI HUJUI HUJUI CHOCHOTE MZEE.
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 2 ай бұрын
Nyi oeni mke mmoja mzae watoto wawili..waislamu wanaoa wake wanne watoto ishirini baada ya miaka mia wanatawala
@JoiceUrio
@JoiceUrio 2 ай бұрын
Ukisoma kitabu cha ezekieli 1 na kuendelea unaweza kuona kuwa mungu ni ROHO. Utaona kuwa yesu ni ukuu wa 2 wa mungu
@JoiceUrio
@JoiceUrio 2 ай бұрын
Kitabu cha ezekieli icho mzee wangu. Upo sahihi
@ahmednnaina451
@ahmednnaina451 2 ай бұрын
Ninachojiuliza Ina maana mungu amekosa njia zote za kuja dunian mpak aingie tumboni kwa mariam then atokee sehemu ya siri ya mwanamk then badae atairiwe na waja wake halaf waja wake wafany dhambi akazibeba yeye halaf akapigwa na waja wake tena wakamsulubu wakamvua nguo wakambakizia nguo moja tu tena akafa mmmh inafkirisha jmn hem jmn tufuatilie kwa umakini uungu wa yesu
@nameless533
@nameless533 2 ай бұрын
Mungu wako amekosa njia zakukusamehe dhambi mpka uende mecca ukalizunguke jiwe jeusi nakulibusu.?
@gellahkwirambika5974
@gellahkwirambika5974 2 ай бұрын
Mchungaji mzee wa upako jambo hili umelingundua lini? Je toka mwanzo uliwaambia watu haya kuwa Yesu sio Mungu Au umepata ufunuo wakati huu au ulikuwa unajua muda wote na ulikaa kimya kama haukusema hivi toka mwanzo kwaiyo na wewe umewapotosha wengi na wengine wameshatangulia mbele ya haki?
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p 2 ай бұрын
Hilo ni sawa Mzee, bado suala la sabato na sehemu ya mtu kuendelea kuishi baada ya mtu kufa huku ikidaiwa kuwa kutakuwa na ufufuo.
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn 2 ай бұрын
Kwahiyo aliposema natufanye mtu kea mfano wetu alimabisha nini kama unazikataa nafsi tatu. Tunajua Mungu ni mmoja lkni lazima awe na nafsi tatu. Lkni Yesu katika andiko la Yohana 8:56-58 Anajitanabaisha mwenyewe kuwa alikuako kabla ya Ibrahim nae Ibrahim alifurahi kuiona siku yake. Sasa u ashindwa vipi kumjua. Lkni Yohana 20:28 alipojidhihirisha kwake alisema Bwana wangu na Mungu wangu Yesu akamwambia wewe umeniona na kusadiku heri yao wasioona wakasadiki. Yesu anakiri kuwa ni Mungu na nibwana afu mzee wa upako tubu maana unakufuru, mwenye uwezo wakuumba ni Mungu tu. Yoh 1:14 naye neno alifanyika mwili akakaa kwetu akawa na utukufu kama mwana pekee wa MUNGU. bila yeye ulimwengu usingefanyika, huyu ndiye niko ambaye niko. Huelewi nini mzee wa upako. Soma maandiko.
@HAPPYSULE
@HAPPYSULE 2 ай бұрын
Amina umenena
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 2 ай бұрын
@@HAPPYSULE kabisa
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 2 ай бұрын
Ndugu , Kwanza Tambua Yesu ana Mafumbo Ukibisha nitakupa Mithari Zake , Mungu ni Roho na Kweli Yaani Maana Yake Roho ya Mungu inauwezo , Ambae ndiye Yesu na ni Mungu Soma Warumi 9 - 5 . Soma Tena Luka 2 - 21 . Soma Tena , 2Wakorintho 5 - 19😮 Soma Mathayo 1 - 23 inasema Tazama Bikira Atachukua mimba naye atazaa Mwana Nao Watamwita jina lake lmanueli Yaani Mungu Pamoja Nasi , Soma Mathayo 1 - 18 hii Mimba alichukuwa kwa Uwezo wa Roho Mtakatifu , Kumbe Kuna Roho Mtakatifu Yenye Uwezo . Soma Yohana 4 - 24 .
@planetanimals9547
@planetanimals9547 2 ай бұрын
Ukweli ndio huo yesu sio mungu hajasema yy km nimungu ila watu ndio walimsemea hivo, na warumi ndio wapagani walioichafua injili
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 ай бұрын
We Mzee WA upako utakua na Pepo , naomba nikuulize swali kama Yesu sio Mungu kwanini kwanini Siri ya utauwa ikawa ni kuu , Kwanza unaelewa kua kuna Siri saba za Mungu , au kwanini unaelewa yeye awe ndio ufufuo na yeye ndo awe mtoa hukumu , na kwanini yeye ndo atashuka na jeshi la mbinguni , na tunaona kiti cha Enzi cha hukumu na Yesu akiwa duniani ,
@donaldmwanamenda2171
@donaldmwanamenda2171 2 ай бұрын
Yesu sio mungu, mungu sio wengi , mungu ni vilediense ni uwepo usioonekana na mungu hakuumba kwa kushirikiana na kiumbe. Bali alitumia muujiza wake ambao ni biagani badaheri
@AlfredZacharia-of3je
@AlfredZacharia-of3je 2 ай бұрын
YESU NI MUNGU soma Wafiripi 2:6....... Ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nachoWafilipi 2 : 7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;Wafilipi 2 : 8 tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 2 ай бұрын
Ni ufahamu wake umeishia hapo sikwamba hayaoni
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 ай бұрын
Sasa wewe una akili kweli ? hizo wafiphilip hizo ni barua za Paulo au haujui kama hizo ni barua za Paulo? we unatuletea barua za Paulo hapa ? wapi andiko yesu aseme mwenyewe na sio asemewe na watu
@mwlfau60
@mwlfau60 2 ай бұрын
Kama hizo ni barua za Paulo, mbona mzee wa upako alipozirejelea kwasababu ameendana na matakwa yako umekubaliana naye?
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 2 ай бұрын
@@mwlfau60 moja ya mashaka ya makuhani na mafarisayo kuhusu Yesu ilikuwa kujifanya sawa na Mungu,alijifanyaje sawa na Mungu,1:kumuita Mungu Baba yake, 2:kumwambia mtu amesamehewa dhambi ili hali mwenye asamehe dhambi ni Mungu ,3:kusema Yeye na Mungu ni kitu kimoja,kusema alikuwapo kabla ya Ibrahim hajakuwako ali halii katika mwili Ibrahimu ni mkubwa sana kuliko Yesu.na hoja zao zilikuwa sahihi ,swali langu kwa hao wasioona uungu wa Yesu nyinyi mna akili kushinda mafarisayo na makuhani waliomsikia akiongea,je hoja zao mnaziweka engo zipi,au waliyomshitakia hakuyafanya na kuyasema?
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 ай бұрын
ww ni mpumbavu wafilip huyo ni Paulo na ndiye mwalimu wa ukristo aliyewatia mkenge kuwambia yesu ni Mungu
@reganpaul8542
@reganpaul8542 2 ай бұрын
Chief mwalimu bhanaaaa
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 2 ай бұрын
Mwenyezi mungu akujalie ufe ktk imani iyoiyo usibabaishwe nahao watumishi washirikina simamia ukweli uokoe nafsi yako
@adsonsweet6284
@adsonsweet6284 2 ай бұрын
Yesu hakuwahi kusali kwenye masinagogi bali alikwenda kufundisha..... Na pia kusali Jumamosi sio wakristo bali ni wayahudi au wasabato washika sheria za Musa ..... Sisi ni wa Kristo na Yesu alifufuka Jumapili ndo siku yetu ya kusali acha kupotosha watu Mungu anakuona
@NeliaMwenisongole
@NeliaMwenisongole 2 ай бұрын
My Biblical Educator, mentor, role model, Mungu azidi kutumia Na kukutunza Baba
@user-es6lq1bv1j
@user-es6lq1bv1j 2 ай бұрын
Mungu wetu bwana wetu Yesu kristo,Yeye ndiye Mungu mkuu muumba mbingu na nchi na pasipo yy hakuna chochote kingefanyika,kabla hajawa Yesu yeye,yeye akikuwa neno,yeye alikuwa Roho! Yeye ni Roho! Mungu Roho mtakatif alijiumbia mwili ile nguzo ya moto iliyokutana na Musa ktk kijit,ilijiumbia mwili wa kibinadam ili Mungu afanane na wanadam apate kuwaokoa watu wake,akapewa jina la kibinadam kwa maagiz yake yy mwenyew! Maan Mungu cio jina ni uweza au sifa za kitu fulan! Hvo yy alijiita Yesu kwa agizo la malaik wako,soma mathayo kuxaliw kwa Yesu! Paulo akienda dameski alikutana na hiyo nguzo ya moto ikasema mm ni yesu unaye nitesa! Musa ilimwambia mimi niko ambaye niko! Nk! Asa ww unadanganya watu unakurupuk tu unakuj kweny media!
@samsonfredricktv
@samsonfredricktv 2 ай бұрын
Naomba msaada wa Tito 2:13 inavyo mtaja Yesu ni Mungu kitabu hiki kilikosewa??
@planetanimals9547
@planetanimals9547 2 ай бұрын
Tatizo lakitabu chenu hakina luga ya asili ya uteremsho ndio mana bibilia zinatofautiana tofauti na quran ambayo luga yke ya asili nikiarabu kwamaana hio mtu akitafasiri quran tofauti na uhalisia itabainika tu mbele yawasomi waluga
@Minister_Jamesdavid_Tv
@Minister_Jamesdavid_Tv 2 ай бұрын
Iyo Qurani ndo hamuielew kabisa ,Je ambayo hawajasoma na hawajui kiarabu inakuaje
@SaidesMasyen-yw2tc
@SaidesMasyen-yw2tc 2 ай бұрын
Sikupingi chief mwantembe umeongea facts Sana.... kiukweli kuna mahali tumefikia nafikr hata yesu mwenye anatushangaa sana.....
@AllyPawaga
@AllyPawaga 2 ай бұрын
Mzee wa upako hilo kanisa libadilishe kuwa msikiti uende zako peponi naona ushaujua ukweli.....Allah akupe umri mrefu
@shadrackmukandishadm7259
@shadrackmukandishadm7259 2 ай бұрын
Katika kitabu cha Isaiah inasema kwamba Yesu ni ...Mighty God .....Prince of peace
@BarakaMgonza
@BarakaMgonza 2 ай бұрын
Mungu ni mmoja tu
@user-gn8zs4qx2y
@user-gn8zs4qx2y 2 ай бұрын
Wakristo someni
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r 5 күн бұрын
Mimi muislam mafundisho ya mzee wa upako na askofu Hananja nawapenda sana na mafundisho Yao Hawa watu wanajua Bibilia vizur sana pia Wana hekma mkubwa.
@stevenmwagowa1258
@stevenmwagowa1258 2 ай бұрын
Maria mama wa Mungu kumbe yesu ni Mungu
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 2 ай бұрын
Lete hoja kutoka kwenye kitabu
@martinisadru9899
@martinisadru9899 2 ай бұрын
Tunao amini YESU ni MUNGU kwetu sisi wanadamu! (Na MUNGU ni mungu kwa viumve wote) Tugonge like 👍
@hamisiomari6181
@hamisiomari6181 2 ай бұрын
Kwani kuna mungu wawili?
@NeliaMwenisongole
@NeliaMwenisongole 2 ай бұрын
Mungu ni mmoja tu
@bonifacemwansasu6638
@bonifacemwansasu6638 2 ай бұрын
Yes naungana nawe YESU ni MUNGU kweli ,huwezi kumte ganisha YESU na MUNGU, hao ni wamoja
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 2 ай бұрын
Toeni hoja kutoka kwenye kitabu sio rai za kichwani kama yesu ni mungu thibitisha kwa maandiko hamna fala zama hizi
@brunoh_bx
@brunoh_bx 2 ай бұрын
Kasome injili ya Yohana 1:1​@@user-xm5xg1tt6d
@mulendakigusile
@mulendakigusile 2 ай бұрын
Mzee ulisema kwamba Yesu ni Alfalfa na Omega yaani ana mwanzo na ana mwisho, huko ni kutukuwa na uwezo wa kuelewa maandiko. Yesu ni Mwanzo na mwisho si kwamba ana mwazo na ana mwisho. Unatumakosa twingi tudogotudogo
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 ай бұрын
Mzee WA upako Kwan ni wakristo gani wenye Mungu WA watatu na ni dhehebu gani hilo ?
@saidsuleiman9018
@saidsuleiman9018 2 ай бұрын
Big up mzee wa upako wache waropokwe tu wasio kuelewa na kukaririshwa maneno
@jackswat
@jackswat 2 ай бұрын
Ptr. Lusekelo umechepuka!!
@lidyagadyaaminasana576
@lidyagadyaaminasana576 2 ай бұрын
Kwanini unaponda wokovu sema neno fundisha Wana wa Mungu acha siasa za kiroho
@melkizedck
@melkizedck 2 ай бұрын
Sijui mzee upako Kama utasoma sms hi. Mungu ni cheo cha uumbaj.
@rabiministry2389
@rabiministry2389 2 ай бұрын
UKISEMA YESU SIYO MUNGU UNAPINGANA NA NENO LA MUNGU. Yohana 1:18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. KAMA NENO LA MUNGU LINAMTAMBUA YESU KUWA NI MUNGU MWANA, Wewe ni nani hata useme Yesu siyo Mungu?
@mohamedmohamedy8311
@mohamedmohamedy8311 2 ай бұрын
hapo c tayari jibu umeshatoa yakuwa hakuna aliyewahi kumuona Mungu
@IsraelKijaga
@IsraelKijaga 2 ай бұрын
Walipotaka kumuona babayake aliwajibu kw amba anionae mim amemuona baba, yoh14:8,9 Hata tukiomba lolote katika jina lake yeye anatujib. Yoh14:13,14 Kubwa kuliko hayo nikwamba maandiko hayo hayo unayosema kwamba hatuyasom tunayasoma Lakini tunakunda maandiko hayo yakifunua kwamba yesu ndiye Roho mtakatifu atakae kuja kwetu nakukaa ndan yet. Yoh14:17,18 1Wakorintho15:45 Inazungumzia kuhus Adam wamwisho alie rohoyenye kuhuisha Adam huyo wamwisho ni yesu. Rum5:12-21
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 2 ай бұрын
Very educative
@juliussamwel6606
@juliussamwel6606 2 ай бұрын
Mungu ni mkuu .mno huwezi mfananisha na chochote pili .kwa kiakili za kawaida huwezi kumwelezea kibinadamu.maana ya utatu ni kitu halisi.
@neemamajana3078
@neemamajana3078 2 ай бұрын
Kwa hili Mzee wa upako hajawa na kosa, kwa sababu Yesu mwenyewe alijiita mzaliwa wa kwanza wa Baba yetu. Lakini bado biblia inamdhibitisha Yesu kuwa mwana wa Mungu. Lakini Yesu anasemaje kwenye kitabu cha Yohana 14:13 ? Yesu anakiri kuwa yeye anafanya kwa ajiri ya Baba yake. Sasa Yesu akiwa mwana kuna tatizo gani?? Na Baba ambaye ni Mungu mmoja yupo? Kwani hapo kuna tatizo gani? Acheni kumuonea huyu Mzee kwa jambo hili.
@leahkibesise3089
@leahkibesise3089 2 ай бұрын
Huyu anachanganyikiwa na si muda ataokota makopo, akirudiwa na ufahamu atakiri ya kuwa Yesu ni Mungu, yatamkuta ya Nebukadreza
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 2 ай бұрын
Tatizo wakristo hawajui biblia hata ukisoma comments utagundua ufahamu wa wengi ni mdgo sanaa kuhusu biblia.mzee ametoa fundisho gumu ambalo sio rahisi kueleweka kwa wanaotetea dini na hawapo tayari kujifunza neno la Mungu
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 2 ай бұрын
Apo ulipo ata roho wa MUNGU una.upoupo tu pole sana
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 2 ай бұрын
Soma Yohana 1,2.... Hapo mwanzo kulikuweko na neno sasa jiulize kwanini ianze na neo wakati Bwana wetu Yesu kristo ndio neno? Tafakari hili kwa kina; kwanza kabla hujajibu jiulize kwanza Jina Mungu lina maana gana maana ila mimi kwa kufahamu kidogo ni kuwa Mungu ni Yule unaemuweka Kuwa kila kitu kwako ndio maana kila Dini ina Mungu wake na Shetani Ametajwa kama Mungu wa Dunia hii, Yeye ni Baba wa uovu wote ndio maana ukifanya dhambi ujue unamtumikia shetani.
@SIMONZAVERY
@SIMONZAVERY 2 ай бұрын
Soma bible vzuri mzeeee
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 2 ай бұрын
Unahisi anakosea? Nyoosha we maandiko tupia you tube nione
@mohamedkhairudin6418
@mohamedkhairudin6418 2 ай бұрын
Nakukubali sana mzee wa UPAKO hakuna mchungaji anayekufikia
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 2 ай бұрын
Bosi mmoja tuuu, kampuni yenye mabosi watatu...
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 2 ай бұрын
Wacha kumtaja yesu Kwa unafiki.soma isaya 9:6 soma yohana 1:1 kuzimu inakusuwa kwasababu umekula vyakwao pole sana.injili ni uweza wa MUNGU uletao ukovu.ata kuzimu ukutume vp uwezi.kutupotosha sisi ni wanafunzi wa yesu kristo nipo imara sana kulikuko ww.njaa ndo inakusuwa.kuzimu inakulazimsha kumkana YESU.ila ww Mzee ata waumini wako utakuwa umewaloga.maana wanaokupgia makofi.bila kujuwa unawapeleka kuzimu pole sana
@user-es6lq1bv1j
@user-es6lq1bv1j 2 ай бұрын
Hapo mtumishi WA Mungu umefeli,umesema biblia nzima hakuna andiko hata moja ilnalomtaja Yesu kuwa ni Mungu,nenda kasome walaka WA Kwanza Wa Yohana5:20-21
@user-wf8eb6nm4s
@user-wf8eb6nm4s 2 ай бұрын
Upo sawa mzee yesu SI mungu mungu ni mmoja tu wa milele
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 2 ай бұрын
Anayembishia mzee wa upako abishe kwa maandiko sio mnakurupuka tu someni mmefanya bibilia ni mzigo wa jumapili na mmekariri mapambio tu yaliyoandikwa ndami hamyajui mmekua bendea mnafata upepo mwenye kubisha atoe andiko yesu sio mungu
@joneshelberth1025
@joneshelberth1025 2 ай бұрын
Unakataa utatu Mtakatifu kwa maneno mengine, lakini unaukubali kwa maneno mengine. Mfano, unaposema Mungu ni mmoja ila anafanya kazi katika idara 3, una tofauti gani na anayesema Mungu ni mmoja ila anafanya kazi katika nafsi 3? Kiukweli nimekusikiliza kwa makini ila sijakuelewa kabisaa.
@user-uv9ps3ow4s
@user-uv9ps3ow4s 2 ай бұрын
Mimi mwenyewe sijamwelewa kabisa. Coz anakataa na kukubali
@mashinebinhawaa8776
@mashinebinhawaa8776 2 ай бұрын
Mzee wa upako eka tu wazi kuwa roho mtakatifu ni malaika zake mungu akiwa kiongoz wao ni gabriel
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 2 ай бұрын
Duuu mmekutana maamuma
@allythabiti8150
@allythabiti8150 2 ай бұрын
Hongeren waikristo kujitambua sasa, kilichobak ni kujua dini yenu tu
@johnjeremiah5117
@johnjeremiah5117 2 ай бұрын
Mzee sasa umeanza kuchanganyikiwa sana
@impeccablerito7922
@impeccablerito7922 2 ай бұрын
Mzèe wa upako ana umri mrefu kushinda ww na pengine kaanza kusoma biblia kabla ata ww ujazaliwa. Kujua kwake biblia kaona mambo kibao yanakidhana na akuna ukweli na ndiomaana anaweka wazi. Ww endelea kusomewa biblia na kupokea maneno nina iman mkristo yoyote atayesoma biblia kwa akili zake timamu lazima Ataona ni Dini ya kutengeneza.
@AllyHaji-qf2kg
@AllyHaji-qf2kg 2 ай бұрын
Yesu c mungu wala c mwana wa mungu ni mtume wa mungu na yesu mwenyewe ndio kasema
@abdulrahmankafuku3449
@abdulrahmankafuku3449 2 ай бұрын
Excellent, Siku zote hawa Mbumbumu ndiyo wanaosumbua hawajui lolote kuhusu yesu , waambie tuu ukweli makanisa mengine yanafanya kazi ya shetani 😂😂😂
@brunoh_bx
@brunoh_bx 2 ай бұрын
Kwa maana hiyo maandiko ya injili ya Yohana sura ya 1 sio sahihi maana ukisoma pale inasema "nae Neno alikuwa Mungu" au tuseme hiyo mistari ilikuwa haimuongelei Yesu?😮 Mwenye majibu anifafanulie hapo
@saidsuleiman9018
@saidsuleiman9018 2 ай бұрын
Wewe kiakil tu je hao mandiko yote yanao tenganisha mungu na yesu unayafanunua vp
@brunoh_bx
@brunoh_bx 2 ай бұрын
@@saidsuleiman9018 Na hili andiko tunalifafanua vp maana nalo lipo katika Biblia
@brunoh_bx
@brunoh_bx 2 ай бұрын
@@saidsuleiman9018 Kuna jamaa pia ametoa andiko la Warumi 9:5
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 2 ай бұрын
Wewe ni mnafiki kama ni kweli Yesu Kristo alisali jumamosi mbona wewe na kanisa lako wote mnafanya ibaada jumapili?
@EmmanuelJulius-vw2dl
@EmmanuelJulius-vw2dl 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 siamin kma Mungu kaamimua kukuterekeza kwa kias hiki😂😂😂😂😂, mzeee ayaaa,sis tupo hpa tukikushuhudia had mwisho wa siku
HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA
21:53
Mzee wa upako
Рет қаралды 36 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!
19:52
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 13 М.
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Issack Mzava
Рет қаралды 1,6 М.
Sijawahi Kusema, Ninao Maadui Mtume Mwamposa
41:00
Chomoza Tv
Рет қаралды 55 М.
ETI YESU NI MUISLAM?
29:13
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 9 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН