Jinsi ya kupata kuku wengi wa kienyeji

  Рет қаралды 333,912

AGALUS  TV

AGALUS TV

3 жыл бұрын

✍️Mbinu hizi mbili zitakusaidia kupata kuku wengi wa kienyeji
(a)Kumwekea mayai mengine kuku aliyetoka kutotoa na kuvilea vifaranga
(b)Kumfungia kuku aliyetotoa na kuvilea vifaranga

Пікірлер: 731
@user-jk6xk7id3q
@user-jk6xk7id3q 9 ай бұрын
Shukran mungu atupe hekma namaarifa akustiri tuzidi kunufaika zaidi kupitia mafunzo yako amini 🤲
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Amina✍️🙏🏿
@TULIMKUMBWA
@TULIMKUMBWA Ай бұрын
Asante kwa somo zuri mm nataka nianze tafadhali Bushoke mkono
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Karibu Sana ndugu ktk ufugaji
@DaatwoNamkon
@DaatwoNamkon Ай бұрын
Asante kaka lengo langu nikitaka nianze kufuga kuku Tena wawe wengi, nashukuru kwa somo lako
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@rosella_255
@rosella_255 2 жыл бұрын
Somo Zuri sana, Mungu azidi kukubariki
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina KUBWA ndugu nawe endelea kubaki na agalus tv 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤝
@user-ih4fo3lw8n
@user-ih4fo3lw8n 11 күн бұрын
Asante sana kwemsada elimu nzur
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 күн бұрын
Barikiwa pia
@TresorVikalava
@TresorVikalava Ай бұрын
Ubarikiwe sana na Mungu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Amina ndugu barikiwa pia
@user-uv7fq6ro2i
@user-uv7fq6ro2i 4 күн бұрын
Hongera sana kwa hilo somo,,mungu akubariki .Nikona swali ,,sasa ukifugia uyo kuku kwa siku nne bila kumpa chakula,,je hataweza kufa ama kupatwa n magonjwa?asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Hawez ndugu. Barikiwa pia
@rehemaissa6164
@rehemaissa6164 2 жыл бұрын
Ahsante Sana, nimeanza kufuga na hili SoMo litanisaidia Sana, matamani kuwa na kuku wengi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu sana Mungu awe nawe🙏🙏🙏 Katika ufugaji wako
@cyprianmgogo7625
@cyprianmgogo7625 10 ай бұрын
Nipo Zambia,nimeanza kufuga kuku baada ya kuingia utube na kuiona channel ya Agalus,vema na shukrani kabisa.changamoto vifaranga wangu wadogo wanazima njia ya haja kubwa na wanakufa sana,natumia dawa ya sulfa..nachanganya na antibiotics,lakini matokeo bado si fresh,usafi wa chumba na kutoa maji ya kutosha umezingatiwa sana,naomba suluhu ya kitaalam.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Pole Sana ndugu. Ufaham uo ugonjwa vizuri kupitia video hii kzfaq.info/get/bejne/bKqZoZqD1KnOfac.html
@queenmmole
@queenmmole 2 ай бұрын
Vifatanga wamevimba nundu kwenye masikio dawa ya asili ya kuyibu ni hipi msaada tafadhali
@elikandone
@elikandone 2 ай бұрын
Sawa ya asili ya vinundu kwenye macho paka mafuta ya mawese penye nundu atapona kwa mda mfupi tu
@Mammy79
@Mammy79 Ай бұрын
Tafadhali mafuta ya Mawes ni gani/ni nini.
@annamikamollel360
@annamikamollel360 Ай бұрын
Mnapatikana wapi? Na je ninaweza kuja kununua kuku kwako? Napenda sana masomo yako
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 2 жыл бұрын
Njia nzuri sana hii kwa waoanza ufugaji na kuku wachache
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Sana🙏🙏
@theresiawapalina1988
@theresiawapalina1988 Ай бұрын
Nineshukuru sana kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@veronicamwanalinze9532
@veronicamwanalinze9532 2 жыл бұрын
Hongereni sana. Mmefuzu vizuri sana, nitajaribu. Asante sanaaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Asante nawe kila la heri 🙏
@merymrema420
@merymrema420 2 жыл бұрын
Ubarikiwe samo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝
@tatujumwa8510
@tatujumwa8510 Ай бұрын
Somo zuri, asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa pia. Tunakutakia utekelezaji tu
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 2 ай бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Tupo PAMOJA NDUGU
@aggymonyela3775
@aggymonyela3775 2 жыл бұрын
Somo nimelipenda sana. Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Narikiwa sana🙌
@hojakasamalu8233
@hojakasamalu8233 8 күн бұрын
Ufugaji safi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 күн бұрын
Hakika ndugu
@claudiahkinara4053
@claudiahkinara4053 14 күн бұрын
Actually May God bless you,I want to start
@AGALUSTV
@AGALUSTV 14 күн бұрын
Amen 🙏🏿 Your welcome
@OTAIGOMNANDE-kh7ny
@OTAIGOMNANDE-kh7ny Ай бұрын
Ubarikiwe kwa some zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
@SalmaShabani-ou6gk
@SalmaShabani-ou6gk Ай бұрын
Ahsante kwa elim hii GOD bless you
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Amen to you
@estherokumu8927
@estherokumu8927 Ай бұрын
Asante kwa funzo mazuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿 tupo pamoja
@ESTERMFUGALE-wp5le
@ESTERMFUGALE-wp5le 4 ай бұрын
Waoh. Asante sana.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Barikiwa pia
@FaustaMgina-ko4ji
@FaustaMgina-ko4ji Ай бұрын
Nimelifurahia somo zuri.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa pia
@agisojephrice4056
@agisojephrice4056 2 ай бұрын
Thank you for lesson
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Your welcome
@thobiassmollel2608
@thobiassmollel2608 2 жыл бұрын
Very nice advise
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Welcome🙏
@rahayirwacelestin1768
@rahayirwacelestin1768 2 жыл бұрын
Good kwa elimu umetupea tuhangalilie sungura
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa 1🤝🤝
@veronicagathiru1523
@veronicagathiru1523 Ай бұрын
Asante kwa masomo na marifa. Nitaaza kufuga kuku kienjeji
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Karibu Sana ndugu ktk ufugaji. Na Endelea kufuatilia masomo mengine ktk channel hii Kuhusu ufugaji kuku utajifunza mengi
@AzinaKitery
@AzinaKitery 24 күн бұрын
Nashukuru sana Kwa somo lako nitalifsnyia kaz
@AGALUSTV
@AGALUSTV 24 күн бұрын
Karibu Sana ndugu ktk ufugaji
@user-zg8wl9nd4e
@user-zg8wl9nd4e 4 ай бұрын
Elimu nzuri sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@SurprisedDrumKit-sn9so
@SurprisedDrumKit-sn9so 3 ай бұрын
Asante kwa darasa nawezaje kupata vifaranga au kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Upo wapi ndugu
@AllySengao
@AllySengao 29 күн бұрын
Mungu akupe kaul thabit il uendlee kutoa som zur zaid
@AGALUSTV
@AGALUSTV 29 күн бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
@henrygabriel2892
@henrygabriel2892 13 күн бұрын
kipindi hiki kinapatikana lini mimi ndiyo nimekiona sasa hivi
@MagdaleneMagdalene-rz1sp
@MagdaleneMagdalene-rz1sp 7 ай бұрын
Asante sana barikiwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Amina ndugu nawe pia
@tinalulule917
@tinalulule917 2 ай бұрын
Good thank you
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Welcome
@FelisterNgajua
@FelisterNgajua Ай бұрын
Some lako nimelipenda ubarikiwe sanaaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿
@charleskyando6255
@charleskyando6255 Ай бұрын
Good,wengi hatujui
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Hakika ndugu
@gladysNangao
@gladysNangao Күн бұрын
Niko Kilifi Kenya nashukuru kwa somo hili la kuwa na kuku wengi kwa muda fupi. Ningependa sana kujua jinsi ya kulea vifaranga baada ya kuvichukua toka kwa mamayao, pia na ile mimea inayo tumika kama dawa
@PeterNjoni
@PeterNjoni 2 ай бұрын
Asante kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa pia
@denismsalasye9213
@denismsalasye9213 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
amina
@SusanWanjiku-xc1lq
@SusanWanjiku-xc1lq Ай бұрын
Thank you for your advice brother
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Your welcome
@sylivialingo5438
@sylivialingo5438 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Asante sana Ubarikiwe🙏🙌
@fatheroficial5943
@fatheroficial5943 2 ай бұрын
Hii inakitu safi 👏
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@marykundi4170
@marykundi4170 2 жыл бұрын
Thanks.a very good tuition
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Be blessed🙏
@user-zg8wl9nd4e
@user-zg8wl9nd4e 4 ай бұрын
Elimu nzuri sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@babamando7629
@babamando7629 2 жыл бұрын
Asanten San. UK vizur
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🙏🤝
@user-sz9xb9mi9n
@user-sz9xb9mi9n 5 ай бұрын
Good hakili Mingi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Pamoja ndugu
@elikandone
@elikandone 2 ай бұрын
Thanks alot
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Be blessed
@aminachoga9266
@aminachoga9266 2 ай бұрын
Shukran ❤❤
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa pia ❤️🔥🙏🏿
@estherchebet6705
@estherchebet6705 2 жыл бұрын
Good lesson
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Welcome🙏
@salimomarhamad1024
@salimomarhamad1024 2 жыл бұрын
Very nice
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝
@marthaokerio7336
@marthaokerio7336 2 жыл бұрын
Thank you that is a very good lesson i like it God bless you.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amen🙏
@karenjacob5175
@karenjacob5175 2 жыл бұрын
Nimeelew kaka asant kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1 sana, 🤝🤝🤝
@jackurio9848
@jackurio9848 Жыл бұрын
Asante kwa somo nitafanya
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Poa
@mardhiahamisi4332
@mardhiahamisi4332 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana kuanzakujifunza ufugaji bora wa kuku,nawaombea Mungu awazidishie maendeleo ilinasi tupate faida juu ya kukuwa kienyeji nazidikuananya ilinipate elimu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu🙏🙏🙏🙏Amina
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 23 күн бұрын
Asante sana bro
@AGALUSTV
@AGALUSTV 23 күн бұрын
Tupo pamoja ndugu
@youniyou2059
@youniyou2059 2 жыл бұрын
Asante saana kwa hunielimisha kuhusu kulea kuku asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ok kuhusu kulea vifaranga somo hili 👇kzfaq.info/get/bejne/at6hh6VysKiso2g.html ila kwa maelezo zaidi tuwasiliane wasap tu. +255765467484
@pmgpmg7717
@pmgpmg7717 2 жыл бұрын
Funzo zuri sana.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🙏🤝
@ponsianabyarugaba1564
@ponsianabyarugaba1564 Жыл бұрын
asante kwa SoMo zuri ukimuyangaya vifaranga kitu Cha Kwanza vifaranga unaanza kuwapa chakula gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Stater ya vifaranga cha dukani
@monicahmbogo6662
@monicahmbogo6662 2 жыл бұрын
Asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa 1🙏
@euzebiayotham6459
@euzebiayotham6459 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri kuku ukinyanganya vifaranga halafu ukamnyima chakula ck tatu hawezi kufa na njaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hawez Amin ivyo 🙏
@danielmwakatuma1438
@danielmwakatuma1438 3 жыл бұрын
Nashukur kwa ushauri namiongozo.mbarikiwe.je hamna vitabu kwa ajili ya ufugaji wa kuku.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Vitabu vipo
@shabanimsemwa1202
@shabanimsemwa1202 2 жыл бұрын
Asante sana.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🙏
@nazleenibrabim
@nazleenibrabim Ай бұрын
Kitabu pesa ngapi​@@AGALUSTV
@user-pg4td8dg1c
@user-pg4td8dg1c 11 ай бұрын
Ni elimu na ujuzi tosha kabisa 👍
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@ngwadaratifa1008
@ngwadaratifa1008 2 ай бұрын
Ni somo zuri sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa pia
@user-rs2pw3sd3j
@user-rs2pw3sd3j 11 ай бұрын
Like this one nitakuwa mfugachi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Welcome
@user-xh6mt8xj9d
@user-xh6mt8xj9d 2 ай бұрын
Allah akubarik kwa SoMo laki mashaallah
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Amina ndugu nawe iwe heri pia
@rosembwambo6079
@rosembwambo6079 2 ай бұрын
Naomba elimu kulea vifaranga bila mama yao...pia bila kutumia madawa ya dukani....
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Andika you tube jinsi ya kulea vifaranga by agalus TV zitakuja video nyingi Sana nawe UTAJIFUNZA taratibu. Tiba asili kwa vifaranga hapana angalau wafike mwez
@aminamooni1488
@aminamooni1488 2 жыл бұрын
Asante. Santa. Nimejifunza. Kitu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏
@davidshekighenda5206
@davidshekighenda5206 2 жыл бұрын
Maarifa mazuri sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hakika🙏
@mirriamjohn5885
@mirriamjohn5885 2 жыл бұрын
Somo zuri sana nitajaribu tu.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu sana🙏 Kwenye hii mbinu
@magrethmbogela3401
@magrethmbogela3401 Жыл бұрын
Asante kwa maarifa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa sana Ndugu
@IbrahimOfficial-pi3kw
@IbrahimOfficial-pi3kw Ай бұрын
Mm nauliza chakula kizuri cha kutumia kuwalishia ao vifarana ni chakula gani( kitaalam kinaitwaje kama unakitafta madukani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
KInaitwa crumble stater
@mwanamisihamisilibondo9541
@mwanamisihamisilibondo9541 2 жыл бұрын
shukran kwa somo. ubarikiwe ndugu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina Kubwa🙏
@feniussimon5822
@feniussimon5822 2 жыл бұрын
Japo napata taalifa leoo ngoja nijarbuu
@feniussimon5822
@feniussimon5822 2 жыл бұрын
Njia ya kuku kutaga kwa mapemaa tafadhar naombaa msaadaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu sana
@flotheashayo6233
@flotheashayo6233 2 жыл бұрын
Thanks sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝🤝
@raymondonyona.2736
@raymondonyona.2736 9 ай бұрын
Nimelipenda somo lako la ufugaji kuku wa kienyeji. Niko Mza Tz.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Hongera Sana ndugu karibu tuzid Kujifunza kupitia channel hii
@jumannesama3357
@jumannesama3357 2 жыл бұрын
Tunashukuru kwafaids
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝🤝
@MaicoMichael-ml5dl
@MaicoMichael-ml5dl 10 күн бұрын
Je ayo mayai akiyakataa uyo Kuku anaeatamia
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 күн бұрын
Uyo kuku si mzuri kwa kutumika kwa ijir ya kutotoleshea
@user-np8lv6sr3x
@user-np8lv6sr3x 2 ай бұрын
Engineer machemko from 🇹🇿 nimekubari uzalishaji wenu wa kuki
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa Sana Engineer
@nurudinamchome6852
@nurudinamchome6852 3 жыл бұрын
Asante mkuu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa1 🤝
@haseanatnsanya2079
@haseanatnsanya2079 2 жыл бұрын
Nimependa sana ninapenda KuFa nga kuku nitajalibu asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏🙌
@magrethmbogela3401
@magrethmbogela3401 Жыл бұрын
Asanten
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa pia
@PascalLugonda
@PascalLugonda 22 күн бұрын
MIMI PASCHAL LUGONDA NAOMBA KUWA MWANACHAMA KATIKA CHANNER NAMI NIFUGAJI WA KUKU WAKIENYEJI
@AGALUSTV
@AGALUSTV 22 күн бұрын
Karibu Sana ndugu endelea kufuatilia channel hii
@omaruwakitaa
@omaruwakitaa 5 ай бұрын
Asante mwalimu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Pamoja ndugu
@WamburaMerengo
@WamburaMerengo Ай бұрын
Nmewaelewa saana,vip kuhusu kutotorosha vifaranga bila kuwa na incubator?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Tumia kuku wa kienyeji kulalia
@mishikai1367
@mishikai1367 2 жыл бұрын
Nimependa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏
@user-iz7vh8vy2h
@user-iz7vh8vy2h Ай бұрын
Hili somo nimelipenda sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Karibu Sana ndugu ktk ufugaji
@user-iz7vh8vy2h
@user-iz7vh8vy2h Ай бұрын
@@AGALUSTV Asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Endelea Kujifunza zaidi ufugaji kuku, kulea vifaranga, magonjwa, dawa za kuku, mbinu mbalimbali za ufugaji kuku, tiba asili, chanjo za kuku pia. Video zote zipo
@JoycePatriciaKaduma
@JoycePatriciaKaduma Ай бұрын
Asante kwa somo lako, ninaweza kununua mayai ya kuku wa kisasa?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Hayata totolewa
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Asante .
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa
@juliettesagamiko5877
@juliettesagamiko5877 2 жыл бұрын
ELIMU nzuri sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🙏
@adelimarsialphonce818
@adelimarsialphonce818 Жыл бұрын
Asante nimejifunza kitu je kuku akianza kuvimba macho na umeshampa dawa ya mafua unafanyeje
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
KWENYE MACHO UKIFUNGUA KUNA VITU VYEUPE AU
@user-dc5dk3ql2c
@user-dc5dk3ql2c 9 ай бұрын
Ahsante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Tupo pamoja
@fauziamussa381
@fauziamussa381 2 жыл бұрын
Pongeze kwa mafunzo naomba Allah ani jalie kua mkulima wa nyanya Allah akubariki mwangu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina🙏 Mungu yupo atakujaliia
@leonardnkwabi77
@leonardnkwabi77 2 жыл бұрын
Safi sana nami niunganishe katika somo hili.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Wasap pekee +255467484
@mwachesaid7020
@mwachesaid7020 Ай бұрын
Mimi niko pemba,nahitaji mafunzo z
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Endelea kufuatilia video Zingine ktk channel hii
@ernestthomas3866
@ernestthomas3866 3 жыл бұрын
Unafundisha vizuri sana,je vipi whatsup group
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Asante tupo pa 1 kwa wasap bado kidogo ila tupo njiani🙏🙏
@simeonrukondo2927
@simeonrukondo2927 2 жыл бұрын
Kumbe maisha mazuri yapo na yanawezekana,ikiwa kuku wengi wanapatikana kirahisi hivi !
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hakika 🙏🙏🙏
@cassianrobert4217
@cassianrobert4217 2 жыл бұрын
Good
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Thank you🙏🙏
@mayasamayasa1205
@mayasamayasa1205 2 жыл бұрын
Asante kaka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝🤝
@judithwanjiku4102
@judithwanjiku4102 3 жыл бұрын
Somo nzuri hio, ningetaka kujua chenye inafanya kuku wawe na miguu ya yellow,
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Hatuja elewa fafanua vizur kidogo una maana rangi ya miguu kua yellow kw muonekano au
@judithwanjiku4102
@judithwanjiku4102 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV Hello, ndio namaanisha kwa maonekano kwa miguu na kwa mdomo ni yellow,
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Ok tumekupata ngoja soon🙏🙏 kua na subira kidogo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Miguu kua yellow usababishwa na mambo 2 la 1. Ni urithi yaaani vinasaba (genes) au 2. Ulaji wa mahindi kwa wingi yaani nafaka za mahindi kwa wingi 👉Japo haina madhara kwa kuku🙏
@judithwanjiku4102
@judithwanjiku4102 3 жыл бұрын
Nashukuru sana,ntawapa mahindi kwa wingi.
@paulobura1597
@paulobura1597 2 жыл бұрын
Napenda sana kufuga kuku kuwa na elemu ni muhimu sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ni kweli🙏
@baidrufamau6033
@baidrufamau6033 2 жыл бұрын
ASSALAMU ALAIKUM wabatakatuh Mm nategemea kazi yadereva na ningependa kuwa mufugaji nimejaribu maranyingtu kwa kutumia wenzangu lakini sajafaulu nakuiaca kazi nawona ngumu mana ndo kula yangu navile navyo Iona kazi ya ufugaji inaweza kulipatu lakini kulingana namajukumu nilio nayo uwa nashindwa kuka nyumbani waweza nipa ushaurigan mwenzio kwajina badru f kutoka ug nitafurai ukinijibu asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ufugaji ni kaz na inahitaji umakini sana umpte mtu Unae mwamini. Kwa ufupi Kama utaweza karibu tufanye kaz nasi. Tutakusimamia. Kwa maelewano nafuu. Karibu🙏 Wasap namba +255765467484 kwa wasap tu.
@marykiula501
@marykiula501 2 жыл бұрын
Kaka usinichoke umesema kuku 1 atafanya zoezi la kutotolesha mara 2 kama ulivyotuonyesha hapa alitotoa ukatoa vifaranga then ukaweka mayai Mengine muda ule ule mi hapo pananichanganya nisaidie pls
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Wala usijali. Yaani akisha totoa vifaranga atakaa navyo kwenye kiota siku 2 hadi 3 kisha unavitoa vigaranga bila kumsumbua kuku asije akatoka kwenye kiota. Kuku atabak pale kwenye kiota utachukua mayai mengine utamwekea kuku aendelee kulalia vile vitoto utaenda kuvilea. Ila hili zoez usimfanyie kuku zaidi ya mara 2 kwani zoez la kulalia mfurulizo lina shusha afya y kuku sana sasa kuku ana kua dhaifu endapo akilalia mara nyingi zaid kw mfumo huuu yaani mwisho mara2 awamu y 2 akitotoa basi utamruhusu atoke kwenye kiota
@ammakhan2239
@ammakhan2239 Ай бұрын
Habari kaka unapatikana wapi... Asante sana kwa somo lakoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@danielakhwaba9126
@danielakhwaba9126 3 жыл бұрын
Na kwa changamoto ya magonjwa hashwa kwa kuku ni tiba gani hupewa kuku kwa kuwakinga ili wasikufe?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Usafi chanjo na chakula na vitamin
@mariamumbapirafreefaturt9644
@mariamumbapirafreefaturt9644 2 жыл бұрын
Naomba munifahamishe sehemu nzuri namaanisha mazingira mazuri ya kufuga kuku wastawi bila bugdha mahitajj ya vyakula ili update mifugo mingi na bora Mimi ni mgeni nataka kuanza ufugaji naomba msaada
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu kwenye ufugaji naomba ufuatilie somo hili👇 mambo ya kuzingatia ili upate mbegu bora ya kuku w kienyeji. Unapo anza kufunga kzfaq.info/get/bejne/hJN0dbKrxsmcoIk.html
@SamweliKereine
@SamweliKereine 2 ай бұрын
Somo safi lakini nauliza swali mm nina kuku kwenye mazingira yenye jua Kali au joto halafu wanamlalia mayai wanaacha bila kutatoa nitafanyaje hapo?
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU WA ASILI BILA MAMA YAO
19:45
AGALUS TV
Рет қаралды 122 М.
TIBA ASILI KWA KUKU:  MIMEA. 12 KAMA KINGA NA. TIBA KWA KUKU
14:12
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 133 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
TENGENEZA CHAKULA CHA KUKU CHENYE UBORA NA GHARAMA NAFUU
15:34
KingoFarm
Рет қаралды 2,3 М.
KANUNI 7 ZA KUTENGENEZA MTEGO WA FEDHA! PART 1
30:57
THOM. KAVISHE GOSPEL TV.(TKG.TV.)
Рет қаралды 210
FAIDA 8 ZA  MKAA KWA KUKU
8:27
AGALUS TV
Рет қаралды 205 М.
How to make incubator at home
11:58
Pets Life TV
Рет қаралды 10 МЛН
JINSI YA KUPATA PESA KWA HARAKA KWA KUKU WA ASILI/KIENYEJI TU
9:39
EPUKA MAKOSA HAYA ILI UFANIKIWE KWENYE UFUGAJI WA KUKU(BROILER)
12:41