MZEE WA UPAKO;YESU HAKUA MKRISTU WALA HAKUWAHI KUINGIA KANISA LOLOTE,ALIINGIA MSIKITINI TU.

  Рет қаралды 351,470

Mzee wa upako

Mzee wa upako

2 жыл бұрын

Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za KZfaq Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

Пікірлер: 1 400
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 жыл бұрын
Madini hayooo !!! Huyu Baba Anajua Mpaka basi Mimi ni Muslim lakini Mahubiri yake Ni Safi sana hapendi kona kona
@eppiemodest
@eppiemodest 2 ай бұрын
Kila mmoja na imani yake. Utatu mtakatifu aheshimiwe. Baba. Mwana na Roho mtakatifi Nafsi ya kwanza ni Mungu Baba aliyetuumba pamoja na dunia na vyote vilivyo ndani yake. Nafsi ya pili ni Yesu Kristo Mkombozi wetu, Alifia Msalabani tupate msamaha wa dhambi kipitia damu yake. Nafsi ya tatu ni Roho Mtakatifu ambaye anatupa mwongozo na kutuimarisha katika imani yetu ya Ukristo. Ndiyo maana huwa tunasononeka tukifanya mabaya au kufarijika tutendapo mema. Ni Roho Mtakatifu yuko kazini.
@rajabually8659
@rajabually8659 2 жыл бұрын
Mzee wa upako wewe kweli ni msomi wa biblia hongera sana kwa kuwa mkweli
@fredjoel1350
@fredjoel1350 2 жыл бұрын
Hasa akinywa konyagi anakuwa mkweli😂
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 2 ай бұрын
Hongera Mzee wa upako umenena vema Kwa zaidi ya 90%
@kimweritz6364
@kimweritz6364 2 жыл бұрын
Wanaelewa sana Mzee wa Upako tatizo wanapinga ukweli kulinda MASLAHI YAO makanisani huko
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@richardmushi1062
@richardmushi1062 Жыл бұрын
We need more of this wisdom, especially now. Ubarikiwe Askofu.
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 2 жыл бұрын
Allah akuongoze in sha Allah umenena vyema
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
ALLAHUMMA AMMIYN
@brunoh_bx77
@brunoh_bx77 7 ай бұрын
Mzee wa upako ni very brilliant yaan anajua kuhusianisha maandiko matakatifu na maisha ya uhalisia, hongera Mungu akubariki sana kwa elimu hii uliyotupatia👏👏👏🙏
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 2 жыл бұрын
Nimekuelewa Mzee na nimwjifunza kitu kikubwa Sana Leo.. Nimejifunza Utu Upendo na Umoja wa wanadamu dhidi ya Shetani ndio Lengo la Mungu kuleta madabii Mirume utume na Unabii... Shetani katuzidi Hadi tunakua na Umoja wa baadhi yetu wanadamu dhidi ya wanadamu wenzetu.. Asante Sana
@khamisikapopo9356
@khamisikapopo9356 2 жыл бұрын
Unawakera Sana umekuwa Bernard Morison unawakera mzee wa upako
@lizzygussep2051
@lizzygussep2051 2 жыл бұрын
Leo Ndy nimekulelewa last time hukufafanua vizuri Asante baba
@hamidafundi-pw1gw
@hamidafundi-pw1gw Жыл бұрын
Asante Askofu Mzee wa Upako. Kwa hakika nimejifunza.. Hakika mwenye akili hujifunza kutoka kwa wengine. Tushikamane kumrejea MWENYEZIMUNGU .Dini ni njia tu ya kurejea KWAKE.
@user-rq1ir9jq1d
@user-rq1ir9jq1d 2 ай бұрын
Story huwa ni tamu,,, lakini mara nyingi huwa ni uongo au ubunifu,,,, Cha msingi ndg yangu tusome maandiko yatuhekimishe na kiukweli kuhusu dini hatuwezi kuelewa chochote bila kurejea ktk historia halisi iliyobeba Alpha na Omega yaani Mwanzo na mwisho Nayo ni Mwa 1:1-31 ALPHA yaani MWANZO. Na Mwa 2:2-3 OMEGA yaani Mwisho. Kwa pamoja Alpha na Omega unadhihirishwa ktk Mwa 2:1-4 , huo ni mpango mzima wa Mungu hadi Itokee mabadiliko kutoka Mungu kuumba upya na kufuta uumbaji wa kwanza....... Hata hivyo akiumba upya anarejelea Alppha na Omega tena Isaya 66:22-23 na Wakati atafuta wote watakaomwasi ktk hilo Isaya 66:24.…....... Tafakari ndg ya uharibifu mkuu unaendeshwa na Watu wasiotaka kusema ukweli ila wanataka kupoteza sura ya Mungu kwa wanadamu duniani kote Eze 22:24-26.
@user-rq1ir9jq1d
@user-rq1ir9jq1d 2 ай бұрын
Atazidi kuwadanganya kwakuwa yeye ni wakala wa shetani.... Iko atasema ukweli tu...tumwombee
@abedkirway8668
@abedkirway8668 2 жыл бұрын
asante baba Mungu akubariki sana uendelee kutufundisha neno la Mungu uwe na umri mrefu baba
@shabansalum9283
@shabansalum9283 2 жыл бұрын
Wewe mzee nimkweli sana Mungu akuongoze njia
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuongoze kwenye njia njema
@aaaaaah290
@aaaaaah290 2 жыл бұрын
AWE MUISLAM 😁😁😁😁
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 2 жыл бұрын
@@aaaaaah290 Ameen
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 2 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu uliotupatia, kwavile umesema wewe wengi wataamini. Tuletee mwendelezo kuhusu Yesu ili tufaidike kwa mengi tuliokua hatuyajui
@sadaralmas4185
@sadaralmas4185 2 жыл бұрын
Big up mzee waupako,endelea kufundisha wajue ukwel upo wap.malizia tu yesu alisali kwenye sinagog ambao nimsikt ili waongeke.amani sana.
@elisantennko8222
@elisantennko8222 2 жыл бұрын
Nakubali uchambuzi wako.Tatizo watu wanaenda Bible School kukariri ili wapate vyeti ,hawachambui semi na nahau za theology,historical.
@salminmayila4395
@salminmayila4395 2 жыл бұрын
Bwana lusekelo hujawahi kusema uongo, unasema ukweli unaoujua na unao uamini, safi sana bwana wa majeshi atakulipa
@novatidamian7236
@novatidamian7236 2 жыл бұрын
Ni kweli walokole hao kama hawapo Dunia hii! Mimi ninabo washangaa wao kila mmoja wao keshafika peponi hayuko Dunia hii ya dhambi. Kubatizwa ktk maji mengi basi kwao kibari tosha. Thank you Brother A. Rusekero
@otienoodera4142
@otienoodera4142 2 жыл бұрын
Safi sana, una ushahidi mkubwa kuhusu hilo swali ya dini.... hongera sana.
@omarimussa7904
@omarimussa7904 2 жыл бұрын
mungu akurinde kwakuwapa shure nzuri sana sana
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Жыл бұрын
Share??? Come on!
@uwezohekima-qk8ss
@uwezohekima-qk8ss Жыл бұрын
Wewe nae rudi shuleni ukaanze Dr's la kwanza ili ukajifunze irabu sawasawa unakimbilia nn kuandika mtandaoni unajichoresha tu na kumbe hujui kusoma na kuandika eti MUNGU AKURINDE Na wakati ulitakiwa kuzena akulinde alafu SHURE pale ulitakiwa uandike shule km hujui kuandika kaa kmya!!!
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 2 ай бұрын
​@@uwezohekima-qk8ssalitakiwa kuzena au kusema mkosoaji ni mwehu zaidi anza wewe kusoma irabu kisha ndo ulinganie wengine
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 27 күн бұрын
​@@MuhidiniNassorheri mimi sijasema
@faylafood756
@faylafood756 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuwezeshe
@christophermrema5277
@christophermrema5277 2 жыл бұрын
Mchungaji bwana yesu asifiwe Sana mungu akupe Afya ya Roho na mwili umefafanua vizuri sana.hakika wewe Ni mwazuoni.Amina
@frankjohn8706
@frankjohn8706 Жыл бұрын
Wanawake sio kuwa wachungaji tu hatu ukisoma historia ya utumwa hakuna wanawake walichukua watu kuwauza utumwani Nenda ziwani au baharini wanakesha wavuvi wanaume sio wanawake.njoka wa kuingia kwenye maduara migodini ni wanaume hata wachoma mkaa ni wanaume. Wapo wanawake wanaitwa wanawake wa shoka lkn hawajawahi kuangusha mti kwa shoka hizo na mpini ukivunjika Hadi mwanaume aje aweke mpini.mwanamke akishika shoka atakatia Kuni miti mikavu sio magogo
@aristidesvedasto7855
@aristidesvedasto7855 Жыл бұрын
​@@frankjohn8706Hakuna cha kuongeza uko sawa kamanda
@simasima8084
@simasima8084 Жыл бұрын
@@frankjohn8706 Yan ww nyau umefafanua mpka nikaelewa 👍
@user-qi8ln1qf7h
@user-qi8ln1qf7h 2 ай бұрын
Allah haufanyie wepesi my broo kwani wengi wanapenda kudanganyw sanaa
@edwardmalila5230
@edwardmalila5230 2 жыл бұрын
Upo vzr mzee wa upako leo nimekuelewa vizuri
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Mungu akujalie usilimu kwa sababu umeeleza ukweli mtupu
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Amina
@Amosbuzinzira
@Amosbuzinzira 4 ай бұрын
Hata wewe bado haujaelewa Yesu sio mkristo Yesu ni Kristo mwenyewe (Masihi)
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 ай бұрын
​@@Amosbuzinzirando ameelewa hivo ww nd hujaelewa
@mwigaali1942
@mwigaali1942 2 жыл бұрын
Mumewadanganya wezenu kwa miaka na mikaka sasa uongo jitenge ukweli dhihirikaa🙌🙌🙌
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 2 ай бұрын
Kashawapiga pesa wajinga miaka mingi kashatajirika leo anawakana
@samweldonati6596
@samweldonati6596 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa kunifundisha kwani nilikuwa sielewi kitu juu ya ukristo
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
You have talk the truth my freand god bless you
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 2 жыл бұрын
Hongera mzee WA upako sema ukweli mie shabiki wako mkubwa
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 2 жыл бұрын
Mch akiri nyingi sana nakupenda sana.
@FadhiliAdam-oc2kk
@FadhiliAdam-oc2kk Жыл бұрын
Nimekufatilia saana uko sawa umesoma Mungu akupe afya njema uzidi kuwa elimisha watu
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 жыл бұрын
Mzee nimekuelewa sana ingawa mimi ni msilamu mungu akubari sana
@fredyfile623
@fredyfile623 2 жыл бұрын
Kama hata siku moja hushiki na kusoma maneno ya mwenyezi Mungu hutakiwi kubishaa kitu bcz utabishana na mambo usiyoyajua cha muhimu tujitahidi kusomaa maneno ya mwenyezi mungu mara kwa mara. Kafafanua vizuri sana.
@qeytherymasoudy4547
@qeytherymasoudy4547 2 жыл бұрын
Idhajaaaa anasuru llah walfatuh. Wala ai ta nnasa yadighuluna fidiini llah afuaja fassabbih bihamdi rabikah wa staghafiruh innahuu kana tauwabaaa HICHO NDICHO KINACHOTOKEA SASA IVY QURAN HAIONGOPIII WAISLAMU TAKIBIIIR
@kawezaseleman5794
@kawezaseleman5794 2 жыл бұрын
Leo nimeamini mzee wa upako msema kweli kabisa namimi nimesoma nimeyaona hayo
@bamsimba7835
@bamsimba7835 2 жыл бұрын
Huyu Kuna maneno huwaanawaambia wafuasi wake wawewanayatumia kila mara hayo maneno ni tafsiri ya ayatul kursy. Nazifahamu hiitafsri ila anaongeza na maneno yake na jina la yesu pia amelichomeka . Huyu anatakakuishi vizuri ila anafahamu kila kitu.
@tahiyaabubakar5304
@tahiyaabubakar5304 2 ай бұрын
Huo ndiyo ukweli wa mambo.Shukran sana bro huo ndiyo utata baina ya Uislamu na ukristo. Mungu awaonyeshe haki muifuate
@KilongolaAbdallah
@KilongolaAbdallah 3 ай бұрын
Hapo nimekuelewa Mzee wa upako asante kwa kutuelimisha
@ramadhaniabasi6780
@ramadhaniabasi6780 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana mzee wa upako
@user-ut2fo1hi9i
@user-ut2fo1hi9i 2 ай бұрын
Mzee wa upako nimekuelewa Sana ombi langu endelea kuwafundisha Hawa tuko pamoja na wewe
@user-kv6vc8sd7c
@user-kv6vc8sd7c 2 ай бұрын
Mungu Akuzidishie Imani endelea kutufundisha wanaokupinga achana nao wakasome tena
@KandidoLuvanga
@KandidoLuvanga 3 ай бұрын
Haya umeniongezea uelewa umepanua vichwa vya watu hasahao wa madhabahuni wameze wembe huo saiziyao 🙏🙏🙏👍👍👍
@jorammsemakweli3116
@jorammsemakweli3116 7 ай бұрын
Eleza vizuri kuwa kanisa lilianza baada ya kushuka Roho mtakatifu kutoka dini ya kiyahudi yenye kuabudu Mungu Yahweh na kuamini katika njili kwa neema ya ukombozi kwa njia ya Msalaba.
@isayaclement9999
@isayaclement9999 4 ай бұрын
Wewe jamaa acha uongo, kanisa lilikuweko toka enzi na enzi
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 3 ай бұрын
Msitari wa ngapi?
@user-sy3qw2zk1b
@user-sy3qw2zk1b 2 ай бұрын
" Kwa sababu neno msalaba Kwa wanaopotea ni upuuzi , Bali kwetu sisi ni nguvu ya MUNGU"! Korinthi 1 _ 18 _ 30
@AshaHusseinMussa-ul7vt
@AshaHusseinMussa-ul7vt 2 ай бұрын
@@user-sy3qw2zk1b salale duuuu! Kwa nguvu ya msalaba, hawa wapagani wanawadanganya sana, wanawafanya kama kuku, laiti kama kuku angelijua kuwa mwanaadamu anamfuga kwa ajili ya nyama yake unafikiri angelikaa na ww, lakini akili ya kuku imewezwa na binaadamu ndivyo hivyo hivyo, kwenye ukristo na uhusiano na msalaba, ngoja nikurejeshe nyuma kidogo kwenye historia na sio stori, maana kuna tafauti history na story, wengi wetu tumezoea story. Kwasababu ni wavivu wa kusoma, hapo zamani ilikuwa hivi, alipozaliwa Yesu hapo hapo Yudea, watawala walikuwa ni Roman empire, tekful wa hapo alikuwa Pilato, mfalme wa Roma alikuwa Julius Caesar, kaisari, Roma ilikuwa na nguvu sana, super power, kama unavyoiona leo Marekani, ilitawala dunia nzima, walikuwa makatili na mahabithi sana imani yao walikuwa ni wapagani wanaoabudu masanamu na mambo mengine ya ujinga, Christmas ya tarehe 25 Dec ilikuwa yao, hadithi za lucifa au Morning star, au shetani, hadithi za Mungu kuzaa na binaadamu, zilikuwa zinapendwa, wakieleza kuwa kulikuwa na Mungu jina lake akiitwa Zeus, huyu Zeus alizaa na bin adam akazaliwa Hercules, hata mfalme mwenyewe Julius Caesar aliitwa Mungu, suala la Trinity, utatu mtakatifu na mambo mengine yalikuwa yamo kwenye mila zao za kipagani, alipozaliwa Yesu na kuanza harakati zake kama mwalimu na kuvutia watu wa Roma wakamouna kuwa political threat kwao, na kwa kuwa wayahudi hawakufuata imani yao ya Kipagani wa Roma walipata upinzani mkubwa wa kiimani kwa hiyo alipanza Yesu mahubiri yake akiwa na umri wa miaka 33, waroma waroma wakapanga kumuua ili kuondoa upinzani dhidi ya Emperor wao Julius Caesar, kilichotokezea kimetokezea, waliamini baada ya kumuua yesu ndio upinzani utakwisha, ikawa tafauti wafuasi wake walizidi kueneza mafundisho yake, miaka sabiini baada ya kuondoka Yesu waroma wakavamia Jerusalem na kuteketeza maandiko na mengine kuyachukua, bare in mind kuwa hapo zamani kulikuwa hakuna machine za copy wala vitabu havikuwa vingi, maandiko mengi yalikuwa ya agano la kale kuliko jipya, kwa hiyo wakachukua maandiko na kuyapeleka huko roma na kuyafungia, miaka 321 ya maisha vita vilikuwa vingi sana na Roma ilianza kupoteza nguvu zake, Mfalme Constantine the great akaja na wazo, la kumaliza upinzani bila kumwaga damu nyingi, akafa kikao huko Nikea, akachuchua yake mambo ambayo sio threat kwao kutoka kwenye taurat na injil, yaani agano la kale na agano jipya, na kuchanganya na hayo mambo yao ya kipagani, kama vile hiyi sherehe ya Christmas, hadithi za Morning star, Lucifar, Samson and Dalila na mambo tele, ya maandiko ya Paulo, na kuja na bibilia, wazungu wanasema if you cannot defeat them join them, kwa hiyo hilo suala la msalaba badala kuonekana ni laana likafanywa uukozi, ili kuondosha tuhuma kwa wa Roma, walipo kwisha kutengeneza wakawapelekea wayahudi bibilia, wayahudi walipoisoma wakasema hii ni kufuru wakakikata kitabu hicho na wakaupinga ukristo kwa nguvu zote kuwa ni uzushi, kwa kuwa roma ilikuwa na nguvu wakaeneza imani hiyo kama dini duniani kote, yeye mwenyewe Constantine hakuuamini ndani ya moyo wake, hadi akiwa kitandani mauti yakimkaribia, lawama zote za mauwaji ya yesu wakatupiwa wayahudi, kama vile unavyoona leo, ni nani anaewalaumu wazungu kwa biashara ya utumwa, lawama zote wametupiwa waarabu, utumwa wa east Africa wameupa jina Arabic slave trade, na ule mkubwa wa wazungu ukaitwa Triangular slave trade, au Antlantic slave trade, kwa hiyo mzungu humuoni hapo, halafu akandika historia kuwa wao ndio waliokomesha biashara ya utumwa, wakati mapinduzi ya viwanda ndio yaliondoa mahitaji ya watumwa, chefuuuu, kwa hiyo msalaba sio nguvu ya ukombozi, ni kama mwenge wa taifa unazugwa wewe tu kiimani. Ukristo unatumika kama platform ya wazungu kuleta ideology yao ya freemanson, World order. ni imani ya kishetani haina uhusiano na Yesu wa Nazaretti.
@chrismtitu799
@chrismtitu799 2 жыл бұрын
Welldone.God bless u.Amen
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 жыл бұрын
Mzee wa Upako Yuko sahihi, Kumuita Yesu alikuwa Mkristo ni sawa Na Kusema Mungu ni Mchamungu, Yesu Mwenyewe alisema Hajaja Kuanzisha Dini. Na Akasema Dini Iliyosafi ni Nini
@elishakitumbu5719
@elishakitumbu5719 2 жыл бұрын
Reta andiko
@davidngwesa
@davidngwesa 2 жыл бұрын
@@elishakitumbu5719 reta au leta???
@alexmwita5426
@alexmwita5426 2 жыл бұрын
Sawa kabisa maana ukristo umeamza baada ya yesu kufa na kupaa mbinguni
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 жыл бұрын
@@elishakitumbu5719 Yakobo 1.27 au James 1.17 Religion that God our Father accepts as pure and faultless is this: to look after orphans and widows in their distress and to keep oneself from being polluted by the world.
@faylafood756
@faylafood756 2 жыл бұрын
Bwana mchungaji umeongea maneno mazuri sana, nimefurahi nafsini mwangu, naomba utuweke wazi usifiche kwa maana mungu a nakuona na kuku sikiliza na mwisho wa siku utarudi kwake usifiche kwa kumfurahisha mtu. Yesu alikuwa dini gani? YESU na Nabii Muhammad ni ndugu au sio ndugu? Mungu akuongoze kwa jibu zuri.
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 2 жыл бұрын
Jibu mbona umelipata
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 2 жыл бұрын
Yesu alikua Muyahudi, Uyahudi ni dini pia ni kabila. Muhammad ni muarabu, waarabu na wayahudi ni kabila mbili tofauti.
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
@@ericalexandre2166 nakujibu, kivingine,,, Yesu na Ismail ni ndugu Kwa kushea babu mmoja yaani Ibrahim, kumbuka Yesu alizaliwa kutoka upande WA jakobo Kwa mama Sara( upande WA wakristu) na Ismail ( uislamu) alizaliwa nA hajiri mke kijakazi WA Ibrahim hajiri ..hivo wakristu na waislamu sisi ndugu,,,hivyo hatupaswi chukiana mAna babu yetu sote ni Ibrahimu
@adamsamata8754
@adamsamata8754 2 жыл бұрын
Uyahudi ni kabila sio dini na uwaraabu ni kabila sio dini
@khalfanikishki2646
@khalfanikishki2646 2 жыл бұрын
@@ericalexandre2166 Dini ya kiyahudi walitunga wenyewe ilikuwa yakishirikina. Uyahudi kabila ndo alilokuwa nalo Bwana Yesu lakini Dini Uislamu. Ndo mana aliswali kama sisi. Matayo 26:39) alisujudu.
@selemansingano
@selemansingano Жыл бұрын
Allah akuongoze ktk njia ya haki Ufe ali yakua ni Muislam safi usione aibu mzee wa upako Mwenzio Mchungaji wa Afrika kusini kaujua ukweli kasilim yeye na wafuasi wake leo kanisa lake lime kua msikit mwenyez mungu akuongoze inshallah
@ababukarlinus9355
@ababukarlinus9355 Жыл бұрын
Mzee wa upako anajua vizuri sana uislamu Kwa sababu amesoma sema kinachowaweka huko ni pesa tu na si kiimani .
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 2 жыл бұрын
Udugu wa Yesu Na Muhammad (S.A.W‏﴿ ulitokana kwa watoto wa Nabii Ibrahim, Isaac na Ismail, Yesu ni katika kizazi cha Isaac na Nabii Muhammad (S.A.W‏﴿ ni katika kizazi cha Ismail. Yaani Hao asili yao Babu zao ni ndugu
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Acha kupotosha watu Muhamadi ana undugu na Yesu kivipi? Muhamadi ni Mkureshi yassue Muyahudi
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
Unajua tatizo si hoja, ni namna ya kuitetea hoja.wengi wanatoa hoja wanashindwa kuielezea kwa sababu wanakopi na kupesti.ila mzee nimekukubali kwa kuitetea hoja ma ana wewe hujakopi na kupesti bali umebobea.big up baba.
@blessingblessing9641
@blessingblessing9641 Жыл бұрын
Karibu katika dini ya haki islam
@deusdeusibrahimdeus2149
@deusdeusibrahimdeus2149 Жыл бұрын
Kichwa hiki bn
@JestinaMakamba
@JestinaMakamba 5 ай бұрын
😅😅😅
@JestinaMakamba
@JestinaMakamba 5 ай бұрын
Mungu haangalii dini we tenda yaliyo mema pole sana mtu wa mungu ukizani dini ndo tiketi ya kwenda mbingini 😂😂
@JestinaMakamba
@JestinaMakamba 5 ай бұрын
Mungu haangalii dini we tenda yaliyo mema pole sana mtu wa mungu ukizani dini ndo tiketi ya kwenda mbingini 😂😂
@maulidharuna183
@maulidharuna183 2 ай бұрын
Jamaa hili linajua sana hadi linakera kudadeki
@enockmgata6054
@enockmgata6054 2 жыл бұрын
Shati kali baba yangu
@issatwaha3093
@issatwaha3093 2 жыл бұрын
Wafafanulie wajue vizuri
@AndrewShola-ts5lp
@AndrewShola-ts5lp 4 ай бұрын
Nimekwelewa Sanaa hapo kwenye uchungaji mwanamkee..
@raphaeldinyu427
@raphaeldinyu427 11 ай бұрын
Hekalu ni moja tu na liko Yerusalem kwa ajili ya Wayahudi kwa ajili ya kumtolea Mungu sadaka za kuteketezwa , na masinago ni kwa ajili ya Wayahudi waliokuwa nje ya Yerusalemu kwa ajili ya kusoma na kujifunza torati ya Musa , Sasa msikiti unahusiana Nini na Wayahudi au na Yesu hamjui kitu na hamtakaa mjue chochote mtaishia kwenye unafiki tu pole mzee wa upako wa wasiomwamini Yesu
@rockymanson3774
@rockymanson3774 2 ай бұрын
Nmekuelewa
@eliaskalikowele3680
@eliaskalikowele3680 2 жыл бұрын
Nilikuwa cjakuelewa hapo upo sawa
@fadhiltave1359
@fadhiltave1359 2 жыл бұрын
Ooooooh!!!! Haleluya kama kunawakati umeongea pointi ni huu wakati... Pendo la KRISTO
@azantv719
@azantv719 2 жыл бұрын
Asantee mtumishi wa Mungu
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana,Yesu Kristo hakuwa mkristo Bali Yesu ndiye Kristo mwenyewe, na hapa duniani hakuna wakristo Bali Kuna watu mali ya Kristo ambaye ni Yesu
@ibrahimsuleyman9465
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Masha Allah, Allah akupe tawfiiq ya kusema ukweli!!
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 4 ай бұрын
Nimekuelewa Sanaa Mtumishi wa Mungu Barikiwa sana huo Ndio ukweli
@isayaanthon7265
@isayaanthon7265 2 жыл бұрын
Nakukubali sana Mzee wa upako
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 ай бұрын
TATIZO WAKRISTO WA AFRIKA MASHARIKI HASA TANZANIA WANA VICHWA VIGUMU, UMENENA SANA NA NDIO UHALISIA.
@nyokasaidi1107
@nyokasaidi1107 2 жыл бұрын
Ahsante sn mzee wa upako huku kwy midahalo ya dini wakina Daniel mwamkemwa na Muyaudi wanakomaa Yesu akuingia msikitini kila sk wakina Mazinge na Kinyogoli Wana waambia Yesu aliingia msikitini leo ww umesema ukweri ubalikiwe sn na Mungu atakuongoza sababu umewafungua wengi wakristo akili !!
@lukabernald3924
@lukabernald3924 2 ай бұрын
Nakuelewaga sana mzee wangu, barikiwa zaidi.
@allysonmmanyi7436
@allysonmmanyi7436 Жыл бұрын
Very good, uko sahihi vizuri sana!
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 2 жыл бұрын
Funguka tu mzee.sinagogi ni msikiti unawahusu waislamu tu.ima wakiwa waisrael wafaransa na wengineo.na vipi YESU kabla ya kusali anatawadha kama waislamu?na ibada yake anavua viatu na anasujudu kama waislamu..hii dunia tunapita tu.viongozi angalieni sana mtabeba mizigo ya watu.
@roselugendo6943
@roselugendo6943 2 жыл бұрын
Kumweleza mzee wa upako unabidi uwe na akili zakutosha. I miss you dad.
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 Жыл бұрын
Hahaha 🤣 jamani wakiristo
@davidedson6560
@davidedson6560 3 ай бұрын
Kweli mzee was upako waelimishi hao wanaosoma bibilia kama gazeti safi sanaaa....
@edwinmbwilo6128
@edwinmbwilo6128 2 жыл бұрын
Mzee wa upako nimeipenda hii. Yoeli 2:29
@ambwenesandersony1545
@ambwenesandersony1545 2 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana, barikiwa sana
@Expedito2512
@Expedito2512 2 жыл бұрын
Ni kweli Yesu hakuwa Mkristo na si wote wanamwamini Yesu
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Wakristu na waislamu wote wanamwamini Yesu... Wakristu huamini Yesu kuwa ni Mungu na ni mwana WA Mungu waislamu huamini Yesu ni nabii(ISA)
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 2 жыл бұрын
Tatizo ni kutokusoma, swali je anae fata uislamu anaitwa muislam na anae fata Kristo ataitwa je? Eti Yesu hakuwa mukristo sasa angekua je Kristo na mukristo the same time. Someni au ulizeni mupate kujua na sio ubishi kwani hausaidii kitu
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 2 жыл бұрын
@@flova7022 Yesu sio Mungu coz haijaandikwa hata sehemu 1 ya Biblia istoshe amezaliwa na mwanadamu. Wanao sema ni Mungu waambie wa kuonyeshe ilipo andikwa kwani tunatakiwa kufata maandiko na sio maneno ya watu
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 2 ай бұрын
.....Nayo KWELI ....Itawaweka huru....asante Comred Anthony Lusekelo you are the master and others are followers of you educate them to the maxmum,God is with you forever mpaka ikamilifu wa Dahari WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA Hii slogan yako hujaichagua kwa bahati mbaya
@VictorNgosi
@VictorNgosi 4 ай бұрын
Sawa nimekuelewa upo sahihi ila Kuna mwewe,kunguru,njiwa,hata uwelewa nivigumu wengine kuelewa ❤
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 2 жыл бұрын
Assalam alaykum warahmaturullah wabarakatuh ! Wallah khaki kamwe haiwezi shuka bali itabaki kileleni hadi kiama ,Hadi Yesu (Issa bin Mariam) atakapo rudi kuvunja makanisa na misalaba hatimae kumuua masihi dajal
@eastafrica6858
@eastafrica6858 2 жыл бұрын
Kabisa wamejenga makanisa hao wazungu utagikiri kwao kuna mitume kila kitu wamebadilisha mpaka ma nabee wengi leo padri wanawake waimbaji baranarani wanawake wanacheza eti wanamsifia yesu wapi yesu alicheza akaruka barabarani na nguo fupi na wigi sadaka wanambiwa watoe na mchezaji barabarani yesu ni mtume wa Allah naatarudi ibrahim alivunja masanam na mtume muhamad alivunja masanam pua hao ndio mitume wa kweli isa alipaishwa A
@athumanibaruti6060
@athumanibaruti6060 2 жыл бұрын
Ni kweli Yesu hakuwa mkiristo lakini wapo wasioelewa hili wapo wanao sema Yesu ni mungu.
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 2 жыл бұрын
Tatizo liko wapi
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 2 жыл бұрын
Akili mgando si umeambiwa Yesu ni Kristo ndio maana wanafunzi wake walikua wa Kristo ni sawa na mtoto baba yake ni Athumani utasema huyu mtoto ni wa athumani ndio maana yake WAATHUMANI WAKRISTO SASA HUJAELEWA NINI MBONA SIE WATU WA AJABU LISILOELEWEKA HAPA NI NINI WAKRISTO NI WAFUASI WA KRISTO NDIO MAANA WANAITWA WAKRISTO hakuna dini ya Kristo ukristo sio dini ni wafuasi wa Kristo tatizo liko wapi kila mkristo anajua hakuna dini ya kikristo ila ni wafuasi wa Kristo kama nyie mlivyo wafuasi wa Mtume Mohamed lakini ikaitwa Dini
@awadhhamza9296
@awadhhamza9296 2 жыл бұрын
@@mossymtwana6422 Shida mnamuita Mungu
@jescalaurent3183
@jescalaurent3183 Жыл бұрын
YESU NDIYE KRISTO, AWEZI KUWA MKRISTO, WAKRISTO NI SISI WAUMINI TUNAJIITA WAKRISTO, (YESU KRISTO)
@fordmasnyenga_kiuyangulyri7409
@fordmasnyenga_kiuyangulyri7409 4 күн бұрын
Ni kweli mzee wa upako Yesu ni kristo
@bonifasideus8691
@bonifasideus8691 2 жыл бұрын
Wemzee unaijua biblia hongera sana sasa badilika uwe muislamu uko sawa kabisa hapo umebakiza kubadilika2
@rahmaferuz2776
@rahmaferuz2776 2 жыл бұрын
Ni kweli usemayo japo baadhi ya watu hawakuamini wajibu wako kufikisha na umeshafanya hivyo
@bajomba2010
@bajomba2010 2 жыл бұрын
Mzee wa Upako...nakuelewa kabisa..endelea kutuelimisha ndugu yetu..wala usiyumbe!!!
@jacksonjonathan2262
@jacksonjonathan2262 2 жыл бұрын
Ameeeeen saf nimeeeekusoma zaid
@khamisikapopo9356
@khamisikapopo9356 2 жыл бұрын
Umenifundisha kitu mzee wa upako nilikuwa sijui Kama yesu kristo akuwahi kusali kanisani bali alisali ktk misikiti ya wayaudi umeupiga mwingi sana
@reganpaul8542
@reganpaul8542 2 жыл бұрын
Chief mwalimu general mzee wa upako kifaru Cha Yesu ubarikiwe mwalimu wa biblia Moses Bible college
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 2 жыл бұрын
Geometry don't lie , your so brilliant
@newatareeesanauyumtufantas6227
@newatareeesanauyumtufantas6227 2 жыл бұрын
Baba wewe ni mtu wa mungu nmekupenda na kukuelewa sana sana naomba npate namba yako au mwenye namba ya uyo mkuu tafadhari
@khamisawadh7333
@khamisawadh7333 2 жыл бұрын
Usimsute Upako?kweli yesu Alikua anaswali Kwenye MasinaGigi Ambayo Yaitwa MSKTI?Uko Ok
@theafricanprincevivecongo8632
@theafricanprincevivecongo8632 3 ай бұрын
@@khamisawadh7333 we umeelewaga?
@dassustephen5391
@dassustephen5391 2 жыл бұрын
Daaah.Mzee wa upako vipi tena umekuwaje mzee wetu?Mungu akurehemu
@luhelumommboboci7136
@luhelumommboboci7136 2 ай бұрын
Wahayudi hawatumii mskiti ndugu yangu, hacha kuhadaa watu. Uislamu ulianza miaka mingi sana baada ya ukristo na mskiti ni nyumba ya maabudu ya waislamu na hekalu na sinagogi ni nyumba ya maabudu ya wayahudi.
@isaacnombo8844
@isaacnombo8844 2 жыл бұрын
Hugely impressed by your Brilliant Teachings.... 1st time listener of your online Program!
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 2 жыл бұрын
Yaani huyu jamaa anaongea ukweli unaowachukiza wengi na kwakweli siwalaumu walalamikao maana walifunikwa funikwa,masinagogi ni misikiti na wala sio makanisa,hapa tu panatosha kukufikirisha,nani walileta ukristo na makanisa hapa pia ameelezea sitaki kueleza mm hili
@cascanicolnicol2008
@cascanicolnicol2008 2 жыл бұрын
ni kweli jamaa yuko sahihi ila wewe ndo hujaelewa kabisa tafuta,ufafanuzi vizuri najua hata,mimi hujanielewa na utanibishia but ni kwa faida yako
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 2 жыл бұрын
Ukristo ni Yesu Kristo wakristo ni wafuasi wa Kristo sasa kisichoeleweka hapo ni kitu gani ndio ni wafusi wa Yesu Kristo mimi ni Mfuasi wa Wakristo kwa hiyo ni Mkristo sasa tatizo ni nini. Na kwa lugha ya kiarabu kanisa linaitwa Al khanisa kiswahili tunaita Kanisa tatizo ni nini woote hao Yesu Kristo Mohamed vyote vimetoka kwa warabu hebu tafuteni ugali na pesa Imani kila mtu aamini vyake mwarabu alivyovileta na wazungu walivyovileta kutoka kwa warabuni kweli Yesu Kristo hakua Mkristo ila sisi ni wafuasi wa Kristo sass kusichoeleweka hapo ni kitu gani cha ajabu Dini ni Thehebu kwa lugha kama sijakosea
@gladnesssidiu4922
@gladnesssidiu4922 2 жыл бұрын
@@mossymtwana6422 well said Watu wanakaza vichwa tu Ukristo ni kuwa mfuasi wa Yesu kwasababu yeye ndiyo kristo Sasa Bunge lianaanzaje kuwa mbunge? Shajua kumbe kuna watu hawana maarifa
@richardmushi1062
@richardmushi1062 Жыл бұрын
Wow!! I love it!
@agathasungura5047
@agathasungura5047 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 2 жыл бұрын
The seed of awakening is growing in this man and christianity will die a slow death in TZ. Watch the watchman reports especially the whitened out series.
@joshuamassawe2474
@joshuamassawe2474 2 жыл бұрын
The world will pass but not the Word of GOD! Christianity will never die. More atheists and muslims are becoming Christian. And unfortunately, the seed you are mistaking for an awakening is actually a seed of darkness - a darkness so deep that you are mistaking it for lightness, how deep that darkness is!
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 2 жыл бұрын
@@joshuamassawe2474 So you trust the lies and twisted doctrines from Rome ? When a lie is repeated over and over again it's accepted as truth and if the truth comes its rejected. Where did the following doctrines come from; Names of our creator and the son changed and hidden, How titles GOD and LORD replaced the names of our father yet they are only titles used by all religions referring to different deities, How did sabbath change to sun god sunday worship, Where did christmas,Easter and New year come from, Where did the cross come from ? etc etc
@NoelKomba-bj4yr
@NoelKomba-bj4yr 3 ай бұрын
Mzee wa upako umechepuka sana.... Uislamu umeanza karne ya Sita kipindi kanisa limepoa.... Kipindi cha Yesu dini iliyokuwepo ni Uyahudi
@kibaikiramadhani1475
@kibaikiramadhani1475 3 ай бұрын
Ww hujui kitu sema ufundishwe uislam ndik maumbile alioumbiwa mwanadamu
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon 2 ай бұрын
Sasa nimekwelewa uko vizuri❤
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 2 жыл бұрын
Mchungaji umefafanua vizuri kuhusu sinagogi na misikiti. Hata makanisa ya zamani kwetu uchagani tuliita misikiti
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 2 жыл бұрын
Embu fafanua kidogo hapo! Wachaga waliita makanisa misikiti!
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 жыл бұрын
Mzee ume upigaaa mwingiii sana🤝😂
@erastokonga5639
@erastokonga5639 2 жыл бұрын
Mzee wa Upako uko sahihi mno! Yeye ndiye Kristo na tunaoamini na kukiri kuwa yeye ni Kristo ndiyo Wakristo
@iddymustapha489
@iddymustapha489 2 жыл бұрын
Asante kwa elimu
@marianmartin7483
@marianmartin7483 2 жыл бұрын
Mzee wa upako wewe unaijua biblia, kwangu naona upo sahihi. Hongera sana kwa ufafanuzi huo.
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 2 жыл бұрын
Na mujuwe kuwa bibilia sio kitabu cha mungu
@saidmohd7240
@saidmohd7240 2 жыл бұрын
Mzee was upako tusaidie! Misikitini wanaingia watu wa dini gani???Ahsante kwa kuusema ukweli kuwa Yesu hakuwa Mkristo na wala hakuingiapo Kanisani! Aliingia wapi????
@francisrobert9652
@francisrobert9652 2 жыл бұрын
nimepata upeomkubwa sana tokakwako ubarikiwe sana
@BinmadengeBM-hi8nw
@BinmadengeBM-hi8nw Жыл бұрын
Mmmmh mungu akuzidishie
@sosthenespaul8821
@sosthenespaul8821 2 жыл бұрын
Siku moja kila sikio na akiri vitakuelewa
HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA
21:53
Mzee wa upako
Рет қаралды 36 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Jenerali Ulimwengu: Samia haijui nchi, amefanya makosa makubwa
8:14
Mwanahabari Digital
Рет қаралды 190 М.
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Issack Mzava
Рет қаралды 1,6 М.
SWALI GUMU LILILOMSHINDA MAZINGE NA MASHEKHE WENGINE
16:22
Loud Cry TV
Рет қаралды 472 М.
UKRISTO NA POMBE
4:25
Mzee wa upako
Рет қаралды 22 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН