FAHAMU JINSI WAZUNGU WA ARGENTINA WALIVYO IFUTA HISTORIA YA WATU WEUSI KATIKA NCHI YAO

  Рет қаралды 2,625

NIANIMAARIFA

NIANIMAARIFA

Жыл бұрын

Wengi tumekuwa tukidhania nchi ya Argentina haikuwahi shiriki au kujihusisha kabisa na biashara ya Utumwa. Hii ni kwa sababu ni nadra sana kuona utumwa au watu weusi wakichangamana katika mambo au shughuri za Kiargentina. Hii inaanzia kwenye Soka na kwengineko.
Makala hii inaelezea Maovu na mabaya yaliyo fanywa na wazungu wa Argentina dhidi ya watu weusi. Karibu!!

Пікірлер: 18
@blacknesaya744
@blacknesaya744 Жыл бұрын
Daaah
@noahayoubameninaendereakubarik
@noahayoubameninaendereakubarik Жыл бұрын
weupe mungu anawaina😳😪😭
@user-uz5fl1nu8y
@user-uz5fl1nu8y Жыл бұрын
Duuuu
@williamnathan4630
@williamnathan4630 Жыл бұрын
Halafu mnashabikia hao
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 10 ай бұрын
Tufahamu mambo mabaya yaliyofanywa na wazungu walinyaficha lakini cha ajabu mambo mabaya ya waafrica mazuri hayaongelewi hii ni mifumo ya wazungu toka ukoloni wamekuwa na mawazo ya kishetani na kuwa waelevu kukwepa lawama.
@BALEKECH2770
@BALEKECH2770 Жыл бұрын
Waliona watu weusi awana akili ya kimaendeleo
@raymondsimon483
@raymondsimon483 Жыл бұрын
Usidanganye watu Brazil haijatawaliwa na wahispania .imetawaliwa na wareno
@NIANIMAARIFA
@NIANIMAARIFA Жыл бұрын
Hakuna tunapo DANGANYA mKUU. Tarehe 22 ya mwezi April Mwaka 1500, wakati wa utawala wa mfalme Manuel I, meli iliyoongozwa na baharia Pedro Álvares Cabral ilitua Brazili na kumiliki ardhi kwa jina la mfalme huyo. NATENA historia inasema: Mnamo 1578, mfalme Sebastião wa Ureno alipotea katika mapigano na wengi waliamini alikufa VITANI. Wakuu wengine kadhaa wa Ureno Pia walikufa katika vita hiyo, na Mfalme Sebastião hakuwa na watoto na Mjomba wa Sebastião aliye itwa Felipe, ndiye aliye kuwa akiitawala Hispania kama mfalme kwa wakati huo akaiweka Brazil Mikononi mwake Kwa miaka 60 iliyofuata, Hivyo spain iliijumuisha Brazil tangu mwaka 1580 hadi 1640 ingawa si sehemu yote ya Brazil kwa vile baadhi ya maeneo ya Brazili yalikuwa bado hayajafikiwa. MWISHO kabisa Maeneo fulani ya Brazili, kama vile Acre na sehemu za Rio Grande do Sul, kwa hakika kabisa yalikuwa makoloni ya Uhispania.
@venancegaspatv1961
@venancegaspatv1961 11 ай бұрын
ulikuwa ushirika, ureno na hispania
@blacknesaya744
@blacknesaya744 Жыл бұрын
Hata ule mchezo wao malufu unao itwa tango sio wao ulipelekwà na watu weusi walipo wauwa ndo wakajimilikisha na kufanya kuwa wao
@NIANIMAARIFA
@NIANIMAARIFA Жыл бұрын
Ni kweli Kabisa Mkuu, makala inayo fuatia itaelezea kwa kina KUHUSU muziki aina ya TANGO. Karibu sana Mkuu
@NIANIMAARIFA
@NIANIMAARIFA Жыл бұрын
Kuna GB 1 Ya Bando kwa ATAKAYE JIBU Swali Hili. Ni dakika ya Ngapi Imetaja Namna Miaka ya 1852, 1858, 1870 na 1871 ilikuwa ni miaka iliyo chukua maisha ya watu wengi kutokana na kulipuka kwa ugonjwa wa manjano? Wa kwanza Kucomment na Jibu sahihi atume namba yake kwa email hii: mapochomapesa@gmail.com
@ibrahimmsuya6557
@ibrahimmsuya6557 Жыл бұрын
Kuanzia dk ya 3 na sekunde 56 hadi dk 4 na sekunde 3
@NIANIMAARIFA
@NIANIMAARIFA Жыл бұрын
Weka namba yako mkuu uzawadiwe. Next time jibu liwe Wakati wa oi premier pekee😆😆😆
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Argentina ni watoto wa Adolf Hitler, ndugu zetu wanapata tabu mpaka leo 2023 awatambuliki kama raia
@NIANIMAARIFA
@NIANIMAARIFA Жыл бұрын
Umeliweka vyema mkuu
@alexmwanioti6390
@alexmwanioti6390 Жыл бұрын
mtu mweusi ni asili ya dunia na kwahakika historia itajirudia pale dunia itakapo kaliwa na mtu mweusi, nenda austr ia, asia,north o south america hauwezi kukosa mtu mweusi wa asili
@NIANIMAARIFA
@NIANIMAARIFA Жыл бұрын
Hakika. chamsingi ni tuwekeze kwenye elimu ili tusiwategemee hawa watu.
VIDEO: UKIINGIA DUBAI HIZI NDIZO SEHEMU ZA KUANZA NAZO
3:20
Millard Ayo
Рет қаралды 153 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 36 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 79 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /21/ #love
25:05
BabaJoan
Рет қаралды 255 М.
Do Jews and Arabs Really Have Different Ancestors?
11:49
GeoNomad
Рет қаралды 313 М.
Shoe Shine Pt 2 - A Swahili Movie
1:03:50
RIVERWOOD BONGO MOVIES
Рет қаралды 498 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 36 МЛН