Рет қаралды 750
Frida homestead tunazalisha na kuuza miche mbalimbali ya matunda ya kienyeji na ya kisasa(ya muda mfupi).Miche ipatikanayo ni pamoja na Miembe Aina zote,Staferi, Chungwa, Chenza, Ndimu, Limao, Pera, Passion, Parachichi, Komamanga, Topetope, Minazi, Zaituni,Papai, Migomba na kadhalika. Mikoani tunatuma na mteja atalipia gharama za usafiri.
Tufatilie kupitia mitandao ya kijamii ya facebook, twitter na instagram @fridahomestead6890
Wasiliana nasi kwa number ya simu: +255 757 204091, Email:fridahomestead@gmail.com.
KARIBU TUKUHUDUMIE