FAIDA 10 ZA MCHAI CHAI KWA KUKU/HEALTH BENEFITS OF LEMONGRASS FOR CHICKENS

  Рет қаралды 49,754

AGALUS  TV

AGALUS TV

2 жыл бұрын

Faida za mmea MCHAICHAI kwa kuku ni nyingi sana
#tibaasilizakuku
👉Kuongeza hamu ya kula, Kuongeza utagaji, tiba ya ugonjwa wa Gumboro,
✍️Jifunze zaidi tiba asili za kuku kupitia
• Tiba asili/Kienyeji za...

Пікірлер: 124
@user-de9xj6yr9l
@user-de9xj6yr9l 26 күн бұрын
Asante kwa somo zuri. Mungu akubariki
@AGALUSTV
@AGALUSTV 26 күн бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk mwaka huu ktk Kaz yako
@KaumbaKayumbacalvin
@KaumbaKayumbacalvin Ай бұрын
Shukrani Kayumba toka RDC
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@JosephineSila
@JosephineSila Ай бұрын
Asante kwa Somo hili la ufugaji kuku.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Karibu Sana ndugu
@user-ju5fp3lb6r
@user-ju5fp3lb6r 3 ай бұрын
Shuklani mi Nemesis desire so nice brother kwa elimu nime sifuunza mengi Sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@GraceVwiravwameso
@GraceVwiravwameso 5 күн бұрын
Asante kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 күн бұрын
Tupo PAMOJA
@user-js9nv3zw4d
@user-js9nv3zw4d 20 күн бұрын
Nashukuru sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 19 күн бұрын
Barikiwa pia
@RABIAMANENO
@RABIAMANENO Ай бұрын
Shukran
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Tupo pamoja
@virginiatambwe806
@virginiatambwe806 10 ай бұрын
Jamani elimu yenu imenisaidia kupita maelezo. Mungu awabariki sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Amina ndugu 🙏🏿 Barikiwa pia kwa kutufuatilia
@edgarmlimba6750
@edgarmlimba6750 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua na kuwabariki kwa mafundisho ya ufugaji kuku.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
AMINA KUBWA NDUGU 🙏🏿✍️
@ngunochugga8761
@ngunochugga8761 2 жыл бұрын
Wonderful. Asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa
@hemedihatibu4362
@hemedihatibu4362 2 жыл бұрын
Shukran sana kwa maelezo mazuri ubarikiwe sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina KUBWA 🙏🏿
@elibarikishukya-lf3sk
@elibarikishukya-lf3sk Ай бұрын
Shukrani sana nimependa sana mchaichai
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@PiusThadeo-li9oe
@PiusThadeo-li9oe 5 ай бұрын
Asante kwa somo lako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@shelternimzihirwa3583
@shelternimzihirwa3583 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina🙏🏿
@violetmwanjesa3679
@violetmwanjesa3679 2 жыл бұрын
Asante Kwa maelezo, ubarikiwe
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
AMINA 🙏🏿✍️
@elishamwita2276
@elishamwita2276 2 жыл бұрын
Asante kwasomo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa pia🙏🏿
@user-td2wi3sn9b
@user-td2wi3sn9b 4 ай бұрын
Asante elimu Yako ❤
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@josephnjella4919
@josephnjella4919 2 жыл бұрын
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
PA 1
@Fatumamsumule
@Fatumamsumule 2 жыл бұрын
Nashukuru nimeelewa somo..
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏🏿
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 жыл бұрын
Asante kwa mafasilio bora yanaeleweka sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏🏿
@adelimarsialphonce818
@adelimarsialphonce818 Жыл бұрын
Asante kwa ushauri mzuri je unaweza kuwapa kuanzia umri gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Mwezi 1 na kuendelea
@kawelesiakisanga6670
@kawelesiakisanga6670 3 ай бұрын
Nimeelewa faida ya lemongrass kwa kuku Asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@DianaSebastian-kq6us
@DianaSebastian-kq6us 9 ай бұрын
Shukurani sana.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@fadhilamunisi2755
@fadhilamunisi2755 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa somo zuri.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
AMINA KUBWA 🙏🏿✍️
@elibarikishukya-lf3sk
@elibarikishukya-lf3sk Ай бұрын
Good
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Be blessed
@asna-lg8pe
@asna-lg8pe Жыл бұрын
Mungu akulipe
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amina ndugu 🙏🏿 nawe pia✍️🙏🏿🤝
@ludobudege1662
@ludobudege1662 2 жыл бұрын
Nakushukuru sana kiongozi kwa kunipa dawa ya kuku ambayo Nilikuwa siijui
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@agustaimaculata900
@agustaimaculata900 5 ай бұрын
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
🙌💓💓👏🤝
@franksilayo984
@franksilayo984 2 жыл бұрын
Shukrani Sana imestawi kwangu kama yote
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@janemburu1551
@janemburu1551 2 жыл бұрын
Asante sana sikujua naweza patia kuku maji ya lemon grass .mimi naitumia sana vile nimepanda nyingi.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu
@praygod6838
@praygod6838 Жыл бұрын
Mko vizuri sana 🤝🏽
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe pia
@praygod6838
@praygod6838 Жыл бұрын
Amen🙌
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Poa
@khaldn7409
@khaldn7409 2 жыл бұрын
Shukurani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pamoja ndugu 🤝🤝🙏🏿
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 2 жыл бұрын
Mimi naomba unifahamishe dawa nzuri kwa kuua/ kukimbiza kabisa utitiri. Hasa ningependa sana ile ambayo wew huwa waitumia kwa banda lako.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
, sisi tu natumia tiba za asili somo ni hilikzfaq.info/get/bejne/hKuHiKZ0z9XGc6s.html
@abdulmajidiibrahimu3338
@abdulmajidiibrahimu3338 2 жыл бұрын
Asant san
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa ndugu🙏🏿
@gracelyoba1657
@gracelyoba1657 2 жыл бұрын
Tunakushukiru kwa masomo haya mbarikiwe sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina ndugu nawe pia
@SimonKefa-lz1kd
@SimonKefa-lz1kd Ай бұрын
Kuna majani ulisema kumi wanapenda sana kwa saabu yana chumvi yanapandwa kama ukoka nyumbani naomba uniuzie mbegu ya majani mimi siyajui wala sijawahi kuyaona ulipo nitakuja
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
OK good upo wapi tuone Jinsi ya kukutumia
@bimbyalupande
@bimbyalupande 10 ай бұрын
Mimi ninatatizo la viroboto ,njian zip za kuzuia Hawa wadudu ,maana vifaranga wanakufa sanaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Pole Sana ndugu apo kanunue dawa ya wadudu tu
@reginamsoka8439
@reginamsoka8439 2 жыл бұрын
Asante kwa somo. Nina swali.. Nina vifaranga wa miezi miwili wa kienyeji, wanatoka manyoya maeneo ya mgongoni, kwenye mabawa, tumboni.. naomba kujua shida nini hasa? na niwapatie dawa gani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu fuatilia somo hili sababu na tiba ya vifaranga kutoka manyoya kzfaq.info/get/bejne/abeEg8l2uJublKc.html
@nyamwendamassamba4885
@nyamwendamassamba4885 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri Mimi napata shida ya kuku kuwa na vidonda mdomoni Kwenye upanga pia Nifanyeje? Pia niliwahi kuwa na Kuku akawa kama ana ugonjwa wa manjano Je mlishawahi Ona hiyo?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Pole ndugu ivyo vidonda ni shida ya Ugonjwa unaitwa Ndui au fowl pox. Hauna Tiba ila una chanjo. Kama ikitokea kuku amepata uwa tunamsaidia kwa Alovera na limao na dawa, za dukani. Hili ni somo lefu KDOGO. Kwa ufupi fuatilia video hii 👇utapata kitu kzfaq.info/get/bejne/qdRpoN2Uzt-qZmg.html Na kuhusu unjano ni kweli uwa inatokea hasa kwa miguuni na midomoni. Ni matatzo y urithi japo hayana madhala sana. Punguza kiasi cha nafaka ktk chakula hasa mahindi.
@Fatumamsumule
@Fatumamsumule 2 жыл бұрын
Ninaswali km kuku anakuwa anasinzia hachangamki na anakosa nguvu .huo ni ugonjwa gani?. na tiba yake ?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kinyesi vp
@mamykwizera280
@mamykwizera280 2 жыл бұрын
Asante kw somo vipi yafaa kuwapa na vifaranga hayo maji ya mchai chai?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Sawa tu wape
@aminamselem5669
@aminamselem5669 10 күн бұрын
Shukuran sana kwa mafunzo ya dawa za magonjwa ya kuku, unaweza kuwapa dawa hizi kwa kubadilisha? Km. Wiki umewapa mchaichai, wiki nyingine ukawapa maji mwembe, wiki nyingine ukawapa majano ya mpapai??
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 күн бұрын
Sawa tu na si lazima uwape ZOTE...ni kungalia tu KIPI unaweza kupata kiulahisi maana karibu mimea mingi apo inafanya kazi zinazofanana
@lucynkonyi7658
@lucynkonyi7658 Ай бұрын
Hii nyumba inajengwaje
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Apo mwone she fundi hii video atakusaidia
@khadijaally6750
@khadijaally6750 3 ай бұрын
Nikichemsha maji usku hkn shida
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Sawa tu
@hajiame7784
@hajiame7784 2 жыл бұрын
Jee kuhusu ufugaji wa bata majani haya hayawezi kuwasaidia.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ni mazuri pia kwao
@mkufunzimbaraka5525
@mkufunzimbaraka5525 2 жыл бұрын
Hivi kuku wa kienyeji na chotara nani ni dhaifu,Bora na anataga sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Dhaifu w chotara, bora wa chotara na kutaga anataga zaidi chotara. Japo udhaifu cjajua kwenye upande upi tumekujibu udhaifu kwenye magonjwa 🙏🏿
@kawelesiakisanga6670
@kawelesiakisanga6670 3 ай бұрын
Kuku wangu anakakamaa shingo nifanyeje
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Vitamin wape
@faustinemasenda8059
@faustinemasenda8059 Жыл бұрын
Ile video ya magonjwa ya macho imenipita kabla sijaona tafadhali irushe Tena.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Oooh pole ila video yake ni hii ya Macho kwa kuku kzfaq.info/get/bejne/jMV_pqqTtNTOl3U.html
@LilianKayoka
@LilianKayoka Ай бұрын
Jinsi ya kujenga banda la kuku la kidasa kuanzia kuku 300
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Jifunze mambo ya msingi kuhusu ujenzi wa Banda la KUKU kzfaq.info/sun/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd
@AllyMakame-n3y
@AllyMakame-n3y 10 күн бұрын
Jee.bata.unaweza.kuwapa.hii?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 күн бұрын
Ndio ni nzur Sana
@AllyMakame-n3y
@AllyMakame-n3y 9 күн бұрын
@@AGALUSTV asante.nitawapatia. hizi dawa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 күн бұрын
@AllyMakame-n3y Barikiwa sana
@fatmaabdulrahman9883
@fatmaabdulrahman9883 2 жыл бұрын
Agalus hi una group la ufugaji?
@fatmaabdulrahman9883
@fatmaabdulrahman9883 2 жыл бұрын
Agalus una group la ufugaji @agalus nahitaji plz
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hapana hatuna ila linakuja
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
No hapana kwa sasa hatuna 🤝
@magdalenajoseph9910
@magdalenajoseph9910 2 жыл бұрын
Fungua group tuzidi kujifunza kwa ukaribu. Mambo ni mengi🙏
@christinajoseph1920
@christinajoseph1920 Жыл бұрын
Ugoro unatibu Nini kwenye kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ngoja tutalifanyia kazi 🙏🏿 ✍️ ndugu
@fundifundi2830
@fundifundi2830 2 жыл бұрын
kamakuku anakakama mgu tatizo nini na dawayake niipi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ngoja tuzid kufutilia zaidi tutakujuza ndugu✍️🙏🏿
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ngoja tuzid kufutilia zaidi tutakujuza ndugu✍️🙏🏿
@user-rq6ok5ru9p
@user-rq6ok5ru9p 2 ай бұрын
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@fundifundi2830
@fundifundi2830 2 жыл бұрын
kamakuku anakakama mgu tatizo nini na dawayake niipi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ngoja tufutilie zaidi ✍️🙏🏿
@nsiaelieza9568
@nsiaelieza9568 2 жыл бұрын
Madini
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
👏👏👏🤝🤝🤝Barikiwa sana
@mamanahumu8637
@mamanahumu8637 2 жыл бұрын
Asantemimi napenda ufugaji wanguruwe pia
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu channel hii pia Kuna masomo ya ufugaji wa nguruwe na mengi yanakuja🙏🏿
MITI 10 BORA  AMBAYO NI TIBA KWA KUKU
8:19
AGALUS TV
Рет қаралды 10 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 26 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 43 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 55 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
FAIDA 8 ZA TANGAWIZI KWA KUKU
8:05
AGALUS TV
Рет қаралды 33 М.
JINSI YA KUPATA PESA KWA HARAKA KWA KUKU WA ASILI/KIENYEJI TU
9:39
SABABU 4 ZA VIFARANGA KUFA
9:21
AGALUS TV
Рет қаралды 29 М.
TIBA ASILI KWA KUKU:  MIMEA. 12 KAMA KINGA NA. TIBA KWA KUKU
14:12
TIBA/DAWA YA UGONJWA WA VIFARANGA KUSHUSHA MBAWA
5:11
AGALUS TV
Рет қаралды 35 М.
Mbinu 8 za Kupata kuku bora wa Kufuga wa kienyeji
14:11
AGALUS TV
Рет қаралды 28 М.
Jinsi  ya kupata kuku  wengi wa kienyeji
10:46
AGALUS TV
Рет қаралды 333 М.
#TBC : YAFAHAMU MAGONJWA YA KUKU NA TIBA ZAKE
27:22
TBConline
Рет қаралды 2,4 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 26 МЛН